Yani Jpm angekuwepo inchi yetu ingefanana na ulaya msemo wake cz vision yake ilikuwa ni kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo... na kufanya kazi na uwepo wa utendaji kuonekana kwa watanzania hii inaitwa public service delivery. RIP JPM.❤
@eddechriss26644 ай бұрын
Vumilia nenda pia katujuze kinachoendelea kwenye ujenzi wa SGR lote 5, kwani wahusika TRC wamegoma kutujuza
@JacksonDominicko3 ай бұрын
Kwan sgr vp inakuja mbeya lin
@waluohopaulo21164 ай бұрын
Mwanza walichezwa na lile jengo la abiria
@omarybakunda25544 ай бұрын
Hongera sana Raisi Samia wewe ndio raisi wetu unayefanya makubwa Tanzania
@abdallahsaid81574 ай бұрын
Safi sana
@dullybrown78414 ай бұрын
Safi
@MamuMichael4 ай бұрын
Hongera Mama kweli kazi Indelee, Hongera serikali ya awamu ya sita. Mama uko vizuri.🎉
@edwingideon36064 ай бұрын
Kazi nzuri sana serikali imefanya. Hata Kenya Hawana viwanja vizuri hivi mikoani
@batihubadiy31064 ай бұрын
Umeenda Mombasa MOI INTERNATIONAL AIRPORT since 1993 n umeenda Nyanza Piaaa weyee au unazungumzaaa tu
@utopolo5434 ай бұрын
@@batihubadiy3106 Ni kweli kenya hawana viwanja vzr kama hivi...Kenya ni mdomo tu na online
@richardbegga66794 ай бұрын
Umejazwa Propaganda za CCM Kichwani😂😂😂 Ujinga Kila sehemu hata Mpaka wa Burundi haujawahi vuka 😂😂 iwe Kenya?
@batihubadiy31064 ай бұрын
@@richardbegga6679 HATAR SANA YAAN WANAJENGA MAHANGA THN WANADANGANYA WATU TERMINAL AIRPORT
@section8ight1744 ай бұрын
@@richardbegga6679Kwani uongo? This airport is miles better than Malindi international Airport, ile inakaa kama quarter la mfanyakazi wa nyumbani 😂
@shabanponera28953 ай бұрын
Migahawa iliyopo ndani ya viwanja vya ndege gharama zake zipo juu mno, sielewi shida ni nini? Nyie wenye viwanja mnawachaji kodi kubwa au watoa huduma wanadhani kila anaesafiri na ndege ana uwezo mkubwa?
@jacksonmtonyore98714 ай бұрын
Mbeya kucheleee
@Shalom8034 ай бұрын
Mbeya kuchelee au bhukile? Kuchelee ni Ntwara mheshimiwa😂
@luganomunuwavanu93694 ай бұрын
@@Shalom803bBora hata umefafanua mm mwenyeji wa mbeya nilikuwa sijamwelewa
@mosesjacksonkarashani26424 ай бұрын
Alafu anatokea mtu anaifananisha Tanzania na vinchi vya jirani!😢
@kamanda0074 ай бұрын
Umelala sana wewe, angalia pembeni tuu hapo Rwanda wanajenga uwanja mkubwa na wa kisasa kuliko uwanja wa Julius Nyerere ambao ndio mkubwa Tanzania
@mosesjacksonkarashani26424 ай бұрын
@@kamanda007 Sasa Rwanda watakuwa na airport 1 wakati Tanzania ina 58! Ukubwa wa kiwanja usikutishe, cha muhimu ni runaways zina ukubwa gani?
@DavidSemu-gu6wp4 ай бұрын
Na ndani ya eneo la Nyerere airport kuna eneo kubwa zaidi Kwa kujengwa terminal four Kwa Kauli ya Magufuli terminal three haikuwa plan yake Ila alikamilisha kilichokuwa kilichokuwa kime kwama kumaliziwa.
@mosesjacksonkarashani26424 ай бұрын
@@DavidSemu-gu6wp Tanzania hatuhitaji jengo kubwa kwa sasa kutoka na idadi ya abiria na ndege zinazokuja kwa mwaka. Jengo likiwa kubwa maintainable costs zake ni kubwa. Cha msingi ile terminal 2 wapewe wachina au waturuki waifanyie ukarabati wa kufa mtu bila kubadili the original architecture.
@kwisa48994 ай бұрын
@@DavidSemu-gu6wpkwa akili zipi zilizopo za kuebdeleza kama mumeuza Bandari muendelezwe we hata kusoma nyakati ujui wala kutizama picha
@SATZ-news4 ай бұрын
Alieanddika hizo sign posters ni nani hasa? Hivi lbd mimi ndo sijui kingereza Tax - Ushuru Taxi - usafiri wa Gari Waingereza nijibuni🤔
@abdallahsaid81574 ай бұрын
Ila watu tunachanganya kati ya MBEYA na SONGWE. Kibaya zaidi mpaka mwandishi na meneja wa uwanja.
@Chagosi_Gerald4 ай бұрын
kiwanja kipo mbeya ila kinaitwa songwe airport
@yustomwaisomania25874 ай бұрын
Uwanja upo kata ya Usongwe wilaya ya Mbeya vijijini