TEMEKE YAMWAGIKA LISSU AJAZA UWANJA/WANANCHI WAJITOKEZA KUMSIKILIZA..

  Рет қаралды 30,648

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 49
@jacobd.kasofu2204
@jacobd.kasofu2204 7 ай бұрын
Mungu akulinde Mh.Tundu Lissu, Utabaki kuwa MUUJIZA Unaotembea...Tunakupenda Rais wa Mioyo ya Wa Tanzania Wote.
@CholoNassor-h8r
@CholoNassor-h8r 7 ай бұрын
Wewe ndio mwanaharakati wetu ulobakia Mungu ni mwema
@Marry-v8e
@Marry-v8e 2 ай бұрын
Ahsante kwa Elimu kiongozi wetu
@RenatusMtenga
@RenatusMtenga 7 ай бұрын
His oration is a masterpiece. Unfortunately those inpower don't care.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 7 ай бұрын
Love you lissu❤❤❤❤❤❤
@mauyakaya2006
@mauyakaya2006 8 ай бұрын
Mzee Baba Lissu, tema tema!
@pastorlbahinyuye5796
@pastorlbahinyuye5796 7 ай бұрын
Ubarikiwe Tundu lisu Kwa kutoa Elimu ya uraia
@JohnIsaya-e5f
@JohnIsaya-e5f 3 ай бұрын
Muko sawa😂😂😂
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 8 ай бұрын
Ccm tumewachoka vibaya Tena wasijipe tamaa wameoza
@RenatusMtenga
@RenatusMtenga 7 ай бұрын
Blessed art though Tundu Lisu.
@EllyMwasha
@EllyMwasha 7 ай бұрын
2meelewa sana kila jambo Lina mwisho wake
@kidubwashaone6092
@kidubwashaone6092 8 ай бұрын
Yaani CCM ni sawa na mchwa
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 8 ай бұрын
AFADHALI MCHWA ANA FAIDA ANAWEZA KUOTESHA UYOGA.
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 8 ай бұрын
VIVA COMRADE LISSU....VIVA CHADEMA.
@SimonSimon-p6p
@SimonSimon-p6p 8 ай бұрын
Mzee Usisahau kugusia elimu michango Kila Kona. Mitihani 500 jumatatu HADI jumamosi walimu nao mchwa tu
@HamisiZuga
@HamisiZuga 8 ай бұрын
Akika tunakuamini lissu paws✌️
@SaidShabani-s4o
@SaidShabani-s4o 7 ай бұрын
Hakuna kitu hapo Hana jipya na Hana uwezo wa kuongoza nchi
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
hamna jipya hapo dunia nzima kwa sasa inakwenda kwa uwekezaji. tulipoachiwea hayo mashirika hayakutufaa tukalazimika kunua sukari kwa msongo
@HassaniRambo-pu5ps
@HassaniRambo-pu5ps 6 ай бұрын
😂mwaka huu ccm wajipange Yani wajipange wafanyakazi naona wameridhika na mishaara uku wanadaiwa maisha yako juu saiv ujumbe tuandamane mshaara upande sio kukaa kinfezi.tuandamane tudai haki.
@KennedyKenato
@KennedyKenato 7 ай бұрын
Lisu ni timu kwa la jamuhuri ya muungano wa Tanzania
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 7 ай бұрын
Yani umeme nishida afu kilamwezi wanatengamikono tulipie
@obednyagani506
@obednyagani506 8 ай бұрын
Kumekucha temeke
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 7 ай бұрын
Hapana tumeichoka ccm walshabaki kuwalazimisha tuu wana nchi w tanzania
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 7 ай бұрын
PAMOJA SANA LISSU TUPO PAMOJA.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 7 ай бұрын
Tunakukubali mh lissu mtetez w watanzania
@HidayaNdambwe
@HidayaNdambwe 2 ай бұрын
Waambie ao wanaoshabikia ccm
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 8 ай бұрын
piga kazi Baba Lissu
@ElishaOisso
@ElishaOisso 8 ай бұрын
Huyu mama ni wakambo ndo maana hatujali
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
hamna shukurani mtamkumbuka siku akiondoka ndio mtaona wema wake. hata Mwinyi mlisema hivyo hivyo wakati yeye ndie alikutoweni kwenye kuvaa magunia, akaondoa na msongo wa sukari wakati huo tundu lisu alikuwa mdogo
@MaikoNyondo
@MaikoNyondo 3 ай бұрын
Ila kwenye maiti kulipia hera siopoa kabisa
@MzeeKagambo
@MzeeKagambo 8 ай бұрын
Mtu akifariki sio vizuri KUMKASHIFU
@ElishaOisso
@ElishaOisso 8 ай бұрын
Mtu akifariki sio vizuri KUMSIFIA
@kafemumayengo8348
@kafemumayengo8348 7 ай бұрын
😮😮😮😮😮😮
@LuckmanMiraji
@LuckmanMiraji 7 ай бұрын
Ww unao mponda lisu kumamako
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 8 ай бұрын
ASANTE KOMRADE LISSU....KWA HAKIKA HUYO ALIKUWA RAIS FISADI KULIKO WOTE TANGU NCHI IPATE UHURU.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
mmesahau nyie mliokimbia nchi akakurudisheni
@Sospeterkogota
@Sospeterkogota 7 ай бұрын
Sema Rais ajae 2025 wa Tanzania
@hamadhamud-n4j
@hamadhamud-n4j 8 ай бұрын
Usichekee mamba kabla ujavuka mto.
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 8 ай бұрын
Mwakibolwa wewe mpumbavu, ccm ife na wengine waibe na sio hao hao
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 8 ай бұрын
Wew unaumwa mavi mbona sauli Bado anasemwa kwa matendo maovu. Aliyofanya kakojoe ulale
@erinestangowi7785
@erinestangowi7785 8 ай бұрын
Sasa wew nayeye nani ndo mgonjwa kama ujui kitu kaa kimy sio lazima utoe maneno sio mazuri hii dunia dada mdomo utakupoza
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 7 ай бұрын
Wewe rebeka ndie mgojwa tenaunayekufa hujui hatakinachoendelea
@hamadhamud-n4j
@hamadhamud-n4j 8 ай бұрын
Hata wewe utafanya ukipata urahisi hivyo.usiwadanganye wananchi.
@gangan4618
@gangan4618 7 ай бұрын
Kenge wa kijani wewe nyamaza, shetani unaekatisha tamaa, na kugeuza uongo kuwa ukweli. Watanganyika wa kweli hatutarudi nyuma kwa maneno yako ya kishetani ya siku zote... MLA RUSHWA WEWE NDUGU WAKE NA MA-CCM WANAOIICHEZEA TANGANYIKA.
@eliahmwakibolwa4516
@eliahmwakibolwa4516 8 ай бұрын
Wote wezi tu hata ww mwenyewe ukipewa mwizi tu njaa inawakusumbua tu
@Emmanuelmbai-in8ie
@Emmanuelmbai-in8ie 8 ай бұрын
Jitokeze wew uliyoshiba tukujuwe
@hamadhamud-n4j
@hamadhamud-n4j 8 ай бұрын
Wewe sema ukichukua nchi utawasaidiaje wananchi?lakini mambo yako hayohayo.maneno msneno.
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 7 ай бұрын
wewe ndiye huliye bakia mbugila hila sisi wengine tuna muelewa sana lisu kwani hao ccm wana fanya nini uko kuiba hau
🅻🅸🆅🅴 KIKAOCHA BARAZA KUU CHADEMA 2025
JAMBO TV
Рет қаралды 2,2 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
CHEERS AS PRESIDENT RUTO INTRODUCES HIS TROOPS IN BUSIA!
7:11
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 4,5 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН