THABO BESTER: Kutoka kulawitiwa na nduguze hadi kugeuka MBAKAJI hatari na MUUAJI aliyetoroka JELA

  Рет қаралды 73,575

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 210
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Maisha ya utoto ndio uwa yanaamua maisha ya mtu ukubwani, na watoto wengi wanaofanyiwa ukatili wakati wakiwa wadogo ndio wanaokuja kuwa watu wakatili na hatari duniani...huna uwezo wa kutunza wanao vizuri please usizae hovyo
@momentsonearth360
@momentsonearth360 Жыл бұрын
kabisa unachokisema....nakubaliana na wewe Mungu atupe hekima ya kuwaelea na kuwalinda watoto wetu Yarab
@lidyabalilemwa1380
@lidyabalilemwa1380 Жыл бұрын
Hii ni kweli kabisaa..Upeo wa kulea watoto vizur ni jambo jema sana hata kama ni maskini hakikisha mwanao anaona unamjali na kumthamini..hii itamsaidia sanaa kisaikolojia..Trauma is realy
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Watu hilo hawalijui kabisa 😏
@HelenahSian-hl5ue
@HelenahSian-hl5ue Жыл бұрын
Haya nenda kaibe kaue na mengineyo kisa wewe kwenu mlikua maskini. Jela inawangoja wote
@anthonymgogo2651
@anthonymgogo2651 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Ooh jamani. Yaani wazazi tukiweza kulea watoto wetu vizuri hata kama tupo masikini ila kwa maadili tusingekuwa na kizazi cha nyoka kwa sasa. Pole sana Besta kwa uliyo pitia ila sio sababu ya kuuwa. Wapo waliotoka maisha magumu kama wewe ila hawakubali kubaki hivyo, hubadilisha maisha yao na kuwa raia wema
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Kisasi hicho ndo shida 😟😟
@mathewkasonta2208
@mathewkasonta2208 Жыл бұрын
Simply Thabo Is Extra Genius
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 Жыл бұрын
Oh my goodness this guy is something else, is so clever and well informed, unfortunately is a killer and repist 😢😢😢
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Wengi wenye roho ngumu ukubwan alipitia manyanyaso utotoni, ni nadra kumkuta mtoto aliyepitia furaha n amani utoton kuwa mwenye roho mbaya ukubwani
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Kweli kabisa!
@salamakombo3257
@salamakombo3257 Жыл бұрын
Hujakosea kumbee hatutakiwi kumlaumu
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Жыл бұрын
😢😢😢kabisaa
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
NONSENSE ..! tufunge magereza kwa kuwa hamkulelewa vyema? kama mnampenda muombeni namba awafuate huko mliko!
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
Leo ndio nime amini why watu wa sud-africain hawanaga huruma uki kutana nayo mchana wa usiku 😭 , nime ishi hapo hawa bina damu wana roho mbaya sana dah 💔
@dangotee5051
@dangotee5051 Жыл бұрын
Ulicho kisem ni kwel kbsaa
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Жыл бұрын
Nilishakuwa na boyfriend wa ki SA,aliponionyesheaga bastola tu,nikamkatia mawasilino,hapo tulitofautiana kidogo tu hapo.nikaona mbele anaweza kuja kuniua
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 Жыл бұрын
Exactly wanapenda kukaa jela sana
@egbertcarter3665
@egbertcarter3665 Жыл бұрын
SNS always the BEST 🔥
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Sky on air,hizi nzuri ukiwa safarini afu uunganishe kwenye radio yako kupitia Bluetooth huku sauti mwololo kwa spika aisee safari inakua Barbara💯.
@Myright888
@Myright888 Жыл бұрын
Na hata yeye kwa akili yake alifkiri Tanzania 🇹🇿 ni nchi ya mchezo mchezo na ataweza kuwa free. Trust me TANZANIA 🇹🇿 IPO VIZURI, sio kama mtu anavyodhani. JARIBU UONE si ndo na jamaa kajaribu.
@oscarmsafibandah6311
@oscarmsafibandah6311 Жыл бұрын
Bila kujua alikua jiran yetu hapa Hyde Park baada yaku angalia taarifa za Habari picha zilizoonesha kumbe zilikua za nyumba jirani🤔
@christemba5028
@christemba5028 Жыл бұрын
Kuna watu maisha yao ni misukosuko tu. Maisha hayana raha kabisa. Mshukuru Mungu sana kwa maisha uliyonayo aseee
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw Жыл бұрын
Alhamdullah
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢dunia hii Mwenyezi Mungu atunusuru
@user-rk1mo7yl8q
@user-rk1mo7yl8q Жыл бұрын
Nataka niandae movie ya huyu jamaa me ND o director sky nitamuomba story haya anaejua kuigiza alike hapa
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
Number one mimi
@dianarosederick7154
@dianarosederick7154 Жыл бұрын
Mmmj
@realdone
@realdone Жыл бұрын
Its like my life story Arusha Tanzania
@rahamamohd3075
@rahamamohd3075 Жыл бұрын
❤❤❤❤tupo 😅😅😅
@safarimayanga
@safarimayanga Жыл бұрын
Nihatari sana huyo mwamba😅😅😅😅😅
@salamakombo3257
@salamakombo3257 Жыл бұрын
Kumbee hatutakiwi kumlaumu kwa yaliyo mkuta😢😢😢😢daah duniani hapa mtihani
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Kabisa 😢😢mackin kapitia maisha magumu 😢
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Kama haya yanayoelezwa humu ni kweli naendelea kujifunza zaidi kuwa unaemuona anatenda kosa kuna tukio nyuma yake linalopelekea ufanye mabaya uovu ubongo ndo kila kitu ukiyumbishwa na jambo baya usipokuwa makini muelekeo utakuwa mbaya
@emm93132
@emm93132 Жыл бұрын
Mara kadhaa nimekua naongelea swala la watoto wa mtaani jinsi wimbi linavyoongezeka kwa kasi, wanajilea wenyewe na kufanyiwa ukatili💔😭 serikali / sisi wananchi Leo hatulioni hili km ni tatizo la 10 - 20 years to come..Hawa watoto watakua notorious wa hatari...tutajiuliza maswali na hofu tutakakayokua nayo ni kubwa..Ile usemi unaosema usipoziba ufa ndio tutajua maana yake 👀
@irenemboya7899
@irenemboya7899 Жыл бұрын
Now we have to feel sorry for him
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Жыл бұрын
😢😢😢
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
duh kapitia mazito ndio mwanzo wa roho ngumu ...
@matelephone4892
@matelephone4892 Жыл бұрын
Nmepoteza simu simu ila hamuwezi Amin nmeazma simu Ili tu nifuatilie hii story 🥰
@phocuskifaluka9027
@phocuskifaluka9027 Жыл бұрын
Kwa mawazo yangu huyu jamaa n dili Sana serikali. Moja wapo imchukue Ikae naye chin ana kitu fulan sema namna ya kukitoa imekuwa tofaut .
@brownie_dee8655
@brownie_dee8655 Жыл бұрын
Yaani Kuna watu jaman hawawezi kuenjoy muda wa maisha yao....km huyu maisha yake mengi kashinda jela tu
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Funzo kubwa kwa WaTanzania tujihadhari kukubali mialiko ya watu wa South Africa au kwingineko nje ya nchi Kuna udanganyifu mkubwa na hatari unaweza kwenda ukaibiwa na kuuawa,
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Yaani hata wale watalii wakija mahotelin tunapata tabu sana ,Wana dharau yaani afu hawana utu
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
@@jovanafidelis2802 Tulinde nchi yetu 🇹🇿 , kila mmoja alipo, majambazi yanatafuta vichaka vya kujificha kufanya maovu
@samsonhenry3871
@samsonhenry3871 Жыл бұрын
Jamaa Linaakili sema anazingua uo ubakaji , Uuaji N.K
@gichimujef8806
@gichimujef8806 Жыл бұрын
The guy is brilliant
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 Жыл бұрын
Kkkk mtu mbad manina kashinda mpk waganda wa tapeli wa south Africa kkkk anapumuliana na wapopo salute
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k Жыл бұрын
Asante sns
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Жыл бұрын
Huyu anakisasi💔💔
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic Жыл бұрын
Ukiachana na ubakaji na uuaji,story ya huyu jamaa inavutia aisee,ni bonge la movie🙌🙌🙌
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Wengi wakipitia manyanyaso utotoni, basi baadae hugeuka kuwa wanyama 😢inasikitisha kwa kweli
@mwanajumamwinyi2665
@mwanajumamwinyi2665 Жыл бұрын
Bonge la handsome boy
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Na wazazi walipiga watoto wa kiume hao watoto ukubwani wanawapiga wake zao na kuwaua
@Fatma-rp7be
@Fatma-rp7be Жыл бұрын
Always kipindi changu the best
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Wanayofanyiwa utoton ndio wanakuja kulipa kisasi ukubwani wakiamini ni kutoa uchungu wao😢
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Жыл бұрын
Imagine huyu nimtu ambaye hajasoma wala hana digree lakini akili inafanyakazi kwakasi kiasi hicho
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
@@fabiansylvester5853 Waliomfanyia unyama pindi akiwa mtoto ndiyo waliomletea machafuko hayo,tuwapende watoto wetu pamoja na watoto wasiokuwa wakuwazaa sisi wenyewe.
@scottgeorge5677
@scottgeorge5677 Жыл бұрын
IQ yake syo ya kitoto lakin kama akiwa jela anaishi kama yupo home tu hyo n hatar ss
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Жыл бұрын
Kuna Roho inayotenda hayo ndani yake
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
@@henricamikambi6147 Imepandikizwa na hao waliokuwa wanamuingilia kinyume na maumbile.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Eee mungu wangu 😢😢😢😢😢😢😢
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Mmmmmh mtihani
@faithzamani1965
@faithzamani1965 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 yani tabo alicho kosea ni kuua na kubaka tu vingine vyote ni mapambano ya kuuaga umasikini
@Smart_FundamentalFx
@Smart_FundamentalFx Жыл бұрын
Uhakika mwamba Yuko real 🤣
@siasia5469
@siasia5469 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@jamesshao538
@jamesshao538 Жыл бұрын
Kweli kabisa broo umeongea point
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Noma sns
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Ndio maana Biblia iliandika mfundishe mwanao njia ifaayo.naye hataiacha mpaka uzeeni.Bila kujua dini ya mtu ni vyema watoto wetu wakiwa wadogo wafundishwe mambo mengi saana ya kuwa na hofu mbele za Mungu.hata kama ukubwani atakuja kuwa katili kuna siku wakati atakumbuka msatari wowote tu wenye hofu ya Mungu.Mungu atupe maarifa ya kulea watoto wetu.
@abdallahmsofe4870
@abdallahmsofe4870 Жыл бұрын
Shukraan kwa makala nzuri ila bado naona haja ya makala nyingine kuelezea ni namna gani aliweza ku-fake kifo hadi kutoroka jela. Pia namna gani polisi Tz waliweza kumkamata. Mngefanya kama mlivyo-cover story ya hushpupi
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
makenge ulaya humu wameamini uhuni huo wa huyo psychopath! kwa sababu wanatamani wawe kama huyo muuaji!
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 Ай бұрын
yaani ningekuwa mimi ndio bester ningeanza na wote walionifanyia ukatili, na hasa watu wa vyombo vya dola mfano police, mahakimu yaani wote ambao walikuwa hawatendi haki katika maamuzi yaani kazi yao ilikuwa kuwaonea masikini wasio na pesa na kuwatetea wenye pesa, malipo niduniani na hayo ndio yangekuwa malipo yao ili nao waone inavyouma.
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Maskini kumbe ukatili aliofanyiwa ndio ulisababisha kugeuka katili dah wamama tujitahidi kulea watt wetu wenyewe ili wasije geuka makatili wa baadae 😓😓
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
Usiseme wamama, sema wazazi tuwalee watoto, kama tunavyowatafuta basi Kwa pamoja tuwalee
@saladisok810
@saladisok810 Жыл бұрын
Ni kazi ya wazazi wote,sio ya mama tu.
@clareocholla
@clareocholla Жыл бұрын
Nafuatilia kutoka Mombasa alienda Sana wueh😂
@issazalala4907
@issazalala4907 Жыл бұрын
Utavuna ulicho kipanda pumbavu zake
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 Жыл бұрын
Sky nmeomba sana uniandalie story ya Pearls adi nmekata tamaa sasa.
@bayernsulesh568
@bayernsulesh568 Жыл бұрын
Yani huyu mbwa angebahatika kusoma kidogo tuu naona angemiliki dunia...yani hapo ndo kaacha shule
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Judge aliona kua bester alitengeneza tu story ya utotoni kwamba alibakwa ili Hakimu amuhurumie.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
makenge ulaya humu wameamini uhuni huo wa huyo psychopath! kwa sababu wanatamani wawe kama huyo muuaji!
@lidyabalilemwa1380
@lidyabalilemwa1380 Жыл бұрын
Maisha ya utoto ndio chanzo kikubwa sanaa cha matatizo ukubwani...sababu mtoto anakuwa na maumivu ambayo yanamuathiri kisaikolojia ..MENTAL HEALTH
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Huyu jamaa anafaa kutengenezewa move malezi ya utotoni yalimwalibu yanamtokea ukubwani mzara mabaya Sana malezi
@Ummu-Nauthar98
@Ummu-Nauthar98 Жыл бұрын
Sio movie tu hata just tabu pia waandike na kusambaza dunia nzima😊Hii ni historia ya kipekee
@beatricekemirembekiwanuka7768
@beatricekemirembekiwanuka7768 Жыл бұрын
Jamaa ni noma duuuuuh 🤣🤣🤣🤣🤣
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Жыл бұрын
Mmmmh!!
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Hush puppy hapa akasomee kwanza mazee!
@hemedabdalla8627
@hemedabdalla8627 Жыл бұрын
Sio pouwah mzee👊
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 Жыл бұрын
Hushpupy funga kazi wew ilibaki kidogo awaibie vilabu vikubwa uko 🇬🇧 😄
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
@@collinsghambi7315 Puppy alikuwa haui huyu anauwa bro afu ni nyamera hatari. Mbaya zaidi kakamatiwa Arusha yani si ajabu alishaua mpaka bongo tyr.
@ladyjoomahegga9407
@ladyjoomahegga9407 Жыл бұрын
Anazaliwajw june 13 kakosa tar zngne jaman
@subiramussa1428
@subiramussa1428 Ай бұрын
😂😂Kwann hajaona miez mingine jamn😅
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
😅😅😅😅😅inachekesha na kuhuzunisha,,,watu wanatapeliwa jamani.dah
@happyholm1761
@happyholm1761 Жыл бұрын
Kwa nn asirudi kuwabaka waliombaka utotoni
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Dah🤔Sina la kusema lkn alipitia machungu huyu Kaka
@nanajoseph2356
@nanajoseph2356 Жыл бұрын
Ana bahat mbaya ya kukamatwa mapema
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 Жыл бұрын
Angalia matokeo ya kuzaliana ovyo bila kujipanga. Mwisho wa siku mnazaa mashetani.
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Жыл бұрын
Sns naomba kuuliza historia ya Thabo Bester nchini Tanzania maana huyu jamaa huko Arusha hatujui aliishije, pia hatujui ameishi wapi na wapi nchini pia alikamatwa katika mazingira yapi
@angeakeza6542
@angeakeza6542 Жыл бұрын
Yan kunawatu weny roho ngum kbs uy atakuw nimdogowak na hashppy
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Daaah! Huyu jamaa hafai kabisa na haendani na sura yake
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Hawa watu wa makampuni kampuni wanasiri nyingi
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
Duuh uyu nizaidi ya hushpapi😅
@jozeedasilva3816
@jozeedasilva3816 Жыл бұрын
Humjui hushpapi kumbe
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
@@jozeedasilva3816 anamsikia🤣🤣🤣
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
🤣
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Duh 😢😭💔 🤦
@ebinssports5377
@ebinssports5377 Жыл бұрын
Magagula ni jina la kijiji flani huko songea..... this guy must be having some connections with TZ, bring me some popcorn... the movie is just starting
@gloriousn6425
@gloriousn6425 Жыл бұрын
Songea kuna wangoni ambao origin yao ni SOUTH AFRICA , kwa hiyo kuna connection ndiyo 😊
@kefrin-zv3sg
@kefrin-zv3sg Жыл бұрын
Asili ya south africa ni wangon
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Majina ya kutosha kbs
@aminasultan7287
@aminasultan7287 Жыл бұрын
Ayaaa
@HelenahSian-hl5ue
@HelenahSian-hl5ue Жыл бұрын
Wezi, Malaya, wahuni wote husema kaa hii kwenda kabisa kawaida yenu mwizi mwizi tu kama Sabaya
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
Tabo Magagula ndio jina zuri
@maryseth999
@maryseth999 Жыл бұрын
😃
@ndolehamisi5567
@ndolehamisi5567 Жыл бұрын
Asingeuwa na kubaka, alau angebaki tapeli akili anayo saana
@evankya1955
@evankya1955 Жыл бұрын
Kwa matukio haya inawezekana hata ile story yake ya utotoni ni ya ku-fake 😂. He’s genius though
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 Жыл бұрын
Hahaa nmefikiri hivyo hivyo
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
HUSHPAPI arudi shule #Cube ndo afikie ukatiri wa huyu jamaa
@jozeedasilva3816
@jozeedasilva3816 Жыл бұрын
Unamjua hushpapi wewe
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
Humjui Hushpup wewe 😂
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
@@jozeedasilva3816 😂😂😂😂😂😂😂 Atakua anamfananisha
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
​@@nurukwilabya2790 😅😅😅hadi liko jela linatapeli
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Tofautisha mbakaji na mwizi wa pesa
@salumpagae1757
@salumpagae1757 Жыл бұрын
Tunaendelea kuangalia na kuckiliza mpak wahukumiwe
@derickdboy2207
@derickdboy2207 Жыл бұрын
Noma Sana
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@SaydHabib-fq9eo
@SaydHabib-fq9eo Жыл бұрын
Ina make sense hii story na ndio hapo hua nasema ushoga ni maamuzi ya mtu wasimsingzie mungu au homon bali tabia zao mana besta kaliwa na sio choko na kawa gaidi sidhani kama agrey anaweza kua kama nesta
@kidahancy5690
@kidahancy5690 Жыл бұрын
Hushpapi mwengine
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
He is a crrimal.
@amarybaajun8811
@amarybaajun8811 Жыл бұрын
Kwani ni msouth au mzimbabwe
@sadatamal3655
@sadatamal3655 Жыл бұрын
Msouth Africa
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa.🤣
@harounbanzi3948
@harounbanzi3948 Жыл бұрын
Hakuna kulala ,hakika tunapenda mnachokifanya☺
@angeldejoice3202
@angeldejoice3202 Жыл бұрын
Watu hawa huku south Africa wako wengi ila huyu amepata bahati mbaya cause hawezi kuishi kimafia kweli.
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
kweli
@ynahmorata7604
@ynahmorata7604 Жыл бұрын
Utotoni ndo chimbuko la kua unatk kua nani ukubwan
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😢😢
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 Жыл бұрын
Well done to TISS
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
😂😂😂 matukio ya kutosha, cha ajabu.siku mbili kaachiwa, Africa aibu sana😢
@mustafahassani4354
@mustafahassani4354 Жыл бұрын
Alafu alipata wapi wasaha wa video call. Na kula suit ivo ilihali yuko jela... mbona inafikilisha sana.
@ashuuu282
@ashuuu282 Жыл бұрын
sns mnazingua nimeomba nakala ya dr sebi km msg zangu hamuoni 😢
@zuriathkajwangya9250
@zuriathkajwangya9250 Жыл бұрын
Nzuri sana hiyo bora atuletee hiyo pia
@sabrahmrope5999
@sabrahmrope5999 Жыл бұрын
Itapendeza sana
@felysterfely9808
@felysterfely9808 Жыл бұрын
Duuuh,,,,,binadamu hawa hawa ndiyo waliyosababisha huyu mwamba kuwa katili sanaaaa,,,,,binadamu anae tabia ya kuvumilia kitu sanaa lakini kinapojaa vizuri anageuka kuwa mnyama na kufanya vitu bila kujali chochote
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Na sikuzote wanakuambia Mchawi ni ndugu yako tu hata sio mtu basi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@bahatirobart7380
@bahatirobart7380 Жыл бұрын
@@missmwayway4704 Yamenikuta ya ndugu
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
@@bahatirobart7380 Pole sana Rafiki yngu, Unadhani peke yko tu Tupo wengi sana Watu tunaoharibiwa Maisha na ndugu zetu
@saadahassan1437
@saadahassan1437 Ай бұрын
Uyu jamaa wampime na akili mbona kama ni ana ugonjwa wa akili tena wa muda mrefu
@linahpatrick3537
@linahpatrick3537 Жыл бұрын
akili kubwa sana sema binadamu walimlatili sana kiasi cha kuwa mnyama kabisa
@zengotanal-wb7xw
@zengotanal-wb7xw Жыл бұрын
Maunjanja mengi tukubari mwisho upo muimu nikuishi POA Kama anavyotaka God
@eliadaniel216
@eliadaniel216 Жыл бұрын
Hii story ya huyu jamaa na mpenzi wake inabd itaengenezewe filam na nazani wataifajyia filam hii ili kukukifunza kizazi chetu Cha badaea
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Uyu Jamaa si mchezo, duh! 🤔
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Cc ndg ambao ha2na u2 ndio 2naozalsha majambaz pole kaka ungeamua ku2mia njia nyngne mpendwa kulko huko ulpo pta 😢😢😢😢😢😢
@pilisalehe4562
@pilisalehe4562 Жыл бұрын
Sikuiz polce awafatilii Kes ni bora kuchukua Shelia mkonon2
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
@@pilisalehe4562 ndio wamemponza mwenzao kuwa na roho ya knyama Maana sura na ma2kio Co kabxaaaa.
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Жыл бұрын
Hilo lilikua na roho mbaya tu,
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 Жыл бұрын
Hakuwa sawa nafikir kutokana na hayo matukio
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Kil kitu kina sababu zake
@imaculathamhagama7424
@imaculathamhagama7424 Жыл бұрын
Pengine ndo walileta yale macampony yaliyo liza watz weng
@amosraphael810
@amosraphael810 Жыл бұрын
Ww sms siku hizi unsapoty ushoga
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
kwa nn
@pendojoseph9428
@pendojoseph9428 Жыл бұрын
Jamani mtu si wamuuwe tu
@hastatz
@hastatz Жыл бұрын
Matapeli wengi ni wasomi
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН