The Catalyst & Moses B - Mwiza (Official Video)

  Рет қаралды 37,034

THE CATALYST MINISTRIES TZ

THE CATALYST MINISTRIES TZ

Күн бұрын

Пікірлер
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 8 ай бұрын
Kama umelewa alichofanya huyu mtumishi basi tumpe support share like comment I see kigoma in sky
@annijulius4953
@annijulius4953 8 ай бұрын
Amen, Waha na wahangaza naomba like zenu.
@jamesmelack9634
@jamesmelack9634 3 ай бұрын
TAFSIRI ILI TUELEWE WOTE HII HAPA👇🙌🔥like ako MWIZA! Uo mwami wachu ni mwiza Atuzaniye amahoro atushikaniye mumitima Uwaronse Yesu ntakamuhembhe X2. Uyo Yesu wetu ni mwema katuletea uzima Katufikishia mioyoni Aliye na Yesu na-asimuache X2 Ulimwiza ulimwiza, _ulimwiza e maana_(univoice) ulimwiza X6 Ulivumilia mateso, ukakubali ma nyanyaso, Ili nami niwe mmoja wa wale watakao ipata neema, Umenibadilisha Jina simtumwa tena ni mwana, Umwema e Bwana umweema X2 Umweema umweema _Umweema e Bwana_(univoice) Umweema X6 ...Mwisho!..😁🤝
@abihudiisaka2618
@abihudiisaka2618 9 ай бұрын
Aloooo dah😢😢😢😢😢 mwami wachu ni mwiza bhadawe abhavi kigoma tubhonane hano....
@byukusengeleon8243
@byukusengeleon8243 9 ай бұрын
Upendo kutoka Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Wimbo huu nimeuona kwenye Wasafi TV Jana na nikaupenda Sana!!! Mungu yuu Mwema!!!!❤❤❤❤
@asante-r9u
@asante-r9u 8 ай бұрын
Neza chaneee💪🥰
@balthazarmakuru1508
@balthazarmakuru1508 8 ай бұрын
Hakika Yesu ni mwema
@PhiliSanga-f8h
@PhiliSanga-f8h 8 ай бұрын
Karibu Tanzania neza chanee😂😂
@byukusengeleon8243
@byukusengeleon8243 8 ай бұрын
Staleeh!!! Nitakuja Tanzania kabisa!!! Inchi ambayo naipenda mno!!!!
@mrholela7906
@mrholela7906 9 ай бұрын
Ntakibhazo kiliho Numwiza Yesu
@neemadavid940
@neemadavid940 9 ай бұрын
Wimbo mzuri sana,umwami wachu ni mwiza chane.Kigoma to the world.
@yusuphkanyuza1974
@yusuphkanyuza1974 7 ай бұрын
Wimbo mzr sana unatelemsha wingu
@nesticgeneraltraders3323
@nesticgeneraltraders3323 7 ай бұрын
Aiseee wametisha sana
@dickson456
@dickson456 2 ай бұрын
Imanishinweeee
@GaudenciaAnthony
@GaudenciaAnthony 8 ай бұрын
Kigomaaaaaa mkowapiiii iseeee❤❤
@AgostinoSampala-dr5ml
@AgostinoSampala-dr5ml 7 ай бұрын
Tupoooo
@zachariandama8447
@zachariandama8447 5 ай бұрын
Tupo hapaaaaa 🥰🥰🙌🏻
@finiascharles9163
@finiascharles9163 8 ай бұрын
Waooooo yan kuna namna MUHA mimi niliye jiokokea namwamini huyu Yesu niko najifeel😊😊❤❤😂😂😂😂
@dickson456
@dickson456 2 ай бұрын
Shimili mana yawe
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 8 ай бұрын
Bro umeuaaaaaaaaaaa tuliimba utotoni hongera Sana you have my support
@witnessvictor2724
@witnessvictor2724 9 ай бұрын
Huu wimbo nimekumbuka mbali sana aaaah Mungu awabariki sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@jeraldjensen6504
@jeraldjensen6504 9 ай бұрын
Oooh wow yatuzaniye amaholo all the way from Iringa
@NaomySisiye
@NaomySisiye 9 ай бұрын
Noo Ni kigoma😂
@BeathaGustavo
@BeathaGustavo 9 ай бұрын
Awwwwwww❤❤wimboo mzurii mlakoze chane
@fabricendayikorere8832
@fabricendayikorere8832 8 ай бұрын
Burundi,we can feel the presence of God through this song! Balikiweni sana,love you so much!
@THECATALYSTMINISTRIESTZ
@THECATALYSTMINISTRIESTZ 8 ай бұрын
Love you more burundi
@magrethandrew4901
@magrethandrew4901 8 ай бұрын
Ulimwizaa Yesu . Mbarikiwe sanasana wimbo mzuriii saaana Kwa Yesu iwe utukufu wooote
@NeemaJaphet-yr4ns
@NeemaJaphet-yr4ns 8 ай бұрын
Najivunia kuwa muha❤❤❤
@siriwadodoma
@siriwadodoma 9 ай бұрын
Ulimwiza! Hakika umwema Bwana. Barikiwa sana watumishi wa Mungu katika kuujenga mwili wa kristo. Nimebarikiwa sana kwa ujumbe huu ❤🎉.
@HakotNgenzi
@HakotNgenzi 2 ай бұрын
Love from Burundi 🇧🇮 waha mnajua sana, praise the lord 🙌🙌
@PhilimonHaik
@PhilimonHaik 8 ай бұрын
Ntagi Tanana ulongeje imana. Shumbe chane bhikwelele fuhungwe fuhungwe chane chane
@miryfuraha2193
@miryfuraha2193 9 ай бұрын
Haleluyah🙌🙌
@SophiaJulius-m6w
@SophiaJulius-m6w 9 ай бұрын
... Woow finally imekua hingeren sana Mungu aendelee kuwatumia kwa viwango vy juu 🎉🎉🎉
@MinisterDieumerciofficial
@MinisterDieumerciofficial 8 ай бұрын
Uwo mwami wacu nimwiza rwose ,, ni umunyabuntu butangaje,, baraka ziwe kwenu kabisa team Moses.🇬🇦🇬🇦
@yohanadioniz
@yohanadioniz 8 ай бұрын
AWaha wa Kigoma Mwakeyeeeeeeeeee
@byukusengeleon8243
@byukusengeleon8243 9 ай бұрын
Nimekuwa mginjwa na sasa napona kabisa!!!! Mungu ni mwema!!! Atuletea uzima!!!!!❤❤❤❤❤
@jamesmelack9634
@jamesmelack9634 3 ай бұрын
TUSAIDIEN LYRICS YA UU WIMBO WOTE TEAM MOSE B you're so blessed
@gospotv
@gospotv 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana kazi ni njema mno.
@asante-r9u
@asante-r9u 8 ай бұрын
Nikiwa Arusha... Nimeipenda sanaaaa hii nyimbo imana ibhafuhure
@TausiMbonye
@TausiMbonye 5 ай бұрын
Na mm nmeipenda dg ni mm chair Kennedy onesmo
@Nathan_Junie_Tw
@Nathan_Junie_Tw 8 ай бұрын
Imana ibafuhure: kwa kweli this song will be Kigoma city sooooong ! Murakoze chane kuririmba igiha
@faithleonard2866
@faithleonard2866 9 ай бұрын
Imana ibhahezagile chaneeee aririririririri 🔥🔥🔥🔥
@ajiliamosi9102
@ajiliamosi9102 Күн бұрын
Ndanezewe chane chane kwiyo ndilimbo❤
@AnnaNtakisigaye
@AnnaNtakisigaye 7 ай бұрын
Wahaaa wenzangu sasa ❤hongera sana wimbo mzuri
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 6 ай бұрын
Tunawapenda kwa jina la Yesu jilindeni na dhambi Hiyo tu itawatoa kwenye wingu Hilo mbarikiwe sn na msonge mbele damu ya Yesu iwafunike mnagusa maisha ya wengi
@NaomySisiye
@NaomySisiye 9 ай бұрын
Congole my brothers Wimbo mzur saaan 😊😊🙌🙌
@AhaziWilliam
@AhaziWilliam 3 ай бұрын
Kila mwenda mbinguni na aseme ameeni kuna huo mstari anasema ulivumilia mateso Dah kweri Yesu ni Mwema
@kastorywilson804
@kastorywilson804 8 ай бұрын
Wimbo mzuri mno nimebarikiwa kwa viwango vya juu jinsi wimbo huu wa kiha ulivoutendea haki kwa mahadhi yote
@geofreymaunde
@geofreymaunde 9 ай бұрын
This is a heart Touching Song 😢 GOD Bless You People of God. My Heart Is Blessed.
@noelasonjoro6277
@noelasonjoro6277 9 ай бұрын
Hongera sana Moze, nyimbo nzuri sana, Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu zaidi.
@ombenistony1
@ombenistony1 8 ай бұрын
Nimerudi kuwapongeza Fam, God bless you for the Anthem🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@GaudenciaAnthony
@GaudenciaAnthony 8 ай бұрын
Waaahaaa wakigomaaaa mko wapiiiiii❤❤❤ I was gonna say i love my trouble🎉🎉❤❤
@AgostinoSampala-dr5ml
@AgostinoSampala-dr5ml 7 ай бұрын
Imanha iguhenzagile wiwachuu🌹🌹
@Goodlighttyoza
@Goodlighttyoza 9 ай бұрын
Umwami wachu ❤❤❤
@dishonikamangu9799
@dishonikamangu9799 8 ай бұрын
Wimbo meutafuta sana hatimae ndugu yangu Msuguly umenionyesha njiaaa👊👊 Uli mwizaaaaaaaaaaaaaa aloooo naipenda sanaaa
@AluthaChugazo
@AluthaChugazo 4 ай бұрын
Amina chane kwakweli imana yibhafashe naitwa Fred nime sanaaaaaaaaaaaah
@HawaJames-i8u
@HawaJames-i8u 8 ай бұрын
Hongereni sana the catalyst ministries mungu awabariki sana❤❤
@estherlissu6173
@estherlissu6173 8 ай бұрын
Nimekumbuka mbali saaana, mama alitufundisha kama pambio. Be blessed watumishi wa MUNGU
@AhaziBaizi
@AhaziBaizi 2 ай бұрын
Waooow nimefurah sanaa bwana awainue kwa viwango vyajuuu
@gospotv
@gospotv 9 ай бұрын
Barikiwa sana watumishi
@MariamNyamwelu-bz1ny
@MariamNyamwelu-bz1ny 2 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri ❤❤🎉🎉
@Manifestation123
@Manifestation123 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana, it's more powerfully 💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥
@sophiaAbdallah-h2g
@sophiaAbdallah-h2g 9 ай бұрын
Huduma yenu ni njema Mungu awatunze nakuwainua
@joelnuhu_official
@joelnuhu_official 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥ulimwiza ee mana
@PhilimonHaik
@PhilimonHaik 8 ай бұрын
Kilakitu kinawezekana. ukimtanguliza MUNGU. Hongereni Sana vijana.
@FelichismMwanga
@FelichismMwanga 9 ай бұрын
Be blessed sana wapendwaa🎉
@Christian_kyomo
@Christian_kyomo 7 ай бұрын
Daaah this 🎵 🎉🎉🎉😊
@gloryTito
@gloryTito 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 nimebarikiwa sana hongereni sana
@dr.peterofficial6390
@dr.peterofficial6390 9 ай бұрын
Ulimwiza ni hatari ni moto sana Mbarikiwe sana Mungu awainue zaidi na zaidi
@laurentmichael9442
@laurentmichael9442 8 ай бұрын
This song make me happy coz that language is so wonderfuly and touch my soul Amen ❤
@tonnykramadhan1501
@tonnykramadhan1501 9 ай бұрын
aiseeh god is very good indeed i am very blessed by this song indeed he endured a lot in many things indeed god is very great and god always raises the children of god i love them very much indeed❤❤😢😢
@AzaeliLivingstone
@AzaeliLivingstone 4 ай бұрын
Umwami Yesu Kristo alakomeye tumuhimbaze aladukunda
@bakorapremiumtv2560
@bakorapremiumtv2560 9 ай бұрын
Good work of Jesus on the cross made us free
@BoniphaceJohakimu
@BoniphaceJohakimu 8 ай бұрын
Imana yachu ni nyiza chane kigoma tumeiona
@alexanderndambo1957
@alexanderndambo1957 9 ай бұрын
Ubarikiwe Sana kwa wimbo mzur 🙇🙇🙇
@angelcaalexander8878
@angelcaalexander8878 9 ай бұрын
Kazi Ni nzuri mnooo, barikiwa sanaaaa❤🔥🔥🔥🔥🔥
@VeredianaSollo-xf5vv
@VeredianaSollo-xf5vv 8 ай бұрын
Mbarikiwe🙌🏾
@linusgodwin60
@linusgodwin60 8 ай бұрын
MOSES B & The Catalyst , be blessed servants of the Lord
@HappinessSunzu
@HappinessSunzu 8 ай бұрын
❤❤❤uli mwiza MANA🙌🙌
@vicentmayawu35
@vicentmayawu35 7 ай бұрын
Hongereni sana vijana kazi nzuri sana 🔥🔥
@theopistasadock1363
@theopistasadock1363 8 ай бұрын
Mbarikiwe Sana wapendwaaaaa wimbo mzuri
@christinachaula-z5h
@christinachaula-z5h 8 ай бұрын
big up 🎉🎉 Nyimbo kubwa sana Mungu awabariki sana
@EdinaKanyimbi
@EdinaKanyimbi 9 ай бұрын
Ni moto wa hivi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@VicentKayagula
@VicentKayagula 5 ай бұрын
Haleluyaaa haleluyaaa glory to Jesus
@leonardsamwel5406
@leonardsamwel5406 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana..amen...amen...amen
@finiascharles9163
@finiascharles9163 8 ай бұрын
Uwuuu Yesu wachu ni mwizaaa❤❤❤
@asaphdaniel260
@asaphdaniel260 8 ай бұрын
Ooh hallelujah, Uri Mwiza Yesu.
@godfreyjoseph3438
@godfreyjoseph3438 9 ай бұрын
Congratulations family
@vin_255
@vin_255 9 ай бұрын
well done brothers 👏 one of the best song keep striving and thriving in every steps brothers 🎉🎉🎉
@daudnkubile
@daudnkubile 8 ай бұрын
Huu wimbo umenikumbusha mbali.Mungu awabariki sana @thecatalysistz.
@siriwadodoma
@siriwadodoma 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana nabarikiaa kusikia lugha ya nyumban
@derickmarton
@derickmarton 9 ай бұрын
this is work is something else i can tell 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 proud of you mens of God
@claramundekesye9156
@claramundekesye9156 9 ай бұрын
Travis travis travis🔥🔥🔥, am always proud of you man of God
@joycekalago532
@joycekalago532 8 ай бұрын
Uwaronse Yesu ntakamuhebhe ❤❤❤❤
@wittysmart7503
@wittysmart7503 9 ай бұрын
Muheza gigwe ❤🎉
@florencekariuki8539
@florencekariuki8539 Ай бұрын
Powerful song done by a powerful team...
@asante-r9u
@asante-r9u 8 ай бұрын
waoooo mbalikiwee sanaaaaa... Hakika uwafitse Yesu ntakamhebhe
@ClaraMbaye
@ClaraMbaye 8 ай бұрын
Hongereni sana ndg zangu kwa kukumbuka nyumbani but mie nilitamani mtujulishe kuwa mpo kigoma sehemu gani
@THECATALYSTMINISTRIESTZ
@THECATALYSTMINISTRIESTZ 8 ай бұрын
Tuko dar
@AddasyRutihinda
@AddasyRutihinda 8 ай бұрын
Kweli Yesu ulimwiza chane❤
@majaliwaerasto8601
@majaliwaerasto8601 7 ай бұрын
Umwami wachu ni mwizah I watching this song every single day and I’m bless
@prospermbuma
@prospermbuma 9 ай бұрын
I love This 🔥🙌
@taxconsultant5050
@taxconsultant5050 9 ай бұрын
mosses Mungu ni mwema sana hongera sana
@AbiaChirstopher
@AbiaChirstopher 8 ай бұрын
Kolakola kwa kazi nzuri🙌🙌🙌🙏
@THECATALYSTMINISTRIESTZ
@THECATALYSTMINISTRIESTZ 8 ай бұрын
Ulakozeee
@utukufumwakisu7974
@utukufumwakisu7974 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana ...this is the best song of my playlist
@RamsonsamsonUdoba
@RamsonsamsonUdoba 9 ай бұрын
Safi kabisa hongeleni kwa kazi njema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dishonithomasi79
@dishonithomasi79 8 ай бұрын
Nimekumbuka mbali sana mlakoze chane
@kenedyjosephtz6900
@kenedyjosephtz6900 9 ай бұрын
Barikiwa sanaa
@elisonishadrack4410
@elisonishadrack4410 8 ай бұрын
amina balikiwa sana watumishi wa Mungu
@jessekomba4234
@jessekomba4234 9 ай бұрын
God is so great 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elizabethmwaseba8164
@elizabethmwaseba8164 9 ай бұрын
My family tumeupiga mwingi❤🎉
@MichaelIsaya-jq8dq
@MichaelIsaya-jq8dq 8 ай бұрын
Waooow! ❤❤❤Nimebarikiwa mnoooo!
@lameckchahoa3410
@lameckchahoa3410 8 ай бұрын
Wow Thanks for this Song🎉🎉🎉🎉🎉
@MissWilliam
@MissWilliam 7 ай бұрын
Kigoma hoyeee 🥳🥳
The Catalyst & Moses B - Nasimama (Live Video)
6:55
THE CATALYST MINISTRIES TZ
Рет қаралды 30 М.
Umwami Ni Mwiza Pe | True Promises| ( Official Music Video)
19:08
True Tunez
Рет қаралды 3,3 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
Oncemore Six - Ohlonishwayo (Official Video)
13:36
Oncemore Six
Рет қаралды 360 М.
SEE HOW FAR - VICTORIA ORENZE FT. NATHANIEL BASSEY, DUNSIN OYEKAN
19:38
Victoria Orenze
Рет қаралды 6 МЛН
NOTHING OUTSIDE - WALE KAY FT. BENNY BKOYE
9:28
Officialwalekay
Рет қаралды 874
Siyakudinga Moy'Oyingwele (Live)
17:38
Spirit Of Praise
Рет қаралды 710 М.
MOSES B & THE CATALYST-WABARAKA (Official Live Video)
9:18
MOSES B
Рет қаралды 4,7 М.
Hymns with Emmanuel Ministry group ( hymns 202, 241, 189)
9:54
Emmanuel Ministry Group Official
Рет қаралды 498 М.
USHINDI LEONARD FT BAYO ALTER - IMBA (OFFICIAL VIDEO)
11:12
Ushindi Leonard
Рет қаралды 16 М.
GGC - Umhlatshelo ft Oncemore Six
14:02
Gospel Goes Classical SA
Рет қаралды 1,1 МЛН
Promise Keeping God Ft Oncemore Six (Official Video)
20:20
Mmuso Worship
Рет қаралды 123 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН