Twita iko juu sana ukiskiliza pindi masikio ynaumia
@ashuramwandoje24879 ай бұрын
Pingu kweli alisahau, Njia panda Umemkumbusha, Around 2000 Hiyo..2001 Crome tape zilishaanza...Kabla Hamjarecord Njia panda Mliperfome Jangwani Sec..Masela Eeh Masimela Eeh Mkatuimbishs Mkiwa Na Kaki zenu za Benjamini...
@mtutulaclassic620710 ай бұрын
mbona hutuletei Dully baba kuvi
@azizimaliki425310 ай бұрын
Jabil vua hili barakoa
@wakikuba710 ай бұрын
Tunamtaka matonya
@malickkasuga480510 ай бұрын
Kila msanii lazma amtaje Dully sykes maua mengi kwakeee
@shabbyofficial_10 ай бұрын
Cost of living sai iko juu sio kama hio kitambo so hizo pesa si mbaya sai msanii akiitisha pesa nyingi
@smarty106410 ай бұрын
Sure
@endricknchia404110 ай бұрын
❤❤
@muddyville10 ай бұрын
Jabir, naomba umtafute mtu mmoja anaitwa Elluka, Kuna nyimbo moja inaitwa Nikizipata aliimba yeye, nadhani ndo hilo bit kwenye background........