2003 , 2004 Rama na mapacha nawaona mitaa ya sinza. Nilikuwa nawaelewa mapacha coz mi ni HIPHOP baadae nikaanza kukufuatilia till today ur my favourite RnB artist in TZ from Jakkuzi.
@RevaniaMdekwa-bh9dx9 ай бұрын
Rama Dee wa Sara na Kikao Cha familia 🙌🙌🙌🙌 Amba Popote ulipo Heshima yako
@mpjozzegalvanize492611 ай бұрын
R.i.p Dee7, na one love kwa dj Marx, maana kiss fm lilikuwa taifa la rama d, enzi hzo wakali kwanza, huku steve wa r&b na beat za hisia za naco na Sei rekod
@uwezokinahi787011 ай бұрын
Kiss fm ni noma sana.... Ilikuwa my favourite Fm station Kipindi cha Nyuma
@mpjozzegalvanize492611 ай бұрын
Kweli brother, 2006 kuja 2010 ilikuwa ya moto sana
@aaronjohn41611 ай бұрын
Kiss Fm made great impact to these guys RIP Dj D7
@aaronjohn41611 ай бұрын
Hii team imepoa sana Labda Jabir kiasi, msanii mwenye package kubwa kama Rama D tunakosa kujua vitu vingi sababu jamaa hawaongei wala hawajui kuuliza maswali vizuri ili mgeni atoe story nyingi kiukweli na pia ajiskie kwenye studio thammani yake jamaa kwenye Nyumba inaonekana kama wamechoka kila show nikiangalia ina mapungufu mengi
@6ix7ven11 ай бұрын
Brother Jabir huu wimbo binafsi huwa una niuma sana nime usikiliza mara nyingi uli toka mwaka 2007 Ki ukweli Ambah ame fanya kazi kubwa sana rama dee Rudi kwa ambah mka changamshe game...
@mackjr529111 ай бұрын
Rama dee mnyama sana
@contempo_builders11 ай бұрын
My All Time Favourite RnB artist. Tulio-school pamoja huwa hadi kesho wananiita Rama Dee. Memory card ilijaa ngoma zake.
@mackjr529111 ай бұрын
Kwa nyimbo ngapi memory ijae kaka?, all in all jamaa ni mkali hadi ana boa😊
@seifkisimple69209 ай бұрын
😅😅❤❤smo
@maxi_jr174111 ай бұрын
Ulitisha sana Kipind hicho show time free Africa na kiss fm dah 🔥
@AyubuMotima11 ай бұрын
Huyu jamaa noma
@mzadomwongozo367111 ай бұрын
Mwamba huyu hapaa
@eddiemohamed900311 ай бұрын
LEGENDS🔥🔥🔥🔥
@hassanbakari452511 ай бұрын
ALIVYORUDI CLOUDS KUOMBA MSAMAHA ALIBUGI,,,ME SIJAWAH KUMUONA SUGU ATA SIKU 1 AKIJIPELEKA PELEKA KULIA KWA MTU...KWA WALOANGALIA ILE INTVW JAMAA WALIMBANA SANA NA KUMLAZIMISHA KUOMBA RADHI,,,(DOZEN ALIPOA NI MCHOMVU)
@mbesherejoh421911 ай бұрын
Sugu ndio wa kwanza kama ujui
@fahadfaraj647411 ай бұрын
Watu wanakua vitu vinabadilika huyo jamaa for now anamaisha mazuri kuliko hata wengi walokua wanambania lakini karudi chini so sio tatizo wala halijampokonya utu wake
@hassanbakari452511 ай бұрын
@@mbesherejoh4219 Haha,,,unamjua sugu wew..niambie ilipo hiyo clip ya sugu kuomba msamaha nkaichek,,,,kuhusu hoja yangu nenda KZbin andika rama dee na clouds.
@khalidibero11 ай бұрын
Sugu ndio aliwakatisha tamaa wote.
@fahadfaraj647411 ай бұрын
@@khalidibero sio muhimu jamani hao watu washakua Maisha yashabadilika bifu za kitoto haya iyo clouds ipo wapi sasa hata diamond waliacha piga nyimbo zake mbona alitoka. Haikua ishu tena hayo yashapita