Sheria na katiba ya Kenya inawapa wakazi wa Wasini haki ya kumiliki hiyo ardhi na kupata stakabadhi za ardhi yao bila kizuizi au pingamizi lolote kwa sababu wamekaa kwa hiyo ardhi zaidi ya miaka saba. Mabwanyeye wasiwahadae na kuwanyanyasa hao wakenya wenzetu.
@MusaMusa-hs3yw3 жыл бұрын
Hao wanao dai kuwa ardhi ni yao mbona hati miliki hawana Bali hao wanao ishi katika hicho kisiwa ndiyo wenye hati miliki. Lakushangaza eti twataka kuja kupima lkn hatutaki kumvunjiya MTU yoyote nyumba yake ,aende akamdanganye mtoto mdogo lkn ss n watu wakubwa na akili zetu. Na yy ardhi n yake angemiliki kibali kwanza mbona ss tuko navyo wao hawana
@alfanm.82213 жыл бұрын
Musikubali kupokonywa ardhi zenyu hii kenya ya sahii si ile tena wajinga
@kisa60223 жыл бұрын
Wewe hujijui wala hujui Uko dunia nyengine kabisa ya ahlu ya majuha Nani hana hati miliki? Nenda Kwale na hizo hati miliki zao uone Kama ziko valid
@kisa60223 жыл бұрын
Wewe na sawa na wale waliotajwa kwenye Quran summu bukmu humyu maana hujui hata unachokisema kwa vile nawe ni mmoja wao wenye kudhulumu. Hivi hujui Kama hizo hatimilikili za ardhi hio zilikua canceld na ujinga wenu mkaendelea kujenga
@kisa60223 жыл бұрын
Wewe hujui usiingilie mambo usioyajua Hao wenyeji wa wasini ni kina Nani???
@MusaMusa-hs3yw3 жыл бұрын
Ingawa shida ya wasini in maji lkn shida y ardhi ndiyo donda sugu
@kisa60223 жыл бұрын
Hakuna shida ya ardhi wasini Kuna shida ya kuvamiana ardhi za wenyewe. Ukiangalia Huyo Ahmed Shee Fumo wana ardhi kubwa huko nyuma maji ilikuwaje akavamia puma
@kisa60223 жыл бұрын
Huyo juma Hened wana ardhi zao pemba upande wa babaake na chwaka upande wa mamaake inakuwaje anavamia ardhi alafu mnadai kuna tatizo la ardhi
@hamidhamiyanji3 жыл бұрын
Ata tudor hatuna maji
@nazomohammed1853 жыл бұрын
MBali na maji changamoto ni Arthi huyo bwenyenye adai Arthi yote niyake lakushangaza. Hata hakimiliki hawana
@alfanm.82213 жыл бұрын
@@nazomohammed185 bwenyenye yupi huyo anayedai ardhi ni za kwako kwani hajui kwamba kuna wenyeji huko.
@kisa60223 жыл бұрын
Bwanyeye ni wewe ulietoka kwenu magunyani na umekua msemaji mkubwa wa wajinga wenzio wa wasini na mwanamuume wako gitonga Huyo unaemuita bwanyenye unamjua ukimuona au wamjua gitonga tu maana ndie bwanyenye wako anaemuibia muumeo
@saidiusama44273 жыл бұрын
Tatizo kubwani ardhi Kwanza kama hakuna ardhi je hata tukilitewa maji yatakuwa yametufaidisha nini tunaomba sirikali itatuwe mzozo wa ardhi wasini
@kisa60223 жыл бұрын
Muulize babaako asili yenu upande wa babaake nahis n tumbatu na mamaako ni mtu wa Shimon Sina shaka munazo ardhi zenu pale Tatizo la ardhi ni sugu wasini Kwa sbb wale wenyeji hasa hawana ardhi tena