The host was lit in this interview, great interview kellz was on the serious side and the comedian balanced out both entertaining and educational 🔥
@olefben6 ай бұрын
From Kenya, followed some twitter video cut about subaru. Hot podcast, yaani moto sana
@BigZhumbe6 ай бұрын
Hii junction iko very professional, inakaa international muda si mrefu itafika mbali.
@marleshjimmy19726 ай бұрын
Manshallah Mdada yuko vizuri na mwanangu dulla 🙌🙌🙌 umenifurahisha
@thabitdaudi98156 ай бұрын
The junction is big we all agree. Ila tafuta channel ya ku air hii program. Bando la masaa mawili kwa hal ya sasa ni ngum kdgo. Fanyia kaz huu ushaur utakuja kunishukuru mr charlz
@njoroboihastla3 ай бұрын
Aaa naitwa dullah ila ukiniita subaru" hukosei😂 Nilikua mwalimu kabla sijanunua subaru"😅 Mimi sipendi sifa,kujitangaza et namiliki nini? ingekua mtu mwingine angeshatangaza ana subaru"😂 Tx fala sanaa😅😅😅
@KhalidSimai-di3no6 ай бұрын
Innovator means bringing an idea into the reality !! Developer means advancement of an innovative idea into a better and advance state
@degower6 ай бұрын
kapuyangaa hapo
@tabomusic36256 ай бұрын
Kwenye developer kidogo nichanganyikiwe
@ricksonelias4446 ай бұрын
Ww ndio umepuyanga
@odiin27256 ай бұрын
CHAT GPT😂😂😂
@VictorChrispinSamson6 ай бұрын
...and they called her a genius 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Maneno mengi huyu binti.
@fredyjosephat6076 ай бұрын
Oya mwanang dullah unajua kinoma
@MomaDedu6 ай бұрын
Kellz, you're bichwa learn a lot Yani, you should have something like a show sababu kichwa chako kimebeba maktaba ambayo tunahitaji kwenye jamii
@milesdigital8136 ай бұрын
🎉🎉🎉the junction haijawahi kuboa
@emmanuelsylvester31906 ай бұрын
Big up kwa mwanamama huyu👊
@tumaini75566 ай бұрын
Kells umetisha sana,tunaendelea kujifunza
@nuruhamisi53845 ай бұрын
Uyo host😂anachekaa tu kama sio mwenye kipindi
@HamisiIddi-i4q6 ай бұрын
Kazi nzuri tunasubir ya fei toto kaka
@BigZhumbe6 ай бұрын
Kellz jina lake la Khalila la Kiarabu analiona la kawaida ila jina Charles analiona la kikoloni hapo ndio utajua Waafrica tunachagua yupi wa kumfanya the enemy hata kama iko wazi Waarabu walituuza Utumwani, Waingereza walitutesa kipindi cha Ukoloni.
@Indeii_biashara6 ай бұрын
hahaha acha tu
@bushiryulaya18436 ай бұрын
Upo sahihi ila logic yake ni kuwa muingereza ndio mkoloni wetu mwarabu hakututawala kwenye nyanja zote ila muingereza ametutawala kwenye nyanja zote ndo maana kamuita muingereza mkoloni. Hata interaction na waarabu tulianza karne ya 12 kwa biashara
@njoroboihastla3 ай бұрын
Umeangalia kwenye angle tofauti sana hapo ni life,comedian nafikir walikua kwenye utani
@njoroboihastla3 ай бұрын
@@bushiryulaya1843Sahihi kabisaa
@big-fish156 ай бұрын
Tx dullah anaugumu wa kujieleza ila ana point sana
@zotto_boy6 ай бұрын
kweli kabsa nakubali venye haendi na upepo tu anasimamia anachoamini
@KamazimaKamamesi6 ай бұрын
Mkija kumalizaa shoo mmelewaa kabisa😂😂
@SustainablyAfrica5 ай бұрын
this is very positive podcast
@billionaireemma6 ай бұрын
The junction Subaru 😂
@odiloMasika6 ай бұрын
Full of contents and motivation ideas 🙌
@iRocNetworks6 ай бұрын
👏
@bosongopepe9946 ай бұрын
matukio mshenz sana tumegoogle an na amna hio maana yako ya charles 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@iRocNetworks6 ай бұрын
🤣
@muchiradevlin27296 ай бұрын
Spotify?
@tajidenis16 ай бұрын
Guys tell me the other best self introduction in world than this of @txdullah you kill it
@StatDataCompanyLtd6 ай бұрын
Kellz anazungumzia mahusiano kama mnataka kufungua kampuni vilee😀😀😀. Mahusiano hayataki usiariazi kiasi hichoo
@silverman69306 ай бұрын
Another one .. Thanks charlz . Dulla big up 🔝
@janeymhando6 ай бұрын
kellz has brought me here
@Raymondswa6 ай бұрын
She is so smart
@rashidkassim94866 ай бұрын
Broh Unafanya kaz nzur san....Going🤛
@JerryMpex6 ай бұрын
Ulitaka kusema keep going 😂😂😂
@zotto_boy6 ай бұрын
Apo kwenye license na kods kwa kampuni changa ni kweli kabsaa 🥂🥂inachosha sana
@wahdashigoly6 ай бұрын
Kwel kabisa update inaitajika kwenye mifumo yetu mambo adi yanakatisha tamaa
@Eliabennet6 ай бұрын
The Junction Subaru 🎉🎉🎉
@iRocNetworks6 ай бұрын
🔥🔥
@albert10886 ай бұрын
shout out to you sis Kellz Mbowe..
@RobertOllomy6 ай бұрын
host unapo uliza open ended question, usianze kutoa suggestion ya majibu acha mtu atuelezee their own ideas sio uanze pandikiza njia za majibu au muelekeo ya majibu unayotarajia kusikia kutoka kwa wageni
@issalittv46896 ай бұрын
Sema ndugu yang sisi hv ndo tunapenda charz awe ukifata kila kitu mda mwingine inatuboa
@nehemia3976 ай бұрын
@@issalittv4689 "SISI" we na nani?
@hemedtawah41306 ай бұрын
Bro this is podcast, sio interview zenu za ITV
@thabitdaudi98156 ай бұрын
@@hemedtawah4130exactly
@odiin27256 ай бұрын
@@nehemia397 na mimi na wengine wengi.
@atherapist28016 ай бұрын
I came to this podcast of the Subaru😂😂😂😂. Subaru rangi gani babu😂😂😂
@tariknassoraucho58146 ай бұрын
Of course Abdullah ni mja wa mungu
@youngyiz63206 ай бұрын
Kama dulla aliamua kua fala tuuu ila kichwa hichiiii🙌🏼
@calvinurio58943 ай бұрын
BONGE LA SHOW 💪💪
@lameckfrank78816 ай бұрын
Show n Kali🔥🔥🔥 I like it. Maoni yangu, before you upload on KZbin try to put SUBTITLES si watu wote wanaelewa lugha ya kiswahili, coz hi show tunaangalia watu wengi na tofauti.
@dankhany33856 ай бұрын
mwanangu mleta #nikki mbishi utatishaa sana
@antipascann27976 ай бұрын
Dullah kawaka mpaka kuongea anaona uvivu😂😂
@patrickmapunda6 ай бұрын
Taa kama hiyo hapo nyuma naweza pata wapi? It a nice piece.
@westcijosh6 ай бұрын
Mnafanya kazi poa sana
@TahiyaAziz6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂eti ntaongea sijaelewa kitu 😅dullah
@anolddavid25855 ай бұрын
host anacheka sanaa kama yeye ndo mskilizaji😂
@RyantheDJ6 ай бұрын
Hii subaru ya Tx Dullah ndo imenileta huku 😂😂😂
@dankhany33856 ай бұрын
Mlete #nikkimbishi mzee wa The junction
@johel8826 ай бұрын
amini, john walker zitatembea sana pia😂
@giftharry6 ай бұрын
Here forr the Subaru😂😂😂
@mashauri.0146 ай бұрын
Love the show❤❤❤,###@@MATUKIO❤❤❤
@Moviedop-c6 ай бұрын
nani mwingine anaangalia iyo pombe tu
@VictorChrispinSamson6 ай бұрын
Nikiambiwa nichague "kuwa Genius kama huyo mrembo" au "Subaru", ntachagua Subaru.
@azaeltumain75286 ай бұрын
watu tuna ugumu wa kupenda maarifa lakini hii interview ilikua imesetiwa poa sana uyu dada sio kwamba ana sifa ila dizaini dullah hana maneno mengi sana kwaiyo obviously mdada alikua ana mengi ya kusema
@josephnyanda15126 ай бұрын
She's very smart
@eliamtani28406 ай бұрын
ukiwasikiliza wanavyo jibu maswali yao, huyo dada anajibu kwa kujiamini kupitiliza na kuongea sana mpaka ANAHARIBU sasa, yani anaona yeye ndo yuko sahihi au anachokisema yeye ndo iko hivyo (over thinking & over confidence) ila Tx anajibu simple, clear na inaeleweka. TX DULLAH you're genius bro.
@amanibetelo98216 ай бұрын
Kwel anaongea sana hadi anatoka nnje ya box ila dulla ...fupi inaeleweka
@alpha_nacity6 ай бұрын
Nice work brother consider adding time stamps
@zainabukassim99246 ай бұрын
Kellz❤❤❤
@eliamtani28406 ай бұрын
Huyo mwanamke anaongea sana jamani, awe mwana siasa tu.
@g_value_61116 ай бұрын
JUUUUUUUUUUUNCTIONNNNNN🦅🔥🔥🔥
@iRocNetworks6 ай бұрын
🔥
@silverman69306 ай бұрын
Kellz you can talk geeez
@mgwiromwita51076 ай бұрын
Charles matukio tunaomba upunguze makelele
@ivanbiswalo6 ай бұрын
Sijui nilitaka niseme nini ila anyway mmeua 😂
@DanielChaula6 ай бұрын
Maana ya haki sawa have something wrong behind as
@Indeii_biashara6 ай бұрын
Mmmh dada katupiga piga kidogo kwenye developer, ila ana kitu
@dj_davietz6 ай бұрын
Nawezaje kuikosa hii 😂
@abdallahkisinga63316 ай бұрын
Nilikuwa naisubir tokea jana leo usiku nitulie nimwangalie wajina na the junction
@TamimFfarish6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@emmanuelchade71916 ай бұрын
hii ime jaa hisia kuliko point
@ceobrand77646 ай бұрын
The biblical meaning of the name Charles is “free man.”
@mangofish90796 ай бұрын
Host jiongeze ktk maongezi ongeza idadi ya maneno na pangilia maneno vizuri, pia acha kama anaongea kijiweni
@SundayMtachi6 ай бұрын
Dula kwichwa Cha bangi kabisa
@dankhany33856 ай бұрын
nikki mbishi atauwa sana kaka
@rebbywealth98696 ай бұрын
Lemme tune in
@AndrewJohnson-b8l3 ай бұрын
Graham Stravenue
@amanibetelo98216 ай бұрын
Dulla mtu mbad hataki siasa fupi kali .....
@fredrickkimaro19696 ай бұрын
The best thing some IQ big mind, put it out for the deaf generation
@geofreydonath48226 ай бұрын
Lollipop lollipop om p
@JessicaGarcia-v9i2 ай бұрын
Mraz Ridges
@kamanapeter47516 ай бұрын
subaru hapendi sifaa
@iRocNetworks6 ай бұрын
😅😅
@IsaacRenee-l5t2 ай бұрын
Mueller Skyway
@stinga-en2ew6 ай бұрын
Anko chaleee😂
@hobbiesandsports40616 ай бұрын
💪
@DunlopAlan-m8c2 ай бұрын
Abner Grove
@KarobosaKhan-dt9qj6 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@SundayMtachi6 ай бұрын
Msichana yupo bright lakini tatizo lake anaongea sana ata kama unahisi unajua sana unafaa kuwapa wenzako nafasi so unafa kushort maelezo yako