I think am addicted to these shows much love Charlz
@Behindsomeone3 ай бұрын
Ali kwamwe ni moja kati ya zawadi kubw sana Mungu aliyotupa Yanga jamaa ni very smart, very creative kwa kifupi ni Genius fulani hivi I'm so proud of him huchoki kumsililiza kwenye kila angle.🙌🙌
@kibouttv71483 ай бұрын
Yani na yupo very smart kweli yanga hawajakosea kumchagua
@halimaamini80153 ай бұрын
Sure
@francepaul77113 ай бұрын
Akili Kubwa
@Behindsomeone3 ай бұрын
Hii interview inakuja kuwa na Views wengi kuliko interview zote zilizopita chini ya masaa 24 tayari ina 12k Ali kamwe ni Content kubwa Sana🙌🙌
@HavijawaHatibu2 ай бұрын
Haya one month ago😂😂😂ngap apo 😂😂😂
@fortunatafelix83973 ай бұрын
Finnaly after a long wait,madiniiii!!! Two weeks ni nyingi kusubiri i wish this podcast was everyday
@rehemambilinyi94523 ай бұрын
Nampenda sana kamwe kwenye mahojiano
@Salmeenmgangah2 ай бұрын
ONE OF THE BEST INTERVIEWS🙌🏻🙌🏻
@AnnaMushi-o8t2 ай бұрын
ila Ally kamwe anajielewa mpaka siwez kielezea kwann nasema hv, ila kimoja tu anamtoa sana Lavie kwny lain anajikuta na yy yupo makini kumsikiliza ally mpka anajisahau akihojiwa anakuwa kama ndio anarud kwny lain ila interview yao Ally na Lavie ni the best kuliko zote ulizozifanya, yani ukikutana tu na ka klip inst tunarudi yutube nzr sana❤❤❤
@eliamtani28403 ай бұрын
Perfect interview, now days MATUKIO unafanya fresh, hupigi yale makelele yako kama zamani, this is what we need, kuna kivibe YES, coz ni kipindi cha entertainment kwa vijana ila sio makelele, umefanya fresh sana kwenye hii, keep on moving Brother Matukio
@is_ghaleb3 ай бұрын
🔥🔥🔥 ya moto sana, naomba mtuletee Denzel trainer na idriss sultan.
@bosongopepe9943 ай бұрын
Damn this one was lit..bt consistency kaka consistency tuna kaa wiki mbili bila zaga while we r dependent already…mmeisha tufanya tumekuwa addicted sasa mctuboe bt kwakwel we deserved to wait for this it was gud hallaaaa
@CharlesErnest-h4f3 ай бұрын
Much love and biggest interview 🎉
@GeorgeLivens3 ай бұрын
Alikamwe alitoa machango wa harus laki 9 Kwa mpenz wake bila kujua Nimecheka jaman 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@issataslima98463 ай бұрын
Ali Kamwe yupo sahihi, kabisaa rafiki yako hawezi kukusaliti Ila mpenzi wako anaweza kukuacha nakukusaliti
@tinomasangia55112 ай бұрын
Bwana Alli Kamwe michezo anaimudu vyema ila mambo ya relationship n mweupeeeee hahahahah😂😂😂
@silverman69303 ай бұрын
Thanks Kamwe my guy 💯💯🇬🇧💥💥
@GemmaSalim3 ай бұрын
Best show kubwa sanaaa
@PaulBrownLife3 ай бұрын
Ukweli kwamba hauwezi kuwa Rafiki na ukawa mpenzi. Ni vitu viwili tofauti
@zawadiemmanuel74853 ай бұрын
nilichogundua ali ana uelewa mkubwa kiasi kwamba nondo anazotoa zinawazidi😂
@pmpaga10633 ай бұрын
Ayeeeh mimi hapa❤❤❤❤
@ElietMagogo3 ай бұрын
Kamwe is brilliant...Lavie amekwama hapo alipo (sababu alipaswa kuwa mbali) sababu ya attitude (very unwelcoming), alikuwa hajali wateja wa kawaida, alitukuza celebrities!! I hope amebadilika
@christianmalya84793 ай бұрын
Ally Kamwe👏🏻
@husnawaziri61193 ай бұрын
Anii naiaubiri kwa hamu❤❤🎉
@kassimnurdin94633 ай бұрын
Kali san. Ikiwezekana na ikiwapendeza mludie
@alexchibaya2793 ай бұрын
Kwamwe GENIUS.👍👎👍
@barnabaselias20103 ай бұрын
Ondoeni downloading option.
@ilomogold17152 ай бұрын
Ili
@FrancisMwangobora3 ай бұрын
Ally kamwe kwenye mapenzi anazurura
@sham-dz7yh3 ай бұрын
Big up young brother 🎉🎉🙌🏾🙌🏾🎊
@wesleyringo69793 ай бұрын
hii pia ni moja kati ya interview iliyo bora sana kwenye show za iRoc
@openmindtz3 ай бұрын
Ally kamwe is very Smart....uwez kumuelewa
@fafa_thedon3 ай бұрын
Ila ally eti mshenzi daaah😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌alfu mkavuu 🤣🤣🤣🙌🙌kwel ni shenziiiiii kabisaaaa….🤣🤣🙌
@husnawaziri61193 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ani nimechekaa ex ni mshenzii
@finedigital123 ай бұрын
DA ALLY ANONGE KINOMA LEO MATUKIO UMEFUNIKWA😆🤣😂
@ezrayohana35413 ай бұрын
Mimi nmesubscribe baada ya kumuona Ally Kamwe
@antonyernest27863 ай бұрын
Greatful Ally
@abdullahmapesa3 ай бұрын
⭐⭐⭐⭐⭐ miss you guys ✌
@mariahshechambo40343 ай бұрын
Huyu jamaa kichwa sana
@wesleyringo69793 ай бұрын
kamwe anachambua sana vitu. anastahili nafasi ya usemaji pale alipo.
@RahimChilumba3 ай бұрын
Namuona alli kwame kwenye wizara flan serikalin
@ByuutYoga3 ай бұрын
Kaka Chalz Matukio kipindi bora sana, nafikiri kwa faida ya watazamaji wako itapendeza ukiwa unaweka chapters kwenye video ili kurahisisha ufuatiliaji wa interview kwa umakini zaidi
@francisjameswadira69173 ай бұрын
Smart sanaaaa walah
@castomalimali3 ай бұрын
Nice
@sham-dz7yh3 ай бұрын
Ila Ali Kamwe 😂😂😂😂
@douglasessau99453 ай бұрын
mmechelewa sana kuupload bana
@SwabreezyOmar3 ай бұрын
Naomba umlete Tena umuulize maswala y mahusiano Kuna vingi vya kujifunza kutoka kwake
@SweetBahati-lt8wr3 ай бұрын
Mshenzi Sana yule kumtesa alikamwe
@kazembeally16193 ай бұрын
Uo ni msitari muhim sana kwamwanaume
@hassankai78913 ай бұрын
Ali kamwe kaupiga mwingi hapa
@frankindugwic3 ай бұрын
number one
@daudtekess58833 ай бұрын
Hii Interview Kali Sana
@Bm_Mwakalobo2 ай бұрын
Interview kali mnoo
@JudithFrancis-y4u3 ай бұрын
Ila kamwe😂😂
@jasminhaji31753 ай бұрын
Eti siku zangu skuziona 😂😂😂
@AbdoulazarSalumu3 ай бұрын
Alikamwe brain 🧠
@pmpaga10633 ай бұрын
Notification on❤
@bessab40733 ай бұрын
Ally mshenzi sana
@PeterPhilipo-z6v3 ай бұрын
Good interviews please continues the good back interviews
@dracotheholyone78442 ай бұрын
msiwe mnamuhusisha ali kwenye mapenzi
@derickrevelian27193 ай бұрын
Naisubili hiii saanaaaa
@PaulBrownLife3 ай бұрын
Irudiweeee😅😂😂
@silverman69303 ай бұрын
💯💯💯🇬🇧🇬🇧🙏🙏🔥🔥🔥💥💥 excellent podcast big up matukio
@AbediIddi-q2s3 ай бұрын
😂tupo hapa
@voicdesition8973 ай бұрын
Like kuvutiwa sio kupenda
@husseynomar95233 ай бұрын
1:15:30 😅
@nassoloabdala88363 ай бұрын
💥💥💥
@mamavyombo48013 ай бұрын
🔥🔥🔥
@ManjaHisani3 ай бұрын
Nimewapenda wote walohusika na kipindi hichi ila huyo mdada yeye anashabikiya tim gani?
@jamesmwakila58663 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌💪
@JohnsonGodwin-e9t3 ай бұрын
Tunamtaka na ahmed ally
@rosaliasengelema71963 ай бұрын
💚💚💚💚💚
@Eliabennet3 ай бұрын
Dope san
@MwanaidiSephu3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Craypotter3 ай бұрын
🙌🙌🙌
@silverman69303 ай бұрын
Ongea kiswahili wewe Mudada
@scopy04283 ай бұрын
Bimdada apunguze kimombo
@tinoChaula3 ай бұрын
Idris sultan
@jjthomson50233 ай бұрын
penzi + penzi = mapenzi
@thescop10032 ай бұрын
falsafa ya azam tv anayoizungumzia ally sio azamtv tu i think ni the whole Backrehsa group yan azam zote, wanakuza vijana then kampuni zingine zinakuja kuwaiba
@Qassimsuleiman3 ай бұрын
😅😂😅😂😅😂😅😅
@asiliaj87873 ай бұрын
Muko poa sana
@ombeniosward1263 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kilimonachangamotozake66523 ай бұрын
😂 akasage unga
@hijrammbaga74723 ай бұрын
ILA KWELI LAZIM MUWE MARAFIKI
@GilbertDamas3 ай бұрын
Ali anasifa kama muhaya
@Yassin-w7r3 ай бұрын
comrade
@RamlaJuma-ct9jb3 ай бұрын
😂😂😂❤
@sarahrashidi95583 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤❤😂😂😂
@Edgarmunubi63 ай бұрын
Kaka kipindi chako kipo gd san
@jesselingard71863 ай бұрын
Mwandishi ana cheka cheka hovyo apunguze bwana
@brasolebasoto24343 ай бұрын
Hahaha eti mapungufu yake ni kuwa shabiki wa simba
@abdallahkambangwa72153 ай бұрын
hatar sana
@zawadiemmanuel74853 ай бұрын
nilichogundua ali ana uelewa mkubwa kiasi kwamba nondo anazotoa zinawazidi😂