Mkojani,samofi na kijiko na chandimu kazi mzuri sana,
@mohammedkidody56183 ай бұрын
Nakubali sana anko jani saiv hutucheleweshi❤🎉
@MustaphaSwai3 ай бұрын
Mkojani chandimu tine white kijiko kazi nzuri sana
@mohamedgandi88323 ай бұрын
Samofi umetufundisha kitu leo safi kabisa mke nje huo ndio usawa
@MarKarim-km2yh3 ай бұрын
Nimependa sana samofi maamuzi aliyochukua kuhusu bushura twanga talak nenda kwenu tusisumbuane
@vicentmapunda31463 ай бұрын
Aloohhh samof kaongea km mwanaume
@AzizaJuma-p7x3 ай бұрын
Samofi nimeipenda hiyo mwanamke akileta dharau rejesha kwao
@jemimajerome39713 ай бұрын
Mwenyewe nimependa huyo ndo mwanaume
@RoseMsuya-q6m3 ай бұрын
Vizuri nimependa ayo maa muzi🥰🥰
@Bamutumubaya3 ай бұрын
@@RoseMsuya-q6myeah mwanaume akiwa na maamuzi huwa anakuwa wa kipekee sana🎉
@KoreanDramaMoviesKiswahili3 ай бұрын
❤❤❤
@nyambugekurambuka3 ай бұрын
mimi shabiki mkubwa sana wa mkojani gang ila mnatukata mnoo episode zina dk chache alfu mnaanza nyuma kifupi mnatupiga dakika hebu jitaidini kwenye hili
@Dully-p6c3 ай бұрын
Pia wanachelewa kupost kazi za mbele
@Ujumbewadini3 ай бұрын
Inavyo onesha washachuma sasa wako zaidi kwenye bznez
@pascalvenus30783 ай бұрын
Wanazinguwa sana aiseee
@mohammedkidody56183 ай бұрын
Wanazenguwa kweli ck hizi dakika 12
@methuselaemmanuel19503 ай бұрын
Wangeigiza yote then wakij kupost wapost yote kbs sio moja moja
@Boniphaceshayo53 ай бұрын
Iv nikweli mkojani hana mashabiki mkoa wa arusha manyara na dodoma na singida
@oneplustv38622 ай бұрын
Samofi kafanya ma amuzi ya kiume 😂😂 sanaaa
@matoboy28203 ай бұрын
Damu mzito kuliko maji
@TALLUBOY3 ай бұрын
Movie himekuw kari kinomaaa
@mikidadi5963 ай бұрын
Ningekuwa mm hyo chupa ningeiweka kwenye mafuta yaliyochemka😂😂😂
@Cute_mamuuh3 ай бұрын
Kaaa wee muwajii😂😂😂
@mohammedkidody56183 ай бұрын
😂😂😂
@TaiwanHassan3 ай бұрын
Pamoja sana chandimu
@benOfficial363 ай бұрын
Leo mm ni wa kwanza. Nipe like zote❤❤❤❤❤❤
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv3 ай бұрын
Mkonjan jalimbo kutafunta matumini Itá pendeza sana
@StevenWilbert-f8x3 ай бұрын
Hahahaha😂😂😂😂
@RevocatusLuhala-t6m3 ай бұрын
Wakwanzaaaaa
@stym123453 ай бұрын
Magolide 32 mchekelea
@haridimnimbo73773 ай бұрын
Hapo samofi ndo umetusaidia kuonyesha misimamo ya mwanaume kwenye maisha na ndoa kwa ujumla who is the final say.safi sana nimeipenda hii scene👏👏👏
@AzizahMbonde3 ай бұрын
Nimewahi leo like zang
@JosephatWesonga-ef7gq3 ай бұрын
Dah, mkojani kateswa sana adi namhurumia😢😢
@safarimallya45363 ай бұрын
Maamuzi ya kiume
@AnuaryShedafa3 ай бұрын
Swadakta
@mohammedkidody56183 ай бұрын
Kabisa
@jumaomary19573 ай бұрын
Wakwanza leo
@InnocentArmadillo-do9vm3 ай бұрын
Safi sana
@giftgeza36623 ай бұрын
Nice job
@saumuzimba11603 ай бұрын
nimewahi leo like 50 hapa
@AmadDialloy3 ай бұрын
Sawa Kali hii pia
@Mohamedykajo-k7v3 ай бұрын
Vp apo
@azizimhina67053 ай бұрын
kazi nzr sana @mkojanigang yan nimependa samofi alivyoamua kusimama km baba 😂😂😂
@GyaviraLaurean-x8b3 ай бұрын
Big up Samofi unajua Babaaa
@jonesdegrandson92613 ай бұрын
No 605😂😂
@SunatyAlly-q3n2 ай бұрын
Samofi anajua
@Didaahsaid0053 ай бұрын
Hadi kijiko anafukuzwa😂😂😂😂
@TumainiNahatula-m1b3 ай бұрын
Samofi hataki watu 😂😂😂😂
@FinaMario-f5o3 ай бұрын
Muna chelewa sana kutupiya
@FahadyYusuph3 ай бұрын
Sipatii picha mkojan akitoka humoo
@YucraKanyesu3 ай бұрын
Sijapenda kisoseji umbea wako
@Asma-m1j3 ай бұрын
Eee yupo kwenye chupa na bado anabishana😅😅😅
@francobravotheforester5422 ай бұрын
😅😅😅😅😅 hivi ndivyo nilivyokuwa nataka kwa Samofi
@stacyiak20233 ай бұрын
Leo nmejitahidi🎉🎉🎉
@FinaMario-f5o3 ай бұрын
Wewe mbeya kisoseji
@tigergilyofficial3 ай бұрын
🎉❤
@azizmiraji26103 ай бұрын
Mkojani asipokuwepo movie inapoa sana
@jemimajerome39713 ай бұрын
Hujamuona kwenye chupa
@MirajChambo3 ай бұрын
Mbona unatoa nusu nusu unajua vinaishia patamu
@elizabethmahenzo72203 ай бұрын
Nice movie
@hemedsalim93993 ай бұрын
Kazi nzur sana
@ClementKitundu3 ай бұрын
Wa kwanza mm like zenu🎉🎉🎉
@MirajChambo3 ай бұрын
Anko jani wazingua
@SamsonSimon-og2ss3 ай бұрын
Congratulations sana ..Ila mna tukatiri sana episode zenu zina dk chache sana ...😢😢
@AbdallahMuhsin-yk5cp3 ай бұрын
Mkojani hii movie inakoelekea munawezakuiharibu yani kupunguza utamu wa filamu
@AgnesJohn-f1r3 ай бұрын
Famonga subiri mkojani akitoka humo anaanza na wewe 😂😂 maana si kwa kutesa huko
Eti amemwambia mwanamke amtumzie sili kwani yeye ajui walivyo
@ngoshaog12553 ай бұрын
🔥🔥🔥
@SmartVicenzo3 ай бұрын
Good
@JadanHaruna3 ай бұрын
😃😃😃😃😁😁😁Katika siku samof kanifurahish nileo njo ndani nikupe talaka yako sitaki kuon kiumbe cha aina yoyote
@GrandePiquiGrande3 ай бұрын
🇲🇿mkojani bola atoke kwenye chupa🥀🌺🌹
@SadikiChande-tr8mm3 ай бұрын
Duh
@frankmwaikambo97843 ай бұрын
Ep nzima kamaliza famonga peke ake kwa vitu hata visivyoeleweka sema mnaboa kishenzi. Chado heshima zake unafurahia kuangalia kazi zake
@ezrafrancis95193 ай бұрын
Huyu chado anaigiza vichekesho au
@frankmwaikambo97843 ай бұрын
@ezrafrancis9519 kwhy hii ni vichekesho au series?? Mbn wat wanalia humu? Mbn wanakasirika humu?? Kwani vichekesho vipoje??
@Ramista753 ай бұрын
Bando limepanda toeni move inayoisha
@islamkiluwa26223 ай бұрын
Dah mnayukata stim bhana. Naomba nowashaur tengenezeni eps nyngi kidogo halafu ndo mziweke youtb wakati watu wanwendelea na hizo mnaandaa nyingine. Lakini kwa styl hii moud inatoka kabisa
@Boniphaceshayo53 ай бұрын
Huyo kingwendu yupo wapi mbona mnakua wajinga tena yann uongo
@dorcasresiato89293 ай бұрын
Chupa likiganda litapasuka😂😂😂 mkojani atoke
@hamzasuleiman96053 ай бұрын
Ukweli usiyopingika ni kwamba hii movie imeshawashinda , mnaimaliza tu wala nyie wenyewe hamjui mnaimalizaje , mnajiburuta buruta tu ah