The Story Book : Mateso Ya Motoni / JAHANNAM Kunatisha !

  Рет қаралды 713,616

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 400
@collinskegodizo6530
@collinskegodizo6530 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu tusamehee dhambi zetu ili siku yetu ya mwisho tuingie mbingunii kama unaaminii utaingia mbinguni tubu dhamii na utendee ilio hakii kulingana na matendoo yako
@user-yj1fi6gx7s
@user-yj1fi6gx7s Ай бұрын
Amen 🙏🏾
@user-ki4kh5ub4h
@user-ki4kh5ub4h Күн бұрын
Ameni
@globalsporttz3442
@globalsporttz3442 3 жыл бұрын
Huyu jamaa nimemuongeza cheo leo! Siyo professor tu bali ni professor × 2 hebu like nyingi kwa Kaka jamali.
@lexusnambasita1309
@lexusnambasita1309 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmHIl5Stl6tkbqM
@petermaguta9005
@petermaguta9005 3 жыл бұрын
Da jamaa n talented n memory card
@jothamlucas617
@jothamlucas617 3 жыл бұрын
Kwellly huyu jamaa ni Zaid ya professor 💯👩‍🎓
@_loseyi
@_loseyi 3 жыл бұрын
Mungu ni professor wa ma professor
@avitusleonard715
@avitusleonard715 3 жыл бұрын
Kwa kweli mtub
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Naogopa sana😭😭😭 ya allah tukinge moto wa jajanam.allahuma Amin
@semkiwatz5576
@semkiwatz5576 3 жыл бұрын
Allahumah amen inshallah
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Amiin Thumma Amiin. Ila ndugu unapo andika neno au jina la Mwenyezi Mungu (Allah) anza na herufi kubwa au herufi zote ziwe kubwa
@eddy4998
@eddy4998 3 жыл бұрын
Amin
@kadirdhulfiqaar7820
@kadirdhulfiqaar7820 3 жыл бұрын
Kuogopa si dawa Fanya mema fata sheria zk utfnkw
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 asante sheikh wangu kunikumbusha.baraka LLAH alayihi
@IDREAMSMEDIA97
@IDREAMSMEDIA97 3 жыл бұрын
Ey mwenyezi Mungu tusameheme na utunusuru na moto huo. Jamal umefanya vyema pokea like.
@yasinhussein5112
@yasinhussein5112 3 жыл бұрын
Kk nashukuru sana huwez Amin nimebadirika kupitia hio video dah allahuma Amin hakika Allah ni mjuzi
@SuperMan-yu4kv
@SuperMan-yu4kv 3 жыл бұрын
اللهم إن الأسألك الجنة وأعوذابك من النار EWE MOLA HAKIKA MIMI NAKUOMBA PEPO NA NAJIKINGA KWAKO NA MOTO. AMIYN.
@shaabanibakari4599
@shaabanibakari4599 3 жыл бұрын
Nipeni hata like 10 tu kama kweli mnakubaliana na mimi kuwa huyu jamaa ni genius
@mwigahamisi3984
@mwigahamisi3984 3 жыл бұрын
Zitakusaidia nn ww
@nissarhussein4887
@nissarhussein4887 3 жыл бұрын
@@mwigahamisi3984 nawashangaa hawa wanaotaka like sijui wanashiba ovyo2
@elijooyusuph584
@elijooyusuph584 3 жыл бұрын
B
@antonymuchina9515
@antonymuchina9515 3 жыл бұрын
Kiasi
@antonymuchina9515
@antonymuchina9515 3 жыл бұрын
Kitaifa
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 жыл бұрын
Allah atuepushe na adhabu ya jahanamu na adhabu zote Allah tuongonze njia iliyoonyoka 😭😭😭😭😭😭😭📿
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 жыл бұрын
Ameen kipenziii
@mchagashop1342
@mchagashop1342 3 жыл бұрын
Tenda mema ili uepuke Moto ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 3 жыл бұрын
Amini
@khamizkane565
@khamizkane565 3 жыл бұрын
Amiin 😭😭
@HassanAli-vy3kb
@HassanAli-vy3kb 2 жыл бұрын
Amiin
@SitiAminah-gn9me
@SitiAminah-gn9me 3 жыл бұрын
Hakika nimeipenda sana the story book ya leo Allah akupe umri mrefu na afya njema kaka jamal
@clemencenongelo6917
@clemencenongelo6917 3 жыл бұрын
Kaka ujawai kosea mungu akubariki sana professor endelea kutu fundisha like za kutosha kwa professor kama unamkubal
@nchamochaque7198
@nchamochaque7198 3 жыл бұрын
Professor fundi sana Allah ambaliki
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Tunafayidik
@clemencenongelo6917
@clemencenongelo6917 3 жыл бұрын
Sana
@usalamaedward1189
@usalamaedward1189 3 жыл бұрын
Anajua sana hajawahi kukosea
@asubuhiyoyo4174
@asubuhiyoyo4174 3 жыл бұрын
😠😠😠😠♋🔚
@awadhiismail3154
@awadhiismail3154 Жыл бұрын
Dua ya kumuomba mwenyezimungu Ili tuweze kuepukana na Moto wa jahannama Allahumma ajirnaa mina nnàr saalimiin
@trueboyaustralia3960
@trueboyaustralia3960 3 жыл бұрын
DUU!!! JAMAL APRIL nimwelewa sana Tokeya nikufahamu umenifunza mengi Swala langu ni kukwombeya Mungu akusaidiye kwa ujuzi uliyo nayo Jamani weka like za Jamal April!!!
@maryamahmed3348
@maryamahmed3348 3 жыл бұрын
Subhanallah Allah atujaalie mwisho mwema
@zephaniajoseph4409
@zephaniajoseph4409 3 жыл бұрын
Chetu juu yake Mora wetu nimsamaha2
@florestc3961
@florestc3961 3 жыл бұрын
xaxa si ana google tu
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
@@zephaniajoseph4409 kabisaaa yani
@AgenttomAgent-zr9lg
@AgenttomAgent-zr9lg 3 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema kwasote .. dini mbali mbali 🙏
@glynisokello4462
@glynisokello4462 2 жыл бұрын
U deserve a grammy award💜💜💜💜✨✨✨✨keep it up
@squadbaby7837
@squadbaby7837 2 жыл бұрын
This man should start a spotify account, good job Professor! 🇹🇿🇧🇪
@bornashae777
@bornashae777 Жыл бұрын
Exactly 💯
@Swahili14
@Swahili14 3 жыл бұрын
*THIS GUY DESERVES an Oscar FOR STORYTELLING!* 😭😍👏
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 3 жыл бұрын
I confirmed
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 3 жыл бұрын
You have said it all
@Swahili14
@Swahili14 3 жыл бұрын
@@masika.zubeda.430 🤸🤣❣️
@frivoloussanko7526
@frivoloussanko7526 3 жыл бұрын
Sure
@linuskwobakwoba9904
@linuskwobakwoba9904 2 жыл бұрын
Oooo999
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 3 жыл бұрын
Mungu tupe mwisho mwema
@bmbkmk6737
@bmbkmk6737 3 жыл бұрын
Ameeeen inshaaallah
@hatibusalehe3120
@hatibusalehe3120 3 жыл бұрын
ishallaa
@hatibusalehe3120
@hatibusalehe3120 3 жыл бұрын
aminaa
@khalidswaleh1530
@khalidswaleh1530 3 жыл бұрын
Allah tueke mbali na azabu za motoni aamin
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 3 жыл бұрын
Ameen yarabiii
@rashidnassoro4824
@rashidnassoro4824 2 жыл бұрын
Allah atusamehe sana kwa kuacha swala
@yussufmohd2938
@yussufmohd2938 2 жыл бұрын
Aamiin Ya Rabbi
@nouraydeen
@nouraydeen 3 жыл бұрын
Asante sana leo baada ya kumsalia mtume {s.a.w}.Allah akulipe wema huo
@ramadhanisalum3548
@ramadhanisalum3548 2 жыл бұрын
Amiin
@fatmakhamis4975
@fatmakhamis4975 3 жыл бұрын
Subhanallah tunajisahau sana... Allah atujaalie mwisho mwema.... Asante sana kwa ukumbusho
@mzalendohuru...4967
@mzalendohuru...4967 3 жыл бұрын
Nimekuja kukusanya like, za wale ambao hatutaenda motoni ,jehanamu .weka like hapa👇
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 жыл бұрын
Hah@ha
@antonymuchina9515
@antonymuchina9515 3 жыл бұрын
Jah
@naimatmussa8746
@naimatmussa8746 3 жыл бұрын
🙏
@amosmeshack5951
@amosmeshack5951 2 жыл бұрын
Nko brathe🤝🤝
@TharsilaAthanas-iu2qf
@TharsilaAthanas-iu2qf 5 ай бұрын
Slimu ndugu yang Allah akuepushie inshallah kwa kutenda mema yote
@tonitonito1587
@tonitonito1587 3 жыл бұрын
Ubunifu ni muhimu sana kwenye kazi yeyote. Huyu mkali amekuwa mbunifu hatari sana
@raiamwema7157
@raiamwema7157 3 жыл бұрын
Sanaaaaaa
@robertsimba5081
@robertsimba5081 2 жыл бұрын
Jamal is so excellent in story telling....good work🇰🇪👏👏👏
@chrisbee7876
@chrisbee7876 3 жыл бұрын
Asante professor kunakitu nimepataa yaaani hofu ya mungu asante sana
@saumusaliimu3086
@saumusaliimu3086 3 жыл бұрын
Ya Allah tuepuishie Na moto WA jahannam 🙏🙏
@emmanuelnicholaus2741
@emmanuelnicholaus2741 3 жыл бұрын
Mungu naomba uwape wasafi wote maisha marefu iri waenderee kutukumbusha
@paschalmabubi7240
@paschalmabubi7240 3 жыл бұрын
Sijawahi komenti kueleza maoni yangu si Kama sikukubali ila tuu naona nikianza kukuelezea nafasi za wengine hazitotosha. Brother Mungu aendelee kukupigania na kukitunza ulichonacho. Hongera
@paulinaninga8916
@paulinaninga8916 Жыл бұрын
NI kweli bro hujakosea
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 3 жыл бұрын
Subuhanaa'Allah how many of you have heard this story and got gose pimples 😭😭😭😭😭
@AmCool_
@AmCool_ 3 жыл бұрын
Allaahumma aj-jirniy mina nnaar, yaa rabb.
@donaldbathromew1991
@donaldbathromew1991 3 жыл бұрын
Kipindi pekee kinachonifanya nitazame wasafi tv, uko vzur sana mr.
@cyrusradge65
@cyrusradge65 3 жыл бұрын
Inakuanga saa ngapi?
@donaldbathromew1991
@donaldbathromew1991 3 жыл бұрын
Ijumaa saa tatu kamili usiku.
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 3 жыл бұрын
Ya Allah tuebushe namoto wa jakhanam. 🤲🤲🤲🤲🤲
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa Ayo yapo kwenye Qur'an Tukufu Masha"Allah Somo zuli Ubunifu Umezidi
@bettynyawira5566
@bettynyawira5566 3 жыл бұрын
Congrats Jamal much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️
@lexusnambasita1309
@lexusnambasita1309 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmHIl5Stl6tkbqM
@chief2177
@chief2177 2 жыл бұрын
💯💯
@MrDee-ts3lh
@MrDee-ts3lh 2 жыл бұрын
Yap
@mejumaanjei6659
@mejumaanjei6659 Жыл бұрын
Subhanallah😟😫😩
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 3 жыл бұрын
Kwa yote tisa 👌 Kumi ni kuwa Mungu atunusuru tusionje Jehanamu😢😢
@ramadhanikibingila6401
@ramadhanikibingila6401 3 жыл бұрын
Hello
@chunaamina8719
@chunaamina8719 2 жыл бұрын
Aaamn
@benjamenshepa1000
@benjamenshepa1000 2 жыл бұрын
Sio Mungu atunusuru kumbuka yesu alishakufa msalabani kwa ajili yetu hivyo wajibu uko kwetu kuamua
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 жыл бұрын
njoo kwenye uislam ili unusurike na moto
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 2 жыл бұрын
@@mahfoudhcalender2747niko sawa kwa njia ya msalaba
@emanuelmwaipaja2062
@emanuelmwaipaja2062 3 жыл бұрын
Bro hamna tuzo za kibongo zinazokufaa zaidi ya Grammy au bet
@tanzaniaone581
@tanzaniaone581 3 жыл бұрын
mwenyez mungu tunakuomba waislam soote utuu kinga na motoo huoo wa JAHAANM
@evancepatrice1114
@evancepatrice1114 3 жыл бұрын
Sijaisikiliza ila najua itakuwa ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂acha woga sikiliza uko
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
Prof uko vzr mkuu....consistance na content zenye ujazo mkubwa. Kuna vijamaa vinajitesa kukucopy mpaka muda wa kutoa kazi sisi tunawapuuza tu. Go king 🙏
@himselfpasco789
@himselfpasco789 3 жыл бұрын
Duuh nimeshindwa kumaliza...mungu tupe mwisho mwema🙏🏾
@lexusnambasita1309
@lexusnambasita1309 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmHIl5Stl6tkbqM
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Aamiin 🙏🏻🙏🏻
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah atusamehe makosa yetu.
@davidjohn9536
@davidjohn9536 3 жыл бұрын
Professor good work you deserve to be a champion of stories in Africa
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Allah Atujalie mwishomwem😭🤲🙏
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Aamiin
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 2 жыл бұрын
Amiin
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 жыл бұрын
Am not gonna liar Jamn nimeogopa.. Ndug zangu tusalini Sana... Tuwe na moyo safii tutende matendo safiii tumuogope mungu jehanam kunatisha hakii sali kutokana na Imani yako yooo panatisha uwiii
@lexusnambasita1309
@lexusnambasita1309 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmHIl5Stl6tkbqM
@tedyjoshua4947
@tedyjoshua4947 3 жыл бұрын
Amina hakikaaaaa
@MoksMokah
@MoksMokah 5 күн бұрын
Vizuri sana kaka, Mungu alie Mbinguni akubarik mara Dufu kwa mafunzo hayo.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
@yassinmsabila6850
@yassinmsabila6850 3 жыл бұрын
Fanya umludishe na kijana wako mtiga walimdanganya tu watu wasiopenda mafanikio. Am so proud with you professor
@ringotechnology9759
@ringotechnology9759 3 жыл бұрын
(fikri kabla ya kutende kila maamuzi uyafanyayo)...mtiga alifikiri akitoka yeye basi🤣🤣🤣...
@azizayahyah1597
@azizayahyah1597 2 жыл бұрын
@@ringotechnology9759 ilikuajee akatokaa saa
@mudystudio5985
@mudystudio5985 3 жыл бұрын
jamal mm shabiki yako mkubwa naomba uturete kisa cha mtu Muhammad sisi tujue maisha yako ya uzao wako mpaka kifo chaki
@amerntrendstv75
@amerntrendstv75 2 жыл бұрын
Tuombeni msamaha In Shaa Allah na Mungu atuepushe na na moto huo🙏
@asyaasya3766
@asyaasya3766 3 жыл бұрын
Ewe Allah tujaalie mwisho mwema kwa huruma wako jahannam panatisha Yaa Rabby tunusuru waja wako
@ibrahimjuma584
@ibrahimjuma584 3 жыл бұрын
Aaamn
@nillbillempire3263
@nillbillempire3263 3 жыл бұрын
Wenye #wasafi yetu lazima tupite hata kwa kuchelewa
@mmangahaji7994
@mmangahaji7994 3 жыл бұрын
@Jamal Aprel #Ni kweli jamali hongera kwa hii video nakuongezea kitabu cha kusoma kinaitwa (DAKAAIQUL AKHBARI) humo utapata habari za moto kufa pepo n.k kwa simulizi zako zitawasaidia wengi. Hongera sana.
@mwanaidimajid8382
@mwanaidimajid8382 3 жыл бұрын
Niuzie huko kitabu au kinapatikana
@mmangahaji7994
@mmangahaji7994 3 жыл бұрын
@@mwanaidimajid8382 huku Zenji kipo na hata Dar nahisi vipo pia.
@ibrahimuyusufu2890
@ibrahimuyusufu2890 3 жыл бұрын
Jamni. Naombeni hata like 50 Hakika professor jamari hajawahi kukosea
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 3 жыл бұрын
Ukazifanyie nn?
@muganyiziobadia2273
@muganyiziobadia2273 3 жыл бұрын
Kwr no taab
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Huyu ndo namkubari mno katika maisha yangu 🙏🙏🙏💯
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Wapenda mikundu walawiti na wafiraji wakupenda zina na uzinzi njo maisha yao wasubiri ile siku, waongo wote, wamemkataa Mungu na wakati wako hai , wasubiri mateso
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 3 жыл бұрын
Nimependa sana ulivyoongea kwa msisitizo bro,...bible imetaja ivyoivyo wafiraji
@tonyi6807
@tonyi6807 3 жыл бұрын
Hakika siku zetu wanadamu ni jinsi tunavyoishi # Mwenyezi Mungu Wa Ibrahimu ,Yakobo na Isaka Atunusuru na Adhabu ya Motoni
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
Wakristo njooni kwa Yesu na Muhammad s.a.w) ndo Usalama wenu. Hakuna Dini itakayowanusuru na Adhabu hiyo, isipokuwa Uislamu(Unyenyekevu) Kusilimu bure kwa maneno tu! Paulo hasiwadanganye eti muwe Wakristo. Matendo 26:28)
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
@@monicahovda4524 Naomba unisaidie number yako tujadiliane.
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Hamisi mfaume Namwewe . Nimeifuta ile Comment Kimakosa. Computer error. Namba yangu ya nini? Wewe Mradi unamchamcha Mungu (Allah) na kutimiza matendo yake ( Nguzo)endelea hivyo hivyo. Kadri ya Imani yako
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
@@monicahovda4524 We una mcha nani? Yesu au Allah
@zkiduku4068
@zkiduku4068 3 жыл бұрын
@@hamisimfaumenamwewe193 hamisi mfaume mkundu wa mama ako
@ramadhanboimanda7766
@ramadhanboimanda7766 3 жыл бұрын
Viongozi wa dini wanaweza kukutumia katika kufikisha ujumbe ktk jamii kwani watu wengi wanakuelewa na kukufatilia vzr kulingana na namna unavyofikisha ujumbe na ukafika na kupokelewa vzr. Sas hy n fursa yaan uwe Kama DJ Mack au Afro ili tu ujumbe ufike bila kubadilisha neno. Hongera
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 3 жыл бұрын
Kwel ..yaan leo jamal kafanya daawa
@anthonylister754
@anthonylister754 3 жыл бұрын
Your the best Bro, Ubarikiwe kwa kutukumbusha.. Eeh Mwenyezi Mungu naomba utupe Mwisho mwema 🙏
@ruahaselectsafaristreks6086
@ruahaselectsafaristreks6086 2 жыл бұрын
Amee Rabbilaalamiin 🙏🙏🙏
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Video iko sawa hadi unaogopa mungu atusamehe sisi watenda Dhabi 🙏🙏🙏
@mwashurutiselemani749
@mwashurutiselemani749 3 жыл бұрын
Mbona umewaeka watu ,jisemee wewe.. ...🧠
@barakachaula7050
@barakachaula7050 3 жыл бұрын
Baada Ya Tangazo La Suti Nikasahau Kila Kitu Aseeeh, Hatar Sana Hii😂😂, Nashaur lianze Tangazo La Suti Halaf Ifuate Story Aseeh 😂😂🤝🤝
@mansurali109
@mansurali109 2 жыл бұрын
Haya yalio zungumzwa hapa sio yakucheka kaka yanatuhusu mm na ww kaka jitaahidi sana kaka Allah atusaameh wallah
@pesspesa6202
@pesspesa6202 3 жыл бұрын
Tumuombe allah atupe mwisho mwema
@muhenenassor4289
@muhenenassor4289 2 жыл бұрын
Subbhana Allah shukran kak kw ukumbusho n tumuomb Allah atuepush nawo
@davidmalahya6232
@davidmalahya6232 3 жыл бұрын
This men he is genius💣💣💣💣
@eliudignatio9378
@eliudignatio9378 3 жыл бұрын
Nimekubali sana wcb for everything
@georgethomas6003
@georgethomas6003 3 жыл бұрын
Zamani nilikuwaga sikuelewi kbs lakn ss ninakuelewa💯💪
@davidkauchonga6013
@davidkauchonga6013 3 жыл бұрын
Jamal again your Genius my brave Lion
@benjaminiandrea
@benjaminiandrea 3 жыл бұрын
More than learning 🙏🙏🙏
@billysmart4873
@billysmart4873 3 жыл бұрын
Ur a really GENIUS PROFESSOR BROTHER 🙌✔
@oliveraugustino2377
@oliveraugustino2377 3 жыл бұрын
Dah hii simulizi imenisisimua Sana, 🤭🤭 nitazidi kutenda mema siku zote ili niweze kusalimika na moto wa jehanamu 😔😔, mwenyenzi mungu azidi kutusamehe watenda dhambi, kwa sababu hamna anayeijua kesho take, amina. 🙏🙏
@RosemaryKaphamtengo-sq8di
@RosemaryKaphamtengo-sq8di Жыл бұрын
Mwenyez MUNGU atujalie kua na mwish mwema. Asantee kwamafundisho tutazid kujifuza meng. Ubarikie sanaaa
@edwinregeye5985
@edwinregeye5985 3 жыл бұрын
Kweliiiii professor N Mmoja Africa , Africa is Watching
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 3 жыл бұрын
Huyu Jamal ndo mtunzi pekee alio bora kwa hapa Africa gonga like kama unakubaliana na mm
@JOKERCHAPLIN
@JOKERCHAPLIN 3 жыл бұрын
kaka videos zako nazipenda sana kusikiliza histroria ya kitambo pale mungu akubariki sana ptofessor jamal mustafah
@nikitalucas2323
@nikitalucas2323 3 жыл бұрын
Asante Jamal April nilikuwa naisubilia hii story 🙏🙏✝️✝️✝️❤️❤️❤️
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 жыл бұрын
uislam ndio dini ya haki
@azizichiungu4158
@azizichiungu4158 3 жыл бұрын
Nimejikuta naenda kuswali tena baada ya kuangalia hii simulizi eeh mungu atuepushe na moto
@hamidamnyika5866
@hamidamnyika5866 3 жыл бұрын
Kabisa
@emanuelmwaipaja2062
@emanuelmwaipaja2062 3 жыл бұрын
Nashindw kumsikilza vizur professor nikiw nasoma comment
@njiyobirirahimupardon5157
@njiyobirirahimupardon5157 2 жыл бұрын
Mungu akupe elimu kubwa ili kuelimisha jamii na ujitahidi kutangaza yalio andikwa kwasababu ukijidanganya utapotosha wengi kwaio kaka sikukosowi Bali nakupa ushauri tu mungu atakulinda na njia yako nzuri ya kujuza wengine bila cuki yoyote. Nikisema chuki nikwakuwa. Wewe unataja dini zote bila kinyongo chochote ndomana nasema kwamba wewe umehelimika Sana endeeleya sis tu kukubali San mungu akupe maisha marefu ili uwelimishe watu wengi zaidi duniani ameen🙏🙏🙏🙏🙏
@MeeshalMohd
@MeeshalMohd 8 ай бұрын
ALLAH atunusuru kwa rehma zake na akulipe kila lenye kheri kaka Jamali
@nasorhaji3064
@nasorhaji3064 3 жыл бұрын
Professor Jamal nimependa hii tumia nafasi hii yapo malipo yko elimu mzuri.mashallah
@elijahjacob7724
@elijahjacob7724 3 жыл бұрын
Kwaiyo katika dini 4000 duniani ni dini3 tu ndo zina habari za Mungu kuchoma watu izo zingne aya mambo amnaga
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Acha nikulekebishe kidogo,islam na ukristo kunakitu kinacho itwa madhehebu.
@user-ot3gu9iq2j
@user-ot3gu9iq2j 2 ай бұрын
😢😢😢😢namkubali sana uyu jamal, na baada ya kuangalia ii video, mwili umekufa ganzi 😢😢, eeeh Mungu tuokoe, kutoka Kenya 🇰🇪, likes zinikujie
@winicatewainaina4456
@winicatewainaina4456 2 жыл бұрын
Champion 🏆💪 wa African....kwa kweli Asante kw kutuandaaa congratulations 👏🎉🥳🎉 Mungu awe nawe !! Katika hi kazi watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@mandalorian_4.11
@mandalorian_4.11 3 жыл бұрын
Hard working guy a.k.a professor 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@hainessshirima9368
@hainessshirima9368 3 жыл бұрын
Eeehh nimejarib kuwah lkn watu mpo serous na jamal April doh oky bhna
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Wale wapenda dunia na kufanya machafu na kutoabudu mungu. Walevi .wazinifu. washirikina wasagaji makhanis mabasha wizi kwenda uchi. Wapenda muziki . Huwa wanachukia wakisikia habari takatifu kama hiyo
@annakefa1591
@annakefa1591 5 ай бұрын
Congratulations tunakukubaliiii sana🇹🇿
@michaelalphonce6857
@michaelalphonce6857 3 жыл бұрын
Waoooh! Professor u deserve to be like u a,,,, thanks for u a work and God be with u 🙏🙏🙏🙏
@amosondieki2483
@amosondieki2483 3 жыл бұрын
I daily learn Jamal add more stories and facts...God be with u Professor
@rashidnassoro4824
@rashidnassoro4824 2 жыл бұрын
Usiludie kuedit picha za malaika na allah atusamehe sana na atukinge na moto na adhabu za kabuli pia na masid dajal
@muntadinaothman3580
@muntadinaothman3580 Жыл бұрын
Mm naomba professor utuandalie story kuhusu safari ya mtume Muhammad Natumai wengi watapenda🙏🏻🙏🏻
@IssaAlly-lc4oi
@IssaAlly-lc4oi Жыл бұрын
Allah akujaalie kila la kheri hapa dunian na kesho akhera
@dreahmed2336
@dreahmed2336 3 жыл бұрын
Subhanallah,peace of Allah be upon you Jamaal, may Allah protect you and all of family.. Of course we need your talent.
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Mungu ni wetu sote atujalie mwisho mwema. Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu Nabii Issa Alleh Wasalaam. Aslaam Alyekum Mtume Muhammad Alleh Wasalaam. Glory to God. Allah Akbar Malik
@dibah613
@dibah613 3 жыл бұрын
Ameen..yesu akomboe wana wake
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 жыл бұрын
@@dibah613 yesu sio mungu
@dibah613
@dibah613 2 жыл бұрын
@@mahfoudhcalender2747 yesu ni mtume aliekuja kutuokoa Duniani,na alie mwaamini atakoombolewa
@dibah613
@dibah613 2 жыл бұрын
Yeah Glory be to Almighty God Hillary..bwana yesu asifiwe🙏🙏🙏
@aymanmaganga9315
@aymanmaganga9315 2 жыл бұрын
Yesu ni miongoni mwa mitume wa mwenyezimungu walio tumwa kwa ajili ya kusambaza ujuzi ba habari za mwenyezimungu ambazo ni nzur na sahihi lakini Mtume(s.a.w) ndie mtume wa mwisho baada ya Yesu kwahiyo sisi watu/binadamu tuliopo sasa hivi inabidi tumfuate Mtume(s.a.w) kwahiyo ndugu yangu me nakushauri ujiunge na dini ya Kiislam sasa hivi
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 жыл бұрын
Jahannam ni moja tuu na Mungu ni mmoja2....hakuna dini zaidi ya uislamu..motoni milele
@yahyaibrahim6546
@yahyaibrahim6546 Жыл бұрын
Wakristo na waislam hawajapishana sana tofautu nituh wakristo na wanamwita issa mungu bass na waisalam issah ni mtume wa Allah
@bukuruemmanuel7090
@bukuruemmanuel7090 3 жыл бұрын
Daah na vile umeitowa usiku!!..mpaka nashtuka kuitazama nisije kuota ndoto yakutisha🙂
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Kaka weww 100/% love from Bergen Norway 🇳🇴
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
Adija Asalam Aleykum. Una mchumba?
@nissarhussein4887
@nissarhussein4887 3 жыл бұрын
@@hamisimfaumenamwewe193 umezimika na bergen norway uyo anakaa apo ilala aokota makopo wajua ilo
@ramadhanihajaniacha1944
@ramadhanihajaniacha1944 2 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha hahaha
@biashasuleimanabdalla481
@biashasuleimanabdalla481 3 жыл бұрын
Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Mwenye Enzi mungu anamshirika na mtu yeyote wala kitu chochote. Ni mmoja peke na yeye ndio wakuabudiawa. Unapokatazwa jambo lolote ukiambiwa nibaya ubora umuombe mwenye Enzi akuondeshe. Na mwana adamu akiwa jeuri kibri hapa duniani bila kuomba msamaha wowote. Mwenye Enzi mungu atuepushe na Adhabu yaburini na ya moto Atusamehe madhambi yetu kwa utukufu wake na kuenzi mbinguni na Ardhini Amina. Yarabil ala min Amin fil alamin inakahamidu majid.
@emmanuelnicholaus2741
@emmanuelnicholaus2741 3 жыл бұрын
Mungu atatuchoma bira kutusamehe kwasabu saizi tupo katika kipindi chaneema watu hawatubu nakumrudia yeye ivyo zinakuja sikubambazo neema tulionayo tataikosa wanadam wezngu tumkumbuke Mungu kwasbu kunamaisha baada yakifo
@BAZZIKA_MEDIA
@BAZZIKA_MEDIA 3 жыл бұрын
Ume tisha sana leo professor Jamal gonga like yako
@evancerwamugata1064
@evancerwamugata1064 3 жыл бұрын
Fahamu yaliyotokea May 7 katika historia ya soka kzbin.info/www/bejne/qniWZIukppibr7s
@mashotojr4134
@mashotojr4134 3 жыл бұрын
Jamal nakubali sana kama nawe una mkubali ngoga
@hassanmwishaha5511
@hassanmwishaha5511 7 ай бұрын
Subhanallah maelezo yako mazuri ila ulipokosea kutumia hizo video zenye kuonesha mfano wa Malaika na Mwenyezi Mungu akitoa adhabu huku ni kumkosea Mwenyezi Mungu na malaika wake katika kufananisha na viumbe ulivyotumia katka video hii. SIO SAHIHI KABISAAA
@Nahadi-Said
@Nahadi-Said 2 ай бұрын
I'm very appreciate your Story Book we will shoulder to shoulder with u professor Jamal Actually
@hamadmussa8402
@hamadmussa8402 3 жыл бұрын
Umekwenda vizuri sana professor!!
#TheStoryBook PABLO ESCOBAR Katili , Muuaji Na Bedui Kipenzi Cha Watu
32:12
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 627 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:19
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 24 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 14 МЛН
THE STORY BOOK: MPINGA KRISTO MASIH DAJJAL ANA MAMBO MAZITO
36:25
Wasafi Media
Рет қаралды 1,2 МЛН
MWISHO WA DUNIA UNA MAMBO MAZITO YA KUTISHA...!!
22:07
Wasafi Media
Рет қаралды 2,8 МЛН
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,6 МЛН
The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?
37:44
Wasafi Media
Рет қаралды 454 М.
The Story Book : Tukifa Tunazaliwa Upya ! REINCARNATION
29:47
Wasafi Media
Рет қаралды 409 М.
The Story Book: WAMASAI na Mila za Ajabu za Makabila Ya Waafrika.
49:20
Пугает людей игрушкой аллигатора в воде
0:14
Короче, новости
Рет қаралды 3 МЛН
Врёт и не краснеет 😂 #shorts
0:38
Julia Fun
Рет қаралды 1,8 МЛН
Can this capsule save my life? 😱
0:50
A4
Рет қаралды 35 МЛН
Papa yeh dila do ajse mein aapki behen 😢😊 #shorts
0:30
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 69 МЛН