Nisaidie jaman hiv likes zina kazi gani😄😄naomben nione na mimi inakuaje.. Likes kwa Prof Jamnal🙂🙂
@drraizkidume8674 жыл бұрын
Kwakua mimi ni Mmozambique amnipi like, mna roho mbayaaaa. I love Wasafi, I love Tanzania
@alimojaqueen73434 жыл бұрын
llove Too
@evelyneonyango8744 жыл бұрын
Tulia tulikuwa unasoma comment yako 😂
@kikiharmonise94764 жыл бұрын
Acha mdomo Mozambique awazungumuzi Kiswahili 🤣🤣🤣🤣
@bertinaafonsorapaz83454 жыл бұрын
Entao tas na boa cara😂😂qrs likes
@samjoseph39544 жыл бұрын
Muongo
@ismovickitogo25804 жыл бұрын
Na mm like jaman angalau nmechelewa naomba hata kumi bac
@pascleshayo97404 жыл бұрын
Ivi like mtu unabembelza unakosa chakufanya km unataka kupata exposure
@joymadambby32903 жыл бұрын
Pll
@gloreynisajile3733 жыл бұрын
@@pascleshayo9740 ggh
@neymatobias92543 жыл бұрын
Hizo like mnakula kwakushushia na kinywaji gn nikuagizien?
@luomusicchannelfromtanzani56504 жыл бұрын
Nakufatilia bwn jamal, kutoka Dodoma. Gonga like twende sawa.
@khasianussamson62274 жыл бұрын
Wangapi wanataman jamal April aongezwe mshahara kulingana na tafiti zake za kina? Km unataman km mm naomba like then chibu najua atafika na kufanya kitu😂😂😂
@iammusic34044 жыл бұрын
😂😂😂😳
@shakira13014 жыл бұрын
Wakazi gani na hata sauti hana mxiuu
@samjoseph39544 жыл бұрын
@@shakira1301 wewe ndiyo mchawi Sasa kwenye ile 70% ya wanawake upo
@queenwinnie2564 жыл бұрын
@@shakira1301 roho mbaya mchawi ndio wewe hapa
@hamfreytarimo4 жыл бұрын
@@shakira1301 mchawi wewe
@petroprenge87164 жыл бұрын
Jamal alipochukua nafasi ya Mtiga wengi walimbeza na kumsema kwamba hawezi kusimulia, leo hii walewale waliomponda wanamsifia, kwakweli mwanadamu ni kiumbe wa kushangaza sana, keep it up Jamal.
@dezasumailcostaricahamis5429 Жыл бұрын
Kwl bro
@Mr.Queentz11 ай бұрын
Binadam ni watu wabaya hawariziki hawatosheki ni watu wasio ridhika ndo tulivyo
@user-rn6ej2fs1l2 ай бұрын
Kwahiyo Mtiga alistafu?
@bakariidi99564 жыл бұрын
Jmn najua nimechelewa lakini namm nipate walau like 10 tu huyu jamaa nae yuko vizuri
@sashaqueentz29174 жыл бұрын
Yan mda wote nilikuwa nakuj you tube kuangalia kashapost au bado 😍😍npnda sana the story book
@enemtatuka58634 жыл бұрын
nakubar mnoo yn
@alvesrigga19554 жыл бұрын
NAMUULIZA JAMAL HIZO VIDEO ZA KICHAW ALIKUWA ANAZIRECORD KWENYE KILINGE GAMBOSHI? AU KAPEWA NA HUYO MGANGA?
@piellee19154 жыл бұрын
Duh
@yassirmohd2024 жыл бұрын
Amina ntafute
@GadiEdiomwakanyamale4 жыл бұрын
Hii nishida kzbin.info/www/bejne/l6ivZamKbNWGisU
@Majambo_Duniani_Tv4 жыл бұрын
wale watu waliokua wanamponda huyu jamaa kisa mtiga wako wapi siku izi?? kuna jambo la kujifunza hapa, saiv mtiga anasubiri kwa huyu mwamba, watu wanasahau kua alikua anaandaliwa stor na jamal. RESPECT MR JAMALP
@user-nq5bl7kc1p4 жыл бұрын
Kk binadamu wabaya sn ukikosa uvumilivu wanakupoteza
@jumanassor1864 жыл бұрын
Wewe mtiga ndio anafit hapo ukubali ukatae coz huyo ni mtunzi mzuri sana ila kwa sauti ya mtiga ndio nzuri kwa kusimulia story
@amkrizzayo82154 жыл бұрын
Tuko
@biharucussi81304 жыл бұрын
Kila mtu ana uzur wake. Msibishane wote wapo powa
@chiefkaitaba.m.94664 жыл бұрын
Aswaaa
@jozzsimbatv11994 жыл бұрын
Duhhhhhhhhh jaman like kwa jamal ata 50 zinamtosha
@nizzarzaver10463 жыл бұрын
Zakusaidia nn izo like acha ujinga tafuta ela sio like pumbav
@hemedjackson22613 жыл бұрын
Jamal katika dini ya uislamu nd utapat ufafanuz coz Allah nd aloumb km alivoumb viumb vengn na kuukabidh kw malaik haruut na maarut umenipigia aya hap ktk Qur-an that perfect
@kimsaid76434 жыл бұрын
Jamaa kweli umeamua hii stori lazima kila mmoja angependa kujua
@eliasjoel74254 жыл бұрын
Tuliomsahau mtiga na kuanza kumuelewa Jamaal kwa speed ya 120 tujuane hapa
@actiontv6568 Жыл бұрын
kama unamkubalia professor gonga like hapa
@wazirbashir76264 жыл бұрын
Asante prof. Jamal mwana wa Mustafa makala hii inasisimua mno kusimuliwa habari za ulimwengu wa giza inafaa sana. Keep that fire burning.
@ashahaji58484 жыл бұрын
Duuuh wadau nipeni japo like 50 tuh
@huzunijasely61764 жыл бұрын
Za kulia ugalii??
@cuteme48704 жыл бұрын
Zinakusaidia nn
@moemussa52124 жыл бұрын
Zimezidi ,Nipunguzie Kidogo .
@jumamofu95734 жыл бұрын
Zinakutoa nyege au
@hamzamohamed50074 жыл бұрын
kiukweli jama yuko vizuli
@tonitonito15874 жыл бұрын
Wajuba na mm leo fanyeni nipate ata likes 100 inatosha
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Munashida nyie watu like like za nn??
@tonitonito15874 жыл бұрын
@@queenwinnie256 wewe n mmakonde?
@George-hw9fi4 жыл бұрын
Izo
@monicakimaro50793 жыл бұрын
Like zinakusaidia nn
@tonitonito15873 жыл бұрын
@@monicakimaro5079 njoo inbox nikwambie
@ismailkatala47924 жыл бұрын
Huyu jamaa sio tu anajua kusimulia Bali hata kichwani yuko smart Sana, kudos bro
@jacquelineadrian76424 жыл бұрын
Manyau nyau umezeeka Sasa! Sijawah kuomba like na nawashangaaga wanaoomba like Ila Leo na mm naomba like angalau 20😂😂😂
@malikzafarani1724 жыл бұрын
Kama unasikiliza the story book uku ukisoma comments dondosha like yako hapa tujuani #From doha QATAR.
@subscribertv65264 жыл бұрын
Ntafute unipe raman za huko
@mwesigwaabdurahim85903 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Salim-gaming2444 жыл бұрын
Jaman na mm leo nimewahi kutoka South Africa naomben like zenu
@enemtatuka58634 жыл бұрын
upo pande zip mzee
@barikiandrew38194 жыл бұрын
@@enemtatuka5863 nipo hibbrow
@breezy93984 жыл бұрын
Karibun kwa zulu natal jmn
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Ushapata
@Salim-gaming2444 жыл бұрын
@@enemtatuka5863 Naishi Durban
@evelyneonyango8744 жыл бұрын
Ebu Mungu anisaidie Nisiwai kutana Ama kurogwa n.a. Mchawi😨 love from kenya
@fidurashidi57814 жыл бұрын
Nimewah angalia SALEM, ina uchaw mwingi... Keep it up Jamal (kwa sauti ya Lucios wa empire)
@agnesvintan15384 жыл бұрын
Wachawi najua mpo hapa mshindwe kwa jina la yesu
@hopechidera4 жыл бұрын
Kama unataka kuwashindwisha wachawi jaribu kuandika Yesu ukianza na herufi kubwa Y na huyo ndo Kristo,hapana huyo yesu wa herufi ndogo y sababu ni mwanadamu na hana uwezo wowote.
@magdalenajuma62294 жыл бұрын
Kabisa my dear shetani anambinu mpya kwa Yesu
@johntee70164 жыл бұрын
Amein
@willygraphics3604 жыл бұрын
@@hopechidera 😂😂😂 ukitaka kumshinda shetani jua mbn za kumshinda shetani sio kutaja na kuandika jina la yesu tu.
@hopechidera4 жыл бұрын
@@willygraphics360 maombi sana,kumcha Mungu na utakaso ndugu yangu🙏🏽
@ramadhanboimanda77664 жыл бұрын
Sitoshangaa na nakuombea siku 1 nikuone kwenye Page ya Geryson Msigwa kisha Ikulu chamwino Inshaallah ninachopenda siyo ukwl wa kile unachoadithia ila vile unavyosoma v2 vng kupata ukwl na maon ya makund ya wa2 mbalmbal km wakidin, historia, sayans n.k hy ndiyo refference . Allah akuonhoze Prof
@justinerichard68232 жыл бұрын
Aende huko ili awe mnafiki😰😰😰😰
@wanyamasafari20314 жыл бұрын
WE MBWA UNAJUA KIASI KWAMBA mtiga TUSHAMSAHAU ✊🏿👊🏿🇹🇿 WASAFI FOREVER
@olivebeila64022 жыл бұрын
Jamal since I knew you I always look up to every time you edit a new story...... Much love
@idrisamtali71464 жыл бұрын
From Mozambique I didn't Understand Swahili but story hii imenifanya nijifunze kiswahili thanx Jamal Mustafa
@christofa85614 жыл бұрын
😂😂😂
@alexandrinadomaino98684 жыл бұрын
Haaaa haaaa lol
@Nderemi7864 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@hellenimmaculate59534 жыл бұрын
Lol😂😂😂😂😂😂😂😂
@gibbs13204 жыл бұрын
Jifinze kiswahili dear.
@gandmsambili90432 жыл бұрын
Story ni Msomaji hata Uongo huweza kua ukweli... GONGA LIKE kama unaamini...!!! Hongera kwake Msomaji, kikweli mwenzenu et nimeani! Gonga like tujuane Wenye imani!
@farajiramadhani16214 жыл бұрын
Kama unaamini kwenye hizi comment kuna wachawi wanacomment gonga like😅😅
@latwifuabduli72233 жыл бұрын
Hhhhhhhh
@eliajohn62493 жыл бұрын
😃😃
@winniesalum4833 жыл бұрын
😆😆😆
@saidpazi16423 жыл бұрын
Doh
@raiamwema71573 жыл бұрын
🤣🤣 wappooooooooo
@kobajumakuziwa99764 жыл бұрын
Nakupenda sana kwa hekma zako nilikuwa nafuatilia sana mambo kama haya kwenye KZbin kwa lugha ya kigeni
@didasnyongo34444 жыл бұрын
Nakunyooshea mikono brother, wewe ni Zaid ya professor...
@seifkulwa33463 жыл бұрын
Uchawi(sorcery) ni sayansi ya nature, nguvu za Mungu ameziweka sehemu zote kwenye maji, mimea, wanyama, mawe, hewani nk ni ww namna ya kutumia hizi nguvu kwa mazuri au mabaya!
@andrewmpanya54152 жыл бұрын
Nakubali point yako
@FizzoBucker1874 жыл бұрын
Who really enyoyed this video than me ? Everybody: Yes
@roymediatv33144 жыл бұрын
Piga kelele kwa Jamal akeeee😋😋😋
@raphaelmabina89164 жыл бұрын
Tunaomkubali Jamal April gonga like hapa tujuane 🔥🔥
@dr.b50294 жыл бұрын
Jamal ni zaidi ya jini. Anajua mpaka anaboa. Big up broo
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
كيف حالك اخي قصة جيدة
@b12chomolla624 жыл бұрын
*Katika the story book background sound na msimuliaji huwa vinanifanya niikubali the story book kama na ww u pamoja nami penyeza comment yako KWA kusema THE STORY BOOK*
@mirajimwango57634 жыл бұрын
Noma sana mzee background inaibeba hii kitu
@musamgulila5774 жыл бұрын
Inaongeza vibe
@sarahjulius78844 жыл бұрын
Story ya Napoleon bonaparte, kiongozi wa ufaransa
@rebeccageorge72983 жыл бұрын
The story book
@fatmamussamussafatma18263 жыл бұрын
The story book
@mgeyo64644 жыл бұрын
😫😫😫😫😫Daaaaaah umeme umekata jamani sielewi humu ndani nakaaje kaaje🤣🤣🤣🤣🔥🔥🙌🏻Daaaaaah Semaa HII SIMULIZI NI NOMAAAA AISEEEE BIG UP JAMAL APRIL 🔥🔥👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@mourinebey_kenya70274 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maraedimburgh70284 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chicharitoronaldo59504 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mwandisimfukwe16614 жыл бұрын
Washa tochii
@iammusic34044 жыл бұрын
Utakoma😂😂😂😳
@erickkaviga60014 жыл бұрын
Profesor makini kuwahi kutokea katika tasnia ya uandishi.....✊🏿
@elizamdumbwa61753 жыл бұрын
NI kwel baba
@feishiks22854 жыл бұрын
Watching from Kuwait...waah hiyo story acha tu...i believe in God...and i...will never Disappoint him...🙏
@saidnasihu540 Жыл бұрын
Mola akubariki sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿..
@youngigtz2554 жыл бұрын
Jaman naombeni ndo nimeingia saiv ata like mbili
@nomatter12394 жыл бұрын
Jam anajuwa sn mpk nimemsahau mtiga abdalah na kam na ww umemsaha lik hp zifike 20
@denisimaliyaweni91834 жыл бұрын
Mtiga fundi sana kiukweli tuache upinzani
@mcmifukotz72674 жыл бұрын
Uyo mtiga wenu alikua anatungiwa na jamaa tu na hata mpagaze anatungiwa na edigaz
@nawwarsultwaan64043 жыл бұрын
Wewe acaha ufala usisahau mbachao kwa msala tuu upitao sawa mtiga ni zaydi ya Sana Tena mtiga hata awe anatungiwa lin mtiga ni big so Sana kijana Yani huyu akasome Sana ndio amfikie mtiga
@aishandayishimiye51274 жыл бұрын
Uchawi sio shida Shida matumizi yake😝
@tariqdasulley4 жыл бұрын
JAMAAAL JAMAAAL JAMAAAL YO DE BADDEST BRO WALIOKUWA WANAKUPONDA KISA MTIGA LEO WAKO WAPI????? PROFESSOR JAMAL 🙌 UNATISHA SAAANA
@mariamkasminaseifu63203 жыл бұрын
Ayo yalikwisha jmn.mbn mnapenda kuw nyuma km mikiyaaa
@winniealbert93293 жыл бұрын
Asante #mariam
@rashidisefu18613 жыл бұрын
@@mariamkasminaseifu6320 mim namkubli xanaa kwanz alipoondka nillilaam xanaa huwa mb zang anazimaliza kipond pekee hap tz kizuli xanaa wasaf FM niyakwetu soteee
@rukiacharo58143 жыл бұрын
We love u jamal
@gracenizigama87284 жыл бұрын
Story ya leo imenifunza vitu vingi mungu tusaidie🙏🙏🙏
@saidharuna83264 жыл бұрын
Ambao tuko pamojaa tunaocheki storybook ya uchwiiiii🔥🔥
@abuuhatibu37584 жыл бұрын
Namm hapa mwana historia jamani msiache ku like hapo........
@Tiffany3404 жыл бұрын
Hivi hii tabia ya kusikiliza na kusoma comment itaisha lini jamani..khaa..🤔🤗
@muragizinourah10423 жыл бұрын
Uchawi unamdhuru mchawi zaidi kuliko alierogwa.subuhanallah....kumbe ubaya wao unawadhuru......haya Maneno yamenipa moyo
@iammusic34044 жыл бұрын
Who else loves Jamal April the story telling professor!?😘
@inxrabbit84544 жыл бұрын
Am heree
@terrykinya53984 жыл бұрын
I have always had a crush on him❤️😭😭
@iammusic34044 жыл бұрын
@@inxrabbit8454 enx😳
@iammusic34044 жыл бұрын
Please don cry darling it's ok 😳
@kwemboisam70482 жыл бұрын
I really love jamal's storyteller good work my professor God bless you and give you energy to continue working on us,
@josephatadamiddy29944 жыл бұрын
The story book nakupenda Sana imenifunza vitu vingi Kama unaipenda gonga like hapa
@ramadhanimusa29724 жыл бұрын
Kweli
@justinmmbando53864 жыл бұрын
Usitegemee sana hizi story broo chimbua makaburi mwenyewe
@odilotarimo44533 жыл бұрын
Sana
@nizzarzaver10463 жыл бұрын
Nikikupa like utazipeleka wap Zakusaidia nn izo like acha ujinga tafuta ela sio like pumbav
@marthagody35534 жыл бұрын
Kijiji cha mayang 🙌🙌hawanashid na police wao 😆😆
@veronicasala10064 жыл бұрын
Bro jamal,, Mungu azidi kukuweka mikono ya malaika salama,, aendelee kukupa kibali kila itwapo leo,, unatoa simulizi zenye hisia na mafunzo mema sana,, isn't for funny, among of education session. Keep it up 💪👍 my brother.
@IreneTarimo-pc6ne7 ай бұрын
Anasimulia vizur sanaa❤
@g_eazmusic13294 жыл бұрын
Kama nawewe unamkubali jamal nipe like apa
@shukurusalva40634 жыл бұрын
Mwana ni fund yko konki
@mussamayele13033 жыл бұрын
Fundi sana professor
@ismailkushinda88303 жыл бұрын
Jamal uwajua bnaaaa
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
Wanawake wengi ni wachawi , wacha tuwanyenyekee wasije wakaturoga 😃😃😃😃
@celinejulius22863 жыл бұрын
😂😂😂😂
@josephjo53764 жыл бұрын
From kenya tunafuatilia sana🔥🔥💯hongera
@abasyroy71843 жыл бұрын
Nice
@damianmosoka53564 жыл бұрын
Nimeisikiliza hii simulizi usiku wa saa sita na nilikua nime connect Bluetooth kutoka simu yangu kwenda kwenye subwoofer yangu.. hakika nimekutana na mapambano usiku mpk nimeshindwa kulala..
@iammusic34044 жыл бұрын
Lol😂😂😂🙈
@biharucussi81304 жыл бұрын
😂😂😂pole sana
@cuteme48704 жыл бұрын
Pole dear sali
@alikeylove58834 жыл бұрын
😂😂😂😂umeuaaaa daah
@hellyally43954 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@bhavankhantvhd15724 жыл бұрын
Napenda San the story book kam unapenda Kama Mimi na diamond gonga like twende mbele
@nizzarzaver10463 жыл бұрын
Zakusaidia nn izo like acha ujinga tafuta ela sio like pumbav
@mgeyo64644 жыл бұрын
Huyu mzeee anawatole siri wachawiii daaaaaah watamuuwa jamani😱😱
@iammusic34044 жыл бұрын
In Jesus name he won't die👌
@biharucussi81304 жыл бұрын
Mungu atamlinda
@abdulzackawami7780 Жыл бұрын
Kama umemsikiliza Dr Manyaunyau gonga like hapa...big up Jamal April professor 🙏🙏
@abuujo37854 жыл бұрын
Jamal ur a true legend love mob love from Msa
@luckasalfred25774 жыл бұрын
Tutazidi kukeombea uishi miaka mingi prof
@ashadadi73784 жыл бұрын
Daaaaah afazal nmeangalia kabla ucku sana haujafika nahic nisingelala
@ummyhasheem22453 жыл бұрын
Imenifuraisha hii cz umeongelea na uislam 😚😍😍😍😘😘
@outisblack85684 жыл бұрын
kila wakati kalamu ya pembeni ikiandika 'the story book' na wew unaiangalia basi ubongo wako upo active.
@beachgizaarea53704 жыл бұрын
Daah prof sijui nikupe zawadi gan sielewi mbka muda huu sema we ishi tu huna baya. Yan ndyo naangalia mbaka mida hii 12:48
@pantherking09584 жыл бұрын
Nitakuja kuangalia kesho asubuhi maana nimeshindwa kuangalia huu usiku🤣
@mariamkissiwa25493 жыл бұрын
Yaani mimi ndo nahangaika hapa,mpk naogopa
@conniechrist92604 жыл бұрын
I cover myself with the blood of Jesus Christ and the Holy Ghost fire!!
@SuperJaydeejay4 жыл бұрын
Have faith in God ..not covered by blood..witchcraft its real even prophet Ibrahim uses witchcraft
@sarahyvonne45803 жыл бұрын
Amen
@jenniferadam26333 жыл бұрын
8
@abdulkisome95383 жыл бұрын
Ww utaipata wap dam ya yesu
@muchokicecilia93323 жыл бұрын
Kill km km km km km km km km km mm mm
@marychantal47234 жыл бұрын
If you like watching the story book..... Leave a like
@thomastairo20214 жыл бұрын
Dahhh si kuna fala kaja kunigongea dirishani🙌🏿 nkajua tayari wazee wamekuja🤣🤣
@Ray-vk7bp4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@josephmartini85194 жыл бұрын
, , 😁😂😀
@maulidismail90504 жыл бұрын
😂🤣😂😂😂
@yusuphwm4 жыл бұрын
Excellent professa jammaal.. kama unamkubali jamali usipite bila kugonga like👍
@seciliarenatus35964 жыл бұрын
Pale Jamaa anaanza hiki kipindi cha the story book niliona kama vile siinjoy nilikua nimemzoe Yule mwingine sana Lakin nowadays naona Jamal ni fire yani ni professor Kabisa naenjoy sana 😍😍
@herijabro17634 жыл бұрын
Jamal april ana hekima tokea mdomoni akizngumza had sura yake n mpole xan then Genius sana namuelewa sana huyu mwamba
@ibrahimmbatta92294 жыл бұрын
Leo wa pili jamani, daaah huyu jamaa anajua sana
@lordsmenas32674 жыл бұрын
Ukipita bila like bas na wewe utakuwa Mchawi!
@abduamiry7304 жыл бұрын
🤣😂😂
@FourTeen_Kiid4 жыл бұрын
😂
@sherrysalim504 жыл бұрын
Hahahahaha 🤣😂😂😂😂
@godfreymahavile46884 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@hellyally43954 жыл бұрын
🤣🤣🤣✌
@fatmafatoom65533 жыл бұрын
Daaahhh Jamal wewe mungu akuweke yaaan elimu yako n ya juu sana.big up yaaan ukopeshi jambo waleta zimazima saf Sana.
@samuelkibiku25903 жыл бұрын
I really love the way you narrate the stories
@ashrafsalim61124 жыл бұрын
Ur amazing Jamal Big up brother
@samwelylaurent43014 жыл бұрын
Bro jamali unajua sana mwanang
@calebespillah95953 жыл бұрын
i normally follow this program from a Kenyan local channel, i love the research
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
Je viens de France et j'adore tes histoires continue comme ça mon frère je comprends un peu le kiswahili
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
ⁿ⁰
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
Ur funny
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
We nwosk
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
We nwosklol
@TRASHLEOPARD Жыл бұрын
Both edit ,om 🕉 I fail ois
@Somebodyligo.4 жыл бұрын
Oya uyu jamaa 💥
@charlescosmas78234 жыл бұрын
Kama unavyopata shida kutusimulia na sisi ndo tutapata shida hivyo hivyo kulala usiku w leo
@joynjiru35724 жыл бұрын
that's true
@nurupaul18454 жыл бұрын
Yaan cjui nalalaje leo
@tengeru4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@abdulmalikmassoud22294 жыл бұрын
Mimi ndio maana sijatk kuanglia uck nimkuja kuanglia asubuh hhhhhh
@richardjuma77084 жыл бұрын
😂😂😂
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Duh wanawake wengi ndo wachawi🤣🤣🙌wanawake wote wachawi TUJUANE HAPA.👇like yko hapo chini
@muragizinourah10423 жыл бұрын
Subuhanallah,kweli wewe ni mchawi???uchawi wako uanze kukuthuru tangia utakapo soma msg yangu.kwa jina la yesu.......kama kweli wewe ni mchawi
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
@@muragizinourah1042 bahati mbaya sio sasa kwa jina la yesu litakurudia mwenyewe kama ww ni miongon mwao🤣
@miklasirange94133 жыл бұрын
U have amazing voice may Allah bless u
@iddbest78624 жыл бұрын
Nimekua wa 3 ku comment nipe like yako kama na ww unaipenda the storybook
@fikirijames57654 жыл бұрын
Hii ya moto kweli ,alfu watu wengi tunapenda sana uchawi ndo maana tumekuja kwa wingiiiii ,ama kweli uchawi ni science ...
@mourinebey_kenya70274 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
hhhhh
@fikirijames57654 жыл бұрын
@@mu-crzymahez9229 nasema uongo ?
@emmanuelyraphaely33434 жыл бұрын
Apa najua Kuna wachaw ambao saiz wapo wanaiangalia hi simulizi wanamuona Jamal anazingua sababu anavujusha Siri zao 😂😂
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
anatuzngua uyu
@user-ob4ud6qh3j4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sophiaugolole73224 жыл бұрын
Hahaha hahaha kwel kabs
@stevekasawala23153 жыл бұрын
😄😄😄😄
@isayamwanjoka39582 жыл бұрын
Profesa jamal upo vzr sana nami natamani kuwa mtafiti na mchambuzi mzuri
@eddymenas4 жыл бұрын
Gonga LIKE hapa tujuane tunaosikiliza huku tunasoma COMMENT
@mjubamasawe37234 жыл бұрын
Ilaa ujaimalizaaa
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Pamoja
@sharonke74424 жыл бұрын
🤣 🤣 eti bwana niko gorofa fulani kumbe gorofa yenyewe juu ya mwembe, shikamoo wachawi
@maryamomary95964 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@abdallahibrahimrajab10304 жыл бұрын
Bro your genius big up to u
@orestemanenomaneno77262 жыл бұрын
Boa tarde irmão você profissional merece premium mas força mano 👏🔥🇲🇿🇲🇿
@teonasguilhermenantumamwan5053 Жыл бұрын
Isactamente, ele merece toda força, que DEUS lhe abençoe!
Jamal ukweli ni kwamba: ninachopenda kukuhusu sio kile unachoongea bali namna unavyokipangilia kwa kukiongelea ili kieleweke, ubarikiwe sana mana historia zako zinaeleweka wallahi. Mtiga alipoondoka wengi walisema hutoweza chochote ila leo hii wewe ndo umeonekana gwijiiii💪💪 ubarikiwe. kwa kua mimi ni mCongo hamnipi like?
@neeysahbenson34674 жыл бұрын
Kama nawaona wanga wanavyoitana kuview baada yakuumbuliwa 😆