No video

#TheStoryBook

  Рет қаралды 877,917

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

#TheStoryBook 'SIRI YA ROHO NA KIFO' - Unazo Taarifa za Uhakika za Maisha Ya Kifo?
Ni DINI au SAYANSI ndio yenye majibu ya Uhakika?
Professor @jamal_april ameandaa Makala Nzito Katika Episode Hii

Пікірлер: 1 200
@user-ee9ye3qt6l
@user-ee9ye3qt6l 10 ай бұрын
Hongera Kaka Mungu akuzidishie neema hiyo,Mimi ni Emmanuel kutoka Mombasa Kenya nafuatilizia simulizi zako.🇰🇪🙏
@edwardgistave9488
@edwardgistave9488 4 жыл бұрын
Wanagpi wana amni mungu yupo
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Edward Gistave Mungu yupo kuna mrusi mmoja aliwahi kwenda mwezini na chombo chake baada ya mtu mmoja ambaye anaitwa Neil Amstrong naye huyu yasemekana pia alienda na chombo chake cha Apollo 11, sasa huyo mrusi alipofika mwezini akawa anaulizwa na wana anga wenzake hapa duniani vipi unamuona Mungu huko? Akasema simuoni Mungu wala nini ,wenzake wakamuuliza tena inamaana huko hakuna Mungu? Akajibu sioni Mungu wala nyayo za watoto wake wanapocheza,basi alipokuwa anataka kupanda chombo chake arudi duniani kutoka kule mwezini chombo kikapotea mpaka leo hakijulikani kimeelekea wapi.
@edwardgistave9488
@edwardgistave9488 4 жыл бұрын
@@Pedeshee01 da hatli
@hassanussi6054
@hassanussi6054 4 жыл бұрын
Simba vs aliance
@onyangojoseph2180
@onyangojoseph2180 3 жыл бұрын
Mungu yupo
@fastnetpangani6650
@fastnetpangani6650 3 жыл бұрын
Mungu yupo, Hata kabla ya hizi dini, Jamii zilikuwa zinajua uwepo wa Mungu kupitia miungu ya mababu zao, Lakini baada ya ujio wa Dini za kigeni, wakatuaminisha kuwa Miungu tunayoiabudu ni Miungu ya Kishenzi. Ebu fikiri hao mababu zako ambao kupitia wao, wewe uliweza kuingia duniani, halafu Leo wanaitwa Washenzi, hatuoni kwamba in laana isiyosameheka ?
@iii3news
@iii3news 4 жыл бұрын
there is a time come i realize this jamal is someone else touched by allah
@nomatter1239
@nomatter1239 4 жыл бұрын
Huy jama mwanzo nilikuwa na sema hajuwi kusimulia ila ss kanimaliz wanaomkubali jamal kam mm lik hp zifike kwake kam 20 hivi plss
@stanslaus7775
@stanslaus7775 4 жыл бұрын
Basi ulikuwa fala 😏
@nomatter1239
@nomatter1239 4 жыл бұрын
@@stanslaus7775 dahhh kwa ss sio fala
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 4 жыл бұрын
me mwenyewe mwanzo nkasema kama anakuja harafu anakataa
@nomatter1239
@nomatter1239 4 жыл бұрын
@@fabiantanzania5795 ahhhhhhhh kwel tulikuwa wengii tunamtaka mtigaa
@frankmnyela510
@frankmnyela510 4 жыл бұрын
Kwani hizi like mnazoziomba mnazipelekaga wap!!!?i au kazi yake nn
@legendcallofduty
@legendcallofduty 4 жыл бұрын
Allah anasema kumwambia mtume (s.a.w) nawanapo kuuliza kuhusu roho waambie roho ni Amri ya Allah.. Nakubali story book
@papaesco5198
@papaesco5198 4 жыл бұрын
Kabisaa Mzee baba
@halimamis4236
@halimamis4236 3 жыл бұрын
Naam
@twalhaadam952
@twalhaadam952 4 жыл бұрын
Wakiuliza kuhusu roho au Sema hiyo ni Amri ya Allah tabaraka wataala. Hivi ndio tunavyojua sisi waislamu dini yetu haijawacha chochote cha Duniani wala cha kesho Akhera 👆😌الحمد لله على نعمة الإسلام ♥️
@AHLUMTANGANAUkhtyDyda9154
@AHLUMTANGANAUkhtyDyda9154 4 жыл бұрын
Enheee sema roho Min Amri Rabbih 🙏
@ashurahussein9748
@ashurahussein9748 4 жыл бұрын
Hakika
@mariamkissiwa2549
@mariamkissiwa2549 4 жыл бұрын
Exactly
@qassimayoub3954
@qassimayoub3954 4 жыл бұрын
Fact
@lightnessshayo1783
@lightnessshayo1783 3 жыл бұрын
Hayaaa sawaa
@ezekielmungeleza4666
@ezekielmungeleza4666 4 жыл бұрын
The story book 4life piga like Kama unamkubali Jamar April
@justapius9495
@justapius9495 4 жыл бұрын
Nimeikubari
@ibdranation6489
@ibdranation6489 3 жыл бұрын
Good
@raikiss3615
@raikiss3615 3 жыл бұрын
Namkubali Sana
@ramadhanmsafiri2889
@ramadhanmsafiri2889 3 жыл бұрын
Nakubal
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Sana tuuuu
@ctcacleophas9733
@ctcacleophas9733 3 жыл бұрын
Daah...! Mwenyez Mungu nijalie Mwisho mzuri. Ameen🙏
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 2 жыл бұрын
Amiin
@hassanmatei4063
@hassanmatei4063 Жыл бұрын
Daah jamal April mung akupe Kila utakacho Cha kheri 🙏
@glorymakena7811
@glorymakena7811 Жыл бұрын
Amen
@andrewsewangi8747
@andrewsewangi8747 4 жыл бұрын
Bonge moja la kipindi Na hili litaleta competitive advantage kweny media.. Wasafi musiiache hii.. Wafatiliaji tupo sana
@sigifridaloyce7116
@sigifridaloyce7116 2 жыл бұрын
mustapha
@jacklinekiria6452
@jacklinekiria6452 4 жыл бұрын
Kama unamkubali na story zake gonga like hapa
@bunnasib1961
@bunnasib1961 4 жыл бұрын
Itabaki kubwa ni ndoto tu aseee Maana ye mwenyewe Allah anasema "Wanakuuliza kuhusu Roho Sema uwaambie Hiyo ni katika ujuzi wa Allah tu"
@latifahissa8581
@latifahissa8581 4 жыл бұрын
Asanta🙏
@blukimusic5137
@blukimusic5137 4 жыл бұрын
JAMANI SIKILIZENI HI YA MTIGA kzbin.info/www/bejne/f32ZnoysrNOkbas ALAFU NIAMBIENI NANI MKALI ME NAONA MTIGA AMEPATIA SANA ,,,EMBU SIKILIZENI HIYO YA MTIFA
@hamzasalah8628
@hamzasalah8628 4 жыл бұрын
V
@moussajuma4635
@moussajuma4635 4 жыл бұрын
kbx👍
@irsamsailo580
@irsamsailo580 4 жыл бұрын
Upo Sawa
@rukiajumaa574
@rukiajumaa574 3 жыл бұрын
Jamaaaniii na mie ninamsikiliza Jamal pia....wooteee wanaoangalia hapa sasa naombeni likes zenu 200 tu.
@drraizkidume867
@drraizkidume867 4 жыл бұрын
*Zamani walimponda sana, ila leo wote wanamsifia* *WCB atukosei* piga like hapa from Mozambique
@nasralameck5027
@nasralameck5027 4 жыл бұрын
Achana na wasafi aise ata kama wangeniweka Mimi apo mngenipenda tuh mamaee
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 жыл бұрын
punguza ulimbukeni wcb ndio nini
@markthegreat5789
@markthegreat5789 4 жыл бұрын
Da Silva Junior Wcb no Baba Lao 😒😂
@Sadaamberlin8307
@Sadaamberlin8307 4 жыл бұрын
@@nasralameck5027 qq
@emanyamhanga2767
@emanyamhanga2767 4 жыл бұрын
Wcb inahusikahuku kaeni na mziki huko
@abnizplatnumz5520
@abnizplatnumz5520 4 жыл бұрын
Ninaamini @Jamal ni bonge la jini Ametafta sifa sanaa humu ndani kuanzia voice hadi simulizi
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 4 жыл бұрын
Wangapi sasa wameanza kumuelewa huyu jamaa
@eliudignatio9378
@eliudignatio9378 4 жыл бұрын
Nimeanza kumuelewa
@pendomarco572
@pendomarco572 4 жыл бұрын
Jamary
@ommyomar907
@ommyomar907 3 жыл бұрын
anaongea upuuzi tuh na ujiinga
@samwelgeorge1465
@samwelgeorge1465 3 жыл бұрын
Yuko vizuri
@samwelgeorge1465
@samwelgeorge1465 3 жыл бұрын
Namkubari sana
@zacariaalihat9789
@zacariaalihat9789 3 жыл бұрын
This man jamal is very great the way he explain things 👏
@ramadhanimkomeni9515
@ramadhanimkomeni9515 4 жыл бұрын
Daaaaaah eeeeh mungu tujaalie mwisho mwema
@mamuliciosrajab6664
@mamuliciosrajab6664 4 жыл бұрын
Ameen In sha Allah
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Amini
@idymligo7131
@idymligo7131 3 жыл бұрын
Inawezekana
@captainswaicomedian8484
@captainswaicomedian8484 4 жыл бұрын
Kunasiri gan kwenye likes embu na mm nipen nifikishe like 100 nitoe ushuuda kwenye stor inayo fuata plz
@trailersmozzy5215
@trailersmozzy5215 4 жыл бұрын
Duh maneno mengi ugonjwa sina neno kabisa bro unajua
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 4 жыл бұрын
Doctor Duncan McDougall ametisha sana... Big Up
@maulidipeter6124
@maulidipeter6124 4 жыл бұрын
Professor Jamali mustadha is another level keep it bro you have fantastic talent.
@uzwaifakp7323
@uzwaifakp7323 4 жыл бұрын
Jamal mashalah Allah amekujalia elimu hv unamke nikupe Dada angu bure pasina mahari yeyote wallah unaelimu kubwa sn
@abdullally3733
@abdullally3733 4 жыл бұрын
Wisilam haujaacha kitu kuhusu kifo chamwanadam kikubwa tusome na mwenyezimungu atujalie mwisho mwema
@jdjdudbsjdjd1352
@jdjdudbsjdjd1352 4 жыл бұрын
Ameen yaa rabbi
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 4 жыл бұрын
Amiin Thumma Amiin
@darhustler
@darhustler 4 жыл бұрын
Insh' Allah
@hamisaramadhan5887
@hamisaramadhan5887 4 жыл бұрын
Amina inshaallah
@zananaally2963
@zananaally2963 4 жыл бұрын
Ilayhi amin yaa rabbi
@goodluckleonard1581
@goodluckleonard1581 4 жыл бұрын
Jamal April ametufundisha kua Tusiyafanye mazoea kua ukweli usioweza kupingwa. 2. Tusikikatae kitu kabla hatujakipa muda, hamkua tayari kumpa muda Jamal. 3. Kila mtu ameumbwa na kipaji kikubwa si lazima uwe na sauti nzito Kama mtiga ndio utoe simulizi za kuvutia. 4.uamini uwezo wako wa ndani usitake watu wakuelewe mwanzoni wape muda wataelewa tu na hata wakielewa usiwasikilize kwa vile hawachelewi kubadilika. AMINI KATIKA UWESO WAKO
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
*KAMA UNAIPENDA THE STORY BOOK ACHIA LIKE YAKO HAPA*
@bennympatanishi8341
@bennympatanishi8341 4 жыл бұрын
Huwa ni saa ngapi katika channel ya wasafi?
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
@@bennympatanishi8341 *KILA JUMAPILI*
@amaniuhwangi117
@amaniuhwangi117 3 жыл бұрын
You are good in the story book
@cyrusradge65
@cyrusradge65 3 жыл бұрын
This is the main reason i watch wasafi TV.Jamal is the KING.Lots of love from Kenya.
@samwelylaurent4301
@samwelylaurent4301 4 жыл бұрын
Jamal Jamal Jamal endelea kukaza na bii aliekataliwa mwanzo leo hii ushatuamnisha Kua kwenye maisha uwez pendwa nakila m2
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 жыл бұрын
Jamani nimekisubiri hadi nikajiuliza Jamal ametusahau nini? But now that you are here Roho imetulia 😘😘😘😘😘😘😘😘 Good job April kama kawaida hutuangushi👏🏽👏🏽👏🏽💯💯💯
@wasasyjr4345
@wasasyjr4345 4 жыл бұрын
Saf xn walau we hjaomba like
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 жыл бұрын
Wasasy Jr shukran sana 😘😘😘
@salvashaban9194
@salvashaban9194 4 жыл бұрын
kajitahidi
@salumtamopa5480
@salumtamopa5480 4 жыл бұрын
Upo Mombasa Julia?
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 4 жыл бұрын
JAMAL APRIL AU PROFFESA SI MCHEZO HII STORY INA TISHA UKIWA MWENYEW GETO UNAWEZA UKIMBIE... HONGELA UNA FIKILIA SANA
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 4 жыл бұрын
😃😃😃
@ceomeja670
@ceomeja670 4 жыл бұрын
😁😁😁
@sampartick2235
@sampartick2235 4 жыл бұрын
Mwanangu najikaza nipo gheto hp
@onlytecna9498
@onlytecna9498 4 жыл бұрын
Kweli aiseee inatishaaa balaa
@chuimyaudidesigner1606
@chuimyaudidesigner1606 4 жыл бұрын
Ni balaaa
@abuuabuuamed5366
@abuuabuuamed5366 4 жыл бұрын
JAMALI UNAJUA SANA KAKA LEO NIMEJIKUTA NAJIFUNZA MENGI KUPITIA HII SIMRIDHI NAMUOMBA MUNGU ANIPE MWISHO MWEMA🙏🙏🙏
@leticiajohn3114
@leticiajohn3114 2 жыл бұрын
Amina
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
*KAMA UNAMKUBARI JAMALI ACHIA LIKE YAKO HAPA*
@leylahassan8791
@leylahassan8791 4 жыл бұрын
Nipo
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
@@leylahassan8791 *Safi Sana*
@Chilumedia
@Chilumedia 4 жыл бұрын
@@leylahassan8791 tupo
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
Safi
@mrbweichum
@mrbweichum 4 жыл бұрын
@@Chilumedia Safi sana kaka
@twalibtz1936
@twalibtz1936 4 жыл бұрын
Duh leo nimeiwahi na mie tunaoipenda The Story Book Tujuane hapa like walau 5 tuh
@athumanijumapili3819
@athumanijumapili3819 4 жыл бұрын
mtangazaji yupo makini
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 4 жыл бұрын
Dah kwa hakika Allah ndio amesema ukweli juu ya Haya KWAMBA kwa hakika hatujapewa elimu juu ya roho anaejua ni yy tu
@shabaniadolph7367
@shabaniadolph7367 4 жыл бұрын
Duuuh proffesor . Sina uoga kabisa ila leo kwamala ya Kwanza nmeangalia usiku hi story imekuwa nzito na imeniogopesha. Ila tumependa story big up
@doreenchuwa3630
@doreenchuwa3630 4 жыл бұрын
Mimi hapa naangalia jioni ila mweeee 🥴🥴🥴 naona shidaa kweli
@shabaniadolph7367
@shabaniadolph7367 4 жыл бұрын
@@doreenchuwa3630 atar sana
@onlytecna9498
@onlytecna9498 4 жыл бұрын
Hata mm mpk nmeogopa
@fatmaaljumaa5738
@fatmaaljumaa5738 4 жыл бұрын
Msiongope jmn
@godfreirafael3465
@godfreirafael3465 4 жыл бұрын
N
@samsonjuma9821
@samsonjuma9821 4 жыл бұрын
Biblia inafafanua vizuri kabisa Kama ukisoma kitabu Cha Muhubiri 9:5-10 Na zaburi 146:4 like Kama umenipata
@salimmobiletechnology1138
@salimmobiletechnology1138 4 жыл бұрын
Hyo ni imani yako ,kuna mwingine haamini hata hyo biblia
@ericmkami7578
@ericmkami7578 4 жыл бұрын
Samson upo sahihi kabisa...ila kuna watu wahajui ndio maana wanashindwa kupata majibu ya maswali yao
@krisongalax1736
@krisongalax1736 4 жыл бұрын
@@salimmobiletechnology1138 nawe kafwate yako usimjudge mwenzio
@krisongalax1736
@krisongalax1736 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@keazi9638
@keazi9638 4 жыл бұрын
Acha uongo bibilia haina uwezo wakufafanua kifo
@Jackhanstv
@Jackhanstv 4 жыл бұрын
Wapili kucomment kama unaikubali story book gonga like
@leylahassan8791
@leylahassan8791 4 жыл бұрын
Niko
@kitundaradjabu153
@kitundaradjabu153 Жыл бұрын
The story book ndo historia ambayo inatufunza vingi sana jamani
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 4 жыл бұрын
Style yako umeibuni tofauti kabisa umepatia broo wengi wanatembelea viatu vya ananias edger lakini wewe umevaa viatu vyako Goo kamanda na jipa like mwenyewe sitaki zingine moja tu inatosha😁
@drbinagi
@drbinagi 4 жыл бұрын
This is exceptional journalism! Brilliant!
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 4 жыл бұрын
Very fantastic awesome
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 4 жыл бұрын
Mwenye kuijua siri ya roho ni Allah peke yake
@abelchuche4484
@abelchuche4484 4 жыл бұрын
Allah ndo nan ww?
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Allah ndo mdudu gn
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 4 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 utakuja kumjua huyo mdudu unosema sıku utakapo kua unakata roho na hayo marungu ma moto utakaoenda kuıngızwa
@lightnessshayo1783
@lightnessshayo1783 3 жыл бұрын
Ndio maana haijawa perfect ni practically ya duniani tu Kama wewe unajua hivyo umeskiliza vya nn si kwa sabbu ni binadamu tu na utabaki kuwaa binadamu
@khadijahali6856
@khadijahali6856 3 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 muogope Mungu dadangu wewe
@handsomekiller8325
@handsomekiller8325 4 жыл бұрын
Hatari sana wasafi aseeee daaaaa mtafika mbali sana nawaombea
@collinmhina2274
@collinmhina2274 4 жыл бұрын
Jaman tusiwe wanafki huyu jamaa fundi kuliko mtiga Abdallah..aisee respect bro
@diouftomba7298
@diouftomba7298 4 жыл бұрын
Unafeli
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@maireshsaid1628
@maireshsaid1628 3 жыл бұрын
Sasa mtiga si alikuwa msomaji tu huyu ndo alikuwa anamuadikia kika kitu
@Hbjamesblk
@Hbjamesblk 4 жыл бұрын
Mwanzo nilikuwa nimekuzarahu na kusema kuwa siwezi kusikiliza unavyo simuliza maana nilisema ujuwi lakini kwasasa hacha nisema naomba razi kwako.maana nimekubali kazi yako brother na unafanya kazi kubwa mno
@kalobhantazi1950
@kalobhantazi1950 4 жыл бұрын
Mi shabiki wa Mtiga abdallah lkn bro kwa hili umempiku parefu....big up bro
@mussanassoro790
@mussanassoro790 4 жыл бұрын
Multi talented programmer,coder ,story teller and author =Professor jamal appreciated bro
@barakavictor5959
@barakavictor5959 4 жыл бұрын
Tumewahi Leo mie wa tatu naomba Like watu wangu
@pascleshayo9740
@pascleshayo9740 4 жыл бұрын
Like za nn Sasa mnateseka ga
@allenrweyemam6620
@allenrweyemam6620 4 жыл бұрын
Kwan nyie mnaoombaga like .. huwa mnapataga faida gani tusaidiane kuelimisha . Au ndo mnaomba kitu ambacho hakina faida yoyot mnapoteza mda wenu bure?
@barakavictor5959
@barakavictor5959 4 жыл бұрын
@@allenrweyemam6620 kwan na we ukitoa like unapata mateso gani ? Mpk unashinda kutoa like kitu ambacho hakihitaji nguvu wala akili
@frankmnyela510
@frankmnyela510 4 жыл бұрын
Itakuwa kuna IT fran inafanyika hawa jamaa watakuwa wanaziuza hizo like zetu wasenge yani sote tupo hapa kumsikiliza april afu utuombe like wakati we mwenyewe msikilizaji kama sisi.. Fungua account yako youtube uhadithie kama hv uone kama hata wa kuwaomba like utawapata sio mnakuja kwenye akaunt za wanaume kuomba like.. Eti utamckia mtoto wa kiume "naomba like" mtakuja mtuombe vocha... Haya jaman ili kumkomoa nipeni mimi hzo like
@kimsaid7643
@kimsaid7643 4 жыл бұрын
Hizi like mnakulaga?
@aftermath5226
@aftermath5226 4 жыл бұрын
😄😄😄 Big Respect to you bro...waoh! Walahiii hii show unaipatia sanaaaa hadi mwili unanisisimka, keep it up bruda 💪💪
@alexboyofficial6295
@alexboyofficial6295 2 жыл бұрын
😅😅
@user-rj1qn8us7z
@user-rj1qn8us7z 5 ай бұрын
May God help and guide those who are making research like this guy Jamal April,,, Furaha Barikiwa Kenya 🇰🇪,,,he is giving answers to questions I thought of when l was 3 years old.I believe in God and reincarnation. What comes round goes around.🤝🌍👍
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 4 жыл бұрын
Huyo jamaa ni hatari anatisha asante sana bro mungu akupe maisha marefu kwenye kazi yako
@khalidwaziri5403
@khalidwaziri5403 4 жыл бұрын
Meeen I really love how you finish it.. mashallah..
@imanimwegenyaalum7036
@imanimwegenyaalum7036 4 жыл бұрын
NIKWELI hmna mwisho wa dunia ila tu nafsi kuhama mwenykutk kujua zaidi anitfute
@goldiebuzzbee8303
@goldiebuzzbee8303 3 жыл бұрын
much love from kenya...... am watching for the first time n i love it
@yasinsaid8463
@yasinsaid8463 3 жыл бұрын
Love it
@ourmath8725
@ourmath8725 4 жыл бұрын
Jamal April 👏🏾
@mt360degreez7
@mt360degreez7 4 жыл бұрын
Daa Jamal april Ni mnyama Sana story inasisimua Kama mm npo getto alone apa gafla had nywele zimesimama
@danielkayun7038
@danielkayun7038 2 жыл бұрын
Like jamn kam NANYI mwapend the story book
@sixteenonline9811
@sixteenonline9811 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkali sana kuzid mtiga
@jacksonmazinge8099
@jacksonmazinge8099 4 жыл бұрын
You're beyond a prodigy Professor Jamal! Kudos Wasafi
@dennisnyakundi6893
@dennisnyakundi6893 2 жыл бұрын
Sasa nimejua
@FredoBoy
@FredoBoy 3 жыл бұрын
Sisi ambao tunaishi tuna juwa ya kuwa tuta kufa ila wafu hawajuwi lolote. Kifo ni kinyume ya kuishi(death is the opposite of life). Mfalme sulamani kaandika yakwamba wafu hawawezi fanya jambo lolote wakisha fariki (Ecclesiastes 9:5,6,10)Lazarus, hata kitabu cha Zaburi 146:4 kina sema kwamba mtu akifa hata akili na mafikiri yake yote hufa, yaani mawazo yake hupotea. Jesus's freind kafariki na ku kaa katika kaburi kwa siku inne (4days) soma Yohana 11:11-14, yesu haja sema eti lazaro iko mahali fulani, ila kasema lazaro ame fariki Yesu kamu fufua ila Lazarus (lazaro) alipo ulizwa kulikuwaje alipo kuwa kwa hizo siku inne? Lazaro akajibu akasema, nikama vile alikuwa tu ame lala katika usingizi mtupu, usingizi bila ndoto. Mtu akifa ame kufa. Musiwape watu tumaini amboyo sii sahihi. Mungu mwenyewe anajuwa ukweli kuhusu kifo
@shatepsofficial170
@shatepsofficial170 8 ай бұрын
Kipi nilicho kosea ili nisipewe likes hata Siku moja? 😢
@Nzinyangwa
@Nzinyangwa 4 жыл бұрын
And the best comes first','# JAMAL THE BEST'''#.
@shanicemasai5589
@shanicemasai5589 3 жыл бұрын
Wow leo nikaona sura yako. Asante kakangu. Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kathomugisa541
@kathomugisa541 2 жыл бұрын
Bonjour comment
@jackjonathan5009
@jackjonathan5009 4 жыл бұрын
nam pia nilikuw nacubilia nipeni like hizo twend pamoj
@jahome2117
@jahome2117 4 жыл бұрын
Siwezi lala bila story book😜😜 Kenya her🇰🇪
@user-zb1xq6dv6l
@user-zb1xq6dv6l 5 ай бұрын
Allah ameteletea mtafiti na muelimishaji hakika wewe ni kiumbe wa tofauti ulieshushwa kwaajili ya watu wenye akili za ziada ndomana tunakuelewa Allah mjalie mwisho mwema mja wako Professor Jamali
@hadyahidrissa5959
@hadyahidrissa5959 4 жыл бұрын
Ukifa umekufa hayo ni mawenge ya kuumwa 😆😆 Allah tupe mwisho mwema tu👏🏻 like 20 tu
@ZabronWambura-yb5jf
@ZabronWambura-yb5jf 2 ай бұрын
Kabisaa
@yasinali4377
@yasinali4377 4 жыл бұрын
Kifo na uhai upo baada ya kigo kuna maisha tujuwe ya kwamba wapo wanaadamu walokufa kipndi cha zaman cha mitume na watu wema wamesha kufa na kuzikwa lkm kaburini kwao ukifukuwa km wamekufa leo kwaiyo uhai upo badaa ya kufa na kuna maisha ya milele kwa wale waloamini na kutenda mema ndo watakao epukana na adhabu zake ALLAH (S.W)
@jumamohamedkidiaunga9224
@jumamohamedkidiaunga9224 4 жыл бұрын
April uko njema kaka now days unau kinyama.
@jabliisuleimani1982
@jabliisuleimani1982 4 жыл бұрын
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema Roho ni katika mambo ya mola wangu mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu. Qur.17-85
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Naam
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 4 жыл бұрын
Hakuna kitu kama re incarnation. Once you die there is no coming back .
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 4 жыл бұрын
Kila mtu akubari kuendana na imani yake,ndo vizuri zaidi.
@kapituomary2344
@kapituomary2344 4 жыл бұрын
Kama nawewe unaichek usiku huu gonga leke hapa mh ina ogofya aisee!
@annethjosephat6349
@annethjosephat6349 3 жыл бұрын
😁😀😂
@glorymakena7811
@glorymakena7811 Жыл бұрын
👍👍
@ricktales96
@ricktales96 4 жыл бұрын
thanxs Bro nimejufunza mengi sana na Kiukweli Wanadamu Muogope Mungu Ndiye mjuwa siri zote amin.
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 4 ай бұрын
Kazi safi Sana kwa hii elimu
@godlovejohnmbedule4260
@godlovejohnmbedule4260 4 жыл бұрын
This man is very smart....Jamal ⭐
@norregaraper5383
@norregaraper5383 4 жыл бұрын
Aisee katika story ulizo toa hii umeadisia vizuli sana pa1 kk Nataka kila muda niludie ludie
@mohammadsuleiman6708
@mohammadsuleiman6708 4 жыл бұрын
Nikushaurin ndugi zangu mkitaka kujua ukweli khs maisha ya badae bada ya kufa nendeni kwenye quran tukufu matapata majibu yenu yte bila shaka
@simbajuma9971
@simbajuma9971 4 жыл бұрын
Facts%100
@simbajuma9971
@simbajuma9971 4 жыл бұрын
Quran mtaielewa tu. Mbona yote haya mtume saw alishasema??? Nafsi hutambua kila kitu kinachoendelea baada ya kifo. Hadi ukishawekw kwa kaburi unasikia mivuto ya miguu ikiondoka. Allahu akbar
@matesopascal3599
@matesopascal3599 2 жыл бұрын
WOuu I'm really serious understand about this investigation
@seifzongo320
@seifzongo320 4 жыл бұрын
Qur'an na Bible zimefafanua vizuri sana ...kifo ,maisha kabla ya kifo na mahali roho yeny matendo maovu inapoenda,roho nzuri mahal inapoenda,Mungu amefafanua mpaka siku ya Qyama na namna dunia itakavyoisha Mungu ametueleza pia daliliza Mwisho wa dunia,Mungu hakuna mahali alipotuacha...nadharia ya nafsi kuhamia kwa mtu mwngne n makusudio yake mwenyew Mungu,nmewahi angalia movie nying hasa za kizungu wanaizungumzia nafsi kuingia kw mtu mwngne pia Kuna movie ya kihind ya zaman inaitwa karan Arjun wameigiza hi nadharia ya kufa na kuzaliwa Tena na kuwa na kumbukumbu kuwa umewah kuishi duniani ,pia nyingne inaitwa omshanty om ya sharukh mohammed Khan pia imeizingumzia hi nadharia hapa ndio kweny like neno ndani ya Bible kuwa akili yake haichunguziki huenda huwa n mapenz tu Mw Mungu kumrudisha mtu dunian kupitia mwil mwngne all in all science imefail kujua chochote kuhusu kifo isipokuwa Mungu tu ndie aliyetueleza ukweli wote whether you like or no ... Gospel ambacho n KITABU Cha Allah imeelezea sana elimu ya rohoni na maisha yake na viumbe vilivyopo ktk ulimwwngu wa roho na sababu mpak mahal na hatma kwa ujumla ... Mungu Mwenyezi Acha aendelee kuitwa Mungu
@dastopadady2402
@dastopadady2402 4 жыл бұрын
The ster book ndio ukweli halisi
@g.successhome4325
@g.successhome4325 4 жыл бұрын
Jamal kama Jamal...bro kama professor kweli
@nickosimumba4541
@nickosimumba4541 4 жыл бұрын
jamani naombeni like sijawai pata like tupe vitu bross
@ismovickitogo2580
@ismovickitogo2580 4 жыл бұрын
Jaman mm nlimkataa huyu jamaa nkasusa mpka kufatilia the story book tena ila baada kumfatilia kidogo wasafi tv nmerud tena mnipokee huyu jamaa kawa mtamu
@barryryoba1489
@barryryoba1489 3 жыл бұрын
Hakika Umebarikiwa Uwezo Wa Kufikiri Kwa Upana, Na Uwezo Wa Kutafiti Mambo Kwa Upana.. Lakini Pia Uwezo Wa Kutafuta Uwiano Baina Ya Vitu Mbalimbali Unavyosimulia.!!! Mungu Akubariki Uendelee Kusaidia Watu Ktk Kujua Mambo Mazito Yaliyojificha. Naamini Watu Wengi Hapa Wanakushukuru Jinsi Unavyosimulia Kwa Ueledi Mkubwa.
@kevinboyse8628
@kevinboyse8628 4 жыл бұрын
This is the best channel ever ❤️ love from sweden 🇸🇪
@hammyboy11
@hammyboy11 4 жыл бұрын
Hello
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 жыл бұрын
kevin jem am in Stockholm where do u live.....
@kevinboyse8628
@kevinboyse8628 4 жыл бұрын
Pamela Uwera Hej, I live in Stockholm as well ( KISTA ) you ?
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 жыл бұрын
kevin jem Barkarby
@kevinboyse8628
@kevinboyse8628 4 жыл бұрын
Pamela Uwera do you live in barkarby?
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940 3 жыл бұрын
Asante 🙏🏾 Kwa makala hii Safi
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 4 жыл бұрын
Story ambayo haijasimuliwa na JAMAL hainivutii kusikiliza hata kdg 😂 penda sana Jamal 😘😍
@lyrics_forum
@lyrics_forum 4 жыл бұрын
Wallah Naenda kufungua Group FB Ili Tuelimishane
@fatmaaljumaa5738
@fatmaaljumaa5738 4 жыл бұрын
Saw baba we fungua tuu
@issaibrahim7771
@issaibrahim7771 2 жыл бұрын
hivi inakuaje profesa jamal anaelezea kwa kiwahili, halafu mtu unakoment kwa kithungu, daaaa dunia kweli hadaaaulimwengu shujaaaa, hongera sana kaka
@tinejuxfrancis729
@tinejuxfrancis729 4 жыл бұрын
Jamani kama mnamkubali jamal gonga like yako hapa
@georgelee9876
@georgelee9876 4 жыл бұрын
mtiga kashapotea daahh jamaa kajipanga kwer
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 4 жыл бұрын
Sana
@richardjuma7708
@richardjuma7708 4 жыл бұрын
Mtiga ajapotea broo
@sarantebo5399
@sarantebo5399 4 жыл бұрын
Yuko wap
@elidadnyalema2064
@elidadnyalema2064 4 жыл бұрын
Mondi ni mchawi yule
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 4 жыл бұрын
@@elidadnyalema2064 kakuroga?
@hillarykibet7873
@hillarykibet7873 3 жыл бұрын
Jamal hapo swa mungu akujalia mema kwa mafunzo
@fatimaabdulla1320
@fatimaabdulla1320 4 жыл бұрын
hiyo inaitwa ilham kuwa na kumbukumbu za mtu unakuwa unaletewa na allah ila sio wate broo ila sio roho ya mtu kuingia ktk mwili wa mtu huo unakuwa ushetani tu ila roho anahifazi mwenywe allah ila ukitaka kujuwa fatilia kisa cha miraji mtume alivo pandishwa mbinguni huko ndiko alivo zikuta roho za waja zimehifaziwa sehemu maalum yy tu ndie alie pata bahati ya kuona roho za waja wema na waovu wanavo azibiwa
@diamondplatnumz139
@diamondplatnumz139 4 жыл бұрын
Mmmy
@diamondplatnumz139
@diamondplatnumz139 4 жыл бұрын
Kwer
@mustaxiil......4382
@mustaxiil......4382 2 жыл бұрын
Jamal is beyond talents vivid description, deep analysis,vast experience curiosity and being world class orator are genes lord bestowed upon him Mungu atu wazidishie
@hollysinner5062
@hollysinner5062 3 жыл бұрын
Nairobi tunakubali The story book 📚 100% tuendelee hivyo hivyo
@jumanobo2128
@jumanobo2128 4 жыл бұрын
Mbn watu wanapenda like zinasaidia Nini, ila huyu jamali yupo vizuri sanaaaaaa kwenye kusimulia
@estonemwanje5353
@estonemwanje5353 3 жыл бұрын
Tofauti na wanadamu, ikiwa wanyama waliokufa hawakupungukiwa uzito, Basi elewa kwamba kitabu kitakatifu kinasema kwamba wote wako na “ROHO MOJA" na hakuna aliyetofauti kwa mwingine. Mhu.3:18-20. Pili, utakapokufa wewe hutakuwa na fahamu yoyote wala hutaona na kusikia lolote kamwe. Mhu.9;5 Tatu, sahau kabisa masimulizi ya waota-ndoto Eti waliishi na kuzaliwa tena, hata mimi naweza kusimulia hadithi kama hizo kwa njia yenye kusadikisha. Kungalikuwa na kisa kama hicho angalau kimoja tu kwenye kitabu kitakatifu tungelikuwa na msingi wa Hilo. Tatu, sayansi haiwezi kamwe kuelewa mambo ya roho, Lakini Mungu huwafunulia watu fulani siri hiyo. Lakini tunatarajia ahadi ya Mungu ya ufufuo ambao haungewezeka bila mtu kufa kabisa.
@alanlugano3322
@alanlugano3322 2 жыл бұрын
Kwani unaelewaje wakati yesu anapoulizwa kuhusu kurudi kwa Elia na kusema alishakwisharudi nae ndo Yohana mbatizaji?
@alanlugano3322
@alanlugano3322 2 жыл бұрын
Usikosoe tu kirahisi kaz ya mtu ambayo ameifanyia utafiti kwa mda mrefu. Fanya utafiti kwanza
@abdullahallyalkindi7130
@abdullahallyalkindi7130 4 жыл бұрын
the story books always open people in mentally
@ummymiwa7303
@ummymiwa7303 4 жыл бұрын
Mwenyezimungu muumba wa ardh na mbingu ndio huyo huyo alieumba kilakitu ikiwemo kifo,yy anasema kuna maisha baada yakufa pale aliposema kumwambia kiumbe chake chema mtume muhammad kwamba * ewe nafsi ulietulia rudi kwa mola wako haliakua amekuridhia ingia kwa wajawangu watukufu na ingia kwenye pepo yang tukufu* kwaiyo kutokana na maneno haya ya mwenye kuumba viumbe na icho kifo na uhai pia,inaonesha nikweli kuna maisha baada ya kufa na wala watu hawana haja yakujisumbua kufanya utafiti kubwa tufanye yalomema
@yasinali4377
@yasinali4377 4 жыл бұрын
Kweli na tunuwe tukilala unajijuwa km unafnya nn ukiamka ndo unajikuta vyengine kufa na uhai upo mfano tukilala na kuamka
@awuorsewe7395
@awuorsewe7395 3 жыл бұрын
Nani bado yuko hapa. Sauti inakubali kabisa hongera kaka.Ameen asiafumbe
@aftermath5226
@aftermath5226 4 жыл бұрын
Prof. Jamal 😎😎
@ngakechauga8609
@ngakechauga8609 4 жыл бұрын
TOka StOry Book Imeanza Mbk LeO Ni Fire Tyu Pia Jamal We Unaxmulia XtOry Vzr Xn Na Unachimbua Vitu AmbovyO Tulikuwa Atujui Hanii
The Story Book NYOKA 10 HATARI ZAIDI / 10 MOST DEADLIEST SNAKES
31:50
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 13 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
#TheStoryBook MATESO MAKALI YA UTUMWA (SEASON 02 EPISODE 02)
22:17
Wasafi Media
Рет қаралды 559 М.
The Story Book UCHAWI (Season 02 Episode 05) with Professor Jamal April
34:26
The Story Book: NI IPI SURA HALISI YA YESU ?
18:00
Wasafi Media
Рет қаралды 898 М.
THE STORY BOOK: MPINGA KRISTO MASIH DAJJAL ANA MAMBO MAZITO
36:25
Wasafi Media
Рет қаралды 1,3 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН