The Story Book : Vita Kuu Ya 3 Ya Dunia / Maangamizi Ya Nyuklia / World War III (Swahili)

  Рет қаралды 805,394

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#TheStoryBook #WasafiTv

Пікірлер: 957
@martineathar1869
@martineathar1869 3 жыл бұрын
Jaman sijawah pata like humu naomben like zenu
@henrygeofrey6320
@henrygeofrey6320 3 жыл бұрын
Jamal anajua mpaka anaboa uongo jamaniii kama unaikubali wasafi ,the storry book shusha likes za kushatoo
@godfreysekumbo1523
@godfreysekumbo1523 Жыл бұрын
Hata vitabu vya dini vinasema huyu jamaa anasoma Sana vitabu jaman
@ahadikalemo2154
@ahadikalemo2154 5 ай бұрын
Like
@psalmistjosephsnr7392
@psalmistjosephsnr7392 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅​@@godfreysekumbo1523
@officialflameboy2548
@officialflameboy2548 2 жыл бұрын
Wanaoufuatilia story hii Baada ya kuitazama kinachoendelea duniani gonga like hapa
@funakoshtadash6163
@funakoshtadash6163 2 жыл бұрын
Ee Mungu, tuepeshe na dunia hii yenye mauaji na ukatiri usio na hofu yako, amin
@nibohemed2646
@nibohemed2646 2 жыл бұрын
Yaani mm nimekuja kusikiliza tena the storybook maana urusi mh mungu hatusimamie Tanzania 🇹🇿 yetu
@adamhasan8021
@adamhasan8021 2 жыл бұрын
Mtihani sana mungu atulinde waja wake
@onlygame5110
@onlygame5110 3 жыл бұрын
Jamal karudi watu wanapata mhaho nipeni like za Tanzania nipo kenya
@IsaacParuz
@IsaacParuz 3 жыл бұрын
Upeo alionao jamali sio level za kitanzania. Siidharau Tanzania ila Bado unahitaji kwenda mbele zaidi... Angalau kuwa international zaidi ulichonacho Ni zaidi ya hapa... Lakini nimekuwa impressed Sana maana kinachowekwa hapa Ni next level, wasafi mmeenda mbele Sana hongereni Sana Sana
@johnboscomohamed2775
@johnboscomohamed2775 2 жыл бұрын
Ni kweli unachosema. Ila anachokiongelea kipo mitandaoni siku nyingi lakini sisi wabongo ni wavivu wa kusoma vitu vya muhimu ndio maana mtu akileta uzi kama huu wengine wanaona kama ni unabii. Ni kwamba jamaa nae anasoma sana vitabu na documentary nyingi ndio maana anajua vitu vingi.
@BBCswahili_Uingereza
@BBCswahili_Uingereza 3 жыл бұрын
Safi Sana Prof. Gonga like Kama umemuelewa Prof.💪💪
@nicholasgervas167
@nicholasgervas167 3 жыл бұрын
Perfect
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Jani story book ni noma mno sijapata kuona naomba like wadau
@truppdizz7330
@truppdizz7330 3 жыл бұрын
tafadhali tusije kuskia uyu jamali amegombana na wasafi kila akita kitu mumpatie tafadhali my brother c.e.o #diamond uyu mtu ni wa kuangaliwa sana na kupewa vitu vizuri ili akili yake iyendlee kufikiria vitu vikubwa na kutuletea ili tuelimike tafadhali sana naomba uongozi wa wasafi 🙏
@edwardgistave9488
@edwardgistave9488 3 жыл бұрын
Kama ulijua move twende kazi maana huyu jmaa fundiii sanaaaa
@maclinahaonga1548
@maclinahaonga1548 3 жыл бұрын
Mungu Ni waajabu Sana yey ndo anajua atatuepusha vip kikubwa tuzidishe maombi🙏
@matukiolive1451
@matukiolive1451 3 жыл бұрын
Hii vita ya 3 ya Dunia, watu tunafkiria mbali saanaa, pengine sio sahihi.. Mimi nionavyo, hii vita inahusisha na mwisho wa Dunia, unaposikia habari ya mpinga kristo (masihi dajar), watu wanafikir atashuka shetani live toka kuzimu, kumbe sio.... Hii itahusisha mashetani ktk uniform za kibinadamu. Yaani binadamu anapagawa mapepo ya kishetani na kufanya mambo ya kishetani.. Sasa mambo ya kishetani ni yapi!?. Ni pamoja na tamaa za nchi, ama mtu ,ama kikundi kutaka kuitawala dunia, au kutaka kuua watu wote duniani na kubaki wenyewe tuu ktk hii dunia.. Na kuitawala dunia, na kuanzisha tamaduni zao wenyewe... Sasa kwa sasa, nchi kubwa duniani zimeanza kuona hatari ya kuishiwa marighafi ndani mwao, na ndio zinapowaka tamaa za kutaka kutawala dunia ili zikidhani kuwa zitakuwa safe.. Apo ndio shida inapoanzia...
@NENO_UZIMA90
@NENO_UZIMA90 3 жыл бұрын
Biblia yenyewe inaeleza kuepo kwa Vita ya tatu
@janetmrisho3521
@janetmrisho3521 3 жыл бұрын
Amina
@halimahamis3907
@halimahamis3907 3 жыл бұрын
Mungu Nimwema siku zote pengine yakalipuka huko huko kwao kabla ya vita. hata sasa eeeee mungu wewe Ndio kiongozi wa aridhi Na mbingu tuhifadi ishaalllah 😢🤲🤲🤲🙏Amiin
@catherinejohn3510
@catherinejohn3510 3 жыл бұрын
Amen
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
Daaah...!!! Huyu jamaa bhana ni Mbunifu sana nimemvulia Kofia yani picha laanza tu nikajua Mwanetu Jamal katekwa nin 😅😅😅 kumbe zile MBWEMBWE tu miksa madamu nene yaneeee.... Salute kwako Mkuu🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@swalehmwamazola7100
@swalehmwamazola7100 3 жыл бұрын
Wapi like za Africa kwa haya maovu yaliyotajwa atumo. Na hao mabepari wa duniya kesho kwa mungu c mbali.
@peterchance5466
@peterchance5466 3 жыл бұрын
Kusema kweli jamaa anajua sana Tena sana TU mpeni likes zake jaman nipo calfonia ila namuelewa san
@ayshaothman3995
@ayshaothman3995 3 жыл бұрын
Kwani yeye anasemaje
@raydiesel424
@raydiesel424 2 жыл бұрын
Leo 04/03/2022 Nimeamua kuangalia hii kutokana na kinachoendelea huko Ukraine, yule mzee mstaafu wa Marekani aliesema ana hofu vita kuu ya 3 ya dunia itatokea ndani ya miaka 10 ijayo naona hofu yake inatimia. Vita kuu ya 3 ya dunia iko karibu...ee mwenyezi Mungu utuangalie sie waja wako haya mataifa ya kibabe yataimaliza dunia hii 😥
@abuumo9637
@abuumo9637 2 жыл бұрын
Hhhhhh daaah
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 3 жыл бұрын
Jamal Jamal you are getting better day by day I'm impressed
@baradfight4694
@baradfight4694 2 жыл бұрын
Berive in God
@bonnymalyalya4032
@bonnymalyalya4032 2 жыл бұрын
Mungu ndiye atakayelipinga hili lakini kwa binadamu yeyote
@franklutego6663
@franklutego6663 2 жыл бұрын
@@bonnymalyalya4032 q
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
THE STORY BOOK. VITA YA TATU YA DUNIA... MAKOFI MENGI KWA PROFESSOR JAMAL.👋👋
@jonafena4639
@jonafena4639 3 жыл бұрын
True story teller watching from 254. Gonga like 👌 Jamal andaa sehemu ya pili umeniacha nime duwaa!!!
@tobiasvaleriano1967
@tobiasvaleriano1967 Жыл бұрын
Haaaa
@tygatooraww6543
@tygatooraww6543 3 жыл бұрын
Professor Jamal Ni Zaidi Anaelezea Vitu Vingi Sana Huyu Jamaa Sio Mchezo Kabisa Gonga Hapa Like Kwake To Him He Tell The Truth
@FredoBoy
@FredoBoy 3 жыл бұрын
WASAFI forever Gonga like kama tutazidi ku support WCB pamoja. Alfred RAY Silver based in SA
@ngotwikebusinessplatfom8306
@ngotwikebusinessplatfom8306 3 жыл бұрын
Amakweli kila binadamu ni wapekee sana hapa duniani, hakuna kama wewe kaka Jamaly nakukubali sana.
@truppdizz7330
@truppdizz7330 3 жыл бұрын
safi ndugu yangu nimekuona apa kw mala ya kwanza tukutane kwenye team #kubambanya 🤣🤣🤣
@emanuelmwaipaja2062
@emanuelmwaipaja2062 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ningekuw simba ningemzawadia mjengo ni genious sana kila Siku anakuja kiutofauti an ila usiofu bro lazima zawadi yangu utapata tu
@paulwilson-hc4ey
@paulwilson-hc4ey 3 жыл бұрын
Mzeee makini sana heshima yako ❤️
@issasaid5798
@issasaid5798 3 жыл бұрын
Kama unachek hili dude talehe 01/05/2021 gonga like kama zote
@konstantinomakolo4898
@konstantinomakolo4898 3 жыл бұрын
Japan (Hiroshima and Nagasaki) haikupigwa Nuclear ilipigwa Atom nuclear imegundulika mwaka 1953
@org32168
@org32168 3 жыл бұрын
Uko vizuri brother like kwako👊👊
@hashiysaid6199
@hashiysaid6199 3 жыл бұрын
Naomba like. Hapaaaa mkuuu mapema Sana nimewaku kula daku na kuicheki hiii
@rafaelgodfrey7305
@rafaelgodfrey7305 3 жыл бұрын
Naomba hio Vita isitokee kabisa tumuombe mungu isitokee hio vita
@dommymnaa1234
@dommymnaa1234 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua mpaka anakera one love brother
@salumkhelefmychanal2947
@salumkhelefmychanal2947 3 жыл бұрын
Jamaa Yuko vizuri
@kbrown8ight7even87
@kbrown8ight7even87 3 жыл бұрын
😂😂
@jgaelharaka7419
@jgaelharaka7419 3 жыл бұрын
Jamal mtu mhim Sana mjini You - Tube, Much respect ma Brother 💪💪
@faridithomas4859
@faridithomas4859 3 жыл бұрын
tusifurahie utamu wa story tu, tufikirie hatima yetu na vizazi vyetu..! wanadamu tungemjua adui yetu tungefanya mapinduzi asubuhi ya kesho
@yadidiahblack2731
@yadidiahblack2731 2 жыл бұрын
kabida broo
@bongorekodi3242
@bongorekodi3242 2 жыл бұрын
Aliye turoga wtz mungu.anamuona
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn 9 ай бұрын
Amesahau Tanganyika na Zanzibar inaweza sababisha vita ya tatu ya dunia
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn 9 ай бұрын
Hata mzozo wa Tanzania bara na Zanzibar inaweza sababisha vita ya tatu ya dunia
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
Nipo tayari kufanya mapinduzi kwenye nchi yetu mimi kama kijana jasusi
@georgebaraka9883
@georgebaraka9883 3 жыл бұрын
Dah!! Jamal story zako huwa nazielewa sana na zinasisimua ama kuvutia kuzifuatilia ama hakika unafanya kazi nzuri ya utafiti na kuzisimulia kwa kina na kwa uzuri zaidi... Mungu akujaalie afya njema na akupe uelewa zaidi na zaidi juu ya elimu hii unayoitoa kwetu sisi... Ubarikiwe sana..
@juliusmabelle5532
@juliusmabelle5532 3 жыл бұрын
Pongezi kwake👏👏👏
@Mfalmedr.fadhili
@Mfalmedr.fadhili 2 жыл бұрын
Yuko vizuri sana huyu jamaa.
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn 9 ай бұрын
Nazani mzozo wa Tanzania bara na Zanzibar inaweza sababisha vita ya tatu ya dunia
@adamnkwama4148
@adamnkwama4148 3 жыл бұрын
Hii dunia Mungu pekee ndiyo mkombozi wetu
@mjuajimpumbavu5537
@mjuajimpumbavu5537 2 жыл бұрын
Live
@jumabahasha8831
@jumabahasha8831 3 жыл бұрын
Nijambo la kumshukuru mungu kwa kuwenza kwanza kukujaaliya kufanya utafti wakina '. Na tumuombe mungu aiwepushe duniya na vita ya tatu ta duniya
@harunimfaume8692
@harunimfaume8692 3 жыл бұрын
Naikubali stori yako kwasababu unapo leta stori unaweka na picha na matukio tofauti hilo ndio linanivutia kwenye maszor yako sio wale wanao leta stori halafu picha mgando uko vizuri sana mkuu
@keziambezi6845
@keziambezi6845 3 жыл бұрын
Na kamzki pemben ka msisimuko
@patrickkaite3822
@patrickkaite3822 3 ай бұрын
Wasafi ni 1 tu
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana mzee kwa taarifa halafu story ni nzurii Sana.
@paschaljoseph3590
@paschaljoseph3590 3 жыл бұрын
Hatari sana mkuu, hongera sana PR Jamal unatisha hii kweli ndo wasafi
@richmontana1296
@richmontana1296 3 жыл бұрын
Another Level Professor Jamal 🙌🙌🙌 I appreciate Broh..!
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 3 жыл бұрын
Jamal mtu hatar sanaa tumuombe mungu tu🙏🙏🙏
@arnoldkasoma886
@arnoldkasoma886 Жыл бұрын
Aseeh.... ni Hatariii
@panchovalentino5922
@panchovalentino5922 3 жыл бұрын
Professor Jamal fundiiiii 💯💯💯👏👏👏
@marcoamos6330
@marcoamos6330 3 жыл бұрын
Kaka umesahau kuongelea kipengele muhimu sana "jinsi gani ww3 itaadhiri mataifa ya Africa" nadhani watu wengi walitaka kujua hilo na mimi nikiwemo
@leengeresa5011
@leengeresa5011 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atalinda watu wake
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Kwetu isifike jaman naikifika niwenimekufa Mimi jaman
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
@@nolimittvonline6822 vipi kuhusu kizazi chako haukihurumii
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
@@mwanaishamande8880 bina dam Tena kutapa patapa kikubwa ni kuomba mungu atunusuru
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
@@nolimittvonline6822 kabisa ndugu yangu mungu atunusuru yote yabatokana natamaa yamali nadhulma ubabe ila inshaallah Allah karim 🤲
@jerrykayaga940
@jerrykayaga940 3 жыл бұрын
Professa ni mmoja tuu jamal nakukbaliii sanaaa kaka
@abdulkhalimjuma6925
@abdulkhalimjuma6925 3 жыл бұрын
Nakubal kz jamal sijawah jutia mb zangu kwa ajil yk ww
@benteke6258
@benteke6258 2 жыл бұрын
Iam now your fun Jamal you are more than my grandfather he was a story teller, more Love from Kenya 💚💚
@fasteelastee9976
@fasteelastee9976 3 жыл бұрын
Yaani this guy does the most great job.. #sababu ya yote haya ni mshahara wa vitendo vya uhasama vya mwana damu mwenyewe
@mussalugembemussalugembema3650
@mussalugembemussalugembema3650 3 жыл бұрын
duuu inatisha sana hapo inaitajika tu nusra ya mwenyezi mungu
@learnenglishwithcharles4361
@learnenglishwithcharles4361 2 жыл бұрын
You are my great story teller of all the time...Your aptitude is greater than what you narrate.
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Ebu tafsiri kwa lugha, hapa tuko uswahilini...
@baswarimohamedi2766
@baswarimohamedi2766 3 жыл бұрын
Umeua kaka.
@saidymo8307
@saidymo8307 3 жыл бұрын
Jamal..🔥
@user-fe5jl3jd3t
@user-fe5jl3jd3t 3 ай бұрын
Jamal mimi hukuangalia kutoka Kenya.lakini wewe ni mwalimu ambae sijui kama ulifunzwa na mwalimu kujua mambo yasiyo yakawaida, ama mambo ya Dunia. Aise uko juu
@josephbabirandeda7554
@josephbabirandeda7554 2 жыл бұрын
Ni Wewe Tu Mwenyezi Mungu Utuokoe 🙏🙏
@youngweezy3846
@youngweezy3846 2 жыл бұрын
wangap tumerudi hapa kipind hiki cha mzozo wa urusi na ukraine 🙌🙌prof jamal
@kamnyamakamtembo8856
@kamnyamakamtembo8856 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ana juwa big jamal sir
@chipagafashion
@chipagafashion 2 жыл бұрын
Nimerud tena baada Mgogoro wa Russia & Ukraine
@saidhatibu9565
@saidhatibu9565 2 жыл бұрын
Na mm hapa
@jacobkisuma985
@jacobkisuma985 2 жыл бұрын
Kipaji hiki kimepitiliza uwezo wa mwanadamu wa kawaida kaka, Mungu asante kwa vipaji
@hefsibajohakim3257
@hefsibajohakim3257 3 жыл бұрын
enyezi mungu atusamehe sisi tusio jua chochote na waki piga baci yatagoma nakuwauwa wao wenyewe amina
@ibrahimissango1083
@ibrahimissango1083 3 жыл бұрын
We kweli akili huna
@brokenigga2842
@brokenigga2842 3 жыл бұрын
Creativity level awesome 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@loverybaron80
@loverybaron80 3 жыл бұрын
Jamal is Jamal ..work proceeding Like 🙏
@wailosvijevania1049
@wailosvijevania1049 3 жыл бұрын
Kwa wapenzi wa story book karibuni pia kwa Davista Mata upate story nyingi na za kweli upate kujua zaidi kuhusu mambo yaliyopo na yanayoendelea duniani
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 жыл бұрын
Story zako unazijua mwenyewe huyo uturuki na mmarekani hawaelewani na urusi ni nchi tajiri sanaaaaa ujue
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 Ай бұрын
Ww Zainab fanya utafiti uijue dunia ujue na histora ya nchi na nchi ndo ujue Vita iko karibu sana
@naftaliiddi4780
@naftaliiddi4780 3 жыл бұрын
Yaani unavyoelezaga story zako na kuzifafanua napendaga sana yaani unajuwa ww na pia muda wote huwa sichoki kuzisikiliza story zako maanake huwa haziniishi hamu, nikuombe uwendelee tu
@godfreymtazama4581
@godfreymtazama4581 3 жыл бұрын
Fundiiii proffersor jamaly mustapha 🙏🙏🙏
@ntwaranjunwa8300
@ntwaranjunwa8300 2 жыл бұрын
Duuuuuuuuuuuuu
@ntwaranjunwa8300
@ntwaranjunwa8300 2 жыл бұрын
My inner trauma raised to ear the terrible storie
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 26 күн бұрын
Eeee Mungu ulimtuma mwanao kukomboa ulimwengu walio wengi hawajasadiki Bwana tunsomba utusamehe na maovu yetu humu ulimwenguni tupe macho mawazo na nia yakuona yaliyo yako tukayatende sawawa na mapenzi yako Aminaa
@user-hy5gz9qd1j
@user-hy5gz9qd1j 4 ай бұрын
Yesu ndio mungu mwenyewe...soma yohana mtakatifu sura 14:6-12
@beatricepeter301
@beatricepeter301 3 жыл бұрын
This one has made me cry 😭😭😭😭 .... it's so sad...to see how the world is going.
@Mfalmedr.fadhili
@Mfalmedr.fadhili 2 жыл бұрын
Refer to Michael Jackson song Heal The World.
@paulmokua2487
@paulmokua2487 2 жыл бұрын
Let God see cry too
@TonyMkongo
@TonyMkongo 3 жыл бұрын
Professor Una balaa sana 🔥🔥🔥
@jamaljamada7482
@jamaljamada7482 3 жыл бұрын
🤔🤔2letee movie kali brooh!!!
@TonyMkongo
@TonyMkongo 3 жыл бұрын
@@jamaljamada7482 usijalii
@hamzaabasimbaraka3082
@hamzaabasimbaraka3082 3 жыл бұрын
@@TonyMkongo could i
@ibrahmanoma4179
@ibrahmanoma4179 2 жыл бұрын
Tony Mkongo nitafute nikupe dili kaka.
@shabanmaige7019
@shabanmaige7019 2 жыл бұрын
@@jamaljamada7482 unaniogpexha broo
@fadhilzabron2552
@fadhilzabron2552 3 жыл бұрын
My Bro your professional Like 👍
@allyndingo1812
@allyndingo1812 3 жыл бұрын
The story book iendeleee...!!!
@maclinahaonga1548
@maclinahaonga1548 3 жыл бұрын
Ivi kwann binadamu wanafanya hivyo..nakuuliza Mungu angeamua kuwa katili kiasi hicho Leo hii tungekuwa wapi jamn😭😭😭, Eeee Mungu wangu tuteteee sisi waja wako
@happyshayo372
@happyshayo372 3 жыл бұрын
No war no tears any more. God is overall🙌
@partsonlupenza9666
@partsonlupenza9666 Жыл бұрын
We ropoka
@abelijoshua385
@abelijoshua385 2 жыл бұрын
Dah nakuelewaga sana ndugu yangu.... mwenyezi mungu akutangulie ktk kazi zako
@hamisimkima117
@hamisimkima117 Жыл бұрын
Kunamengi sana yakujifunza kwa The story book hakika jamaa Anasikitisha sana vile anavyo Simulia Tukio
@reginasawe3356
@reginasawe3356 3 жыл бұрын
Ungekua mwalimu wanafunzi wangeelewa sana
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 3 жыл бұрын
Salute kwako PROFESSOR
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 3 жыл бұрын
Jamal unauwezo mkubwa snaa wakuweka story ikakaa Mahal pake,big up sana kaka.....
@salomegomano1788
@salomegomano1788 2 жыл бұрын
Super proud ue Jamal we are enjoying much .....u know wat Tanzania we are blessed ..keep shining brooo may God blessings Shower upon ue
@chriswashington7745
@chriswashington7745 3 жыл бұрын
Ziko wapy likes za jamal from Kenya
@edwinsirchidunda5658
@edwinsirchidunda5658 3 жыл бұрын
Like zaako jamal April utazikuta hapa kama humpingi like please akija azikute
@jericomgaya8282
@jericomgaya8282 2 жыл бұрын
Jamal April you're the best bro
@bx254
@bx254 2 жыл бұрын
Yaliyotabiriwa miezi kumi yaliyopita ndio yaya haya tumeanza kuyashuhudia. #PeacePrevail 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kipusasalum372
@kipusasalum372 3 жыл бұрын
Bonge la aidia wcb ni🔥🔥🔥🔥🔥
@olekarai
@olekarai 2 жыл бұрын
The level of your creativity is incredible sir, we researched, perfectly elaborated and well explained......
@ibrahimmawazo9229
@ibrahimmawazo9229 Жыл бұрын
O
@victordavidmmbaga8491
@victordavidmmbaga8491 2 жыл бұрын
Kama vile yametokea kweli, Tumuombe Mungu atulinde tu
@ndechaboy6238
@ndechaboy6238 10 ай бұрын
safi sana
@nola9334
@nola9334 2 жыл бұрын
Mungu ndie mjua yote eeh mungu simama na inchi yangu Tanzania.
@mdouharoon6316
@mdouharoon6316 3 жыл бұрын
Nasemaje #JAMALI APRIL NI MMOJA 1 TUU
@kanjibwax9348
@kanjibwax9348 3 жыл бұрын
Unajuaaa
@khalilyjuma813
@khalilyjuma813 3 жыл бұрын
Salamun qaulan min rabbirahiim (salama na amani ipo kwa mwenyezimungu)
@shabanihussein7163
@shabanihussein7163 2 жыл бұрын
Ulioyasema kaka Leo tunayo, Nani bado Anatazama the story book hadi hii leo
@allankiragu4039
@allankiragu4039 2 жыл бұрын
✋✋
@evagrikatoto9953
@evagrikatoto9953 3 жыл бұрын
Diamond mpe April.J Gariii🚘
@zuriathdasilver810
@zuriathdasilver810 3 жыл бұрын
Kwel kabisa maana anaelimisha sana
@johnsonkuli7975
@johnsonkuli7975 3 жыл бұрын
Huyu ameahapandishwaga cheo ni Mkuu wa vipindi wa Wasafi TV, kwaiyo yeye ni boss, Mond kampandisha cheo.
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Daahh mwenyezi mungu aendelee kutusimamia 🙏
@dulertech6284
@dulertech6284 2 жыл бұрын
Ukoo juu jamal profesor endelea kutuburudisha
@nurukapufi9639
@nurukapufi9639 3 жыл бұрын
mapemaaaa baada ya daku
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 2 жыл бұрын
Hatimae tumerudi hapa bdala ya muda mrefu.
@tatianatataa1489
@tatianatataa1489 3 жыл бұрын
Professor Jamal April 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 2 жыл бұрын
Eee Mungu tuepushe na mabalaa ya dunia🙏🙏🙏
@bestgames6229
@bestgames6229 3 жыл бұрын
Professor jalibuni kuweka subtitles in english pia coz namarafiki zang abroad huwa wanapenda kusikiliza story zak but tatizo lugha hawajui kiswahil and richa ya hiyo pia itasaidia kupata more fans a world wide I'll be happy if u'll consider that idea 💕💕
@truppdizz7330
@truppdizz7330 3 жыл бұрын
that fact bro 🤝
@mbux7443
@mbux7443 3 жыл бұрын
Safi
@ericdiseteh8111
@ericdiseteh8111 3 жыл бұрын
Safi
@loxlox3414
@loxlox3414 3 жыл бұрын
Wawatafte wakalimani Mbona wao habr Zao kwao wanAtoa kwalugha Zao
@greyuliki8027
@greyuliki8027 3 жыл бұрын
Point
@gabbymasota8693
@gabbymasota8693 2 жыл бұрын
Tulioiangalia the story book March 2022 dondosha like hapa maana Jamaa kaitabiri vizuri sana na ndio inavyoenda kutokea...🙌🙌
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Nipo hapa
@Malaikakessy
@Malaikakessy 2 жыл бұрын
Jamal i feel your prophecy, USA and RUSSIA… 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@erickmwenda8612
@erickmwenda8612 2 жыл бұрын
Akh naurumia afrika aki lkn sisi tunamkono wa Mungu atuogopi kitu awatusutui alh tutaogopa Mungu pekeake awezaye kumaliza mwili na roho
The Story Book: Ukweli Kuhusu NYUKLIA, Dunia iko kwenye Hatari Kubwa
30:22
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,6 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 124 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
THE STORY BOOK: JULIUS CAESAR SHUJAA WA ROMA ALIYEFIKIA KUITWA MUNGU
36:34
The Sory Book : Jasusi Waliyemuua Chooni na Kumfunga Ndani ya Begi
45:15
The Story Book: MOBUTU ‘Dikteta Aliyewafilisi Wakongo’
44:00
Wasafi Media
Рет қаралды 658 М.
The Story Book : Firauni na Kufuru Zake
44:34
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
President William Ruto's full media interview | FULL VIDEO
2:59:09
The Story Book: Mike Tyson Aliyebarikiwa na Kulaaniwa
49:27
Wasafi Media
Рет қаралды 855 М.
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
0:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 21 МЛН
Red❤️+Green💚=
0:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
Didiya hume wo chidiya dila do na 🦜🦜 #shorts #comedy 😜
0:34
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 49 МЛН