Very touching story from this young man, while our politicians are embezzling funds which should have been channeled to empower the youth. People like Waiguru should be in kamiti. Thank you for interviewing this young adult. Please consider getting a microphone for interviewees to enhance good vocal audio quality.
@brendaokola38934 ай бұрын
How he narrates the whole story really seems that this young man learnt a lot while there and the fact that he realized his mistakes'.may God come thru over his life🙏
@sianrapei6914 ай бұрын
I am very proud of this young man. He has seen his mistakes and I believe that he has really reformed. He has a very strong will, it's easy to see his Principles. I hope he gets to really improve his life.
@MikeKoech-5lg3 ай бұрын
Acha Ufala Umbwa wewe do you really think this guy was having fun in there next time before you comment try hard not to say stupid shit. this guy has see so much We Una Thani 15y Ni kidogo Umbwa wewe 🖕🏾
@lizlynlissa90973 ай бұрын
Kenyan Prisons need reforms big time
@tommbwika58895 ай бұрын
The boy is so cool,siku moja aede akabie mtu wa duka shukrani kwa kumtetea lazma bado hajahama
@nicholaskartel33753 ай бұрын
Inda kuoga mara mbili kwa mwezi ni show off 😂😂
@simonkaraya1834 ай бұрын
I blame poverty. It's not yet too late Mungu mkumbuke
@linus10323 ай бұрын
Noo colonial mentality for Black people
@kingmantash5 ай бұрын
Kaa tu chini level yake unafanya uyu ninjaa angaliee juu sanaa..weka simu silent 🔕..💪🏿💪🏿👊🏿
@ettienewand98504 ай бұрын
Exactly
@naftalimiheso2494 ай бұрын
He's a good story teller. Jela means Jionee Eneo La Ajabu.
@SirVickTV5 ай бұрын
Zima simu mzee....some etiquette is good in an interview. C Good job lakini. Wish the reformist all the best
@maxian-d4b4 ай бұрын
i found it annoying
@danmelis13923 ай бұрын
Enyewe ni kubaya...wheeeuh..siwezi taka kujipata ata kidogo
@justusmochoge65775 ай бұрын
Ku reform ndio form nice story. I pray for him to be successful in life 🙏🙏🙏
@mohameddubow19045 ай бұрын
Kureform ndo form😊
@naominyanchama6524 ай бұрын
Am proud of this guy ,his story has touched me no one is to special not to find themselves being a prisoner na it takes a brave person to tell us in details what happens behind those walls...I hope he will catch up with life
@Katelynkabi3 ай бұрын
I wish my Nanny can watch this coz kesho ako jela
@Tales-extra5 ай бұрын
Nice one broo👌👌👌
@Ghetto_OnlineMedia5 ай бұрын
Thanks 🔥
@OdhiamboOnyango-or5lv3 ай бұрын
All will be well,I pray for your success.Painful yet much to learn.The guy is a good storyteller
@PETERNDUNGU-po3xp5 ай бұрын
Indaa kulinifunza kuja kuishi kijeshi....for sure nimekapitia siku tano huko nilikuwa naskia kama nmeishi miaka kumi😢😢 Na watu wengine hufungwa ni innocent😅
@artisthusnatalal30994 ай бұрын
What did you do?
@kibettyson21414 ай бұрын
Heri wewe mi nimekuwa for 4 months
@larryjallythoya33173 ай бұрын
Simu imezimwa majamaa 23:30
@kennedykariuki39883 ай бұрын
You have a new subscriber
@vincent.bironga.92435 ай бұрын
Stopped watching at 20:00 constantly ringing phone is irritating
@jesusfound87585 ай бұрын
Zima Simu!imefanya nitoke hii story na vile poa
@silasalumela60162 ай бұрын
Huyu jamaa amereform kabisa. The way he is explaining n kama haezi kosea mtu tena
@kennethkiprono42515 ай бұрын
Hii simu haizimi
@catherinemutindi50315 ай бұрын
Jela ni jehannum.hawa hanafaa watretiwe poa Hii Kenya haki.
@LewisCharlesАй бұрын
Guy's lets try to avoid anything trying to entice you to do CRIME
@clintonoyaro7105 ай бұрын
Very inspiring
@AlexOchieng-t7lАй бұрын
Big up bro
@eddieeddie275527 күн бұрын
Hata jela za Europe waislamu bado wako pamoja sana, hata U.S.A , iyo jamaa ameongea kweli kabisa.
@nicksonwambani20765 ай бұрын
Niliona na macho yangu mwenyewe pale first parklands wakisnatch masimu almost 5 times.....kumbe n hii raiah🤔🤔🤔🤔
@Cliveondaranyabuto4 ай бұрын
Jela jo...ni noma aki...😢
@josifsable2542 ай бұрын
Kurekebisha na haki jela jeraha niliingia neti nikiwa 17years but it's not a nice place to be... wenye hawajaingia uko stay safe usisumbuane na masanse Kaa clean
@Peaceatanycost3 ай бұрын
We need serious prison reforms. Right from police cells. Especially the male sides. It's just a terrible state of affairs. I don't think the average kenyan can even imagine the dehumanisation that happens there, yet we expect them to reenter society & be normal. How?
@Martinhumblemurithi3 ай бұрын
my point too, considering many of those in these prisons did not get a fair trial
@ricksgaming55483 ай бұрын
Industrial area ni ngori. Heri kamiti
@Southernict5 ай бұрын
Weka simu silent inabow sana
@sharonshanita76194 ай бұрын
Hapo kwa makaro wa prison ni ukweli hao hukuwa njaa sana hawana kakitu
@carolinegitonga90064 ай бұрын
Allah siku zote....bro
@adamswambani89144 ай бұрын
Weeee ogopa crime.....lesson learned
@BabahTiffahre3 ай бұрын
Oh God mzidishie na usiwanifikisha alikopitia🙏
@lucywairimu23304 ай бұрын
Kibilia kwa Church mungu atakurudichia maicha upia
@vert34533 ай бұрын
Zima hio simu bana 😡😡
@masangaben70894 ай бұрын
Ati miti inaoshua.... enyewe jela ni jehanam
@dennismungaikinyanjui95935 ай бұрын
Huezi weka simu silent mode surely
@zone6i_x5 ай бұрын
Ameachilia akili kiasi
@Katelynkabi3 ай бұрын
I wish my nanny could watch this kesho ako Jela
@Ghetto_OnlineMedia3 ай бұрын
Mbona anaenda Jela?
@Katelynkabi3 ай бұрын
@@Ghetto_OnlineMedia Stealing from me expensive jewelleries and so many things while I was away ,aki ppl should learn
@kennedykariuki39883 ай бұрын
Ka ni possible solve no need ya kufikisha msee jela, anaeza ingia na aharibike zaidi
@ivyachola52103 ай бұрын
You should forgive. Did she kill?
@cutie-c6b2 ай бұрын
@@ivyachola5210huwezi jua what she did si kuua only ndio mtu huenda jela
@254Gaad5 ай бұрын
Count time is no joke in prison
@jobkamanda59944 ай бұрын
Zima simu bana
@mathewtuwei10313 ай бұрын
maze ile trauma huyu kijana amepitia si kidogo
@murendetv19904 ай бұрын
I better escape than kuenda ndani for but if ni mbaya then....????
@faithpius64015 ай бұрын
I m sory sana my son..lakini nadhani kunakuaga hivyo..hili makosa mliofanya...msirudie..pole sana..Mungu akikutoa usirudie..yesu alipo mponya..yule jamaa alimwambia..usiwai fanya.. kosa tena ucjekupatikana na mambo makubwa zaid..
@erastusmuiruri80343 ай бұрын
Alikufanyia nini ndio afungwe
@listandungu30115 ай бұрын
Na siueke simu silent what is this now ....😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@blogstone_p5 ай бұрын
23:00
@mohameddubow19045 ай бұрын
Jela ni kifo 😢
@victorosano55234 ай бұрын
Sirekali ilikufa 😢
@universe83694 ай бұрын
Weka simu silent.
@Leriankovic5 ай бұрын
Zima simu... Hio ni madharau
@maxian-d4b4 ай бұрын
i also found that annoying
@trizakartney40864 ай бұрын
Manzee iyo kelele inaboo
@loicendungu13572 ай бұрын
Sio madharau, the phone shud be silent during an interview
@ErickombatiMauti5 ай бұрын
Kwan hii nn unaoji mtu na anapigiwa simu live on camera😊
@nursing41715 ай бұрын
I wonder why people are complaining about the phone. People got concentration issues out here
@kibettyson21414 ай бұрын
Me seeing this after nimetoka indaaa 😢😢 what i can say is uko ni hell😭😭
@alexred1038Ай бұрын
Kiaje
@kibettyson214118 күн бұрын
@alexred1038 I was back arrested
@user1873anon53 ай бұрын
May Allah guide this young man
@Gummybear3213 ай бұрын
We mbwa zima simu
@abdulyu1462 ай бұрын
Like seriously is that necessary, learn to weigh your words before you disrespect a fellow human.
@FaithmwendeJohn2 ай бұрын
Lazma usikiza na bona matusi burukege wewe
@AJS613M4 ай бұрын
Heshimu hesabu na maombi 😅 mororo na cd
@MachineryBurial29 күн бұрын
Hiyo kisimu inabore
@hurrychris26473 ай бұрын
Next time put your phone on silent
@melissanyokabi4 ай бұрын
Surely why can't you switch off your phone that's so unprofessional
@apexent23324 ай бұрын
Ushamba, yani who the hell was calling him
@okiomafrank0015 ай бұрын
Uweeeeeh
@HuzzeinMohammed3 ай бұрын
Anaongea kweli
@MWAZERAFRANCIS5 ай бұрын
next time weka simu silent.Very boring
@denniscifer84025 ай бұрын
That phone, is annoying!
@carolinemutindi3 ай бұрын
😢😢😢😢🤭😲😲
@frankmsai74613 ай бұрын
Msenge ww zima kopolako
@ericko40945 ай бұрын
Unapost video poa but unaspoil na kelele ya simu
@NBforexhub3 ай бұрын
Nikubad wueh
@antonymburu20915 ай бұрын
bro akuna kahawa kamiti bana
@koinahmwangi5 ай бұрын
Kamiti prison iko take a drive u see for yourself..
@naftalimiheso2494 ай бұрын
Kamiti iko junction ya kahawa west.
@FaithmwendeJohn2 ай бұрын
Kwani si kamiti iko kahawa west
@mainawangondu82052 ай бұрын
Very poor camera use. 90% of the picture is the wall and the interviewee has to look up. Try to improve your camera use. Positioning and zooming.
@susankagema83722 ай бұрын
We ni camera unaona ama utaskiza story
@BIKOCOMMUNITYRESOURCECENTRE3 ай бұрын
Watu wa OCD poleni. Simu itazimwa next time.😂
@BrianAlambo2542 ай бұрын
Next time sima simu that's poor interview skills
@encoenterprises90724 ай бұрын
Downvote cause of the constant ringing phone.
@MosesWachira-fm2se4 ай бұрын
Wewe unafungisha mtu Bure ujue maisha Yako itakuwa kama ya swara wakiwemo watoto wako pia
@FloridahMakena-b5k5 ай бұрын
Next time zima simu
@RichKid-g2p4 ай бұрын
ᶠʳᵉᵉᵈᵒᵐ ⁿᵈᵒ ᵏⁱˡᵃ kitu
@maelmatundura4 ай бұрын
Chochaaa mseeee nimekuwa ndani four years hii n chochaaa