Lema: Wenje Hafai Kuwa Mwanachama wa CHADEMA, 'Katufikisha Hapa Leo' Awatetea Diaspora

  Рет қаралды 29,336

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@edwindezidery632
@edwindezidery632 14 күн бұрын
Lema siku zote unateteaga haki tunafahamu mungu akutangulie siku zote
@elisiajohn7287
@elisiajohn7287 14 күн бұрын
NIMEFARIJIKA SANA KUONA VIONGOZI WA JUU CHADEMA WANATAKA MBOWE APUMZIKE, ASANTE LEMA IKIWEZEKANA WENJE MTIMUENI AKALAMBE ASALI VZR
@abdul-azizmuawiya3734
@abdul-azizmuawiya3734 14 күн бұрын
Leo ndio siku nimekuelewa, umekua muwazi, umeelimisha ndivyo kiongozi anatakiwa awe. 👏🏾👏🏾👏🏾
@fanuelkitembe7404
@fanuelkitembe7404 14 күн бұрын
SIASA HAINA UADUI WA KUDUMU,MBOWE UMEFANYA MENGI CHADEMA,BRO ,TIME HAS COME FOR YOU.BRO PUMZIKA,
@amosnjiaapostle
@amosnjiaapostle 14 күн бұрын
Brother your a true legend i appreciate on you,
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 14 күн бұрын
LEMA mungu akusaidie tunamini Lisu nichaguo lasasa
@georgemahenge
@georgemahenge 14 күн бұрын
Mawazo ya LEMA.yaheshimiwe
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 14 күн бұрын
Salute broo umeongea sanah leo
@anosiata8242
@anosiata8242 13 күн бұрын
Tunataka lissu na heche nimefurahi sana kusikia unasapoti lissu.
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 12 күн бұрын
Ninachowapenda lema na lisu na heche ni wakweli wamenyooka safi sana
@JacobMavika
@JacobMavika 14 күн бұрын
Basi nimeamini maneno ya Dr slaa kuna mawasiliano kati ya Mwamba na mama
@akaumbo9433
@akaumbo9433 14 күн бұрын
Umeongea vzr kaka 🔥🔥🔥
@Selemlaki132
@Selemlaki132 14 күн бұрын
Leo umekua muwazi Tena humunguji maneno hongera
@generosennko8343
@generosennko8343 14 күн бұрын
I salute you Mr. Lema
@EricMbise-k4j
@EricMbise-k4j 14 күн бұрын
uyu jama sasa ivi nimemuelewa anauwezo mkubwa sana na ana utulivu wa akili wala hana ukabila wala ukanda
@SalmonNyalusi
@SalmonNyalusi 14 күн бұрын
Lema wewe ni mwamba sana Nimeanza kukuelewa🎉🎉🎉🎉
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 14 күн бұрын
Mawazo makubwa sana
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 13 күн бұрын
Lema kuwa karibu mkuu
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 13 күн бұрын
Uyu ndo lema katibu mkuu mpya
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 14 күн бұрын
Mtumishi wa BWANA nakutabiria siku moja gombea nafasi ya urais, itapendeza
@georgemahenge
@georgemahenge 14 күн бұрын
WENJE.hana sifa yakuwa makam
@giftmgogo8979
@giftmgogo8979 13 күн бұрын
Uko vizuri broo
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 13 күн бұрын
Asante nabii unapointi kwelikweli
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 13 күн бұрын
Leo Umeongea pointi mno pia umekuwa muwazi Godbless Lema kuliko siku zote nilizowahi kukusikiliza
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 13 күн бұрын
Sawasawa Wenje Ndumila kuwili
@timboxlee919
@timboxlee919 13 күн бұрын
Big up sana lema
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 14 күн бұрын
Jamaa muelewa anajuwa kusoma nyakati na hali ya kisiasa nchini
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 14 күн бұрын
Kweli yako Lema
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 13 күн бұрын
Lema kaka wewe ni mtu mhimu sana MUNGU akulinde
@Dr.ForexTz
@Dr.ForexTz 14 күн бұрын
Dah kwahiyo kumbe Soka amekufa jamani😢😢😢😢
@natupe123
@natupe123 13 күн бұрын
Nimeshangaa sn nahisi kakosea jina😢😢😢
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 12 күн бұрын
Good
@paulojohn9608
@paulojohn9608 13 күн бұрын
safi sana na mm nilitegemea heche achukue fom
@herrymardaimallya2966
@herrymardaimallya2966 14 күн бұрын
Ichi kichwa kinaakili
@KassimmuktaryMurji
@KassimmuktaryMurji 13 күн бұрын
Lema nakuelewa sana mpambanajj wakweli damu na jasho
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 13 күн бұрын
💪💪💪👍
@ChristerKok
@ChristerKok 13 күн бұрын
Lema hanaga unafiki kumbukeni akiwa mbunge.
@EbraniaKivamba
@EbraniaKivamba 13 күн бұрын
Katibu mkuu mpya hoyeeeeeeee
@PMD717
@PMD717 14 күн бұрын
Vizuri hugombea next. Hufai tena
@DanfordJoseph-y6x
@DanfordJoseph-y6x 14 күн бұрын
Wenje hafai kabisa na kama utakuwa katibu mkuu ulifanyie kazi Hilo
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 13 күн бұрын
Kwa Hiyo Lema Haamini Wenje ana Haki ya Kugombea??? Demokrasia gani hiyo.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 13 күн бұрын
UNAWATETE DIASPORA WACHACHE WAHUNI WALIOKUWA WAKIMTUKANA MWENYEKITI MUDA WOTE... SASA NAJUA NANI ALIKUWA ANAWATUMA WAHUNI HAWA!
@Jal210
@Jal210 14 күн бұрын
Hawa ndiyo aliyeyasema Mwalimu Nyerere kuwa ni viongozi Malaya malaya
@JulianaJohn-g7z
@JulianaJohn-g7z 14 күн бұрын
Kama hujaelewa na Unamuita Malaya BAs wewe kwa hekima yangu ni kahaba
@josephhaule3563
@josephhaule3563 11 күн бұрын
Chamsingi uchaguzi uwe huru na wajumbe watumie busara kubwa sana kufanya mamuzi vinginevyo wanapotezwa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 14 күн бұрын
Slaa niadui wa chadema ndio maana alianzisha chama cha saut ya uma alipoona chama hakiendi na mwambukusi wakaanza kujipendekeza upya chadema lkn slaa nijanja alipokuwa balozi alikuwa kimya,alipoona samia hajamuongezea ibinge anamsema vibaya samia
@ScholasticaJuma-w8h
@ScholasticaJuma-w8h 14 күн бұрын
Lema mungu akulinde siku zote
@tanzaniashinyanga454
@tanzaniashinyanga454 14 күн бұрын
Mbowe alizungukwa na wahuni
@EbraniaKivamba
@EbraniaKivamba 13 күн бұрын
Sawasawa kaka nikweli kabisa
@bonifacemuya2406
@bonifacemuya2406 13 күн бұрын
Bro unaakili sana natamani nitapate namba yako
@40kstore
@40kstore 13 күн бұрын
Una akili sana bro
@nicolausmaige7452
@nicolausmaige7452 14 күн бұрын
Lema
@nsubisimwasandende-kl9vy
@nsubisimwasandende-kl9vy 13 күн бұрын
Nyie wote mnaompinga Mbowe nanyi hatuwaamini mbina mkitaka kukamatwa mnakimbilia Nchi za Ulaya , Canada na USA sasa Sio Vibaraka wa Nchinza Nje ? Nyie si ndio mlisababisha Ndege kukamatwa? Nyie si ndio Mlikuwa mnasema JPM dhidi ya vita ya Kiuchumi? Wengine wakati watu wanapambana na ushoga si walikimbilia kutaka wafungiwe
@MasumbukoAlexander
@MasumbukoAlexander 14 күн бұрын
Huu mda kusikiliza kwa makin sana maana wapambe wanaanza kuchanganya watu wagombea watakuja kukosa mwelekeo huu ndo mda ccm
@georgesteven5185
@georgesteven5185 13 күн бұрын
Kichwa hiki hapa
@BabuSilvester
@BabuSilvester 13 күн бұрын
Umenikumbusha chacha wangwe
@bongosebelo9291
@bongosebelo9291 13 күн бұрын
Jaman Wenje anashida gan mbona sielewi
@AdamuKobelo-z9g
@AdamuKobelo-z9g 13 күн бұрын
Kumbe chadwma kuna marushwa ya hatari leo mnajizihirisha
@Ibrahimkitela
@Ibrahimkitela 14 күн бұрын
Ww unafaaa sasa? Ww ni tapeli kama matapeli, hufai hata kidogo, ww ndo umewafikisha hapo, kwani umekuwa mtu usiyeaminika , unawafukuza wanachama bila kufuata katiba na kikao eti utashi wako? Peleka huko uongo na polojo zako, siasa za sasa zinaitaji hekima siyo projo zako hizo
@israelian-t5f
@israelian-t5f 13 күн бұрын
Hekima ipi?? Na hekima ni nini?? Kweli rushwa hupofusha macho ya wenye haki
@MaximeMasinga
@MaximeMasinga 13 күн бұрын
mmmh kweli lema amenifany nijue mengi
@NicholausVedasto
@NicholausVedasto 13 күн бұрын
Nyie hamuelewani,mtawezaje kung'oa CCM? 😂😂😂
@HeriKilatu
@HeriKilatu 13 күн бұрын
Amemaliza kaka mkuu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 14 күн бұрын
Siunasikia wa lema na lema walikuwa wanafanya mikutano nje ya nnchi kuihujumu nchi yao yaan tanzania nawazungu lema na lisu niwasaliti sana wa Tanzania
@israelian-t5f
@israelian-t5f 13 күн бұрын
Yaaani we jamaa ajira ina mwisho..usiombe Mungu uje utupwe kama nyanya mbovu
@josephmarole5159
@josephmarole5159 13 күн бұрын
Wew kwenu ukinyimwa chakula c unaend kula Kwa jirani
@AbdullahAhmed-t7p6l
@AbdullahAhmed-t7p6l 13 күн бұрын
On my sense wenje will call conference answer gobbles lema comment about wenje but wenje lost popularity into chadema political wing
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 13 күн бұрын
😂😂😂😂 Sasa mnasema nini mambo yako wazi ni Mboye Masawe au Simba
@KamalKamal-m3r
@KamalKamal-m3r 14 күн бұрын
Ikiwa mbowe atashinda je watakubali hawa?
@erickbayona-v7j
@erickbayona-v7j 14 күн бұрын
Weweeeeeee Lema ndumila kuwili kweli
@florencejohn6427
@florencejohn6427 13 күн бұрын
Mbona sielewi anasemaje Soka kafa? Lini kafa?
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 14 күн бұрын
Lema asipo muunga mkono Lisu atafukuzwa canada.wazungu amabao waku nyuma ya lisu ndio wanaomfadhili lema ndio maana walikimbilia kwao
@JulianaJohn-g7z
@JulianaJohn-g7z 14 күн бұрын
Ningekuwa na mamlaka ya kujifanya kiziwi na babu ningekufanya hivyo. Nchi imeoza hii tunaish Kama kuzimu bado unaongea mambo yako yamatakoni.
@kelvincrasious2500
@kelvincrasious2500 13 күн бұрын
Unae hoja za kimiemko usilazimishe uo upeo wako tuutumie kuukumu
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 14 күн бұрын
Nyie meingia kwenye mfomo wa ccm
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 12 күн бұрын
Lema ana akili sana
@akaumbo9433
@akaumbo9433 14 күн бұрын
Mbowe 😂😂😂
@BITOCHENGUX
@BITOCHENGUX 13 күн бұрын
Mbowe mtombe Lissu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 14 күн бұрын
Hela Awacanada zinaongea hapo
@henryludath3139
@henryludath3139 14 күн бұрын
Hhahhahahah lema
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 14 күн бұрын
We mlowe ndio akili yako ilipokufikisha
@ChristerKok
@ChristerKok 13 күн бұрын
Peleka risale mtapatana na kaka yako.
@andrewassey5108
@andrewassey5108 14 күн бұрын
Lema hueleweki, mbona husemi Mbowe alifanya nini kwa Lisu. Be fair mbunge wangu mstaafu.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 14 күн бұрын
Fanya ufuatiliaji wa kihistoria kupitia vyanzo vingine.
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 14 күн бұрын
Utakuwa na matatizo mkuu ,yote yaliyoongelewa haujadaka hat moja?
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 14 күн бұрын
Wewe inaonekana hata walimu wako walipata shida
@CosmaTemba
@CosmaTemba 13 күн бұрын
Bodo tupo na mwamba
@erickbayona-v7j
@erickbayona-v7j 14 күн бұрын
Kama wenje haifai kuwa chadema hata wewe haufai Lema wewe umekuwa bendela fuata upepo hauna jibya
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 14 күн бұрын
Chama mtabaki vichaa watupu
@Jal210
@Jal210 14 күн бұрын
Na kweli vichaa
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 14 күн бұрын
hubadiliki fala wewe
@SabinagodfreyGregory
@SabinagodfreyGregory 14 күн бұрын
Wabaki wakina yeriko
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 14 күн бұрын
Safi Lema
@mhande1219
@mhande1219 13 күн бұрын
Kufanya maandamo USA ni kujidharirisha tu,
@liberatusbeatus8775
@liberatusbeatus8775 14 күн бұрын
Lema umehongeka sasa mboye ana shinda mchana kweupe rudi kanada
@FredrickKagusa-wt9bw
@FredrickKagusa-wt9bw 12 күн бұрын
Lema unanitia uchungu sana unafanya siasa za uwazi sana Mungu akukumbuke lema
@generosennko8343
@generosennko8343 14 күн бұрын
I salute you Mr. Lema
@generosennko8343
@generosennko8343 14 күн бұрын
I salute you Mr. Lema
LISSU AKIPANGA SAFU AMTAFUTA WENJE UKUMBINI "YUKO WAPI?
4:48
Millard Ayo
Рет қаралды 69 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН