Polisi Songwe Wazungumza Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe na Wenzake

  Рет қаралды 8,957

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 152
@boychidu
@boychidu 3 күн бұрын
KAZI YA ASKARI NI KULINDA WATU NA MALI ZAO 🎉🎉🎉 TANZANIA OYEEE MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU WATU,NA VIONGOZI WETU WAADILIFU
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 3 күн бұрын
Vibaraka mnatumika he ovyoo kweli ata maisha yenu ni ya umasikini tu mtakufa vimbya xn sijui hamjitabui ama hamjui kazi yenu
@frankSamwel-rg3lz
@frankSamwel-rg3lz 3 күн бұрын
Double standard. Mnafikiri mnawasaidia ccm kumbe mnawafanya wachukiwe zaidi na wananchi
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 3 күн бұрын
Nyinyi kazi yenu ni kulinda ccm na si vinginevyo
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 3 күн бұрын
Mnapenda kuwaonea chadema MUNGU Yupo
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 күн бұрын
Wafuate sheria
@tedlema8105
@tedlema8105 3 күн бұрын
Kumbukeni kuna maisha baada ya uchaguzi,nawaambi wote maintenance haki,vizazi vyenu vijiandae kuvuna ubaya mnaofanya.Mungu hasahau kamwe,ni wa haki.Tusijitoe ufahamu kisa kulinda vibrua vyetu, vyetu.
@laukomu
@laukomu 3 күн бұрын
Kila Mtanzania ogopeni sana kazi ya laana jamani
@laukomu
@laukomu 3 күн бұрын
Kaz ya laana
@jumamsechu
@jumamsechu Күн бұрын
Pumbavu sana ww kichwa maji mtumwa kwenye ofisi za uma mungu akulani ww na kizazi chako
@medambano
@medambano 3 күн бұрын
Nyie amjitambui .kwa nini chadema mnaisumbua sana sasa nyie si mna nguvu ngojeni mungu atatennda tuu
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 3 күн бұрын
Hakuna aliye juu ya Sheria, kamata tu wasituvuruge.
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 3 күн бұрын
Mnaowaonea siku wakishika Dola, oooh Hala hala
@josephatjanikila6164
@josephatjanikila6164 3 күн бұрын
Kosa nn mbona hujaeleza acheni kutumika vibaya.
@LinusGeorge-g2x
@LinusGeorge-g2x 3 күн бұрын
Awo wandishi waabari ni chadem au sivigi su ,kwenye kampen ndo m as tukio
@jameskorduni7361
@jameskorduni7361 3 күн бұрын
Nyie polisi wa inchi hii mnawaza tu kukamata na sio kulinda maisha ya Raia,
@jameskorduni7361
@jameskorduni7361 3 күн бұрын
Hatujawahi kuwasikia hotuba yenu ikisema leo tumemkamata Mwenyekiti wa CCM, au kiongozi yyot wa CCM
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 3 күн бұрын
Kamateni hao nyumbu ,kwa nn wasifuate ratiba za mikutano? Kama wana misuli basi wapambane na dola !!!
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 күн бұрын
Chdema wapuuzi
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 3 күн бұрын
Mungu baba hujawai kosea huchelewi wa huwai
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 3 күн бұрын
Sawa mumeshawakamata tunajuwa wababe vibaraka wa ccm
@Ahmedseif-l5g
@Ahmedseif-l5g 3 күн бұрын
huyu kweli shoga
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@AdrusHassan-c5m
@AdrusHassan-c5m 3 күн бұрын
Hakuna kitu kinanikera kama maelezo ya hawa polisi wetu kutokewa kwa kusoma hii ina maanisha ni maelezo ya kupanga maneno
@MicMwampashi
@MicMwampashi 3 күн бұрын
Aikubariki Hali hii ya kila siku chadema way
@WilfredRweyemamu-rp5re
@WilfredRweyemamu-rp5re 2 күн бұрын
Sisiemu mbele kwani mbele,mama usipikemea hawa popi wanatufanya tuchukue serikali makini inayoongozwa.
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 3 күн бұрын
Kamata farasi hao, wanataka kuvunja amani ya nchi yetu tulivu.
@FrankMashauri-t4t
@FrankMashauri-t4t 3 күн бұрын
Mbna we ni lizee kabisa ila bado hujatambua ili baya na ili zur aibu yako
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 күн бұрын
We ushapitwa na wakati
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 3 күн бұрын
Wapumbavu nyie ,shenzy type
@samwelkayange1207
@samwelkayange1207 3 күн бұрын
Sawa kunasiku
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 3 күн бұрын
Rais wetu mama Samia imefika mahali uone aibu hii si sawa kabisa hata kwa sisi wana ccm,CCM hatuna haja ya CHADEMA phobia wana nini au watafanya nini,
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 күн бұрын
Hovyo
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 3 күн бұрын
Mbona ccm huwa hamwakamati?
@AbdulkadirMwalimu
@AbdulkadirMwalimu 3 күн бұрын
Sababu wanafuata sheria ndomana hawakamatwi
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 3 күн бұрын
Sijaelewa kabisa naona kama kuna mapicha picha tu yanachezwa apa kwenya nchi yetu tukufu
@angelaangela5805
@angelaangela5805 3 күн бұрын
Mmevileta nyinyi polisi .wauaji wakubwe.
@CristofBota
@CristofBota 3 күн бұрын
Ipo siku itakuja kuwaghalimu hiki mnachokifanya.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 3 күн бұрын
Maswala ya vifu munataka kutukumbusha enzi za CUF😂
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 3 күн бұрын
Mbona kila siku chadema tu CCM vp mbona hatuoni wakinyanyasika.
@FredyKaitani
@FredyKaitani 3 күн бұрын
Wangekufa kabisa awo asikar
@naldclever
@naldclever 3 күн бұрын
Ivi kamanda kama huyu haoni aibu kutangaza taarifa kama hii kwa umma ?! Vip viongozi wa chama hiki kingine watakamatwa lini wao na kwa kosa gani ?!
@ShegaShegalo
@ShegaShegalo 3 күн бұрын
Kwan nyinyi askari mnajiingiza katika mambo yakisiasa . Bas kila siku chadema wanapotaka kufanya mambo yakisiasa mnawaeekea kauzibi iko wapi demorasia tz. Au ndio mnataka kurudusha utawala wamwendazake kuminya nakuwabughuzi upizani? No police no demoracy .
@karamarwamugema3700
@karamarwamugema3700 3 күн бұрын
Nyie polisi mnatia kinyaa, hata kusoma waliokuandikia shida. Kuna siku mtajutia haya mnayofanya.
@Allybinamour
@Allybinamour 3 күн бұрын
hii sababu kama haingii akili ivi!!
@StephenMpallange
@StephenMpallange 3 күн бұрын
Tunatarajia mengi kuyaona Toka kwenu Police,walinzi wetu wa CCM.
@ShabaniMustafa-n8h
@ShabaniMustafa-n8h 2 күн бұрын
Chura ukimpiga teke unamuongezea mwendo
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 2 күн бұрын
Kwani nyie ndo mnafanya kampeni???
@ChrisMkumbo-h3t
@ChrisMkumbo-h3t 3 күн бұрын
Kwanini police watanzaniya wana sura mbaya na roho mbaya?
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 3 күн бұрын
sababu ya kukamatwa ni ipi kamanda? un umri gani hadi ustaafu? tenda haki,utakosa watu wa kucheza nao bao uzeeni mwako,kila kitu kina mwisho,walikuwepo watu kabla yako,jiangalie,dunia duara hii......,shauri yako.Nimemaliza.
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 3 күн бұрын
Wanataka wafungiwe ili waseme hatukushinda m tulifukuzwa na polis
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 3 күн бұрын
Acheni ujinga wakutumika vibaya
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 күн бұрын
Sasa mbona mnawakamata vyama pinzani mnawakamata mbona CCM awakamatwi
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 күн бұрын
Wafuate shelia
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 3 күн бұрын
Wek ndan
@HemedKiama
@HemedKiama 3 күн бұрын
Mungu awalaani mbwa nyie,siku zenu zinahesabika subirini.
@angelaangela5805
@angelaangela5805 3 күн бұрын
Soka yuko wapi???
@samwela.akelloh2148
@samwela.akelloh2148 3 күн бұрын
Siku hizi Watanzania wanatambulishwa Kwa Makabila yao
@AmarahSuddeis
@AmarahSuddeis 3 күн бұрын
Kaz kariakoo imeisha kwani?
@thomaspeter2540
@thomaspeter2540 3 күн бұрын
Upuuzi
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 3 күн бұрын
Mbona Unawatja Kwa makabila Yao, hatuna haja na ukabila majina Yao inatosha, acheni ukabila
@hamadimgaza9351
@hamadimgaza9351 3 күн бұрын
Jeshi la ovyo kuwahi kutokea zama hizi
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 3 күн бұрын
Police endeleen na uchawa lakini ipo siku 😮
@FadhiliMwakalinga
@FadhiliMwakalinga 3 күн бұрын
Mbona ccm amjawakamata
@AronAnselemi-he4vk
@AronAnselemi-he4vk 3 күн бұрын
Siumeshasema mlinzi sasa unataka atembee bila silaa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 3 күн бұрын
Chadema nimajambazi
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 3 күн бұрын
Anatetea cheo chake ili asipate/kukumbwa na njaa ya familia yake.
@StevenMakuru-i6u
@StevenMakuru-i6u 3 күн бұрын
Kazi yenu ni rushwa tu kariakoo gorofa limeanguka hata vifaa vya kuokolea hamuna daah
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 3 күн бұрын
Pelekeni usenge yenu polic mnalinda ccm kenge nyie
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 3 күн бұрын
Sijakusikia.lini.unawafikisha.mahamani.polisi.mna.bundiki.mnaogopa.visu?
@saidimpako5186
@saidimpako5186 3 күн бұрын
sasa mlinzi awe hana hata kisu ujinga tu mtu anaruhusiwa kutembe hata na bastola kama amefuata tu taratibu kisu kitu gan
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 күн бұрын
Kosa nilipi kwani
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 3 күн бұрын
Polisi mnaingizwa kwenye mtego na ccm ili kuondoa amani ya nchi maana mmekuwa mkihusika kwenye dhuruma za ccm. Hata press zenu zinaonesha mnafanya kazi kwa biasness maana zinakuwa zinaonesha wazi kuwa kuna maelekezo kutoka sehemu kwa mnachokuwa mkikiongea. Na kiuhalisia amani ya nchi hii haishikiliwi na ccm wala polisi bali CDM maana ndicho chama kinachovumilia vidubwasha na dhuruma nyingi mnazokifanyia..siku kikitangaza kuchoshwa na dhuruma hizo ndo mtaelewa amani yetu ilikuwa imeshikiliwa na kina nani.
@MwesigeMwesige
@MwesigeMwesige 3 күн бұрын
Nyinyi mbona mnaenda namabunduki
@DaudSuday-v5c
@DaudSuday-v5c 3 күн бұрын
We afande mpumbavu ata kusoma hujui
@benedictgamuya8855
@benedictgamuya8855 3 күн бұрын
Shame on you..... Too much kujikomba
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 3 күн бұрын
sasa ss tunauhakika gan kama kweli alikutwa na visu ? hatukuwepo kwenye tukio. Na wao sio wehu mpaka wafanye mkutano mahali hawakuruhusiwa. Bado taarifa haijajitosheleza kabisa.
@MohamediKarimu-l5x
@MohamediKarimu-l5x 3 күн бұрын
Polisi mnatumika vibaya
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 3 күн бұрын
Viongozi wa Dini tuiombee Nchi Yetu,
@albertmichael4014
@albertmichael4014 3 күн бұрын
Amani gani tatzo nyie police mnaona kama sisi akili hatuna ila nyie ndiyo mnafikiri vizuri, ila siku moja watoto au wajukuu ama vitukuu watalipwa haya mnayofanya
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 3 күн бұрын
Tumikeni Kabisa
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 күн бұрын
Ipo siku yata ishaa nikwa muda tuu
@MwesigeMwesige
@MwesigeMwesige 3 күн бұрын
Mnatumika na ccm kwanini nichadema Sasa mboe anausika nanini
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 күн бұрын
Polisi hamna jipya ubabe wenu wote mnaonyesha kwa chadema tu kwa ccm mnaufiata
@edwintigwela
@edwintigwela 3 күн бұрын
Form aliepata F alafu akawa RPC unategemea akili zinafanya kaz vizur kweli
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 3 күн бұрын
Unyani kabisa
@deohaule8161
@deohaule8161 3 күн бұрын
Polisi acheni kutumika kukandamiza demokrasia. Mnawatafutia sababu ili washindwe kufanya kampeni.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 3 күн бұрын
Nawalinzi wanamakosa😂😂😂
@allynassoro8448
@allynassoro8448 3 күн бұрын
Askari nyie waongo sana hamjielewi Kila kitu kinaonekans mnaenda kuwavizia porini
@StevelabaranSeverwa
@StevelabaranSeverwa 3 күн бұрын
Mmewakamta kwa makosa gan!!!!
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz 3 күн бұрын
Nyinyi ni polisi mnaosikiliza oder kutoka ccm sisi wananchi atupendi ata kidogo tabia zenu chafu simuwape uhuru wafanye kazi kwani mnaogopa ni i.
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 3 күн бұрын
Yaani hii nchi inawaonea chadema tu ,lakini iko siku watanzania watatengeneza vyama vya waasi ,sasa hapo tutaona mtaendelea kuwaone watanzania?tunaomba itokezee hivyo ,kwasababu njia ya amani kwa njia ya demokrasia ccm hawawezi
@kelvinLwiva
@kelvinLwiva 3 күн бұрын
Mnalinda nn
@luthermartin1098
@luthermartin1098 3 күн бұрын
Kazi yenu ni kulinda ,kwan kukutwa na kisu ina maanisha nini? wakati umesema ni.mlinzi
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 3 күн бұрын
Wamekosa nini?
@IlhamAlly-k1o
@IlhamAlly-k1o 3 күн бұрын
Kazi ya polisi kunda wanaichi na marizao siokukamatwa viogozi wetu ira mutaripa kwahiki tukutane tarehe 27 mujipange maporisi
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 3 күн бұрын
Yani nyie mmeshajionesha wazi kuwa hamfuati sheria na taratibu bali mnaenda kwa matakwa ya ccm, aibu kwenu.. Maana kama bunge ni la ccm linatunga sheria za kuibeba ccm lakini bado ccm wenyewe wanaogopa kuzifuata bali wanafanya wizi wa kura na zoezi zima la uchaguzi.
@MohadiTv
@MohadiTv 3 күн бұрын
Mimi sichukii chama nachukia waliopo kwenye chama
@EmmanuelMungai-i5z
@EmmanuelMungai-i5z 3 күн бұрын
Ningekuwa nawezonyie mapolis nyie mgejua hamjui
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 күн бұрын
Kungekuwa na kubeti tungekula pesa Sana ukiskia wanachama wakamatwa kinachofata ni wa chadema au chama Cha demokrasia na maendeleo miaka ile ya vyama bungeni ukiskia mbunge atolewa na polisi bungeni ifuatayo ni mbunge wa CHAMA hichohicho kutawanya maandamano kuenguliwa kukosesha kuandika jina alilokuanalo tangu utoto na haohao
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 3 күн бұрын
Nyie wenye mamlaka pitieni comments zote muone kama kuna anayeafiki mnachoifanyia chadema, ndo mtambue kwamba nyie mnajiongoza ila wananchi hawakubaliani na maamuzi yenu.
@johnstambuli5275
@johnstambuli5275 3 күн бұрын
Police fanyeni kazi yenu acheni uchawa mnahalibu demokrasia ya nchi yetu ni ujinga kabsa na uwoni hata aibu kabsa
@johngerald4677
@johngerald4677 3 күн бұрын
Mngekufa2 mbwa nyie
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 3 күн бұрын
🚮
@DaudSuday-v5c
@DaudSuday-v5c 3 күн бұрын
Kwenda uko lijiga ww efande mbona samia mnamlinda namabunduki
@abnermailos8043
@abnermailos8043 3 күн бұрын
Kosalao nini
@MwesigeMwesige
@MwesigeMwesige 3 күн бұрын
Polisi mnakosea mnatia aibu taifa
@edwardolemamba7155
@edwardolemamba7155 3 күн бұрын
Mnatumika vibaya Sana nyinyi
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 3 күн бұрын
Ungejua tulivyo wachoka na huonevu wenu polisi kwa wananchi wa vyama pinzani? Amuoni gorofa la kaliakoo lilivyo dondoka, walivyo kuja jeshi la wananchi, walivyo shangiliwa, sababu wanatenda haki mala nyingi, Mulilo aliona pale, sijui alijisikiaje? Wao kila siku tunaona kwenye mitandao wanavo watendea wananchi baazi ya wapinzani
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 10 МЛН
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 48 МЛН
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Новости дня | 26 ноября - утренний выпуск
11:48
Euronews по-русски
Рет қаралды 27 М.
TAMKO LA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
15:26
Новости дня | 25 ноября - вечерний выпуск
11:43
Euronews по-русски
Рет қаралды 118 М.
CHADEMA WAKIWASHA KUELEKEA UCHAGUZI WA MITAA!
6:03
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 5 М.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 10 МЛН