Huyu ndo diamond ninaemjua Mimi, yaan mtu anaimba kwa hisia, yaan sijui nieleze vip, any way 2024 still naifeel
@tinaiisrael23838 ай бұрын
Mimi hapaaa
@SaadyBaruani3 ай бұрын
Upo sahih kbsa nakuunga mkono na mguu
@Zalbiasaid-c2sАй бұрын
kabsa
@Mussamatala21 күн бұрын
upo sahihi brother
@MohammedKaka-s1z11 ай бұрын
Kama.leo umekumbuka hii nyimbo ya Diamond nipeni likes apa kutoka kuwait...😅😅😅😊 Huyu jamaa kitambo alikuwa vzri
@maliaannann15724 жыл бұрын
Ah jmn tuongee ule ukweli ... Kuna watu ni very talented asee.... Huyu jamaa yuko vzr kinoma yan kuanzia sauti, tune, beat, kuvaa ..... In short this is smart. Gonga like km unakubali... I grant five 🌟 🌟 🌟🌟 🌟 s.
@ashamohamed14613 жыл бұрын
Wanalijua Ilo Seema wivu tu unawasumbua
@suleimanesivirwa110 ай бұрын
Nani yupo 2024 from suleimane Congo 🇨🇩🇨🇩
@Okengo_the_chess_master11 ай бұрын
This song is lit. 2024 and still in my playlist. This is the diamond we all loved. ❤❤❤
@gabrielambaruku54525 жыл бұрын
Diamond tumecheza sana rudi kidogo na huku ..watu wanamiss nyimbo za hisia kama hizi..
@khedimahmed95112 ай бұрын
9 سنوات مرت على هذا العمل الرائع . جميل جدا ما فعلته لم أفهم الكلمات لكن الإحساس الموجود في الأغنية يدلك على الكثير من الحب من الجزائر 🇩🇿
@Aboodjan4-Ай бұрын
خربان 😅
@elvinelumumba63553 жыл бұрын
I still love this song 2021 anyone with me hands up🙋 mapenzi yanauma vibaya vibayaa
Nalia sababu ya mapenzi 😢.I'm always here to listen to this masterpiece 👏.🇰🇪well represented👌
@samsed-media9911 Жыл бұрын
Don't cry come to me baby❤
@williammdala2372 Жыл бұрын
Kkkkkkkk
@chrissy_Tv7787 жыл бұрын
Ila ni ghafla safari inanifanya usingizi sipati.. ila nakumbuka mbali nikiskia harufu yake ya marashi... wow that verse make mi feel like ananymous.. Infact ni kama true story kwangu.. Nani mwingine inamuusu a like hapa.
@princekilale77146 жыл бұрын
Chrispinus Kipng'eno mmb
@mwanamanihamad58006 жыл бұрын
Mapenzi yanauma vibaya
@angelinajoseph57335 жыл бұрын
Pole sana kaka mapenzi yanauma sana nayajua maumivu yake kupona ni kazi sana
@paulsylvester78775 жыл бұрын
sio poa yaan
@fredyanania45545 жыл бұрын
Chrispinus Kipng'eno Darh!!!! Kwer apo simba aliimba bwana inanikumbusha mbar sana alafu pili inanigusa mno
@arynxbaba90915 жыл бұрын
Bado Inaniliwaza😢😢😢who's here with me in 2020??
@joemaboto5 жыл бұрын
arynx baba90 yo great bro 😂
@juliesichalwe19775 жыл бұрын
Enz hiz ndo alikuwa vzr
@officialmrtop10185 жыл бұрын
@@juliesichalwe1977 ilikuwa style nzuri sana ila haingetufikisha mbali na haswa mbele ya wanaigeria ndo maana kabadili
@arynxbaba90914 жыл бұрын
@@joemaboto Haha Nomaaaa
@kalitoserar35244 жыл бұрын
I'm here witchu' my bruh hisia kwa wingi 🇨🇦🇰🇪
@baristamohammed7 жыл бұрын
Najua alimaanisha kua simfai ila lakini angesema kuliko alichofanya mi akantoneshai akanimeza akatema😰😭😭😭😭😭 diamond you are awesome😍😘
@aishahuosein21146 жыл бұрын
Dah diamond ngoma yako huwa nikisikilizaga inanikumbusha mbali sana jaman
@sudayjulius18773 жыл бұрын
Hili song kila mwisho wa mwez lazma nilisikilize aise daahh bonge la ngoma an
@miriummichael31383 жыл бұрын
The Diamond I fell in love with!! Who else is listening to it in 2022?? Holla please...
@leilaabduba32192 жыл бұрын
2022
@MANHIMSELF20002 жыл бұрын
Am in the hospital but listening to this
@evnsichacky57622 жыл бұрын
2022
@ONLYMAWIRA2 жыл бұрын
Tuko wengi
@websterwmike2 жыл бұрын
2022 here I'm. This maaan! 🔥
@rebeccandenga45665 жыл бұрын
Cjui kwanini diamomd huwa hatoi video ya hii nyimbo daah, naipenda mpaka naumwaa, 2019 still listening daah.
@mtanzaniamzalendo70015 жыл бұрын
Diamond imgharimu atoe vdeo huu wimbo unapendwa Sana,Mimi nausikia Kila mara
@officialmrtop10185 жыл бұрын
Kabisa
@shaimahasani98124 жыл бұрын
Rebecca Ndenga mipia naiprnda sana
@hesbonmuryth56424 жыл бұрын
I love this song too amongst all songs from diamond.
@ericernest20994 жыл бұрын
Sijuii
@daudimaniseli759 Жыл бұрын
HUYU JAMAA HANA NYIMBO MBAYA HATA MOJA KIUKWELI NA MZIKI ANAUJUA NA ANAUPENDA SANA
@abelmwangangi17975 жыл бұрын
Wakenya wenzangu kama unapenda hii nyimbo nipe likes hapa🥰
@abelmwangangi1797 Жыл бұрын
3 years later over 200 likes ..God is great indeed same reason brought me here
@ZulfaAthumani-wg5ud Жыл бұрын
@@abelmwangangi1797 my friend I can get a few things to get a new phone yet BUT jamani ✌️ mbona 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
Naipenda hdi bc lkn cijui jinci y kuidownlord
@abelmwangangi1797 Жыл бұрын
@@Nahdiya-nr3de naeza kudaidia kudownload
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
@@abelmwangangi1797 sawa km waeza niasidia haina shida
@hamisimwiru55324 жыл бұрын
Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani badala ya kuzama mi kwangu akaelea, akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana, mikwanja nikamwaga mama japo sio kivile ila la kuongea ma hana... @Diamond Platinumz this song iko na feeling..
@riahmavindu83713 жыл бұрын
This song is killing
@hajinyumba75702 жыл бұрын
Mikwanja nikamwaga mamaa japo sio kivile ila kwangu ni yamana
@sayeedbinazan3 жыл бұрын
Najua alimaanisha kua simfai, ila lakini Angesema😭😭
@charlesmaina72943 жыл бұрын
Mapenzi yaumiza cha kweli. Naomba tu uwe nami maulana Kwa muda mgumu ninaopitia😔😔😔
@aminanyamvula Жыл бұрын
Pole for those undergoing heart break
@charlesmaina7294 Жыл бұрын
@@aminanyamvula liking this comment imenikumbusha mengi sana
@ishimwechafii76283 жыл бұрын
Diamond nakiita tena diamond nyimbo Kama izii ziko wapi
@mansouromary92463 жыл бұрын
Leo ni siku ya kusikiliza ngoma zotee za Diamond huku KZbin mpk bando liisheee💥💥
@abelmbilinyi12623 жыл бұрын
😂😂🎶💯
@johajohar77773 жыл бұрын
🤣🤣
@hassanmkotya82042 жыл бұрын
Kama braza unanisikia basi fanya kuimba ngoma kama hizii maaana daah ujumbe umesimama beat menlody kilakitu bulibuli achana gidi gidi#@diamond
@thomasmackenzie8766 Жыл бұрын
This track deserves a lifetime rotation status ❤
@williammdala2372 Жыл бұрын
Top 5 my best songs for sumba
@williammdala2372 Жыл бұрын
Simba
@williammdala2372 Жыл бұрын
Wasafi for life
@bintialimwahezi51237 жыл бұрын
Mbona daimod hutoi nice song like this....unaisikiza mpaka unahisi umeimbiwa wewe....sherk leg my dear..
@rutigingajuma2576 жыл бұрын
Diamond una songs chibwoko ila hii chibwokoo zaidii
@beatussimon48734 жыл бұрын
Sio kwamba hizo nyimbo haziwezi cku hizi ila ni kwamba akizitoa tunasikiliza watanzania tu yaani hazimlipi ndo maana anabadirishaga staili anataka dunia nzima ichangamke kupitia yeye
@abdullahksrah80594 жыл бұрын
Ha haaaaa
@zawadifrancis25438 жыл бұрын
kwakweli umeimba kaka napenda sana hii nyimbo nalia na mengi niko saudi napenda sana kusikiza hii nyimbo hua inanikumbusa mbali sana
@jacquelineinnocent15345 жыл бұрын
Namimi pia Niko saudia bado naskia hiiyi nyimbo
@selector7285 жыл бұрын
Siyo nyimbo sema wimbo
@zawadijumaajumaa72785 жыл бұрын
Uko za wapi ww mm pia nipo hapa
@williamalex47923 жыл бұрын
Yaan leo ndo nimegundua maan ya huu wimbo baada ya kuachwa 😢😢 nyie mapenzi yanauma vibaya
@RidhiwanMbagaАй бұрын
Huwa nakumbuka mbali hasanikisikia harufu yake yamarashi,Simba uko juu Sana.
@youngbuda7233 жыл бұрын
kama umeuumizwa na mapenzi piga like hapo chini
@taniadomingossaide99562 жыл бұрын
Nime muumizwa sana 😭😭😭😭😭
@beatyanju5154 Жыл бұрын
Bora roho inasukuma damu 😅😅😅
@NyabendaObed9 ай бұрын
Pole sote ndoivo
@bevo83675 жыл бұрын
Mapenzi inakera banaa 😭😭 2019 anyone??
@omarmbarak76295 жыл бұрын
Tupo wengi
@smartboy94885 жыл бұрын
kasema nani
@ab3ab3135 жыл бұрын
simba
@davidonyango37244 жыл бұрын
It’s the pain that makes love beautiful 👌🏻
@zantomka3834 жыл бұрын
San
@abubakarimsere5 жыл бұрын
GONGA LIKE KAMA ISHARA YA UPENDO KWA BROTHER CHID BEENZ......DECEMBER 2019💉🙏
@fredyrichard47375 жыл бұрын
Ndo hivyo tena kasha filisika msela wako.," wakati mwingine tunashida nae kijiweni tukisoma magazeti 🤠😿 cheed benz3
@abrammohd1555 жыл бұрын
Ah hiii ngoma bhana imenigusa sana ilapoa tu"NAJUA ALIMAANISHA KUA SIMFAI ILA LAKIN ANGESEMA"
@queenvee8 ай бұрын
Sarah made him write nice songs with powerful messages...siku hizi anaimba vituko kweli..he need another powerful heartbreak arudishe akili aimbe vizuri tena..😅😅😅😅but I love u diamond and also ur music❤ from kenya am here 2024🎉❤😊
@jameschangwe18943 жыл бұрын
This song REALLY hit my heart!!!! Someone please post the full lyrics. Mapenzi kwa wote! From Lusaka, Zambia. Asante saana!!!
@HosianaMsechu8 ай бұрын
Tuliokuja hapa baadae ya stor ya Sara like tujuaneee
@wakuzilamohd13763 жыл бұрын
Simba hii ngoma naoma ifanyie video irudi tena mjini ngoma kali sana simba kama simba
@hadijamwanana24712 жыл бұрын
Nilikua sijaifatilia Hadi nilipoona kwa x wk moj ndo nimekuja kuitazama ahsante gigy money kunionyesha nyimbo nzr
@danielpaul257526 күн бұрын
2024 bado nasikiliza "nalia" wimbo unaotikisa ulimwengu wa mapemzi💝💝💝💝
@jimladkenya2855 Жыл бұрын
2024 still a hit🥳
@husseinandreakwihakwiha41609 жыл бұрын
This song make my heart trembles for your emotional voice and words and my eyes filled with tears that won't drop down.
@jandaboytztz63146 жыл бұрын
Kama unaskilizia Hiii Kazi Ndani Ya Mwaka 2019 Naomba Like Yako Hapa😭😭😭😭
@mzaymbakari98745 жыл бұрын
Janda Boytz Tzhatar sana
@ashaomani58655 жыл бұрын
N balaa
@ashaomani58655 жыл бұрын
Janda Boytz n noma
@selemankilupy8275 жыл бұрын
@@eliminamosha257 @
@selemankilupy8275 жыл бұрын
@@ashaomani5865 wcb
@JumaRashidi-qu6nv3 жыл бұрын
Kiukweli huo ni wimbo wenye ujumbe tena mzuri sana
@kennedykemboi57229 күн бұрын
Karibu tena kenya simba, tunakupenda sana... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. Still listening to this masterpiece 2024❤
@athmanali23775 жыл бұрын
Mapenzi yanauma vibaya.... Wapi likes za 2020👍
@taniadomingossaide99562 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@shebanjuma85313 жыл бұрын
Diamond kumuinua chidi benz hili goma mngetoa chupa..ifuatie na remix at least kuregesha shukran kwa legend chidibenz..
@tanaphamayunga99243 жыл бұрын
Dah!miaka ileeeee simbaaaaa
@masetomuhafiwa4546 Жыл бұрын
Hongera sana!! Sasa mtu akifanikiwa wanamwita freemason.. ametoka mbali sana.
@mosamossile91134 жыл бұрын
Najuwa Alikuwa Anajuwa kuwa simfai basi Angesema mapema, 2020 South Africa Cape town, lv My country Tanzania
@matioodssd77365 жыл бұрын
2019 niko peke yangu jaman hii nyimbo tangu npo darasa la7 2011 mpk leo inanibamba
@patricemacky11645 жыл бұрын
Imba uimbavyo uwezi kuimba tena wimbo wa mapenzi wenye hisia kama huu kila nikihusikiliza wimbo huu lazma machozi yanitoke😢😢 kama na wewe unausikiliza wimbo huu 2020 gonga like hapa.
@hyhy59534 жыл бұрын
Wema huyo
@bwanamohamed3864 жыл бұрын
Mm hapa
@evelynemunezero40644 жыл бұрын
En tout cas Diamond ni msani number 1kwasi wa Africa
@iddngonyani97524 жыл бұрын
@@evelynemunezero4064 ongeza imekuja baba
@neemaagustino67364 жыл бұрын
Bado najimic mic 💕💕
@mosesmakau37582 жыл бұрын
The platnumz old school is captivating and emotional , I am in love with your old school
@jushkaka48172 жыл бұрын
Walahi ni kweli
@AbigaelAnfika8 ай бұрын
Diamond still remains and will always be my East African star siku zote. Am Kenyan but Tanzania the world.❤
@suzymosha55302 ай бұрын
Kweli umetoka mbali sana Niwachache sana kama wew waliofanikiwa Mshukuru Mungu kwa ulipotoka na ulipo sasa .
@winniewinnie91145 ай бұрын
Wangapi tumerudi uku 2024😔😪
@annewetungumusuya92138 жыл бұрын
mifedha ukamwaga .so painfull.kweli angesema kama haumfai kuliko kakumeza kakutema.i cnt get tired of this song.
@kennedykemboi15132 жыл бұрын
Through your songs i feel like we have grow up together, i felt every single piece of your songs, big up bro
@fifty9star3303 жыл бұрын
Me nasemaga huyu jamaa ni jini watu wananimaindi genius 🦁
@renatusmatungwa65063 жыл бұрын
Dah child benz ulikuwa noma braza
@chrishenry36615 жыл бұрын
Chid alihuwaga sana hapa piya simba akazika sasa hebu kama wewe ni shabiki gonga lake twende sawa
@seyrahwythyrah19604 жыл бұрын
work ethic pays in the end … this dude has come from far
@Anime-EDITZ2553 жыл бұрын
100 per cent I think his work ethic is admirable, can't fault it.
@fakihisalumu93594 жыл бұрын
Hii kolabo kali xana ni pale mtoto wa tandale alipokutana na mtoto wa ilala kilichotokea ni hiki balaaa zitooooooooo 🔥🔥🔥🔥
@WATT_TV_KENYA5 ай бұрын
me at 12 years...ungeguza mambo radio ningekumaliza juu ya diamond ....huu wakati he was the main artist
@godgrace23-wg53 жыл бұрын
My favorite song I started listening to it when I was just 11 I didn't even know mapenzi ni Nini na kuumizwa kwenye mapenzi inaumiza aje Ila namshukuru Mungu mpaka sasa sijui maumivu ya mapenzi ila this one is my best song forever
@jackymushira6978 жыл бұрын
Diamond you are really blessed from kamwambie up to salome eeeish u r rocking Mapenzi yanauma vibaya,,, iko siku hii nyimbo itamfikia hehehe
@Queen-vx5it3 жыл бұрын
Theres nothing better than listening to a song for the fun of it!! The last time I listened to this son g each word was true lol....now...I am enjoying the lyrics and the vocals..and the beats...Thank you Jesus!!!
@gabrielambaruku54525 жыл бұрын
Binafsi nimeanza kumuogopa jamaa kwenye utunzi huuu..2019..bado na badooo..ukitumiwa dedication hii utalia zaidi ya uliemtenda
@yudamwakinyala67533 жыл бұрын
Huwa nakumbuka mbali Simba anahaki yakufanikiwa music mzuri ameimba mpaka bas
@phelgonaamondi72512 жыл бұрын
I go back to his old songs n I just realize that my taste of his music got better on each n every song of his
@mariammursal29055 жыл бұрын
2019 bado tuko hapa muziki mzur
@frenkidiksoni65295 жыл бұрын
kaka unatixha bhn hinyimbo inanikushamballi xana
@adnoicembogho44213 жыл бұрын
Plz diamond itolee video jamani. I love this song so much. Since 2017 to date it's my ringtone.
@elmiabdirizak46416 жыл бұрын
This song never expires no matter how many times you keep listening to it 🔥🔥🔥🔥
@sephaniaayubu18773 жыл бұрын
Kutoana ujoti A.K.A nishai niusengee uwoo kama hunitaki bora ungenambia tuuu im Moçambique i love tz my country
@luckyobiero12454 жыл бұрын
Kama wamskiza Diamond kila siku,nipe tano hewani!!!Kenya.
@binaljabirmshihirzanzibar83692 жыл бұрын
Yeah
@MTENGWAONE19 ай бұрын
My best song ever 😍❣️ kama unaipenda bonyeza kalike wakinivunja moyo takuja kulilia hapa😂😂😂
@kellyynbadati27466 жыл бұрын
Je ne comprend pas tous mais c'est confortable à écouter et il y'a un émotion superbe
@byamunguemile79675 жыл бұрын
Si tu écoutais, t'allais bcp apprécié car c'est une très bonne musique et une belle mélodie
@Iammoggy Жыл бұрын
Hello your number please
@KhamisHussein-u7j11 ай бұрын
It s about love
@mwanahalimamwachili96797 жыл бұрын
Mwenzenu naliaa naliaa sababu ya mapenzi ,Pole yameliza wengi hayo mapenzi.
@khadijaalrashdi62216 жыл бұрын
polesama
@sabiyuzk10525 жыл бұрын
Jaman dah nyimbo hiyoo inanifanye nijisikie tofaut kabisaa naipenda mnooo
@johnkiokombula Жыл бұрын
Mpaka leo 04.08.2023 Bado hiki kibao nakisikiza kama vile kipya... I wish Mond ungeekuwa Leo waimba kama enzi hizo ... I love it
@farijiissack7 ай бұрын
Ukweli huu wimbo naupenda sanaaaa Siku nikipata muda wa kukutana na diamond nitamuomba aniimbie huu wimbo live naupenda sana.
@benjaminlekutukai26356 жыл бұрын
Wengi Wameonga Wakanuna Mapenzi Sumu kweli
@marcolutema6 жыл бұрын
Kati ya ngoma za diamond ambazo nazikubali hii ni namba 1
@kadirialmas34285 жыл бұрын
Mimi mwenyewe hii ngoma huwa naikubali sana kuliko ngoma zake zote
@dijahassan9173 жыл бұрын
Kweli hi ndy ngoma Kali kinomaaaaaaaaa♥️🔥
@ashuwothman3288 жыл бұрын
That's my song.forever mapenzi yanauma vibaya. huwa nakumbuka mbali hasa nikisikiya harufu yake yamarashi.for u💕
@b.zedontvabdulkadershabani82853 жыл бұрын
Hili goma lina nikumbusha kitambo flan!!! Bigup platnumz an chid
@jayyusuf3463 жыл бұрын
Usione nakosa rahaa mamaa nalalama kwako mara kazaa😭😭🙏chi chi chi chid beeeenz chumaaa
@Deedee062192 жыл бұрын
For those going through heart breaks may you find healing ❤️🩹 😍❤️and true love 💕
@briannyakweba57402 жыл бұрын
Amen
@WinjoyKendi-n8t Жыл бұрын
Amen
@aliyah8474 жыл бұрын
It hurts a lot how you kept lying to me as if I never mattered ,I love this song though it reminds me of the good and bitter tym of my life and astonishes me how life showed me its back I even thought may be God departed from my life ,,ila lakini angesema ,,mapenzi yanauma vibaya
@zacariasalface57033 жыл бұрын
Anatisha
@NevestWisa11 ай бұрын
I'm here in JANUARY 2024 Best Song.. Keep it up Bruh Diamond hakika game ya Music umeimaliza
@Kelvinomondi36 жыл бұрын
Nani mpaka saa hii anaskia hii nyimbo 2022 🙌🙌 weka like basi
@carenkimeu59916 жыл бұрын
KELVIN OMONDI 🙋
@hoodoayandiamondofficial59715 жыл бұрын
254 Daily Trends weka subscribe wewe ❤️💯
@zihakatozzo53313 жыл бұрын
Unaona nyimbo yakawaida ila ngoja yakukute broo
@raniabosha16613 жыл бұрын
E Trends mm mpaka ss
@petermarco34733 жыл бұрын
Mimi nikomacho naisikiliza
@mushikwaclaude36903 жыл бұрын
Post post bado kiukweli mimi kivyangu unamstari mizuri tangu uanziye hadi sasa huo niukweli wangu ila tambuwa huto pendwa nawalimwengu wote ila mimi aaaaah napenda miziki yako nahaukiiga nikipaji dhahiri
@mrkingace9303 ай бұрын
Nimepigwa heartbreak moja safi nmesikiza hii ngoma siku mzima saa hii nabubujikwa na machoziiiii 😢 😭 😿
@jacobombokonunga59229 жыл бұрын
Ngoma iko juu,sauti ya kuvutia na mistari iliyosimama kweli.
@asyaabdulghani31833 жыл бұрын
Mapenzi yanauma vibaya, vibaya, vibaaaya
@Aboodjan4-10 ай бұрын
Sana tena sana😢
@adnoicembogho44213 жыл бұрын
I love this song.its been my ringtone for almost five yrs now n l still I love it so much. Kama uko hapa wakilisha
@go4waps29716 күн бұрын
Wakenya kwa sasa hivi Tunamchukia diamond lakini hii ngoma tunaipenda
@jeremiahKhamis-nu7zg10 ай бұрын
Diamond number one wanaoisikiliza hii ngoma 2024 gongalike hapa nikisikiliza hii nyimbo inanitoa machozi diamond umeimba kwa hisia nakukubali bro
@rachelernest68744 жыл бұрын
Mapenzi yanauma sanaa. 😪 anyone 2020 after some hard moments
@rizikitwaha71154 жыл бұрын
Am here Rachael
@esthermutali72705 жыл бұрын
Who's still listening to this in 2019 ? 😍😍😍
@omarmbarak76295 жыл бұрын
We are here
@wolfdjmovies5 жыл бұрын
I'm here
@Alfie_Andreah5 жыл бұрын
i am..😝😝😝😛😛🙉🙉
@wolfdjmovies5 жыл бұрын
@@Alfie_Andreah sound good
@inviolatawamache26265 жыл бұрын
even 2022 i will listen
@wardahussein58802 жыл бұрын
💥old is gold😍💯 Thank u diamond for this song
@flameske2932 жыл бұрын
One love
@salimpalim5442 Жыл бұрын
Completely in love with this song
@micahyusto45822 жыл бұрын
Pengo uliloacha kwa Moyo wangu haliwezi jazika kamwe, siamini ndo hivo tumeachana😳😳 knight popote ulipo natumai IPO siku huu wimbo utakufikia.....nalia na mengi🙏
@singidaprincetz18832 жыл бұрын
Daaaah kweliiiii wasanii tunaanzaga mbali saaanaaa najaribu kugikiria APA niliko nikija kuifikia na Mimi safari yangu