Yaani wimbo huu unanitia matumaini mpaka machozii mubarikiwe sana
@gasanahesron73652 жыл бұрын
Yesu abakomeze mumwizerane umwete. Ndabakunda.
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
Heri kuwekeza kwake Mungu na kuijenga imani yako kwake kila siku Amen na iwe kwangu🙏🏿
@zaidikiofisi42182 жыл бұрын
Mimi Dkt Makoba Charles nafarijika na wimbo huu sana, kuna mahali nilikwenda kuhamasisha makundi ya jamii masuala mbalimbali ya maendeleo, walijitoa wengi na nikaingiza mapato kwa kuucheza kutoka kwa KZbin na spika zangu watu wakatulia.mbarikiwe
@maryaristides14773 жыл бұрын
Barikiweni sana nawapenda nyote💕
@agnessahia4155 жыл бұрын
Kweli Mimi ni Nani Bwana Asante kwa wema wako kila itwapo leo Sina Cha kukukipa Baba
@videoorder4363 Жыл бұрын
Napenda sana jinsi mnavyo imba
@gloriousnp5 жыл бұрын
Happy sabbath wana na binti za Mungu 🙏👏🏽🇹🇿🥰🤗
@BongoCryptos5 жыл бұрын
Safi sana LB...
@anordswallo79805 жыл бұрын
Nimebarikiwa sn na huu wimbo
@changarawageorge3695 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana
@rachelkanga32805 жыл бұрын
Mubarikiwe sana wapendwa. Morogoro mnakuja lini? Tumewamiss saaaana. Yesu wangu aendelee kuwatunza
@jannywiga60864 жыл бұрын
MUNGU awabariki sana, napendas ana nyimbo zisizo na papara Huwa nabarikiwa mno.
@jamalogistics4125 жыл бұрын
Nabarikiwa na tungo zenu, mpangilio wa sauti, vyombo, sare zenu na kuimba kwa uhalisia wa nyimbo zenu.kwa kweli natamani mngebakia ninyi tu nchini.
@ellenpaul72384 жыл бұрын
Mbarikiwe sana nilisikia wimbo huu mara ya kwanza mliimba kwa msiba wa baba yangu last month ulitufariji saana.
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
Amen
@nchimunyasiadunkah81414 жыл бұрын
I think this is the best am so in love with it,can't believe I was reading Swahili kikikiki kiki keep up the spirit light bearers ,with love from Zambia
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
Amen
@nchimunyasiadunkah81414 жыл бұрын
Kindly asking for the translation of this song
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
@@nchimunyasiadunkah8141 you can check it through our description
@nchimunyasiadunkah81414 жыл бұрын
@@thelightbearerstz kindly share the link so that I can check on it,thank you .
@zephrinekanga45545 жыл бұрын
Wimbo huu umetulia kama kawaida ya LB. Bwana na awainue muendelee na uinjilishaji. Be blessed
@thelightbearerstz5 жыл бұрын
Amina sana
@mariejulmeus95552 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah
@amanibwire44234 жыл бұрын
Nyimbo zenu zinanibariki sana Mungu awape nguvu ktk akawainue zaidi
@Twaambobusiku2 жыл бұрын
I appreciate your work so much🥰
@onesmomariki41504 жыл бұрын
Mbarikiwe sana, pia huwa nabarikiwa sana na kwaya hii, nyimbo zilizojaa utukufu mkubwa wa mungu pia zinaonyesha uweza wa mungu kwetu sisi wanadamu🙏🙏🙏
@leahnyange95935 жыл бұрын
Barikiweni sana
@julesbelliot47105 жыл бұрын
Always blessed by your ministry to the world keep lifting the name of Jesus
@victorelias40615 жыл бұрын
Mungu awabarikii kwa kaziii nzuriiiii ameen
@thelightbearerstz5 жыл бұрын
Amina barikiwa
@victorelias40615 жыл бұрын
Thanks
@susanbett43255 жыл бұрын
A very blessing song. Waiting for the video. God bless you all
@juvenuspeladius95715 жыл бұрын
Is real and Palestinians histories still prevail among Africans mind
@ottilienhinda51245 жыл бұрын
Can't wait for the official videos
@stephanochiula56764 жыл бұрын
Please translate into English plz
@makorijunior4745 жыл бұрын
Amina Mzidi barikiwa
@janethmkama53854 жыл бұрын
Bwana awe nanyi daima
@judithkarangi24404 жыл бұрын
Amen amen. Hakika Bwana twashukuru kwa rehema zako
@deborahnajjuma2815 жыл бұрын
Wow... Ive been waiting for the full song for long... Thanks the Light Beareres
@shimwekagwiza37314 жыл бұрын
Wow, nyimbo nzuri
@LydiaMaregesi5 жыл бұрын
Wimbo Mzuri
@Gideon_CK5 жыл бұрын
This is so beautiful. God bless you people.
@dominickstephano53295 жыл бұрын
Very great. God bless you ever and ever, again and again³!
@amrivallentine46795 жыл бұрын
Good job
@johnrubuyi56947 ай бұрын
Amen
@degalpirty86044 жыл бұрын
song nzuriii
@smilydee27925 жыл бұрын
😃🙏 Praise Yahweh!
@juliusmoyo7163 жыл бұрын
Félicitation pour avoir composer et chanter ce chant combien vivifiant pour moi. Que Dieu vous comble de ses bénédictions a jamais.
@sarahpaulo71304 жыл бұрын
Sina chakulipa 🙏🙏🙏
@josephchimba75834 жыл бұрын
This song strength my heart
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
Amen
@edithanahozya45505 жыл бұрын
Your songs have never stop blessing me.....MAY LORD ENLIGHTEN YOUR WAYS ALWAYS
@thelightbearerstz5 жыл бұрын
AMEN
@pilotmomes69533 жыл бұрын
Well composed, classic in style!
@jolomestudio36764 жыл бұрын
nmesubiria sana full version ya huu wimbo🙏🙏🙏🙏
@floramghweno5701 Жыл бұрын
Ameen
@gloriousnp4 жыл бұрын
Mnatoa lini video ya wimbo huu? Just wondering 🤗🙏🏿🇹🇿 Fanyeni mpango utoke kabla meaka haujaisha ,ukizingatia HATUNA CHA KULIPA KEA UHAI ALOTUKIRIMIA MUNGU KIPININDI HIKI CHA JANGA LA CORONA, ni kwa rehema na neema zake tumevuka salama .
@injiniachaz91034 жыл бұрын
Mbalikiwe
@godfreymodest46224 жыл бұрын
Jitahidini muweke nyimbo zenu kwenye platform zingine za kidijitali kama audiomack, spotify na zingine. Tunapata tabu kuwa nazo nyimbo zenu kwenye simu tuburudike