@@lulanjamd3886 Thanks so much 😊🙏🏾 and feel welcomed
@flm1530Күн бұрын
Am here because of Tanzania
@BenitoCodesКүн бұрын
@@flm1530 Thanks so much 😊 🙏🏾 and feel welcomed
@NoelChamboКүн бұрын
Karibu Tanzania 🇹🇿 the Land of good people.
@BenitoCodesКүн бұрын
@@NoelChambo Thank you so much 🙏🏾😊 yeah that's true the people of 🇹🇿 are so kind and welcome. Very nice culture
@ewaldambrose6136Күн бұрын
Tanzania is the hub of Africa and the football power house of East and Central Africa yet an Economy King of Africa
@J4UProКүн бұрын
Siyo kweli et mia tano ndizi moja? Ndizi ipi? Eti wali mahalage elf 2000 hati 3000
@Brunn-mh2bqКүн бұрын
@J4UPro That's how it works. Huku kwetu hiyo 2000 ni kitu cha kawaida. Ndio maana mnakuja wengi kwa sababu ukichenj dollars au Kshs unapata Tshs kibao na unazitumia hapa. Tz let its shilling float exactly because many ignorant and jingoistic visitors like you will be bamboozled by the apparent small value they get for their foreign money. Result unajua ni nini? Mnakuja zaidi na mnaspend zaidi. WaTz ni geniuses!😊
@BenitoCodesКүн бұрын
@@Brunn-mh2bq very genius 🤣🤣🤣 at the end of the day you are left with nothing in your pockets.
@BenitoCodesКүн бұрын
@@J4UPro we had a very nice meal, chapati and kuku makange very spiced at 6000
@kotei-s3lКүн бұрын
You welcome tanzania 🇹🇿⭐⭐⭐⭐⭐ you are safe from now 6:07 6:08
@BenitoCodesКүн бұрын
@@kotei-s3l thanks so much 🙏🏾 😊 I feel at home 🎊🎊
@Hit_them-hard251282 күн бұрын
Welcome brothers to the home and Super Power of East Africa! Kenya Airport hakuna escalator msije mkaanguka 😂😂😂
@BenitoCodesКүн бұрын
@@Hit_them-hard25128 🤣🤣 Asante sana. Tanzania to the world 💪🏾
@Hit_them-hard25128Күн бұрын
@@BenitoCodes Your welcome bro
@Vegasboy254Күн бұрын
Il save this comment once we get a new airport 😂😂 ati wasianguke 😂
@jasiri25Күн бұрын
Usimskize uyo anatuabisha Watanzania wakat Kenya mna river road ina best malls@@BenitoCodes
@essentialpaulista44883 күн бұрын
A very good video 😊... Dar Salaam was full of fun 🎉
@BenitoCodes3 күн бұрын
Thanks, sure Dar es Salaam is a great city! 🎉
@benimlisa6056Күн бұрын
I have subscribed, welcome to Tanzania
@BenitoCodesКүн бұрын
@@benimlisa6056 Thank you so much 🙏🏾 😊 I feel at home 🎊
@karimkinwary4668Күн бұрын
Nendeni mitaa ya kinondoni mwenge mkale mihogo cocobeach na samaki na try local restaurants also there's variety of foods and different style of cooking also
@BenitoCodesКүн бұрын
@@karimkinwary4668 wow, thanks men 😊🎊 sure we are heading there. Will drop a video of coco beach ⛱️
@J4UProКүн бұрын
Here is a new subscriber to your channel
@BenitoCodesКүн бұрын
@@J4UPro Thanks so much 🙏🏾😊🎊
@AsminBeggeКүн бұрын
Karibu sana Tanzania kaka...sisi nifamilia
@BenitoCodesКүн бұрын
@@AsminBegge Asante sana 🙏🏾. It's a pleasure 😌
@ameedamilja79922 күн бұрын
Since when Maandazi ni Baked? Labda maandazi ya Kenya, ila Maandazi ya Tanzania yanakuwa fried (fried Dough). Wakenya hata Mchee uliopikwa bado Mnaita ni Mchele wakati tanzania mchele anakula Kuku.
@BenitoCodesКүн бұрын
@@ameedamilja7992 🤣🤣😜
@titolugoe-q3zКүн бұрын
Umekalili zpo sehemu sinauza baked maNdaz ila huwez pata kwa mama ntilie nikwenye migahawa yenye hadh yanapatkana
@jeremiaaugustino7187Күн бұрын
Shops With full A/C you cant keep door Open
@BenitoCodesКүн бұрын
@@jeremiaaugustino7187 ooh now I get to understand. The temperatures in Dar are so high coz of the coast.
@jeremiaaugustino718713 сағат бұрын
@@BenitoCodes yeah
@bagumampendaКүн бұрын
Milango ya maduka inafungwa to retain the air conditioning. Kwa joto la Dar, milango ikikaa wazi AC inaelemewa.
@BenitoCodesКүн бұрын
@@bagumampenda oooh I gotcha 🙏🏾 that's true men
@MichaelMalimi-y1wКүн бұрын
Nice picture
@BenitoCodesКүн бұрын
@@MichaelMalimi-y1w thank you 🙏🏾😊
@NgasaMaduhuКүн бұрын
The shops are open to keep the AC safe 😅
@BenitoCodesКүн бұрын
@@NgasaMaduhu 😅😅
@williamsangiwa9923Күн бұрын
We Dar ulikuja tuu kula 😂😂😂😂 ur content is all about feeding By the way krb bongo our neighbors
@BenitoCodesКүн бұрын
@@williamsangiwa9923 🤣🤣🤣 bana. Chakula ya Tanzania ni tamu sana. The best I have eaten so far. Thanks I feel welcomed 😊
@simonpure109Күн бұрын
@@BenitoCodesI agree but Sasa title ingesema testing bongo food...tunapeana njaa hovyo. Men only show,hata kusemesha totoz🙄🤭
@anthonymuimi63013 күн бұрын
Dar was such a nice place.Umepromote KQ wakulipe sasa😂
@BenitoCodes3 күн бұрын
Bana Dar kulikua kupoa sana. KQ wakiona hii vida wanipee ticket niende vacation 😄😄
@allymngwaya2831Күн бұрын
1+ man in your list
@BenitoCodesКүн бұрын
@@allymngwaya2831 Thanks bro 🙏🏾😊
@beldina.hezrontv58812 күн бұрын
Nyie mmekuja hamjui shops za Tz mnataka watu wakae aje…..Huku maduka mpk asubuhi watu wapo wazi….hapo mlipoenda may be hakuwepo.
@BenitoCodesКүн бұрын
@@beldina.hezrontv5881 😅😅 tulikua shocked kupata milango imefungwa though no one was selling.... Not what we're used to but the attendants were so polite. I like it that way 😁
@kevinephily835719 сағат бұрын
Hivi vijamaa bana eti inakaa mombasa mara sijui wanasifia hii ni taka sasa kama mmekuja ku criticize si mngebaki kwenu kwani kuna aliewaita au ni viherehere tu mbona mko obsessed sana na Tanzania, nyie acheni ushamba nyie na kiswahili chenu cha hovyo.
@itsmedo_u_getit9112Күн бұрын
Passion inasagwa na mbegu Ndo maana unaona hivyo vi black spots ! Bongo una 5000 unakula kujigalagaza 😂
@BenitoCodesКүн бұрын
@@itsmedo_u_getit9112 wow 👌 true, 5k unakula vitu mob Sana
@NgasaMaduhuКүн бұрын
@@BenitoCodes ni ksh250 😂😂
@BenitoCodesКүн бұрын
@@NgasaMaduhu bana 😁😂
@bajagihaji8923Күн бұрын
Tupo pamoja
@BenitoCodesКүн бұрын
@@bajagihaji8923 kabisa tupo pamoja 💪🏾
@josephmartin2922 күн бұрын
Nyie Mabuda Msinunue Malaya huko sinza Malaya Wengi Usiku 😂😂😂
@BenitoCodes2 күн бұрын
😅🤣🤣🤣 noma sana
@afronur1354Күн бұрын
Mimi ni m Tanzania naishii Canada na Sweden na nafanya biashara ya madini napita sana Kenya sababu ya friends ukweli ni kuwa Tanzania tayari imeacha kenya mbali na corruption Kenya inaanzia Airport it’s crazy na kama unabisha I’ll show you evidence right here Kenyans jipangeni upya English wakati mnakufa na njaa really ?
@BenitoCodesКүн бұрын
@@afronur1354 Tanzania is Good very cool. 😊 I will be dropping a new video of coco beach. Stay tuned 😉
@sarahsam360322 сағат бұрын
Why the spite bro? Tanzania is a beautiful country with amazing people just as Kenya. Let's learn to build each other up😊 There'll always be something either country supersedes the other.
@karyori69Күн бұрын
Na hiyo arrogance yenu angalia msipigwe!
@giftyjohn38522 күн бұрын
We call it ugali samaki mchanganyiko na bamia
@BenitoCodesКүн бұрын
@@giftyjohn3852 😅 the meal was sweet. I really liked the smoked fish. Pia nilipenda the spiced food. Really good 💯 can't compare with what I get home 😜