Wow hapa nayoo mumetupiga chenga sisi kama Majilani zenu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimeoenda Wacha tujikakamue tujenge mupya,❤️❤️good work majilani
@ewaldambrose61366 ай бұрын
Thank u God for making me a Tanzanian..I'm proud of my lovely n beautiful country
@explorewithbertin6 ай бұрын
🙏
@samsonmwijage18696 ай бұрын
Thank you for promoting Tanzania attractions for viewers out there.
@TonyJonas-mk9ik6 ай бұрын
I like Tanzanian, it's very nice, the people there are also kind
@TheHighfly586 ай бұрын
Oh boy it's Tanzania is really africa it looks more like western world
@toyotauris4 ай бұрын
I love DAR, honestly one of my favourite airports I've ever flown through (and I've flown through quite a lot) - proud to be Tanzanian. ❤
@JamesmalesaMavere6 ай бұрын
Tanzania air port is the best 🔥🔥🔥
@festondile20392 ай бұрын
Beautiful Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 thank you so much for the update
@ladytanzania65956 ай бұрын
Hongera sana! You are doing a great job showcasing Tanzania! 🎉
@explorewithbertin6 ай бұрын
Thanks Lady Tanzania
@jovinvicent51486 ай бұрын
Duuh, I almost though this is Europe This is really awesome
@toyotauris4 ай бұрын
if it was in europe it would be super crowded and miserable and nothing would work, take it from someone who lives in the UK lol
@patjames89306 ай бұрын
This is impressive l must admit as a Nigerian. Far better than what we have in Nigeria.
@SegunMichael-t5q6 ай бұрын
Nothing is ever good to you as a Nigerian😂😂😂. While I compliments the project, Is it deem necessary to identify yourself when making flattering remarks about others country's project. Very Unpatriotic people we have here in Nigeria. Never see the potentials that the country has.
@marymasafu84582 ай бұрын
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania na watu wote wanayoipenda Tanzania. Najivunia Yale yote yanayoendelea Tanzania. Tuzidi kuimarisha Amani na Ushikamano Kati yetu.
@worldtechlab6 ай бұрын
Awww love this airport BRT is coming there soon
@askuri_6 ай бұрын
I see the airport is also getting connected to BRT phase 3, love it
@irenewile2 ай бұрын
Yes
@annamariadioniz97406 ай бұрын
Well done Bertin. We spoke today
@giftmeela62506 ай бұрын
Bro nakuona mbali sana endelea hivyo hivyo👍
@vailetheanyambilile97496 ай бұрын
wawooo Nyumba tanzania
@Eyob79718 күн бұрын
A beautiful large airport. Cheers from Addis Abeba, Ethiopia. I hope to see large modern airports built all over Africa. It is time for us to rise!!!
@omarybakunda25546 ай бұрын
Nzuri sana hiyo
@eddechriss26646 ай бұрын
Good job bro, ur the 1st person to explore this beautiful terminal widely, I see u in next few years to become like STEVE NDUKWU🎉🎉🎉🎉
@explorewithbertin6 ай бұрын
🙏
@ReginaSixbert6 ай бұрын
Kazi nzuri bro
@Nick166976 ай бұрын
Nice job
@explorewithbertin6 ай бұрын
🙏
@navigatorchinduli26996 ай бұрын
Good ❤❤❤
@lydiamwenisongole6 ай бұрын
Bravo JNIA👏👏👏
@LuckymusyokiLuckymusyoki6 ай бұрын
Moto Sana
@DeeOseko6 ай бұрын
Beautiful. Well done TZ 🇹🇿
@rebekahdavis8795 ай бұрын
I love this it is luxurious can’t wait to see in person ❤
@MUSOKEIMRAN-yv7ol6 ай бұрын
It looks great 👌🏿
@omzedstationary9326 ай бұрын
VIVAA..TZ..VIVAA!!
@RonnieBertin-f7f6 ай бұрын
rest in peace our mwamba wabongo mnamjua
@hajimgwami52246 ай бұрын
HAHAHAHAHAHAHA ACHA ROHO MBAYA HII AIRPOT IMEJENGWA 2013 TO 2014 NA JK KIKWTE
@rayisadesigns26466 ай бұрын
Hiyo imejengwa na Kikwete
@BadoMartense6 ай бұрын
Usipende kuwa na roho mbaya kiasi hiki, tunajua magufuli alifanya vingi ila tusianze kusahau wa kina Kikwete walicho kifanya. kwa hiyo tusitumie sana ushabiki. Naona mpaka siku hizi watu wanamponda Samia... Ma raisi wanafanya kazi hata kama magu alikuwa mwamba
@modenasayi6 ай бұрын
@@hajimgwami5224 lol Airport ilishindwa kumalizika kipindi cha kikwete hiyo ujenzi ulisimama kwasababu ya wizi magufuli kaimalizia.
@hajimgwami52246 ай бұрын
@@modenasayi HAHAHAHA SIO KWELI ILIISHA NA KUANZA KUTUMIAKA ACHENI KUZIKA SIFA ZA MTU JK KAJENGA ZAID YA AIRPORT 10 WAKAKTI IKIWEMO SONGWE NA IZINGINE, MIMI UNAENIBISHIA NIMETENGENEZA DUCOMENTARY ZA HIZO AIRPORT ZOTE, ALICHOFANYA MAGU ASIFIWE NA WALICHOFANYA WENGINE WASIFIWE PIA
@Him-ThePridefulOne6 ай бұрын
Great content Bertin!! keep it up
@explorewithbertin6 ай бұрын
🙏
@abdulkadirsheikhmohamed56 ай бұрын
Hongera.wa Tanzania ni maendeleo kwai.
@josephmwangi56446 ай бұрын
Awesome
@mudriqjardeny7086 ай бұрын
You make just the right videos. Keep it up!
@explorewithbertin6 ай бұрын
🙏
@tanzaniantraveller6 ай бұрын
Wow 😮😮😮
@Boyfromtanzania6 ай бұрын
Good job bro
@our10picks186 ай бұрын
This Julius Nyerere international airport is better, advanced and more efficient than the crumbling and outdated airport we have here in Kenya in the name of JKIA! Kenyans please please I beg you, 🙏 let’s pull up our socks 🧦 Kudos to Tanzanians 👏
@worldtechlab6 ай бұрын
LOL Leo umeongea ukweli mume wangu
@Edyi_446 ай бұрын
There's already new terminals in JKIA. kzbin.info/www/bejne/mmLXnYNtaZ51orcsi=CW8lOb3xtL8xDIhj
@Edyi_446 ай бұрын
There's already a new terminal in JKIA , all we need is patriotic KZbinrs like Bertin , the vedio of the new terminal was only done by a Canadian couple named Dave Mani , most kenyans don't even know about the terminal
@magazijuto79916 ай бұрын
@@Edyi_44 I have been to that Terminal but You can't compare with this Terminal 3 of JNIA. Kenya needs another new AirPort just like the Way Tanzania is constructing a new Airport in Dodoma that is bigger than this. But also, there is the new terminal in Zanzibar Airport that is even more busy than this JNIA.
@worldtechlab6 ай бұрын
@@magazijuto7991 achana na mjinga huyo yuko everywhere ku spew his hate against Tanzania
@rehemamyeya54906 ай бұрын
This is great 👏👏👏
@Shafikimanga76 ай бұрын
I like my country
@carolcantravel6 ай бұрын
What you call supermarket is a duty free shop. The airport looks way better than JKIA
@Brunn-mh2bq27 күн бұрын
Yeah. No leakages. No blackouts. Not for sale to Adani or anyone else 😅
@EdgaDonald6 ай бұрын
It’s more better than Kenya ❤❤❤
@RoseObonyo-nn7hb4 ай бұрын
What disturb you with kenya😅
@abdallasaid4628Ай бұрын
Wacha aongee imtoke😂@@RoseObonyo-nn7hb
@kwisa48996 ай бұрын
Jpm was blessed
@Baba-nm4qz15 күн бұрын
Bartin kuna watu wanapotosha tunaomba kila mradi uwe unasema ni lini umeanza maana kila mtu anasema jpm utafikiri hii nchi rais alikuwa jpm pekee
@mariej69626 күн бұрын
Dah, serikali imebadilika sana. Zamani wasingeruhusu mtu alete kamera yake maeneo kama haya. Nategemea maeneo mengi zaidi yataruhusiwa kupigwa picha ili dunia ione hatua tuliyopiga
@Patriot_kenyan6 ай бұрын
Looks so beautiful than our Kenyan leaking airport 😢
@Officialdekhan6 ай бұрын
😂😂😂😂
@Abounaumaan2246 ай бұрын
You are not patriot as you pretend to be called that😊
@Patriot_kenyan5 ай бұрын
@@Officialdekhan nitombe
@Patriot_kenyan5 ай бұрын
@@Abounaumaan224 I am patriotic
@thekipandes2 ай бұрын
No lies round hii Kenya tumepigwa kumi bila
@DavidCurtis-e4c18 күн бұрын
Shida ya Kenya ni moja tu bro, maandamano kila kukicha na maandamano hayo yanafuatana na uharibifu kama kuchoma baadhi ya vitu magari maduka miundombinu watu wanaingia mpaka bungeni kuharibu, hii ina wacost sana majirani, maana madhara yake ni serikali inabidi itengeneze upya viru vinaharibiwa na wahanga ni wananchi wote hivyo wanaoumia zaidi ni wale wa hali ya chini kabisa maana vitu vitapandishwa bei kwa kigezo serikali haina pesa me nadhani mngejaribu namna ya kuwawajibisha viongozi, mngekemea sana serikali isimamie hasa hasa mapato yaani kodi, na viongozi wa ngazi za juu kabisha mishahara ipunguzwe, mfano wabunge wa kenya wapo wangapi na ndio wanaolipwa pesa nyingi zaidi kuliko wabunge wa Tanzania na wakimaliza muda wao pia huchuku pesa nyingi mno hii inawaumiza sana wakenya, na mimi nasema hivi sababu ni mtanzania ila familia yangu ipo Kenya nairobi mke wangu ni mkenya, hivyo ni nyumbani kwangu pia, Kenya ilivyo sasa ilitakiwa iiache mbali sana sana Tanzania, Maana zamani mtanzania akienda kenya ni sawa ameenda America ila leo hii ni sawa kama vile Ameenda mkoa mwengine ndani ya Tanzania nasema hivi kizalendo na sio kishabiki mmetuzidi elimu hii haiana ubishi tutasubiri sana watoto wangu wanasoma kenya na wanaishi huko si kuosoma tu, ila kimaendeleo ni kama kenya imechoka na safari imepumzika wakati tanzania ndio inaendelea na safari, mnavyoona hapa ni mwanzo tu ila Tanzania kila mkoa ujengwa kwa kasi sana ila dar ni zaidi, mbali na Airport hii bado inajengwa nyengine ya kimataifa mji mkuu wa Tanzania Dodoma imeshafikia asilimia 70 mpaka sasa na mji huo kwa vile ni mpya miundombinu yake ni ya kisasa zaidi, niwaombe ndugu zangu tuachane na mihemko ya kuandamana kila wakati haitusaidii ni bora kuvumilia wakati ukifika wa kupiga kura ndio muchague wale mnaoamini watawasogeza hatua hapo sasa ndio mnaweza kuandamana kwenye kulinda kura za mtakao wapendekeza na tena muwe wakali hasa fungeni njia zote mpaka kieleweke na hata mimi nikiwa nimerudi likizo nikikutana na hali hiyo pia nitaandamana kwa maslahi ya familia yangu maandamano ya amani lakini yenye ukali bila kuharibu mali za uma na watu.
Hii ilijengwa na Kikwete. Yaani ushakua na kumbukumbu ya kuku?
@faustinaurio37036 ай бұрын
Kweli jamani jembe letu
@modenasayi6 ай бұрын
This airport is very beautiful than the neighbor's leaking airport ❤
@ngamaizinzi39876 ай бұрын
Only noise from those one😂😂😂😂😂
@modenasayi6 ай бұрын
@@ngamaizinzi3987 nakwambia mwenzangu midomo yao mikubwa kama wamepanuliwa na BBC
@explorewithbertin6 ай бұрын
Leaking? Really?
@modenasayi6 ай бұрын
@@explorewithbertin yea it does during rainfalls I have been there it is catastrophic believe me, don’t use that airport during rainfall season.
@FranscioliNumbulelo6 ай бұрын
Well done bertin. We spoke today. This is my other account
@mohamedihamisi2926 ай бұрын
Mimi nipo humu kutafuta comments mbaya za Wakenya viumbe wenye roho chafu Africa mashariki na njaa ya kutupwa#Rutomustgo😂😂😂😂
@KAPEGINORAH6 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰
@kyotopapa9566 ай бұрын
Please be different with the DRCongo and with the Congoleses. Wonderfull!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@emmanuelzao4 ай бұрын
😎
@jumashedafa3 ай бұрын
Hapo ni utalii tosha unaweza maliza hapo ukarud ulikotoka
@nuruallaybashilu26702 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@hajimgwami52245 ай бұрын
SIONI HAP PONGEZI KWA JK KIKEWTE, ILA INGEKUA JPM HAPA MNGEONA MANENO YA WAHENGA
@mimiraia25313 ай бұрын
Ufisadi wa Meremeta, Richmond, Tegeta Escrow, Madawa ya kulevya, MAUAJI ya Tembo, kusafirisha Twiga kutoka KIA kwenda Qatar, uzembe wa watumishi serikalini, kutokusanya kodi ipasavyo, huduma mbovu mahospitalini, nchi kudharauliwa na kina Rwanda na wengine kwa uzembe, ufisadi, MIKATABA YA HOVYO HOVYO…..na MADUDU MENGINE MENGI TU. KWELI ALIFANYA MENGI
@obyigogo99203 ай бұрын
Aliondoka madarakani ujenzi haujakamilika na pesa zilizo tumika zilikua nyingi kuliko bajeti ilo tengwa .
@AbelyMwalukali-jl5jz3 ай бұрын
Hiii imejengwa na JPM bhana acha usha...
@miltonjohn9779Ай бұрын
Nenda ukamoongeze nyumba I kwake huko msoga
@kilimanjaroflavour6 ай бұрын
Bro you keep calling mini markets supermarkets. Super markets are biger about the half of that aiport.
@umershahid92806 ай бұрын
I am getting 3000 usd with accommodation and car in dar es salam . Is it good to go ?
@mohamediomari16146 ай бұрын
Monthly?
@explorewithbertin6 ай бұрын
You are being scammed maybe? 🤔
@explorewithbertin6 ай бұрын
Can you explain yourself well. We may help
@mariej69626 күн бұрын
That's too much money. May be try to explain.
@rukiaiddyyahaya95066 ай бұрын
Kwanini kfc kwa tanzania haina chakula😢😢😢 cha kupika wasafiru wakafurahia
@explorewithbertin6 ай бұрын
Unaweza washauri pia. Kuna restaurants na buffet kibao ndani ya Airport mfano Twiga lounge, Cp lounge etc. Unaweza nunua chakula humo
@bakarijumakupaza43516 ай бұрын
Mbona ziko Dubai, Frankfurt etc? Wao hawana chakula cha kupika?
@rukiaiddyyahaya95066 ай бұрын
@@bakarijumakupaza4351 sasa dubai unaifanan8sha na tanzania
@bakarijumakupaza43516 ай бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506Nakuuliza nijibu? DUBAI Frankfurt, Schiphol Amsterdam, HAWANA CHAKULA CHA KUPIKA NAKUAMUA KUA NA KFC , BURGER KING NA MC DONALD?
@rukiaiddyyahaya95066 ай бұрын
@@bakarijumakupaza4351 mimi nazungumzia tz afu pili bara la asia wanakula kwa wingi nasisi tujivunie wakija afrika wale chakula chetu kwa akili yako buggers, kfc mataifa ya kiarabu ni chakula ambacho kiko kwa wingi
@hajimgwami52245 ай бұрын
Kikwete alifanya makubwa sana watu hawataki kuyasema kwa roho zao mbaya, Terminal 3, BRT PHESE1, DARAJA KIGAMONI NA AKAACHA YA UBUNGO NA TAZARA
@mimiraia25313 ай бұрын
Ufisadi wa Meremeta, Richmond, Tegeta Escrow, Madawa ya kulevya, MAUAJI ya Tembo, kusafirisha Twiga kutoka KIA kwenda Qatar, uzembe wa watumishi serikalini, kutokusanya kodi ipasavyo, huduma mbovu mahospitalini, nchi kudharauliwa na kina Rwanda na wengine kwa uzembe, ufisadi, MIKATABA YA HOVYO HOVYO…..na MADUDU MENGINE MENGI TU. KWELI ALIFANYA MENGI
@jamestaifa34612 ай бұрын
Flyover zote kajenga magufuri, both tazara na ubungo
@mosesmsisia4602Ай бұрын
Hauna taarifa za kutosha
@amriamraan261217 күн бұрын
Hiyo terminal waliojenga walikua wanaondoka sababu hawajalipwa hayati magufuli akawaomba wabaki kuendelea na ujenzi na akaahidi kuwalipa pesa yao yote. Fanya utafiti before kuongea pumba. Jk aliiacha nchi vibaya mno ila ndio hivyo mstaafu wetu hakuna namna
@Baba-nm4qz15 күн бұрын
@@amriamraan2612acha uongo mpaka jpm anaingia mradi ulikiwa 80% sasa hizo pesa za kujenga 80% zilitoka wapi.Kikwete alianza daraja la kigamboni na miradi mingine kama tanzanite,mfugale ilikuwa tayari pesa zimepatikana
@RashidHussein-bs1rg6 ай бұрын
It is very small airport.
@utopolo5436 ай бұрын
Are you seeing an airport congested that needs space? actually, it the very big airport compared with number passengers. By the way there are other big airports in Tanzania like KIA, Zanzibar and new upcoming one in Dodoma.
@RashidHussein-bs1rg6 ай бұрын
@utopolo543 how many passengers are passing each year?. Compare it with kigali Airport and kenyatta airport
@RashidHussein-bs1rg6 ай бұрын
@@utopolo543 it is not busy most of the times
@prayertime28206 ай бұрын
Great 👌
@jamestaifa34616 ай бұрын
@@RashidHussein-bs1rgif the airport is not busy but still Tanzania is most visited country in E.Africa where are tourists landing though?