TIBA MIMEA NI UCHAWI MTUPU•WAKRISTO WENGI MMEKUNYWA MAARIFA YA WAGANGA KWA KIGEZO CHA TIBA MBADALA

  Рет қаралды 6,070

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 күн бұрын
Nampenda Bwana Yesu Katika maisha yangu yote. Amen!!!
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 6 сағат бұрын
Ok sawa,hii ni kweli,nimekunywa hizo dawa za makopo .Kuna siku nimeota nimeemda Kwa mganga wa kienyeji kabla hajanipa hiyo dawa amesema subiri kidogo kabla hajaniambia nitumie,nikajua anaenda kunuiza hizo dawa,nikakataa nikasema siwezi tumia dawa za kienyeji,Kwa maana namuamini BWANA YESU KRISTO,baade nikaonyesha like kopo la dawa nililotumia ,kumbe ni dawa za uganga wa kienyeji.BWANA atupe maarifa ya kuona zaidi
@saramss7262
@saramss7262 2 күн бұрын
Aminnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaa barikiwaaa sana mjoli wa KRISTO YESU Awe nanyi JACKTANI na amieli
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 күн бұрын
Wow! Surprise! Ukiwa na Yesu unatembea kifua mbele... so amazing
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 15 сағат бұрын
Amina
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 2 күн бұрын
Amen endelea kusema wamasikio asikie asiyenama sikio yakiloho aache
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 2 күн бұрын
Msikilize mchungaji na akimaliza utamuelewa anachomaanisha. Ubarikiwe Mch Katekela
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
@@borntosucceed6877 Huyu mchungaji alisema kwamba Korona ilitoka kuzimu ikapita kwa wataalam wa maabara na jopo la madaktari wakaithibitisha, je tunawaaminije hao wataalam? na akiwa kuzimu akitengeneza na wanaotuandalia chanjo ni haohao wataalam ambao inasemekana ni freemason
@florakwayu5646
@florakwayu5646 Күн бұрын
Watu wamesoma kichwa cha habari tu hawajamsikiliza
@MariamMganga-ss9mm
@MariamMganga-ss9mm Күн бұрын
MUNGU akutunze sana,, unajua Tena unajua sana ,, nimekuelewa Baba anaebisha mwache,, tukiona mtu anabisha kapokea kimwili sio kiroho
@EmmanuelDavid-x5k
@EmmanuelDavid-x5k 2 күн бұрын
BWANA YESU ASIFIWE . Mtumishi wa MUNGU alie hai
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Күн бұрын
Naomben link ya gruop jaman la promover watsap
@marcbiryanguze7364
@marcbiryanguze7364 2 күн бұрын
Dawa asili kilamtu nimuhimu ajifunze na ajichumiye mwenyewe.
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo sayansi na teknolojia mbalimbali zinatokana na Mungu, mafuta ya kujichubua kwa kuwa yanatoka maabara ni halali kwa kuwa wametengeneza wataalam wenye mafunuo ya Mungu, kwa maana sayansi ni mafunuo ya Mungu, kwa mantiki hiyo hata chanjo ya Korona, haikuwa na madhara maana ilithibishwa na kutengenezwa maabara hizo hizo za dawa na Dawa za uzazi wa mpango pia halali kwa kuwa zimethibitishwa na madaktari wa kitaalam.
@EvaSimon-g4v
@EvaSimon-g4v 2 күн бұрын
Unatafta urahs wa maisha hapoo na SI uhalisia wa neno la Mungu
@sirpaza8513
@sirpaza8513 2 күн бұрын
Tiba mbadala ni kweli zingine ni za ramli
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Pia hizo zimehalalishwa kwa neno lipi la Mungu?
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
​@@EvaSimon-g4v pia hizo zimehalalishwa kwa neno lipi la Mungu?
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 күн бұрын
Sayansi ni uchawi mtupu.
@daniellmuttema8816
@daniellmuttema8816 4 сағат бұрын
Kweli kabisa
@kondelalukuba3896
@kondelalukuba3896 2 күн бұрын
Kwani hizi dawa tunazoletewa na wazungu zinatokana na nini, si hii mimea tuliyonayo hapa Duniani
@piusnkwale
@piusnkwale 2 күн бұрын
Anachozungumza ni elimu juu ya tiba.kutambua dawa sio jambo la mchezo.wengi wanaoteshwa na mizimu. Hao wa hospitali wamesomea tiba.hawa wa tiba asili wengi wao hawana elimu ila wanapata mafunuo kwa mizimu mimi ndio nimemuelewa hivo
@Sabinasinoya
@Sabinasinoya 2 күн бұрын
​@@piusnkwalendivyo hilivyo
@Revo_silayo
@Revo_silayo 2 күн бұрын
Dawa za kienyeji zilizo mbaya ni zile znazotokana na uchawi au uganga, lakini majani kama majani sio kwasabab Mungu ndiye aliyesema tutumie majani kama dawa...hapa ni chanzo tu cha ufunuo wa hizo DAWA EZEKIELI 47:12,MWANZO 1:29
@EmmanuelDavid-x5k
@EmmanuelDavid-x5k 2 күн бұрын
@@Revo_silayo nipe andiko ambalo MUNGU amesema utumie dawa za kienyeji na upone
@Revo_silayo
@Revo_silayo 2 күн бұрын
@@EmmanuelDavid-x5k soma EZEKIELI 47:12,pia soma MWANZO 1:29
@Revo_silayo
@Revo_silayo 2 күн бұрын
@EmmanuelDavid-x5k EZEKIELI 47:12,MWANZO 1:29
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 күн бұрын
Mi ninaimani ni ufunuo tu Kwa nn Mmungu alimwambia Adamu anaweza. Kula matunda ya miti yt kasoro mti wa uzima? Hapo mnatukaririsha vingine jmn,mi ninaimani miti. Km miti haina tatz tatz ni kwenda Kwa waganga
@Revo_silayo
@Revo_silayo 2 күн бұрын
@basilisamsaka8469 uvuvio wakujua huo mti kama nkutoka kwa Mungu mimi naona sawa...mana kuna watu wameokoka na wanafunuliwa miti shamba na Mungu, na ni watu wakufunga na kuomba.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Күн бұрын
Ktk hili fundisho Mch,umechemsha dawa ya kienyeji kujitibu kama umeichimba au kuitengeneza wexe mwenyewe,au umeinunua kwa wauzaji sio kosa,ukiwa na mashaka nayo ni kuitakasa kwa damu ya Yesu, angalia kiwango chako kisishuke mbona tulikuwa tunakukubali je sasa hivi imekuwaje,jichunguze!!!!
@JaneMujuni-je8wv
@JaneMujuni-je8wv 2 күн бұрын
Acha upotoshaji mbona mnakula mboga za majani kwa ajili ya vitamini?Mkishatumikia kuzimu mnajiona mnajua kila kitu,kwa maana hiyo unataka kusema dawa za viwandani ndio za mbinguni au,Funguka ufahamu,Mungu aliumba vitu vyiote vimuhudumie mwanadamu,Kwa ajili ya utukufu wake tu,Omba Roho Mtakatifu akupe ufunuo juu ya kila mmea .
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 2 күн бұрын
Kwanza Dawa za Hospitali karibu zote ni mimea! Mpaka Vitamins zote! Unajua hawa wahubiri wengine hawana akili na nafikiri hawana elimu ya kichungaji.
@phestostanley4019
@phestostanley4019 2 күн бұрын
Cheki na wewe unakuja na ideology za kisabato , kuna roho za utambuzi ambazo mnazo humo kwenye makanisani kwenu, mbona waganga wa kienyeji hawauzi vidongo tumia akili
@williammwakipesile1111
@williammwakipesile1111 Күн бұрын
BWANA YESU ASIFIWE. Mnaompinga mtumishi huyu hamjielewi ni waambie muombeni ROHO MTAKATIFU awafunulie yaliyojificha sirini mimi nilishamshuhudia mtu alikuja kwenye huduma tuliyokua tunahudumu akasema nimekuja kwenye huduma hii mniombee kazi yangu nakosa wateja kwa sababu mnaomba watu wanapona hawaji tena kwetu nikawa tena hospitali moja kubwa hapa arusha mhudumu aniambia aise fulani mhh angalia vitanda vyeupe hakuna dili nikasikia kwenye star tv waganga walikutana na kuomba kibali cha kuponya magonjwa ya ini figo pafu kwahiyo msishabikie msichokijua ohh namshukukojua ROHO MTAKATIFU ni mzuri. AMMMEEEEN
@williammwakipesile1111
@williammwakipesile1111 Күн бұрын
Je kuna andiko lolote kwenye biblia lililotuambia tutengeneze miti shamba ili uwe dawa? kwenye kitabu cha mwanzo kinasema nimewapa majani yawe chukula kwenu na kwanya wanayama au nanyi niwaganga wa kinyeji wauza miti shamba?
@AgnesMussa-t7r
@AgnesMussa-t7r Күн бұрын
Bendera Chuma, mlingoti chuma katekela
@moyojubeki6330
@moyojubeki6330 2 күн бұрын
Basi hata vidonge ni dhambi maana ni mchanganyiko wa mimea
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 2 күн бұрын
Amen
@NicholasNgecu07
@NicholasNgecu07 Күн бұрын
Mambo gani haya sasa wataka tutumie tiba zilizoko hospitalini, tiba asili ndio zuri. Tiba mimea si uchawi, wachawi ndio hutumia mimea kwenye harakati zao na kunao wanaozitumia kutibu lakini si wote wanaotumia mimea wachawi. Mimi mwenyewe hutumia tiba mimea lakini mimi si mchawi. Wacha kupotosha watu kaka.
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 2 күн бұрын
Vidonge ni mimea ,,ambayo wame iprocess kiwandani ,,for that case hata dawa za hospital ni dhambi ,,ikiwa ukitafuna majani ya mti ukanywa ni dhambi 😮
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 2 күн бұрын
Mchungajia kalenga tiba asili msikilize hadi mwisho punguza ujuaji
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
@@borntosucceed6877 hivi wewe unaelewa maana ya asili, asili ni kile kitu ambacho ni halisi kabisa akijachakachuliwa yaani kwa tafsiri ya haraka hakijapitia kiwandani, hatuzungumzii ramli, wala kutazama bao hapa kuna tofauti kati ya dawa asili, na ramli.
@Sabinasinoya
@Sabinasinoya 2 күн бұрын
Mchungaji ajakataa ila msikilize mpaka mwisho then njoo comment mpendwa
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 2 күн бұрын
@@borntosucceed6877 kwa comment yako tu inaonekana ww ni mdogo wake na shetani ,,hata km uko kanisani unapoteza muda
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 2 күн бұрын
@@Sabinasinoya ubarikiwa Sana 🙏
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Күн бұрын
Wazungu wengi wanao gundua dawa za kama za kutibu corona Ukimwi wote ni wapagani wengi wao ni FreeMasoni na waabudu shetani mbona dawa zao tunazitumia ktk hili umechemsha ,shida nini mbona naona kiwango chako kimeshuka shida nini ongeza kufunga na kuomba, Umesema habali za nyama kwa hiyo tusile jibu,tule tunywe dawa ktk kuzitakasa kwa jina la Yesu
@Markoisaackiunsi
@Markoisaackiunsi 2 күн бұрын
Nimemuele vema sana huyu mchungaji, si kwamba amesema usitumie mimea kama dawa, laah!, bali hizo dawa zinatoka katika mikono gani ili ziwe na ufanisi sawia katika mwili wa mwanadamu, si ndio ndugu zangu
@JoyceZabron
@JoyceZabron 22 сағат бұрын
Asa mchungaji apa kwa mfano mtu unashauriwa kutumia mbegu za mti wa mlonge kwa ajili ya kupanga uzazi , badala ya kutumia majira, je hizo mbegu ni dhambi pia?
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 2 күн бұрын
Dawa za kujibua ni ushetani
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 2 күн бұрын
Dawa za kujichubua ni ushetani
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 2 күн бұрын
Msikilize kwa makini usifuate mawazo yako, ifuate Biblia achana porojo za shetani
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
@@joshuatituslusinde1260 wewe huoni Bible una ushabiki nipe neno la Mungu linalothibitisha kwamba hizo dawa za maabara zimetoka katika mafunuo ya Mungu, na hao wataalam wamefunuliwa na Mungu? Yaani kama hizo nazo dawa za maabara hazitokani na maono ya shetani????
@Frosita
@Frosita 2 күн бұрын
Wewe hujamwelewa kabisaaa ..
@williammwakipesile1111
@williammwakipesile1111 Күн бұрын
Wapenda someni maandiko matakatifu na pia tujiadhari kwani kama hawa ndugu wanaompinga huyu ndugu wanasoma biblia zilizoandikwa ili kupinga ile kweli iliyohakikiwa au kupitishwa mara saba kwenye moto au watonyeshe andiko linalo jipinga
@williammwakipesile1111
@williammwakipesile1111 Күн бұрын
Wewe sudi huyo shehe anaesomea wa albadir anatuma roho mgonjwa wanatuma watu kuvunja nazi kupasua mayai viza kutoa kafara mbona hauwakei kwa ushauri wangu kaeni msikilize msiingilie watumishi wanaoposha mbona hamsemi zaidi mnawashangilia ROHO wa BWANA aseme nanyi na mtubu
@AnethShadrack
@AnethShadrack 2 күн бұрын
Hili kweli ni wito wa vita😂😂
@SudiBahati
@SudiBahati 2 күн бұрын
Nyie ni vichaa sio wachungaji serikali Iko wapi wachungaji nimekuwa wengi nyie uchungaji mnausomea
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anithibitishaje kwamba dawa za maabara imetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?
@princecyu8658
@princecyu8658 13 сағат бұрын
Hivi huwa mnasikiliza au ukiwa na upinzani wako basi kila kitu lazima upinge? hajasema dawa za mitishamba ni mbaya ila ni nani aliyetambua kuwa ni dawa hapo ndio shida. kama wewe umekula tango na ukaona linakusaidia kwenye kumeng'enya chakula hiyo si dhambi ila kama mganga au mtu anayejifanya tiba mbadala kakuambia muhoji alipopata huo utaalamu. ni vigumu wapi kuelewa hapo?
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 2 күн бұрын
Miti shamba ni halali yani chakula lakini miti pori yani herb ni haramu
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 күн бұрын
Jaman km nikichu mpera nikachrmsha nikanywa hilo ni tatz?
@EmmanuelDavid-x5k
@EmmanuelDavid-x5k 2 күн бұрын
@@basilisamsaka8469 andiko limesema wapi ..biblia imesema omben mtapewa tafuteni mtapata.kingine kama hauwezi kuomba wapo watumishi wa MUNGU alie hai watakuombea na utapona
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 күн бұрын
Dawa za miti ni nzuri lakini zile umechuma mwenyewe.... za kununua kwangu ni no; hata kama imedhibitishwa na nani...
@MassaweMeshack
@MassaweMeshack 2 күн бұрын
Wachungaji wa leo
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 2 күн бұрын
Acha kusikiliza ndugu,
@EmmanuelDavid-x5k
@EmmanuelDavid-x5k 2 күн бұрын
Wanaotumia dawa za kienyeji wote jehanamu
@peterntora5041
@peterntora5041 2 күн бұрын
Hata mchicha ni majani Je kwa kula mchicha, karoti, tangawizi, na aina nyingine za matunda ni dhambi?
@EmmanuelDavid-x5k
@EmmanuelDavid-x5k 2 күн бұрын
@peterntora5041 tofautisha chakula na dawa za kienyeji tena unazitoa kwenye viringe vya waganga na majini hapo .hauwezi kumuona YESU.maandiko ....ayubu 5:3-4 na yeremia 46:11
@Kingsalumoni
@Kingsalumoni 2 күн бұрын
Amen
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?
@goodluckdaniel4670
@goodluckdaniel4670 2 күн бұрын
wewe huelewi chochote,, rudia zaidi ya mara kumi kumsikiliza mtumishi,,bado hujaelewa chochote hapo,,rudia tena
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Wewe ndio hujaelewa
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?
@BarakaJohn-y1e
@BarakaJohn-y1e 2 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio Mungu?
路飞做的坏事被拆穿了 #路飞#海贼王
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 26 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 35 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris
59:27
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 26 М.
EPUKA HUKUMU IJAYO  UPANGA UNAKUJA NA ABIUD MISHOLI
52:50
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 5 М.
THE SEEING EYES - (ACCESSING THE GIFT OF SIGHT) WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN
2:58:38
路飞做的坏事被拆穿了 #路飞#海贼王
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 26 МЛН