TID ATANGAZWA BALOZI, HAPPY NATION WAMSIMAMISHA DEREVA ALIYE-TREND KWA MWENDO KASI

  Рет қаралды 36,861

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@kissymkulu5245
@kissymkulu5245 4 жыл бұрын
Kwa maoni yangu Dereva wa Happy nation hana kosa maana yeye alikuwa kwenye site yake na alilazimishwa kupitwa sehem hatarishi.
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
I LOVE BUKOBA MWAKA JANA NILIKUA HUKO MAA SHAA ALLAH
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Karibu sana dear
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 жыл бұрын
I love happy nation wako vizur
@jasonmakindo5545
@jasonmakindo5545 4 жыл бұрын
likes za TID MNYAMA
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 4 жыл бұрын
Hizo gar nzr Sana Mwanza to dar
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Ni vizuri kuwasapoti wasanii hasa wa zamani ili wasiwe watu wa kukata tamaa Hongera Happy Nation
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
🤜🤛
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 жыл бұрын
Kabisaaaaaaa
@ashuralwekika3048
@ashuralwekika3048 4 жыл бұрын
Bukubo mojaaaaaaaaaa
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@paschalkanja5869
@paschalkanja5869 4 жыл бұрын
Happy national ni gar za uhakika sanaaaaaaa!!¡!!!!!!
@ramamanyama2944
@ramamanyama2944 4 жыл бұрын
Hahahah Nan Ameshangaa Kama Mimi TID Mnyama Kuwa Balozi
@mtakamaonline7748
@mtakamaonline7748 4 жыл бұрын
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 22-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@chrissultan0722
@chrissultan0722 4 жыл бұрын
Baba baba baba mnYamaaaaaa keep taking higher mY G
@teacherd
@teacherd 4 жыл бұрын
MWANAFUNZI!!!!!!!!!!!!!!!!! UNAJUA SIRI ILIYOFICHWA NA NECTA(baraza la mitihani la taifa) KATIKA KUJIBU MASWALI YA FORM 4 NA 6? Pita kwenye channel yangu.. utakuja kunishukuru badae
@BrooklynMBE
@BrooklynMBE 4 жыл бұрын
Mimi ndo wakwanzaaaaa loooool lmfao 😊👌🏾
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 4 жыл бұрын
Ruti ya BK safi sana
@florianmbena580
@florianmbena580 4 жыл бұрын
Mmemsimamisha kwa kosa la kupitwa na rungwe au kosa gani
@captaincloud7youngpol692
@captaincloud7youngpol692 4 жыл бұрын
Ni Yeyeeeeeeeee
@innocentssamuel4110
@innocentssamuel4110 4 жыл бұрын
Wakwanza hapa
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@babarahmababarahma60
@babarahmababarahma60 4 жыл бұрын
Jamaa hata kuusoma mkataba hana yeye anatia sain tu njaa mbaya sana
@elizabethmashakaphilipoeli8813
@elizabethmashakaphilipoeli8813 2 жыл бұрын
Naomb kazi
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 жыл бұрын
Wooow karbu Bk TID
@xmathematics_
@xmathematics_ 4 жыл бұрын
TiD MNyAmA#
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
TopInDar amekula shavu safi sana MzeeKigogo
@innocentssamuel4110
@innocentssamuel4110 4 жыл бұрын
Gonga like kama unapenda usalama wa abiria wawapo safarini
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@venstonvedasto
@venstonvedasto 4 жыл бұрын
Sasa ni yeyeeee ataongea kwa madaha kama kawaida yake
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 жыл бұрын
🤣😂🤣😂
@alexmussa2598
@alexmussa2598 3 жыл бұрын
BAWASILI/HEMORHOID. hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa. Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje. SABABU -👉mtu akiwa anahara sana 👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara 👉ujauzito 👉kuwa na uzito kupita kiasi 👉kufanya ngono kinyume na maumbile 👉kula sana vyakula vya kukoboa 👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja 👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia DALILI 👉damu kinyesini 👉maumivu wakat wa haja kubwa 👉kuwashwa kwa tundu la haja 👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa Nb Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa Contact us ☎ Whtsp/call 0744481111
@jacksonmboya5320
@jacksonmboya5320 4 жыл бұрын
Wewe angalia vizur bhanaa alie overtake n rungwe happy nation ipo right sight
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Woyoo Dar to Bukobaaaaa
@helentitus3154
@helentitus3154 4 жыл бұрын
Nauli sh ngp
@tambwewilfred622
@tambwewilfred622 4 жыл бұрын
KWANI DEREVA WENU HAPO ALIKUWA NA KOSA GANI? MMEMUONEA
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 4 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe hujaona kosa hapo
@jaymorisonwonder1156
@jaymorisonwonder1156 4 жыл бұрын
Hapo hana kosa lolote yeye alikuwa sehemu sahihi, mwenye kosa ni aliyeovatek
@kingjadutv4192
@kingjadutv4192 4 жыл бұрын
kama abiria wapo kmya muacheni dereva afanye kazi
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 жыл бұрын
Waoooooh vzuri
@khatibabdallah6185
@khatibabdallah6185 4 жыл бұрын
Dereva wa happy nation kosa lake ni Nini? Maana rungwe ndio aliyekuwa ana overtake pale
@paulokasola7041
@paulokasola7041 4 жыл бұрын
Yaan hata me nimebaki namshangaa kama kiongozi anatoa taarifa kwa kosa asilolijua hizo kazi za bongo zinafanyika kwa miemko sana anaye overtake mwingine na anayeukumiwa mwingine huyo kiongozi utopolo kabisa kampun nayo inaona imepata msemaji
@geoffreyngonyani8374
@geoffreyngonyani8374 4 жыл бұрын
Hata mm nashangaa sana mwenye kosa ni driver wa bus la rungwe ndo alieovatake pale, drive wa happy nationa yupo site yake aisee
@charlescosmas7823
@charlescosmas7823 4 жыл бұрын
Ligi ndo imemponza huyo... Af cheki hiyo speed n over 80 kph wakt n eneo la makazi ya watu .... So ubishi wa kutka kumzuia mwenzake asimpite ndo umenponza.....!!!!
@barakajohn8005
@barakajohn8005 4 жыл бұрын
Happy Nation boresheni huduma acheni siasa..... mnalaza wasafiri barabarani bila kujali haki ya msafiri ilhali taarifa mnapewa lakini hamjali.
@sautiyamwanamke5560
@sautiyamwanamke5560 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@banx41
@banx41 4 жыл бұрын
Happy nation
@evankya1955
@evankya1955 4 жыл бұрын
Kumsimamisha haitoshi. Uchunguzi wa nini wakati inaonekana wazi alikuwa anapractice reckless driving which can cause harm to the innocent passengers
@jafaryamily6400
@jafaryamily6400 4 жыл бұрын
Kwani delev wa hilo bas kosa lake nn yeye c kaovatkiw tuu mlitaa asi pitwe au
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 4 жыл бұрын
Mwambieni TID angekuwa mbali siku nyingi apunguze ULEVI
@edlumala9428
@edlumala9428 4 жыл бұрын
Mmachunguza kwa kina kujua kwanini aliendesha kizembe? Nchi hii, uendeshaji huo unahitaji kuchunguza kweli?
@bedsonjohn2051
@bedsonjohn2051 4 жыл бұрын
Kama una panda mabasi swala la speed 80 n ckio la kufa
@allenmwaigomole639
@allenmwaigomole639 4 жыл бұрын
Mhhh
@ozacsic2832
@ozacsic2832 4 жыл бұрын
Hilo basi mm siwez kupanda speed 80 nenda wapi? Usalama Mungu yupo JPM kapiga mkeka mzuri. Over takin kwani ni kosa? Mbeya mbali jaman mnataka yufike usiku au. Kwenye mkeka safi amsha kama ina amshika na kufuata alama za bara bara . Mengine Mungu ata simamia
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Sasa mbeya mbali,nawa songea wasemeje,singida tabora sijui nakwingine
@monicameela3796
@monicameela3796 4 жыл бұрын
Mbona gari la kijani ndiyo lina overtake? Labda Happy Nation hakupunguza mwendo kumruhusu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Nikm walikuwa wanashindana
@mcsailas8328
@mcsailas8328 4 жыл бұрын
Hajapigwa mtu huko,pamoja na hayo namkubali KIGOGO 😂😂😂
@harunahussein6717
@harunahussein6717 4 жыл бұрын
Mbona dereva wa happy nation ndo anae ovetekiwa na rungwe???
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 4 жыл бұрын
jina zuri huduma mbovu, hebu boresheni huduma zenu kama lilivyo jina lenu "HAPPY NATION", MMENGEFANYA VYEMA NAAMINI HATA RAIS WA NCHI ANGEWAPENDA. Zile tabia za kutengenezea gari barabarani mkiwa na abiria zikome...piga kazi za uhakika now
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@pakobrand5321
@pakobrand5321 4 жыл бұрын
Sasa dere wa happ nenga anakosa gani.?
@a.s.afishfarming6225
@a.s.afishfarming6225 4 жыл бұрын
Sasa mbona dereva wa happy nation ndio kapitwa na sio kwamba yeye kampita lungwe
@ellyswai1801
@ellyswai1801 4 жыл бұрын
TID ataongea Kama bac n zake mtajua hamjui sasa
@edgarrodforce4302
@edgarrodforce4302 4 жыл бұрын
Sas derva huy wa happy nation mbon yupo site yake
@charlescosmas7823
@charlescosmas7823 4 жыл бұрын
Ttz n alimkazia jamaa yan alilewek ligi ndogo au kupimiana vifua
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona kutrend😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
TID cheko kama lote
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Haijawahi tokea
@kibibikibibi3289
@kibibikibibi3289 4 жыл бұрын
Dereva hajaovateki wa happy lile basi la kijani Rungwe ndo aloovateki
@christopherdiu7851
@christopherdiu7851 4 жыл бұрын
Upo sahihi...basi lile lenye rangi ya kijani....Wanamuonea Dreva wao...
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 жыл бұрын
Mbona kama ndugu yake TID wamefanana
@nadhirmbwana9137
@nadhirmbwana9137 4 жыл бұрын
Hii ni huyo msimamizi. Iyo Happy nation haina makosa kabisa labda kama muna mpango wa kumnyima haki zake.lakini kwa sisi ambao tupo barabarani hapo tuambie bwana msimamizi kuwa uyo dereva wako angefanyaje na mtu kaja anampita kwa iyo speed yako ndogo uliyomfungia?aacheni sifa sizizo na mpango.mpeni haki zake atapata kazi sehem nyingine tena bila hata kuchelewa
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 жыл бұрын
Bei ndogo hakubaliki kokote mngemchukua kijana wa kitohole au kule kwenye michikichi.........
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 жыл бұрын
Saf
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 4 жыл бұрын
80 mbona kidogo 100 ilikua ni sawa
@mirajimam9684
@mirajimam9684 4 жыл бұрын
Achen hizo Bana,, RUNGWE express ndiyo ame overtake kwa happy nation,, mnafanya uchunguz wa namna gan? Wakat clip inajionyesha vizur
@clemencemtei6278
@clemencemtei6278 4 жыл бұрын
Ni kweli kbsa dreva wao Hana kosa
@herbertkamote2213
@herbertkamote2213 4 жыл бұрын
Hapana kosa lake yeye hakupunguza mwendo wakati aliona kuna gari nyingine inamuovertake isitoshe pale pana tuta walitakiwa kwenda speed chini ya 50
@hamadali9159
@hamadali9159 4 жыл бұрын
Skills theory kwa madereva ni muhimu sana
@thebeautyofhome
@thebeautyofhome 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pHrQioCCfMiZm8k. Hapa
@flaviankato1697
@flaviankato1697 4 жыл бұрын
Hii campuni jmn haijamuona ata lavalava jmn
@MtuSafi
@MtuSafi 4 жыл бұрын
Lavalava wanini sasa
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
yaani ww ndio huna macho
@momadeatibo6729
@momadeatibo6729 4 жыл бұрын
mh!!, lavalava anakujaje hapa??!!
@hamadshein498
@hamadshein498 4 жыл бұрын
Nikupe namba za tjri.anaitwa issa.umwambie.
@mihayongayalina3015
@mihayongayalina3015 4 жыл бұрын
Tatizo siyo kuwa na Mabolozi bali tatizo liko kuanzia Ofisi zenu pale Urafiki. Waliowekwa hapo hawana weledi wa namna ya kuhudumia wateja. Ni bahati tu kwa sababu wako hapo lakini hawaisaidii kampuni kukua na wateja kupata huduma bora
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 жыл бұрын
I love happy nation wako vizur
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 жыл бұрын
I love happy nation wako vizur
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
TAFITI ZIAONYESHA MTU ANAFIKILIA KUFANYA MAPENzi MARA 8 KWA SIKU. kzbin.info/www/bejne/p5Wzf4etpsaDpLc
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 жыл бұрын
I love happy nation wako vizur
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 83 МЛН
How to Answer | Tell Me About Yourself in an Interview
15:52
Perminus Wainaina
Рет қаралды 1,1 МЛН
KUNA MCHAGA MBISHI KAJENGA KWENYE ZIWA MANYARA PEKE YAKE 😳
7:41
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 38 М.