Tz imekuwa tishio kichaka cha maovu wallah tutamkumbuka. Magufuli
@SalumMzee-cw8doАй бұрын
Safi sana Jeshi la police hongera yenu kazi nzur sana
@mrafm7285Ай бұрын
Hii taarifa haijajitosheleza
@rosemneney3244Ай бұрын
Mnaficha Uraia wao kwa Faida ya nani hovyoo
@lwagamwakalinga8038Ай бұрын
Ya hovyo kabisaa hii taarifa
@kekiplus1andonlyАй бұрын
Duh iyo ni hatari sana,na ndiyo maana migumo ya kibenki imebireshwa ili mtu usibebe cash nyingi mkononi sababu ni hatari sana,sana ,sana
@dismaslalubare4196Ай бұрын
Kamanda hutaki kutaja pesa walizokutwa nazo. Pia hutaki kutaja uraia wao. Sasa shida ndio inaanzia hapo.... mwanzo wa kubadili sentence.......si ungeacha kutangaza mpaka umalize upelelezi mkuu wetu.
@mrishojoseph7987Ай бұрын
Mwanzo alisema upelelezi umekamilika na tumewafikisha mahakamani😂😂
@DAVDChalse-db6tzАй бұрын
Akina Nan waliomteka na Kumuua Mzee Kibao? ndio kitu tunachotaka kujua kwa Sasa. hii ya kutaka kuibiwa Mtu mngemalizana na Majambaz kimya kimya hakuna haja ya kutuambia
@hejmabohejhej9Ай бұрын
Kweli kabisa
@AlhajiIssa-jb9hrАй бұрын
@@hejmabohejhej9 Hakuna watakalo fanya.
@chrismndolwa718Ай бұрын
Hicho unachotaka wewe ni kigumu sana kwao hawatathubutu kutamka chochote katika Salala Kibao inawezekana kabisa wao ndio watendaji wakuu katika hili
@teddymassawe3583Ай бұрын
Nimejikuta nacheka kikubwa walahi
@hejmabohejhej9Ай бұрын
@@chrismndolwa718kweli kabisa
@gladistaemanueliy6336Ай бұрын
Wa kigeni mnaweza kuwakamata afu waliomteka mzee mbao hawakamatwi
@abdulqadirjuma7495Ай бұрын
Hiyo kazi uliipata wapi Afande?maana hata kujielezea hujuwi bwana
@johnkaliwanje434Ай бұрын
Kamanda umesema upelelezi umekamilika na shauri liko mahakaman tangu 4/9/2024, umeulizwa swali unasema upelelezi unaendelea, hapo SIJAELEWA. Hongera kwa kutoa nafasi ya kuulizwa maswali, ndio tunataka hivyo.
Hawa polisi hawataki kutaja wezi wa ichi gan nao wezi pia
@Gaynor1234Ай бұрын
Hao polisi ni waongo muwe macho na si ajabu hao ni watanzania ndiyo maana wameshindwa kutaja nchi zao. Siajabu Wanafanya wanateka na kuwauwa watu na kuchukua viungo vyao na kuviuza. Tuwe makini na hao polisi sasa hivi hakuna askari aliye mwaminifu. Wote wameoza.
@HapygideonАй бұрын
Hawasemagi hela wakizona😅😅😅😅😅
@mtulivu-ir1nqАй бұрын
Maweee😂😂🙌🙌 punde si punde tungesikia watu wasiojulikana 😂😂🙌🙌
@venancemwanya4212Ай бұрын
Upelelezi na utekelezaji wa kazi yenu kwa uhalifu wote unaotendeka hapa nchini,basi wasiojulikana wangekuwa wamekoma kufanya uhalifu.
@ndukulusudikucho_Ай бұрын
Siku tukiwa na neema inabidi tuweke fensi nchi nzima kama Trump anavyotaka kufanya 😂😂😂
@BarakaMashimba-sr9owАй бұрын
Kamateni watekaji
@abdulqadirjuma7495Ай бұрын
Ila upelelezi wa walioonesha video zao wakimlawiti mtoto na kumbaka bado kesi inaendelea na upelelezi bado haujakamilika, pumbu kweli ninyi askari wa bongo
@allysimu6856Ай бұрын
Wanyogwe ili liwefunzo kwewengine wakijawawe na adabu na yete kazinzuri jeshi la police
@SnipperthebabslowАй бұрын
Eti mipakani kunawalinzi mbona sasa imekuwa shamba la bibi
@EmmanuelMatogolo-l2yАй бұрын
😳😳😳
@Lily-rn6xcАй бұрын
Kaz nzr 🎉
@hejmabohejhej9Ай бұрын
Sasa apo panafichwa nini tukiuuliza raia wa wapi
@emmylightbrian2497Ай бұрын
Master key Aziz Ki au
@rayisadesigns2646Ай бұрын
FUNGUO MALAYA... USHARIDHIKA AU SIYO?! 😂😂😂
@AnethMushi-c3eАй бұрын
@rayisadesigns2Anajua Bwanaa a😅😅646
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9kАй бұрын
Kungudua number za gari hizo nyie ni wakwanza ila kujua number za magari ambayo watekaji au wauwaji wanazotumia hamtaki, kweny nchi hii akaaah amtaki kesema