Safi sana mheshmiwa OMO. wambie hao ccm sio nchi yao pekee yao, hata na act wazalendo ni wazanzibari kindakindaki pia tuna haki.
@suleimanmosooud94052 ай бұрын
Wanpo ona spitali najia nazuri nagati itajegwa basihuna maedleo kube hujisahau.nkuwapa voti nahata viyatu vyakwendea katika Katika njiazuri hana
@UmyAbriya-wt4vb2 ай бұрын
Umendika kichina au 😂@@suleimanmosooud9405
@muhammadmuhammad50432 ай бұрын
Nawao Watakufa Hao Wanajidanganya Tuu Yuko Baba Yao Ali Hassan Na Wenzake Mkapa N.K..Wanasubiri..Hukmu Zao Hiyo Siku Haina Nani Wala Nani ila Yule Alie Fanya Mema...
@HafidhMwinyi-fp2po2 ай бұрын
Kifo ni haki sio hukumu tujitahidi kufanya mema tuache upuuzi wa kidunia
@AliAbdullah-oy6yo2 ай бұрын
Huo upuuzi wa kidunia unao ukusudia wewe nn hebu fafanuwa, au watu kudai nchi yao ndio ww unaona upuuzi wa kidunia? Someni acheni kuwakatisha watu tamaa kwa kupitia dini.@@HafidhMwinyi-fp2po
@UmyAbriya-wt4vb2 ай бұрын
Nina imani mtashinda ila kuwapa hao siju ila nipo kuwaombea niyayao sikuzote kuwaona mnateseka nakumia😢
@SaimoniKamwaki2 ай бұрын
wasanii wa hip pop
@نوفل-س5ر2 ай бұрын
❤
@Aisha-lj8bu2 ай бұрын
Hukijui tunachokitaka
@Aisha-lj8bu2 ай бұрын
Tulia utaelewatu cikucionyingi ishaallah
@hajikiame75512 ай бұрын
Kwani hawa wanataka nini
@RashidHaroun-c2j2 ай бұрын
Kama sefu alivo wauwa apate madaraka@@Sheba4651
@HumudNassor-pg6lq2 ай бұрын
mkundu
@YalkinAlkindy-nt2hfАй бұрын
@@HumudNassor-pg6lq😂😂😂
@SaidShkelАй бұрын
Sasa wewe kama unaona unadanganywa yann kuskiliza
@Ally-h9c2 ай бұрын
Wapinzani munatakiwa kuiheshimu ccm na kuiogopa kuliko Mungu waulizeni waliopita kabla yenu hawakutiwa kwenye matanuri, hawakuzikwa wazima wazima, watoto wachanga hawakupigwa na minazi, wanawake hawakunajisiwa basi nanyi jifunzeni kwa yale yaliowafika kabla yenu
@SalumSafkim2 ай бұрын
Ww mjinga sna kumbe yn unacheza na Allah ss subir itakuja adhabu yko
@amerwelder77862 ай бұрын
Bos muogpe mungu
@AbdallahHamad-n8e2 ай бұрын
Ww muongop Mala wako
@AbdallahHamad-n8e2 ай бұрын
Kwa awo ccm wameumbwa kwa udogo swa kwa iyo siwafnanishe na mungu swa mwenyez mungu akupe azabu mzito apa apa ulimwengun ww
@Ally-h9cАй бұрын
Na kama munataka kuona jaribuni ikifika uchaguzi ccm itachukua nchi halafu jaribuni kufanya vurugu ndio mutajua ni kipi kilichowakuta watu wa miaka 1964
@RashidHaroun-c2j2 ай бұрын
Acha kuwadanganya sisi wazanzibar hatuja pata uhuru tumepigania uhuru,kiufupi tumepinduwa ivi ni mwanasheria kweli wewe?
@OmanIbri-hj8ss2 ай бұрын
Kichwa kanga wewe
@aliabdalla92972 ай бұрын
Wewe ndio ushazoea kudanganywa kwa historia zilizopindishwa
@songombingo1082 ай бұрын
Rashidi wewe Pimbi kweli.😂
@RashidHaroun-c2j2 ай бұрын
@@aliabdalla9297 wewe historia unayo ijuwa ya zanzibar ni ipi
@RashidHaroun-c2j2 ай бұрын
Shida yenu mnapenda kuamini anae waambia na sio kilicho kwenye uhalisia