MAZRUI AJITOKEZA HADHARANI KUWATOA HOFU WANACHAMA WA ACT ZANZIBAR

  Рет қаралды 8,582

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

MAZRUI AJIBU WANANCHI BAADA YA KUMSIFU RAIS! AHSANTE NYINGI SANA KWAKE Katika video hii, Mazrui amejitokeza hadharani kujibu wananchi baada ya kuonesha sifa kwa Rais. Amezungumzia mambo muhimu na kutoa shukrani nyingi kwa Rais kwa kufanya kazi nzuri. Usikose kufahamu hisia zake na maoni yake kuhusu utawala wa Rais katika video hii ya kipekee.##zanzibar
MAZRUI AJITOKEZA HADHARANI KUWATOA HOFU WANACHAMA WA ACT ZANZIBAR
Rais amefanya kitu ambacho hakika kitakushangaza sana!

Пікірлер: 13
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 2 ай бұрын
Tupo pamoja na madhrui wetu tunafahamu uwezo wake katika kuitetea zanzibar yenye mamlaka kamili Act tupo pamoja na madhrui acheni majungu ccm
@abubakarhamad1378
@abubakarhamad1378 2 ай бұрын
Nyinyi mnaotowa hizi video mnafikiri wasikilizaji tuna haja ya kusikiliza hio background music? Tumieni hio taaluma yenu vizuri
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 ай бұрын
Tena amewauzi watu kweli kweli
@Allybinamour
@Allybinamour 2 ай бұрын
nimemfaham vizur wazir mazrui, na kwa nafas yake ya uwazir hakua na budi kufanya hivo,na ila pengine alizisha tu sifa ndo mana watu wamekasirika, lakini nahis wana act wamemsameh.endelea kupiga kazi baba
@masoudkhamisthaiboxing1011
@masoudkhamisthaiboxing1011 2 ай бұрын
Huna utetezi mazurui huwezi kujisafisha ktk.hii nemda tu ccm mzee hatuna imani na wewe tena huaminiki tena
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 ай бұрын
Sema wewe usiseme hatuna usisemee watu usisemee watu
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 2 ай бұрын
Mm chama chochote kinacholeta mamlaka ya zanzibar basi ndio nakiunga mkono hata ccm leo ikisema inaleta mamlaka ya znz kama nchi saiv hatuna nchi
@NoufelSalim
@NoufelSalim 2 ай бұрын
Hahaha hata ukifukuzwa utabaki ACT, unafika mbali hatukufukuzi mjomba 😂
@salumkarim69
@salumkarim69 2 ай бұрын
siasa ni kamchezo fulani hivi
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 2 ай бұрын
Sisi act atubaguuw mtu sisi kaz kazi2
@amanmohd9435
@amanmohd9435 2 ай бұрын
Unakanusha kuwa huwezi kumtukana kwani wenzio wanamtukana?
@saidali7644
@saidali7644 2 ай бұрын
Mzee c mwanasiasa msimlaumu. Ukiskliza hio interview utaona anavyojichanganya
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 18 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Dhow Countries Music Academy
Рет қаралды 84 М.
MADHARA YA WANAWAKE KUSWALI MSIKITINI@KHALIFAMPYA-TV
15:41
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 1,5 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН