TIMBULO: NILIMWAMBIA RICH MAVOKO KABLA YA KUINGIA WCB, HAPAFAI / HAJASHIKA HATA MILLION 10

  Рет қаралды 51,975

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Пікірлер: 103
@salummuhija4435
@salummuhija4435 6 жыл бұрын
Mi nashangaa sana wasanii wenye akili zao timamu kama hawa hawapendwi na vyombo vya habari huwa vinawatenga sana lakini wale wenye mambo ya kishogashoga ndio wanaopewa sana airtime na vyombo vyetu vya habari nashangaa sanaaa. Nimempenda sana Timbulo unajitambua Dogo achana na makiki ya yasiyo na maana we chapa kazi kama ipo ipo tu, unakuta msanii anafanya upuuzi mbele ya jamii alafu chombo cha habari kinatumika kumsafisha kana kwamba alichokifanya ni kitu cha kawaida katika jamii, kuna vitu sio utamaduni wetu kabisa yani.
@bilalbisama3726
@bilalbisama3726 6 жыл бұрын
AJE AJUWEE ANIJUWEE NIMJUWE ANIJUWEE ...ampenda n wee spendi niliee eehh..........miss sana bro ...its PV from İstanbul turkey
@arijankhalifa4148
@arijankhalifa4148 6 жыл бұрын
katika watu wanaojua kujieleza, timbulo noma Sana umetisha bro
@issamakamba5569
@issamakamba5569 6 жыл бұрын
unayo heshima kubwa sana bro kwasababu mpaka sasa hiv timbulo inafahamika kama domo zege
@mussamkuppa7447
@mussamkuppa7447 6 жыл бұрын
uko vizuri sana broo wewe ni mtu wakipekee sana one day mungu atakupa mafanikio mukubwa zaidi ya hayo uliokuwa nayo sasa
@ahaziuhahula5406
@ahaziuhahula5406 6 жыл бұрын
nakukubali sana bro
@princeuzieri4548
@princeuzieri4548 6 жыл бұрын
Uko fresh saaana timbulo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bulletstunnerz4052
@bulletstunnerz4052 6 жыл бұрын
LILI OMMY MKALI WAO KAKA NAKUFWATILIA SANA YANI BRO
@mc-omoro2366
@mc-omoro2366 6 жыл бұрын
Ni mmoja wa wasanii anayejua nini anachoongea na nini cha kujibu .keep it up bway .
@kizegaramadhan7175
@kizegaramadhan7175 6 жыл бұрын
kweli dogo yupo makini sana. ata nilipokutana nae pale ccm gym...yupo simple sana hana makuu. kabisa..safi sana unaeleweka na wenye akili timamu big up
@jumahero6924
@jumahero6924 6 жыл бұрын
sasa ayo makuu atayatoa wapi wakati hana lolote.. we bwege nini??
@issajohn8983
@issajohn8983 5 жыл бұрын
Kizazi sana
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 6 жыл бұрын
Safi mzee baba timbulo
@laymapeace4538
@laymapeace4538 6 жыл бұрын
timbulo mie nakupenda sana paka miziki yako
@hazardngolo2751
@hazardngolo2751 6 жыл бұрын
You r so composed bro Big up
@brunoyollam7796
@brunoyollam7796 6 жыл бұрын
Sureee t awesom
@gosbertnkotanyi
@gosbertnkotanyi 6 жыл бұрын
Fresh!!!!.....
@nemesmassawe7326
@nemesmassawe7326 6 жыл бұрын
nakukubali timbuloo
@boazmtileghe378
@boazmtileghe378 6 жыл бұрын
Safi sana homeboy
@fabianimwaluko6468
@fabianimwaluko6468 6 жыл бұрын
timbulo 🙋🙋🙋🙋🙋
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 6 жыл бұрын
Napenda mziki watimbulo
@SadimMavoice
@SadimMavoice 6 жыл бұрын
sawaaaaaaa
@aganomakirikirichoiroffici1678
@aganomakirikirichoiroffici1678 6 жыл бұрын
Salute kwako jamaa unajibu vitu vinavyoeleweka
@idrisachirunda250
@idrisachirunda250 6 жыл бұрын
Simba
@nemesmassawe7326
@nemesmassawe7326 6 жыл бұрын
nice timbuloo
@mathayolupindo8455
@mathayolupindo8455 6 жыл бұрын
dah napenda Sana unavojiweka
@mwendafrances7722
@mwendafrances7722 6 жыл бұрын
Vizur kak inapendeza san
@gisselazablon5059
@gisselazablon5059 6 жыл бұрын
sana kaka
@enosymkwama7031
@enosymkwama7031 6 жыл бұрын
Timbulo unajibu vizur sana na unajikikubali KIZAZ SANA
@richardngendakumana2871
@richardngendakumana2871 6 жыл бұрын
Napendagisi unaongea umetulia we 👍👍👍👍
@t33pelos77
@t33pelos77 6 жыл бұрын
uyu jamaa anaongea kiume nimekupenda bule Timbulo
@Hauleshabby
@Hauleshabby 6 жыл бұрын
Latifa Abdallah sure
@happybryson7564
@happybryson7564 6 жыл бұрын
Nakupenda bure Timbulo
@chris_jabari
@chris_jabari 6 жыл бұрын
Umejib vizur
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 6 жыл бұрын
Nakubali mzeee WA mfuasiii
@marketingmafiaz3229
@marketingmafiaz3229 6 жыл бұрын
Kila kitu ni Kiki eh? Headline na swali ulilomuuliza mwisho mbona haviendani?
@mahseenabdallah7339
@mahseenabdallah7339 6 жыл бұрын
Hahahaha too much ohh yeah😁😅😅
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 6 жыл бұрын
Jembe langu timbulo namkubali sana
@eliahjohn5519
@eliahjohn5519 6 жыл бұрын
Safi timburo umekuwa sasa ila kwenye msaada wa shida za watu saidia mtu, safi mawazo mazuri
@dullyfilms5120
@dullyfilms5120 6 жыл бұрын
Tumesha subiri tumeshachoka#timbulo Please hit the subscribe button above On my channel
@sylvanosilver3898
@sylvanosilver3898 6 жыл бұрын
ni mtazamo tu kwahyo we timb fanya yakkooo
@mwikamakomba3283
@mwikamakomba3283 6 жыл бұрын
Sana mzee timbulo
@daudmilan1479
@daudmilan1479 6 жыл бұрын
huna hela ww kwanza unavoimba uwez kaz ako kuponda tu diamond kiba ashakupa nn unajipya ww
@frankmadaha33
@frankmadaha33 6 жыл бұрын
Talent Boy.
@fazmontana8847
@fazmontana8847 6 жыл бұрын
Naqubl #Tstyle
@abubakarbwanaali6483
@abubakarbwanaali6483 6 жыл бұрын
Sawah Timbuloo
@nemesmassawe7326
@nemesmassawe7326 6 жыл бұрын
nakukubalii kaka
@halimamapande6272
@halimamapande6272 6 жыл бұрын
ujawI kuniangasha mwalimu
@dailummala3792
@dailummala3792 6 жыл бұрын
nilijua mavoko akienda wcb atanenepa kumba kaenda kukonda huruma sana mavoko
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 жыл бұрын
Dailu Mmala hadi huruma mavoko walai yni yuko kama msiki lkn atarikava
@hl8755
@hl8755 6 жыл бұрын
Q boy alitimuliwa watu midomo Ikawa mingisana na kifesi akatoka Watu maneno mengi mwalabu akatimuliwa kwa sasa ni Rich mavoko katupwa inje kesho ni mingine
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 6 жыл бұрын
pwaaaaaaaaa
@kachinyarukeha2281
@kachinyarukeha2281 6 жыл бұрын
timbul umetsha xan
@fadhilikangusi
@fadhilikangusi 6 жыл бұрын
kweli kabisa mzee baba
@nurutino5483
@nurutino5483 6 жыл бұрын
big up timbulo
@isackmhala1373
@isackmhala1373 6 жыл бұрын
well timbulo
@francykagwa5922
@francykagwa5922 6 жыл бұрын
Ommy mademu wako wanatukata stimu tunakutaka ww tyu hapo hao wngine atuwataki
@alexlutengano687
@alexlutengano687 6 жыл бұрын
Uko smart
@jumankungu7068
@jumankungu7068 6 жыл бұрын
Ni kwel timbulo roho yang pia inauma mtu kusema huwez kumiliki hata gar kwa mziki unao fanya duh, but belve in god utakuja kutoboa
@mandizotzjfour5875
@mandizotzjfour5875 6 жыл бұрын
nimekuelewa mnyamwezi
@nemesmassawe7326
@nemesmassawe7326 6 жыл бұрын
nice speech
@michaelsayote5451
@michaelsayote5451 6 жыл бұрын
mwalimu mwalimu tu
@selekondo9832
@selekondo9832 6 жыл бұрын
timbulo andika ngoma nzuri babu zaidi ya mfuasi inanikosha sana mfuasi
@shadow4real868
@shadow4real868 6 жыл бұрын
S
@dottodmz3987
@dottodmz3987 6 жыл бұрын
Mseng* acha UNAFIKI
@innocentjohnson3880
@innocentjohnson3880 6 жыл бұрын
dotto dmz kuma ww musenge niww ucye juw kujifunza
@patrickmugadia6815
@patrickmugadia6815 6 жыл бұрын
Msenge ww tiwa nyumaa falaa uyu jamaa anaongea ukwly
@omarykagwiza8260
@omarykagwiza8260 6 жыл бұрын
Vichwa vya habari haviendani na mazungumzo
@amraniibuo4357
@amraniibuo4357 6 жыл бұрын
Omary Kagwiza Ujasoma Lugha yako nini mzee @omary kagwiza
@ellienimabalaa820
@ellienimabalaa820 6 жыл бұрын
Me naona...mbona kawaida tu kutembeaa kama hivyoo.kucopy ndo habar ya mjini..utapigaje tonge ww kuogopa ogopa
@emmaxcaris5530
@emmaxcaris5530 6 жыл бұрын
kiukwel inabid ubadilike la sivyo utaixhia hapahapa Tz...@
@husseinmsinjili4467
@husseinmsinjili4467 6 жыл бұрын
Emmax Caris ulitaka afike acha kukalili unafikilia kutoka nje ya nchi ndo kutoka kimzik au
@mabwetestanley7575
@mabwetestanley7575 6 жыл бұрын
Emmax Caris mwambie uyu .
@shabanmondi9299
@shabanmondi9299 6 жыл бұрын
endekeza majungu na roho mbaya ndio maana mziki wako hauna jipya
@daudmilan1479
@daudmilan1479 6 жыл бұрын
kancopy
@daudmilan1479
@daudmilan1479 6 жыл бұрын
nina orofa
@jamesm.darnes640
@jamesm.darnes640 6 жыл бұрын
Shenzi wewe ndo maana hausikiki tena na chuki zako binafsi
@HabilyTech
@HabilyTech 6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qmephmqjpKenqLc tizama apa
@sponsor7882
@sponsor7882 6 жыл бұрын
VERY MATURE
@nicksonchiko9913
@nicksonchiko9913 6 жыл бұрын
huyu naye niyupi tanzania wasani niwengi but hawajulikani nyimbo zao hazisikiki
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 жыл бұрын
Nickson Chiko mi.mwenywe mkenya na timbulo song zake nazifagilia sana lkn.hamorapa wamjua
@charlesedward88
@charlesedward88 6 жыл бұрын
mpaka tu sikie yeye ana sema ametoka wsf do tujuwe siyo kwa kiki izo
@husseinmsinjili4467
@husseinmsinjili4467 6 жыл бұрын
Charles Edward akili yako imeshikwa na wasafi na hadi washabiki mtavaa vikuku kima mweusi badilika acha kuponda tyuu mkosoe mtu shatpu!!!
@charlesedward88
@charlesedward88 6 жыл бұрын
🌝🌝
@bwanaafyalinus6578
@bwanaafyalinus6578 6 жыл бұрын
haaa? aloohatar
@lucaskimogere8291
@lucaskimogere8291 6 жыл бұрын
Hawatimuliwi ila ni mambo yaliyoko huko ndio yanawatimua
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 жыл бұрын
Mwisho yatatoka.njee
@emmanuellugoye7578
@emmanuellugoye7578 6 жыл бұрын
Hawa madada vp?
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 жыл бұрын
Emmanuel Lugoye wako kz pia
@husseinismail9002
@husseinismail9002 6 жыл бұрын
Copy
@daudmilan1479
@daudmilan1479 6 жыл бұрын
sikapend hako kajamaa hv tangia kaanze mziki kananini
@laymapeace4538
@laymapeace4538 6 жыл бұрын
mmmmh una lolote wivu tu unakusumbua 😏😏😏😏
@husseinyusuph6838
@husseinyusuph6838 6 жыл бұрын
Daud Milan anakwake hiyoo hajapqnga namiliki gari zake mwenyewee 3 qnajielewaa cioo msanii wakiki huyoo
@daudmilan1479
@daudmilan1479 6 жыл бұрын
ttzo la wasanii wabongo kuponda ww piga mbishe zako acha kufuatilia wengin
@aggraypeter.5008
@aggraypeter.5008 6 жыл бұрын
Daud Milan Labda ww ni Kinyozi Na Umenyoa Na Akil ni Nywele Cjui Kama utanielewa
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 6 жыл бұрын
Kana mboo msaidie kuma atombe
@jumankungu7068
@jumankungu7068 6 жыл бұрын
Ni kwel timbulo roho yang pia inauma mtu kusema huwez kumiliki hata gar kwa mziki unao fanya duh, but belve in god utakuja kutoboa
RICH MAVOKO: NIMEPUNGUA / NATESEKA SANA / TIME YA KUACHIWA BADO
21:00
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 27 М.
Timbulo - Nakumiss Miss (Official video)
4:02
Timbulo
Рет қаралды 712 М.
SALLAM SK: RICH MAVOKO HAJARUDISHA HELA YETU / BADO YUPO WCB
30:12
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН