TLS YAJIBU MAPIGO KAULI YA WAZIRI NDUMBARO KUKURUPUKIA MATAMKO, YASHANGAZWA NA KUTOA MSIMAMO MZITO

  Рет қаралды 7,660

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@EliaHiluka
@EliaHiluka 11 сағат бұрын
Raisi wa TLS mwabukusi tunaamini wewe ni mwadilifu hivyo Ili kuonyesha uzalendo wenu na uadilifu ili kuleta uaminifu na Imani ni kuikataa misaada yenye maneno yakuwataka kuwaziba midomo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 сағат бұрын
Kama limepatikana kwa mujobu wa sheria na taratibu na.linatokana na kodi za wananchi kwanini akatae? N9.haki yao kama ilivyo kwa viongozi wengine.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 сағат бұрын
Hakuna kukataa gari ni haki hai. Wavjukue na kukosoa wakosoe kama kawaoda
@EliaHiluka
@EliaHiluka 11 сағат бұрын
Sisi kama watumishi wa Mungu tunashauri gari hiyo TLS muwarudishie serikali kwani kupokea gari hiyo ni kuonyesha ni udhaifu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 сағат бұрын
Hapana gari wachukue no jslo yao kutilans me uzito wa kazi a watanzania ambao ndio walipakodi
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 сағат бұрын
Hapana. Gari ni kwa ajili ya kutumikia wananchi ambao ndio walipa kodi. Hakuna kurudisha gari ni haki yao
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 сағат бұрын
Keep the vehicle and also keep on telling them the truth
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 10 сағат бұрын
Kipewa.uwaziri.amelewasifa.chawa.walais
@LusunguWatsonMgeni-gr8zt
@LusunguWatsonMgeni-gr8zt 3 минут бұрын
😮😮😮
@MosesMushi-p2p
@MosesMushi-p2p 11 сағат бұрын
Ili andazi ndumbaro siuji kwann wanalibaba yani ni la hovyo bas tu
@wiliamkatala
@wiliamkatala 36 минут бұрын
Gari ni kodi za wananchi hivyo wasirudishe..
@pastorAsajilemasisi
@pastorAsajilemasisi 10 сағат бұрын
TLS.SISI TUNAOMBA MASADA KWA YESU.NCHI INA MFUMO NA UKIINGIA KWENYE MFUMO HUNA HUWEZO TENA KUJITOA
@mussaelias3535
@mussaelias3535 11 сағат бұрын
Ni kweli mwambukusi ana mihemuko sana a jitafakari TLS siyo chama cha siasa
@Kwarasi
@Kwarasi 11 сағат бұрын
Chawa sugu, kwa iyooo hapo aliposema atakutana nae kwenye kona ili iweje, ccm hamtaki kukosolewa ilo mdo ttzo
@bahatielias6443
@bahatielias6443 9 сағат бұрын
Sasa wewe unajua Nini punguani
@gastonjohn537
@gastonjohn537 10 сағат бұрын
Waludishiemi gari lao
@KananaKadogholo
@KananaKadogholo 11 сағат бұрын
TLS kumbe ni tasisi ya serikali, STN ni ya nini?
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 10 сағат бұрын
Chama cha mawakili TLS huyo Rais wao ni mwana harakati wa chadema analeta Siasa ya kuipinga Serikali
@bahatielias6443
@bahatielias6443 9 сағат бұрын
Hujielewi wewe
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 7 сағат бұрын
@bahatielias6443 ni mtazamo wako huwo ndio ukweli
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 7 сағат бұрын
Acha upotoshaji wako! Machawa na mashetani ambao hamtakini kukosolewa na hamtaki Amani ktk Taifa hili mnajulikana! Serikali hii inataka wananchi wote wawe mazombi na misukure ya serikali? Ukikosoa wewe ni adui!!! Ila wakati wa Mungu utafika tu!
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 9 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,7 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 43 МЛН
JULIUS NYERERE 2,115 MW HYDROPOWER PROJECT, TANZANIA Progress Video July 2024
4:59
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 9 МЛН