Wallahi sheikh mm sina la ziada ila nakuombea kwa Allah akuzidishie umri na akujaalie maisha marefu uzidi kutuelimisha na uzidi kuitangaza dini ya ALLAH.Allahu bareek.
@abdallahzuwena62922 жыл бұрын
Allah azidi kumpa afya na umri mrefu sheikh wetu MAZINGE
@allyshomari7417 Жыл бұрын
Maashallah taabaraka Allah!! Mwenyezi mungu akupe nuur!! Na mwisho mwema kwa kuutangaza dini mwenyezi mungu Mmoja!! Allah!! Subhana llah nahuu wat'aala!!
@hanifaamani33633 жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah.Allah akupe mwisho mwema.
@amoury14813 жыл бұрын
Allah Akupe Maisha Marefu Na nguvu Shekhe Wetu Mazinge.Tunakupenda Waislamu
@bintkijangwa43054 жыл бұрын
Allahu akbru Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake
@jumakiyogo50334 жыл бұрын
mungu akulipe kila la kheir
@IbrahimShaban-b6g8 ай бұрын
Nakup❤ pia
@yusufmahdi8921 Жыл бұрын
May Allah sw bless our sheekh and grant him janaa firdows Amiin
@azizawadh59734 жыл бұрын
Sheik mazinge Allah akupe umri na kila cha kheri unachokitaka na kuelewa sana inshaa allah
@mrashisuweid9404 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu akulinde na kila hasad akupe ujira usiokoma duniani na akhera
@cabylake23202 жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️ mazinge Allah akuzidishie umuri
@nooor11204 жыл бұрын
MaashaaAllah Allah akuzidishie ilm yenye manufaa Allah akupe afya kamil Allah akupe umr tawil uzidi kuelimisha umma Allah akujaalie husn lkhatimah
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Sheikh Mazinge nakupenda kwajili ya Allah 🙏
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Masha Allah penda sana sheikh mazinge jmn,Allah akuweke ww na akupe afya njema .
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Allahu Akbar sheikh mazinge Allah akujaalie umri mrefu yaa Rabbi
@aishaburundi70582 жыл бұрын
MAsha Allah tabarakaallah Allah Azid kukuifadha 🤲 Ustadh Mazing
@mename60204 жыл бұрын
MashaAllah... Kipenz cha mtume Muhammad.. Mazinge Mazinge kipenz chetu umefanya kazi kubwa ktk dinn yetu ya Islamic... Allah akulipe ujira mwema..
@muhsinivattenda49934 жыл бұрын
Aamiyn
@omanomy17573 жыл бұрын
AMIIN AMIIN AMIIN
@JuniormemberJuniormember8 ай бұрын
Masha Allah
@husseinbwakame37854 жыл бұрын
Mashalaa mungu akupe maisha marefu
@ibrahimchelangat17104 жыл бұрын
You are most respected sheikh in the world I respect you ustath mazinge may ALLAH bless you
@zuenawhite47773 жыл бұрын
MashaAllah Allah akupe umri uzidi kufaidisha umma sheikh wetu..
@Abdishukriolat2 ай бұрын
Nani asiyempenda sheikh Mazinge Mashallah May Allah give you good health inshallah and Jannatul firdaus .Ameen
@sadauwimana95503 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu akulinde na kila baya..
@nadhifasalum16624 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu kipenz kabisa mungu awape umri wenye mafanikio wahadhiri wote wanaotetea dini ya Allah sw mungu akulipe shekh wetu aaaamin
@fatumahamisi70644 жыл бұрын
Allah akulipe khery dunia fil _ Akhera .ust mzinge na maisha marefu uvune khery nying ( Jazaq llah khery
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
MashaAllah Sheikhe Mazinge Allah Akupe umri mrefu In Shaa Allah...
@yasinamiri76494 жыл бұрын
MASHAALLAH ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ MASHAALLAH 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 AFRICA FATHER INSHAAALLAH ALLAH AKUPE MWISHO WEMA NA KAULI SABIT SHEH OTHMAN MAZINGE
@alfaqeera54984 жыл бұрын
amiin
@lulusadiki34993 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi duniani na akhera
@user-to6up4hg2w3 жыл бұрын
Amin
@fatmahassan47904 жыл бұрын
MaSha Allah TabarakaLlah Mungu Akuhifadh,i Akubariki, Akupe Afya, Akulipe Kila Khatua unayoitukua. Dua twakuombea kwa wingi. Akulipe JANNATAL AL FIRDAUS
@ishakafaki35014 жыл бұрын
Allaah humma amina yarbby
@alfaqeera54984 жыл бұрын
amiin
@hadijasaid94633 жыл бұрын
Yaa Allah mpe shekh wetu mazinge maisha marefu na afya njema ameen yaarab
@Arishafa5472 жыл бұрын
Hakika mungu na kumpenda kwaajili ya Allah
@yussuphsultan14004 жыл бұрын
Allah akujaalie kheri duniani na akhera!!!
@yussuffamau35713 жыл бұрын
Mashallah mungu akufanyie wepesi ktk maishayako pamoja nawaisilamu wote
@mwanaimaabdallah78254 жыл бұрын
Allah akuhifadh kipenzi changu Sheikh Habibu Mazinge
@shixeoshxs72764 жыл бұрын
Takbiiiir Allahu akbar mashaallah mungu akuengezee umri na afya njema inshaallah uzidi kupambana nao makafiri
@HassanAli-eq8ko3 жыл бұрын
Mashaallaah mola tuhifadh..nakuepush na madui na mahasidi..amiin yarab tujalie tukaigie pepon kwa rehema zako 💜❤🇹🇿🇹🇿🤲🤲🤲
@AA-yr7sr4 жыл бұрын
Mazinge ni moja tu hawezi akatokea mwengine yani ww ni kibogo kichwa chako kiliko Google mtu akiaza swali ww ushajua mjibu vipi MashaAllah
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Subhanallah!!!kuamini hivyo unavyosena, maana yake ni kuamini ukomo katika uwezo wa Mungu, kitu ambacho si kweli!!
@jumakapilima56744 жыл бұрын
@@AA-yr7sr acha ujinga kaka, kudai kuwa hatatokea mwingine ni kuamini katika ukomo wa uwezo wa Mungu kitu ambacho sio sahihi, sasa kama unaendelea kupinga, sikukatazi,,,,ila nashuhudia kwa Allah kuwa nimekufikishia!!
Sheikh mazinge Allah azidi kukulinda na akupe umri mrefu uzidi kuulingania dini ya kweli Al Islam
@fatmahassan64974 жыл бұрын
mashaAllah sheikh Allah akupe umri mrefuameen insha'Allah
@shakilaabdallaherio56174 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu mzinge hakika ukionoka katika hii dunia hakuna atezba pengo lako
@mnyongehome50134 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu shekh mazinge inshaallah
@hadiadaoman19814 жыл бұрын
Allah akuweke mazinge asante kwa daawa 🤲🤲🙏🙏
@mizolion9234 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe umri mrefu na wenye manufaa
@zahramurangara25083 жыл бұрын
Ameen
@naomi.j.maombi65643 жыл бұрын
Balakaallha.fiqh
@mwachidzopoposalimpopo88903 жыл бұрын
Am proud to be a Muslim
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah mie nilikua sijulikan kama takueko dunian
@saidahlizwilly38353 жыл бұрын
Ma shaa Allah May Allah bless me with a kid to be like you Sheikh Mazinge In shaa Allah
@JumaNguchiro Жыл бұрын
Nipo kep ta un wee unaesema mazinge muongo nyinyi watu waagano jipya nalakale mnatab
@saudaumar33543 ай бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah shukrani Allahu Akbar Allah akubariki akulinde
@yusuphamani724 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuongezee umri wa kuishi Inshaallah
@alfaqeera54984 жыл бұрын
amiin na afya njema pia
@minahadi21904 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuifadh shekh wetu
@jamilamanariyojamila14874 жыл бұрын
Mazing tunakupend Kwaajil ya Allah❤🙏🙏
@sofialion49254 жыл бұрын
Allah akbar mazinge Allah akuhifadhi na akukinge na hasda na husda
@allymahaba55843 жыл бұрын
May Allah (SWT) Bless you Sheikh Mazinge. AMINA.
@bendobidhaa3018 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh malipo yako kwa Allah yazamishe mizani kwa mema matupu..
@shom12294 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu
@jamilajamila45723 жыл бұрын
Masha allaah shekh Mazinge Allah azidi kukupa umri mrefu shkhe🙏🙏
@shukriolati46334 жыл бұрын
MashaAllah Sheikh Allah (SW) AKULINDE. AMEEN
@slaartistproduction69373 жыл бұрын
Shekhe wangu mazinge pamoja na kishki hawa ni binaadam wasiwaumize vichwa hao wanaowalaumu matusi haya hawakuyasikia au wanajitoa ufahamu kumbuka kwenye msururu wa mamba hata kenge wapo mungu atawakinga endeleen kutoa daawa mungu awaweke ihshaala,
@hamisimaliseri88724 жыл бұрын
Inshallah n/mungu akulinde ili uutangaze uislam ulimwengu mzima" tuombeane uzima nitakutafuta sheikh nikupe zawadi yako
@yusraomary73883 жыл бұрын
Masha Allah shekh mungu akuongeze na akupe maisha marefu ili tupate elimu ya manufaa
@hanifatanzania72584 жыл бұрын
Maashallah maxing e huwoni mwaka niliyo zaliwa mm Daa mudamlefu Allah atujaalie mwishomwema lnshallah
@shabanimbenu21634 жыл бұрын
ALLAH AKUPE SIA NJEMA NA UMRI MREFU SHEKH WETU Amiin
@smileboy61994 жыл бұрын
Mungu akuweke shehe inshaalha
@mrashisuweid9404 жыл бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@mhinatitus25474 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu na umri mrefu
@abdulkinana67743 жыл бұрын
Nashahadia kuwa hakuna Mungu apasaekuabudiwa kwa haki ispokua Alla na hakika Muhammad ni mtume wa haki wa Mwenyezi Mungu. In sha Allah Mungu akinijalia mtoto wa kiume nitamuita Mazinge
@allyniyonkuru17614 жыл бұрын
Thx Mazinge
@allyniyonkuru17614 жыл бұрын
Hakuna wakumuweza Sheikh wetu
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Allahu Akbaru, shukrani kwa somo.
@rashidjumamohamed34372 жыл бұрын
Maa Shaa Allah. Allah akulipe pepo Amin
@mohamedomary8704 жыл бұрын
Allah aendelelee kukupa afya njema na uendelee kukupambania uislam
@yunaithamzahran71994 жыл бұрын
amiiiin
@al-bahraynionlinetv66703 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gmS9f3mCedFgnJI usisahau kusubscribe kushare pamoya ktk njia sahihi
@ibnuomar94173 жыл бұрын
Mashaa Allah... Mola akubarik Maalim..
@AkbarKhan-wu8ct3 жыл бұрын
Masha Allah mwenyenzi mungu akupe afiya na umri.
@halimasaid49774 жыл бұрын
Allahu AKBAR allah akulipe mazuri duniani na akhera
@TausiEme3 ай бұрын
mwenyezi akuweke hai uislamu uzidi kughaaaaaaa❤
@officialsaddmfalme53814 жыл бұрын
Mazinge eeee njooo malindi basiiiii nikuone live shekh wangu Penda wewe bure tu
@jumakarim25043 жыл бұрын
mashaallha Allah akupe umri mrefu
@hafsaali79764 жыл бұрын
""Mashaallah Allah akueke shekh wetu mazinge"
@yunaithamzahran71994 жыл бұрын
amiiin
@uwesusaid97644 жыл бұрын
Barakallah othman mazinge
@fatumjumaa55634 жыл бұрын
Mungu akupe afya na umri mrefu wewe na wenzako munaotufahamisha
@سلطانسليمانبنجمعة4 жыл бұрын
Wallahi sheikh mazinge waeza kumskiliza siku nzima
@rehemahamisi31983 жыл бұрын
Mashaallah,,mungu akupe umri mrefu naomba uje mpaka Arusha kwa morombo
@hemediomari21873 жыл бұрын
Ishallah mungu akufanyie wepesi shekh mazinge uwo na moyo uwo uwo wa kusilimishisha ..
Alhamdullillah subhanaAllah lailaha illa Allah Muhammad Rasulu Allah
@ameirsalmini62534 жыл бұрын
Mungu anaumwa subhanallah
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Mungu nijalie kizazi chema mazinge mungu azidi kukuweka inshaa allah
@mohammedjuma94494 жыл бұрын
Allah akulipe kher
@maimunakassim28404 жыл бұрын
Allah nijalie watoto wema wasimame kutangaza dini kama mazinge
@maherzain6153 жыл бұрын
Ameen sote
@Abdishukriolat2 ай бұрын
Amiin
@sakinamohamed55189 ай бұрын
Allah akupe umri sheikh mazinge
@omarjeylani91444 жыл бұрын
Allahu Akbar, he is the best MashaAllah TabarakaAllah, walahi Sheikh mimi nakupenda na Allah anijaaliye nionane nawe ili nikukumbatiye na npigie selfi nawe, wewe ndio celebrity wangu na wala sio Diamond au Ronaldo.
@asiaabdullah37472 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie Inshallah na akupe maisha marefu yenye kher na ww
@nadianyamuraka70682 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu
@AhmedSaid-xz3kj4 жыл бұрын
Jazakallah kheir sheikh mazinge
@RahmaNusra11 күн бұрын
Allah akubariki Fil dunia wal Akhera
@ramangadu64514 жыл бұрын
ILLAH KARIM Akupe Umri Twawili.
@kassimali86063 жыл бұрын
May almighty Allah protect you sheikh live long
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Laailaaha illa llah Muhammadur'rasuulullah
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
allah akujalishe umri mrefu na uzidi kutufunza inshallah
@nassoraliy38714 жыл бұрын
Mungu akulide
@cholomsury15484 жыл бұрын
Shekh kila mjuzi ana mjuzi zaid... Usiseme hamna huku unakula kiapo ... Yote kwa yote Allah akulipe kwa amali zako na akudumishe kweny njia ya sawasawa na sote kwa ujumla...
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Kwa ujumla hapo ameteleza,,,,kwani kuamini kuwa hakuna mwingine akiondoka yeye, ni kuamini katika ukomo wa uwezo wa Mungu kitu ambacho sikweli!!
@saidasaidjuma35053 жыл бұрын
Mm naona kasem hivo kwa sababu mm binafsi sjaona ambay anaweza kuwa kam yeye labda kwa baadae
@dgee23723 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu🙏🙏 uwutumiy vzr kweny mambo yakheri 🥰🥰🥰🥰🥰
@abdulqareem51393 жыл бұрын
Mungu akuongoze katika kila jambo la gheri
@mwanaishiaomar56954 жыл бұрын
Mungu akueke😍😍😍😍😍😍😍
@officialbntrasool52233 жыл бұрын
Yan umeanza kuhubr mm sjzaliwa ALLAH akubark shkh wet