Amen. Nilikuwa naomba kuhusa shida fulani ni nikawa maneno yameisha, nikaomba Mungu anene nami na nilipofungua Biblia yangu nikapata hii Zaburi. Leo hii niko kanisani pekee yangu na ndipo nimeipata tena. Kwa Imani mimepokea jibu la maombi yangu.
@aloycegasper51884 жыл бұрын
Nimefunguliwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai. PR Mmbaga nabarikiwa sana na Mahubiri TV.. Hata nikikosa bando nalazimisha kuwa nalo kwa ajili ya kusikiliza
@romwaldbruno55224 жыл бұрын
Amina barikiwa mchungaji, somo limenibariki sana na limebadilisha mtazamo wangu kwa Mungu wangu Nawezaje kujiunga na group lenu la maombi la telegram
@elizabethsamwel59244 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ombi hili ninaimani nimefunguliwa mizigo yangu yote ninashukuru kwa baraka zote nilizozipata kupitia Zaburi hii Amen
@huldakirururu89504 жыл бұрын
Ninashukuru kwa somo ninapitia mambo magumu sana barikiwa mch baba wambinguni akutumie sana kwaajili ya habari njema.
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Ee Mungu nimlikie taa mbele yangu uniondolee kifuli mbele yangu, barikiwa sana pastor Amina
@lulumkongwe99872 жыл бұрын
Asante YESU kwa kunifungua
@henryntarisha5600 Жыл бұрын
Ubarikiwe Pastor Bwana akubariki azidi kukupa hekima na mafunuo kwa ajili ya utukufu wake amina.
@julianapeter98932 жыл бұрын
Amina Amina mungu akubaliki sana tangu niaze kufatilia mahubili Yako nimlikua vibaya kiuchumi nilikua nazambi iliyo niremea lakini kupitia mahubili Yako maisha yangu yamebadilika San namshukulu mungu sana nazidi kufunguliwa
@atupakisyekyando890 Жыл бұрын
Ameeeeeeen mtushi wa Mungu barikiwa kwa kazi ya Mungu
@nicolaussengenge64653 жыл бұрын
Imani yangu ni kubwa mno kwa zabur ni sala nzuri sana na zenye majibu ya haraka sana.Amina.
@khaldn74092 жыл бұрын
Napokea hili ombi kwa jina la Yesu.Amina
@kabalizasekanabomarko6063 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@faithboit26343 жыл бұрын
Amen nimeshinda vita na Yesu anipiganie na Adui zangu🙏🙏🙏 Amen Amen nifunguwe eeh yesu kristo Bwana.kenye Adui wamenifunga na Imani kwa jina ya yesu kristo Amen🙏
@janetfrancis71804 жыл бұрын
Nime funguliwa kwa jina la Yesu Amina
@sarahwambui8793 жыл бұрын
Tumebarikiwa sana pastor BWANA na akubariki zaidi pamoja na team ya mahubiri tv.
@pendomatei8462 жыл бұрын
Wale adui wanaopambana nami mungu wewe ndio unawafaham mungu matezo yangu mungu wangu mungu zaburi 18 mungu wewe ndio wakuniponya nakunifanya kuwa hai mungu biashara nilikuwa nauza mungu angalia mtaji wote umepotea mungu vifungo vyote mungu navifungua ktk jina la yesu chuwa Mimi
@fbwire45594 жыл бұрын
Amina na MUNGU aendelee kupewa sifa
@wadyanali9004 жыл бұрын
Amen. Barikiwa sana pastor Mmbaga
@davidmisiwa46224 жыл бұрын
Be blessed team mahubri TV, nabarikiwa na hili somo
@elinizamirikifunde99264 жыл бұрын
Amina Barikiwa sana
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amina asante nimefunguliwa ubarikiwe sana mchungaji wangu
@salamaseif41832 жыл бұрын
Naomba mungu afunguliwe mwanangu apart uduma na Baba yake amsomeshe kupitia zabuli hii mungu anitangulize
@jessikaakinyi84454 жыл бұрын
Amen nabarikiwa na somo zuri la Psalm 18, Mungu akubariki sana pastor
@mackynicky58324 жыл бұрын
Sifa na utukufu tunakurudishia Mungu wetu wa mbinguni
@mwavitafuraha72444 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@salamaseif41832 жыл бұрын
Naomba nifunguwe bwana mungu muaminifu nakusifu beans na nunaimani nitafanikiwa Ameena
@edinaclemence89774 жыл бұрын
AMINA, mtumishi wa Mungu.
@lamidalonghee70124 жыл бұрын
thanks man of God Amen
@watwegopnina64804 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki
@alexkalima41574 жыл бұрын
Pongezi sana Mchungaji Devid tnafarijiwa namahubir yako Mungu akubaliki
@bosireogwera38752 жыл бұрын
Amen powerful message 🙏🙏🙏🙏
@salamaseif41832 жыл бұрын
Naomba mungu nifunguwe kamba niliyofungwa ktk changamoto ya kuolewa bwana nakuamini naomba nifunguliwe kupitia zaburi hii nipate ndoa niolewe na mfanyakazi tena mwanajeshi aje atoe mahali ata akiwa mbali amtume MTU
@Frosita5 ай бұрын
Ninapokea ushindi kwa Jina la Yesu Kristo.
@florencenakitare19474 жыл бұрын
That I God's work keep it up
@naominasimiyu5514 жыл бұрын
Wauh, thanks, pastor, AMEN.
@lifewithkiki6334 жыл бұрын
Amen mungu akubariki kwa somo nzuli sana
@atupakisyekyando890 Жыл бұрын
Naomba Mungu anifungue kamba zilizo nifunga
@Ellehenri4 жыл бұрын
Asante kwa neno zuri
@salamaseif41832 жыл бұрын
Kupitia maombi Jaya mungu nitendee Mambo makuu latatu kupitia kufunguliwa kwangu kamba za aduwi za kunitowa kamba za aduwi kupitia zaburi hii
@methodjohn79914 жыл бұрын
Mungu akubariki pastor
@dorinimalisa30624 жыл бұрын
Ameen Mtumishi Mungu akubariki snaaa
@oman798 Жыл бұрын
AMINA 🙏🙏
@susandaniel33854 жыл бұрын
Amina nimefunguliwa kwa jina la yesu
@awezayesu17794 жыл бұрын
Aminaaaaaaaaa Aminaaaaaaaaa
@janemagutusinda80922 жыл бұрын
Amina 🙏
@nyamunakisuda63334 жыл бұрын
Amen mtumshi
@christinaasukulu28144 жыл бұрын
Amen 🙏 I didn’t know this kweli Asante sana
@janemagutusinda80922 жыл бұрын
Nimepokea wokovu vifungo vyote vimekatika nimefunguliwa Sasa 🙏🙏
@salamaseif41832 жыл бұрын
Namuomba mungu kupitia zaburi hii ya 18 yakufunguwa vifungo vilivyoshindikana naomba nifungiliwe nipate mule mfanyakazi juma abdala anioe na afunguliwe apate kazi
@msafirihemedi60942 жыл бұрын
Amina sana
@witneskilinda50344 жыл бұрын
binafsi kuna mambo yanautesa sana mtima wangu! ninaomba mpk nahic kuwa Mungu ameamua kunikaushia!!! imefika mahali hata kuomba nimekata tamaa kabisa! Yesu anisaidie
@chengulachannel10024 жыл бұрын
Atakusaidia usikate tamaa ukikata tamaa shetani atapata nafasi zaidi
@salamaseif41832 жыл бұрын
Bwana aniokoe na umaskini niliofungwa kupitia maombi haya naomba nifunguliwe katika safali yangu nipate mine
@washykhasera83744 жыл бұрын
Amina tena Amina!
@happyjoseph55164 жыл бұрын
Nimefunguliwa kamba zangu zote Utukufu Ni kwa Mungu
@salamaseif41832 жыл бұрын
Nifunguliwe Leo kamba niliofungwa mwilini mwangu napitia magumu Sana nafanya mema nalipwa mabaya na maaduwi kuniandama
@lumandemwenebokyo46134 жыл бұрын
Amena
@salamaseif41832 жыл бұрын
Naitwa abduli sadiki milingo kupitia maombi haya naomba nifunguliwe nipate mafanikio katika biashala zangu naomba nizidiwe nawateja mpaka nitafute watu wakunisaidia
@nyangaigeorge71224 жыл бұрын
Amen
@judithmakoye65924 жыл бұрын
Aamina, mbarikiwe mahubiri tv, naamini nimefunguliwa pamoja familia yangu, kweli nimegundua vifungo vingi, nazidi kuomba kufunguliwa kupitia zaburi hii,amina
@judithmakoye65924 жыл бұрын
Sylvia kikibwa ni kuomba unaisoma kwa kutafakari na kwamba uko unaongea na BABA wambinguni akiwa anakusikiliza, kisha amini Mungu anatenda aisee
@florasingano58594 жыл бұрын
Kweli kabisa nakubaliana nawe,huwa naiomba kwa kuitafakari hakika nimemwona Bwana akipigana na adui zangu
@judithmakoye65924 жыл бұрын
Yani kweli Mungu anatenda jamani, sasa natumia pia zaburi18 ya maombi ya sifa, hadi nabaki najishangaa kwamba hv ndivyo Mungu anatenda, kuna watu walikua wanafanya uchongezi kazini (RAS wamkoa) maajabu katolewa yeye, tuliomba kwa hiyo zab35
@florasingano58594 жыл бұрын
@@judithmakoye6592 zaburi zina nguvu mno,maombi ni kila kitu ndugu zangu,adui wanatiishwa chini ya nyayo zetu.kwa Nina la Yesu
@judithmakoye65924 жыл бұрын
@@florasingano5859 aminaaaa
@salamaseif41832 жыл бұрын
Bwana anitendee makuu nipate mume mwente hekima
@isackmbise89683 жыл бұрын
Ok up hi
@salamaseif41832 жыл бұрын
Naomba nifunguliwe vigungo
@scholasticamavere85214 жыл бұрын
AMINA .NAPOKEA
@ellykibale1904 жыл бұрын
Asante kwa mahubiri haya,Jana usiku(21 July) nilikuwa na changamoto(kamba) ambazo zilinikosesha amani, nikamwomba Mungu nipate mahubiri yatakayonitia nguvu. Nikakutana na mahubiri haya,na kuyafuatilia. Leo 22July,ofisini nikaisoma Tena zaburi 18 na kupokea sehemu ya utatuzi wa changamoto hiyo. Namshukuru Mungu,kupitia mahubiri haya nimeomba kwa kutumia zaburi 18 na kupokea sehemu ya majibu,naamini Mungu ataonekana pia kwa sehemu iliyobaki. Amen.
@oman798 Жыл бұрын
AMINA
@florabenard7074 жыл бұрын
Amen amen!
@aminaflorida9024 жыл бұрын
Amen Amen
@bethshebaemmanuel12534 жыл бұрын
Amen🙏
@salmakiyabosiriyamachoziha87564 жыл бұрын
Amen
@mauwakiza21204 жыл бұрын
Amen amen
@rihannabellion56364 жыл бұрын
Ameeeen
@mrtoxicx4 жыл бұрын
ZABURI YA KUFUNGUA KAMBA ZILIZO KUFUNGA
@priscakihengu46204 жыл бұрын
Mch,wema na amani zikufuate
@mrgbaba36963 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@sarahabdulatif73914 жыл бұрын
Amina
@salamaseif41832 жыл бұрын
Ewe Mila kupitia zaburi 23 naomba mwanangu afunguliwe usiku wa Leo apart uduma Kwa Baba take allydally amuudumie
@salamaseif41832 жыл бұрын
Kupitia zabuli hii usiku naomba nifunguliwe niolewe ndoa na Jima abdala ndoa
@maimunatanzania11743 жыл бұрын
Kama huna hiyo kitabu naweza kuombewa au kuwekwa kwenye maombi
@princesssarah49054 жыл бұрын
Nami naomba niwekwe kwenye group la maombi. Nina kaka yangu na mwanangu(kijana wa marehemu dada yangu) naomba Mungu awafungue kwenye kifungo cha pombe. Naamini kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Namba yangu ya simu ni 0713933100
@barakakashindye28204 жыл бұрын
Amin.. lakini pia naomba kuungwa kwenye group la Telegram no yangu 0686600880