Waburkinafaso hongereni sana na tumuombeeni sisi waafrica wote ibrahimu traore 🎉🎉🎉🎉❤
@MugishaThiery-ob8qd9 күн бұрын
Mimi ni mu Burundi natamani kuona waburundi tukijitowa chini ya wabeberu mwenye kama uko Kenya Tanzanie Uganda Rwanda soudan munipe 5tukitumia 🇧🇮ya inchi Yako nione wanani woko na upendo wauwafrika
@DanielKilamian9 күн бұрын
Sio wewe ndugu yangu bali hata sisi🇹🇿 tunataka kama Ibrahim traore maana mheshimiwa #Magufuli ameshauawa hivyo tena
@MustaphaManole8 күн бұрын
🇹🇿
@ماريافيدال8 күн бұрын
Bitenge bite uke icogihe kizogera 😢
@ramadhaniOsujacki8 күн бұрын
Tunakupata vizuri sana ndugu isaya benson kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna maoni yangu nikwamba ni kumpongeza Ibrahim traore na washirika wake kwa kufunga mtambo wao wa tv yao mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi kila hatua kwa njia zao wanazo tumia kuwapa ukweli nchi zetu za africa zinazo ng,ang ania kuwa chini ya ukoloni wa mataifa magharibi
@charlesbwasese81028 күн бұрын
Our Captain ni angel alietumwa kuja kukomboa African.. God protect our Captain🙏🙏🙏🙏🙏
@RamazanJuma9 күн бұрын
Hongera sana kwa Sahel Countries mungu ibariki Africa
@MshamSaid-o5f8 күн бұрын
Africa 🌍 Africa 🌍 Africa 🌍 ....dah ata mimi nilkuwa nashangaa kwann Abar zetu za Africa 🌍 zitangazwee na wazungu wkt sisi wenyewe tuna radio zetu na tuna TV zetu dah Africa ni kizungu mkuti nakila rais ambae ata kae jitoa kuusu Africa lazma awe na Uhai mfupi kikubwa Allah amjarie traole afikie marengo na wale maraisi wengine wa Africa ambao Awaja stuka bas mungu awaongozee ili tufikie marengo....Asant kaka kwa taarifa zako nzuli
@Massy-g9c9 күн бұрын
Mwakilembe safi sana. Now, I am subscribing to your channel
@ماريافيدال8 күн бұрын
Umekuwa umechelewa . Karibu udugu 😂
@Teddy-z4i4 күн бұрын
Master isaya nakukubali sana
@FirdausMadina-g5s8 күн бұрын
Waafrika watasaidiwa na waafrika, sio wale wakoloni.
@SM-fu1yv9 күн бұрын
Wa Libya wanajuta leo
@muktarkassim66479 күн бұрын
😂😂😂😂 eeeh awawatu si mchezo
@ماريافيدال8 күн бұрын
Yassimi Goitta, pia mnyenyekevu .
@African5118 күн бұрын
Huyu ndiyo ameweza sasa maana hizi redio za kumapokeo ni shida kubwa sana kwa sisi Africa
@ukweri2ebiyati6618 күн бұрын
Kama unamkubar ibrahm gonga lke
@Kibabe20246 күн бұрын
Isaaa nikuulize yeye alipopindua aliwauwa nini Kwanzaa unatakiwa ufikirie km kauwa ndunguzake kwanza kwaio wewe tukuilize umemsahau mungu unashangiria vitaa tulia wewe
@ernestkunja34729 күн бұрын
Apoi wala Aboi
@ikulunimahalipatakatifu76429 күн бұрын
FUNDISHO NA MFANO MZURI vyombo vya wakoloni vya ovyo sanaa
@Sixtus-k7v8 күн бұрын
🤝🤝🤝👍💯💚
@hamisramadhan-eb3ie9 күн бұрын
Taalifazahuyumba kuja zimeishiawapi ? tunamsubili kwaham naomba mlejesho mkuu
@samirhumud74088 күн бұрын
Amemtuma waziri mkuu wake
@PetroKiyeyeu-ur4zg9 күн бұрын
tuelimishe wengi niwasominila hawajitambui nifaanyie mppango nionane na traole capten nakuomba mwakilembe
@gervasemartin9 күн бұрын
Hapo kipengere bossy maana hata mwakirembe hajawahi kumuona
@travelwithme149 күн бұрын
Tuambie kwanin hajaja?
@JosephBidii-k6i9 күн бұрын
Safi sana🎉🎉🎉
@Kibabe20246 күн бұрын
Isaaa nikuulize yeye alipopindua aliwauwa nini Kwanzaa unatakiwa ufikirie km kauwa ndunguzake kwanza kwaio wewe tukuilize umemsahau mungu unashangiria vitaa tulia wewe