HOJA MEZANI || Uchambuzi kuhusu kuzinduliwa kwa safari za treni Dar -Morogoro

  Рет қаралды 3,547

UTV Tanzania

UTV Tanzania

Ай бұрын

Uchambuzi kuhusu kuzinduliwa kwa safari za treni Dar -Morogoro huku tukiangazia zipi changamoto na faida kwa mradi huo wa treni.

Пікірлер: 17
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Hongera mkurugenzi mkuu Kwa juhudi kubwa sio KAZI lahisi mmesimamia bila Kona Kona mungu akubaliki sanaa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Masanja mm nakuelewa sana uko vizuri
@victorkauki8974
@victorkauki8974 Ай бұрын
👏 🇹🇿
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro Ай бұрын
Je hao watu wakija na njama ya kuuwa Treni zetu TRC na Serikali mmejipangaje
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Ай бұрын
Acheni ushamba, abiria wanakata tiket kutoka dar town to pugu/bunju wakiziba nafasi ya watu wanaosafiri kwenda mkoani
@allymusira2153
@allymusira2153 Ай бұрын
Safiiiii
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 Ай бұрын
Hongera sana mkurugenzi mkuu kwa ufanisi mkubwa huu
@makitandungu2604
@makitandungu2604 Ай бұрын
Kadogosa anapaswa kuwa mfano wa viongozi wote wa mashirika ya umma. Jamaa amelibadilisha kabisa shirika la Reli kiutendaji
@modenasayi
@modenasayi Ай бұрын
When are they connecting with DRC ?😊
@ashuramohamed6365
@ashuramohamed6365 Ай бұрын
Leo tumebakishwa kwa usumbufu wa tiketi mpaka train naondoka tumebakishwa
@Festo1tz82-ut5sp
@Festo1tz82-ut5sp Ай бұрын
Kuna ttzo la umeme kwenye mabehwa mbona taa za ndani zinazoma xima
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Ай бұрын
Hakuna tatizo kuzima kwa Taa sio tatizo bali pale huwa zinabadika line za umeme kutoka wilaya moja hadi nyingine kutoka mkoa mmoja hadi nyengine
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Ай бұрын
Kiufundi huwezi kutumia line moja hadi dodoma lazima ziwe tofauti kwa hiyo inapohama lazima taa zizimee pale kunakuwa hakuna umeme na ukiongonisha line 2 kwa wakati mmoja italeta maafaa
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 Ай бұрын
Kuleta mtu binafsi mtazidiwa maarifa na wenzenu shirika litarudi kulele tilipo toka ni bora kubaki wenyewe
@Beauthoms
@Beauthoms Ай бұрын
Hayo mawazo yako ni mawazo mgando jooh
@athuman6223
@athuman6223 Ай бұрын
shirika la ndege umeona linavyohangaika kijana
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,2 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 41 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 718 М.
عمربن خطاب، قسمت اول
53:32
BBC Persian
Рет қаралды 169 М.
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 38 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН