Tujitokeze Kwa Wingi Kuja Kumsikiliza Dr.Zakir Naik...Aref Nahdi-Mwenyekiti TIF

  Рет қаралды 1,713

islamicftz

islamicftz

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@mkude
@mkude 19 күн бұрын
Mashaallah ALLAH akupe umri mrefu na afya Sheikh Arif Nahd kwa kazi kubwa unayoifanya ya ALLAH hapa Tanzania
@AhmadNdege
@AhmadNdege 22 күн бұрын
Insha'Allah
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 21 күн бұрын
mahizbi na masufi ndo wanaungana ktk hiki Dini mseto Alhamdulillah ALLAH kwa kututoa huko ujingani
@ibrahimally7506
@ibrahimally7506 21 күн бұрын
Si kweli lete link ya video
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 21 күн бұрын
@ibrahimally7506 🤣🤣 ww hujui muft wa Zanzibar nae hizbi au sufy nijubu maana miongoni mwa waliompokea nayy yumo 🤣🤣
@hamidamussa593
@hamidamussa593 21 күн бұрын
Musije mukampeleka kizingo tuu mwisho wa mwaka mukaja mukamchilimua😮
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 21 күн бұрын
Huyu sheikh . Assalamualaikum. Katika Kila zama kunaupinzani.
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 21 күн бұрын
Kweli tv imani nyinyi niwatu wa bidaa msio na kificho, yani huyu jamaa anasema yeye kuna mambo 1000, allah hayajui lakini yeye anayoyajua, alafu nyinyi mnahamasisha watu waje kuskia kufuru zake hizo? Kweli nyinyi mmezidi.
@mkude
@mkude 19 күн бұрын
Acha UZUSHI wa kwenye MITANDAO nenda kamulize swali live.
@maase2023
@maase2023 15 күн бұрын
Issa ni nabii wetu na muhamad ni nabii yetu sijui ubishi huu wa kijinga unatokea wapi wakati wote ni mitume ya Allah
@abdallahjuma4397
@abdallahjuma4397 22 күн бұрын
Huyu Jama ashawahi kusem kuna mambo anayajua yeye lakini Allah hayajui nawashangaa sana nyi watu wa Tif
@shackshd1512
@shackshd1512 22 күн бұрын
Njoo kesho umuukize ilo swali
@chongerayassini978
@chongerayassini978 21 күн бұрын
Njoo umuulize hilo swali Boss
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 21 күн бұрын
​@@chongerayassini978muulize wewe ambae hujasikia maneno yake
@ibrahimally7506
@ibrahimally7506 21 күн бұрын
Alisema wapi lete link ya video
@abdallahjuma4397
@abdallahjuma4397 21 күн бұрын
@@ibrahimally7506 kzbin.info/www/bejne/pX-VhGOprL2Nf9Esi=bY8gOev7u1v9QBv1
@AllySela-m5e
@AllySela-m5e 20 күн бұрын
Ebu tupate hio clip yake asemayo hivyo
DES NON-MUSULMANS DÉFIE LE DR SUR LE CORAN ! Zakir Naik en français
30:15
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
MATUSI YA SHEKH QASSIM MAFUTA  NA MUULIZENI PICHA KAZIPIGA WAPI?  #الحكمة #fypシ゚vira #subscribe
20:22
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 11 М.
#LIVE:DR.ZAKIR NAIK IN DAR ES SALAAM-TANZANIA | 03,RAJAB,1446H
4:53:55
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
Zakir Naik Looses It on Audience and Christian Missionary
13:44
Only One Way
Рет қаралды 1,3 МЛН
#LIVE🔴 KONGAMANO LA AMANI , DIAMOND JUBILEE HALL - DR ZAKIR NAIK 2025
4:14:37
Dua TV Tanzania (TZ)
Рет қаралды 12 М.