I am so thrilled with this interview this girl yuko so open anaongelea mambo ya kusaidia kufanya interview. Nimempenda
@Witnessvlog5 ай бұрын
Thanks for the feedback. She is good
@rosiehayatta26195 ай бұрын
Hongera sana sana mimi since 2003 nimejaribu na nilikuwa nafanya kazi ubalozi sikuwahi kupata... Nimekupenda Stella
@Witnessvlog5 ай бұрын
Oh pole sana. Hakika ni bahati nasibu Keep applying
@MissKaliz Жыл бұрын
God’s Grace🙌🏾, Wakati wako uki fika kila kitu ni shwaaaa shwaaa😍🙏🏾. Mungu aka zidi kumpatia Kibali katika Ardhi hii ya Marekani🙏🏾.
@Witnessvlog Жыл бұрын
I like that Shwaa shwaa. Hakika ni neema ya Mungu kwakweli yeye mwenyew anakukolify yani
@nicekweba9920 Жыл бұрын
Nakuona mbali sana dada witness,wew na official dating assistance na kaka Ebm..,Mungu awabariki mim binafsi sina matarajio yakuapply chochote ila huwa napenda tu kuwasikiliza
@Witnessvlog Жыл бұрын
Shukrani sana.
@danielmartinKiondo-dq4jz7 ай бұрын
Ahsanteni sana
@Aishamohd-tu5fj9 ай бұрын
Hongereni sana❤
@faith20243 Жыл бұрын
aisee MUNGU akisema ndio amesema. kwakweli nimependa we na mume mlivopata i can imagine furaha yenu ilikuaje🙌🙌
@Witnessvlog Жыл бұрын
Sana yani.🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@gracemkomasy8257 Жыл бұрын
Nmependa mahojiano kazi nzuri witnesvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Asante sana dear🫶🏾
@neemahappyeverafter6181 Жыл бұрын
Da stella ni mrembo sana eti 2007 ndo alikuwa form four😘😘😘😘😘
@Witnessvlog Жыл бұрын
Yani mrembo haswaaa
@subiratembo3033 Жыл бұрын
Safi sana witness tunapata elimu kupitia interview zako.
@Witnessvlog Жыл бұрын
Nashukuru sana subira
@subiratembo3033 Жыл бұрын
@@Witnessvlog tuko pamojawitness
@nicekweba9920 Жыл бұрын
Good interview mamy
@Witnessvlog Жыл бұрын
Thank you
@evampuya-mp9vf11 ай бұрын
Nisaidie namna ya kuomba hiyo bahati nasibu
@Witnessvlog11 ай бұрын
dvprogram.state.gov/ Mfolo pia EBM swahili youtube ujufunze zaid
@danielmartinKiondo-dq4jz7 ай бұрын
Wewe kupata ni sahihi tu dada kwani hiyo ni lottery ilikuwa bahati yako tu sio sababu kuwa uliwahi enda America bali umepata kwa sababu vigezo ni high school au form 4 with work experience hivyo ndivyo walivyosema kwa hiyo amini kuwa umebahatika na form 4 yako plus hiyo work experience no more
@GodfreyMdemu-uw2lv9 ай бұрын
Hapana dada ukishinda green card ni lazima wakupe viza kama huna for six.ukiwa na week Experience.yeyote lazima upewe viza Mimi Nina jamaa kashinda DV lottery 2022.kaondoka na Ebm June mwaka huu
@Witnessvlog9 ай бұрын
Asante kwa nyongeza
@carinapeter48088 ай бұрын
Hellow
@IsmailGalawa Жыл бұрын
Alipiga Picha studio ipi ? Atuambie jina la studio, na sehemu ya studio aliotumia kupiga Picha ya dv lottery. Atuambie studio aliotumia kupiga Picha ili na sisi ikibidi tuitafute tupige Picha huko.
@nicekweba9920 Жыл бұрын
Mungu awabariki najifunza kitu huwenda siku za mbeleni nikiwa na mwanangu labda ataenda kuishi huko nje😂though napenda labda niende kutembea tu nakurudi
@Witnessvlog Жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾🙏🏾
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Hello witness
@kakamkuu538310 ай бұрын
Dada Witness unaupiga mwingi kiukweli ubarikiwe na Bwana Yesu binafsi umeniletea mtu sahihi kwa wakati sahihi mimi pia msimuhuu dv 2024_2025 nimeomba ila vigezo vya elimu kwangu vinanikaba kama dadaangu Stela ila nasubiri Mpango wa Mungu utimie
@Witnessvlog10 ай бұрын
Nashukuru kusikia hivo. Natumaini umepata cha kufanya endapo ukiwa mshindi
@kakamkuu53839 ай бұрын
Kwakweli mmenipa
@Mamabrie111 Жыл бұрын
mwaka huu nitaomba Dv Mungu nisaidie
@Witnessvlog Жыл бұрын
Way to goo
@IssaIddi-vb9yi9 ай бұрын
Interview ubalozi wanatumia lugha gani?
@rosiehayatta26195 ай бұрын
English of course
@salhakyande3905 Жыл бұрын
Surprise
@Witnessvlog Жыл бұрын
💃🏿💃🏿💃🏿yeeey
@Zippy-h6c9 ай бұрын
You are lying... minium qualifications is form 4 or 2 years work experience for dv lottery
@Witnessvlog9 ай бұрын
Go and do research more. Why she should lie? Thanks for watching anyway
@mwananzuki9 ай бұрын
@@Witnessvlogshe lied alot of stuff au Hana uelewa how it works.
@stellabugingo40714 ай бұрын
Nimeongea niliyoyapitia kama unaona kunauongo ndani yake hongera kwa kuujua ukweli😅 experience yangu ndio hiyo take it or leave it! Unaweza kuona nadanganya ila kuna mwingine itamsadia kwa namna moja au nyingine. NB dv lottery haina formula kila mtu na experience yake usiforce tufanane. 😊
@Witnessvlog4 ай бұрын
You should come and share your story since you know it all
@Witnessvlog4 ай бұрын
You are very right dada yangu. Watu wa humu wajuaji mnoo na utakuta hata hio dv hajawahi kuomba
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Hello Stella nimefrai sana kusikia upo uku American na mimi nipo uku Wilmington Delaware hongera sana nimeshangaa ata sisi tulipata Visa bila kucheleweshwa wala Kusumbuliwa .asante Dada witness kwa kazi nzuri
@Witnessvlog Жыл бұрын
Nashukuru sana Dada stella. Asante sana kwa kushea
@Salumchiwili202311 ай бұрын
Very nice next year nitaomba unihost 🙏
@Salumchiwili2023 Жыл бұрын
Huyo dada hapo kuna kitu amenikumbusha itabidi nikarekebishe cv yangu
@Witnessvlog Жыл бұрын
Safi sanaa
@danielmartinKiondo-dq4jz7 ай бұрын
Kwa hiyo mkishinda wote wawili Mr n Mrs je moja inafutwa au zote zitafanya kazi au inakuwaje hapo?
@Witnessvlog7 ай бұрын
Moja automatically haitatumika
@Mamabrie111 Жыл бұрын
hv maswali ya interview ni yapi?
@devidjav358310 ай бұрын
Wauliza vitu za kawaida sana lengo kujua kama ujafake documents.ulizaliwa lini,wapi,miaka Yako ulisoma wapi,mwaka gani etc
@nicekweba9920 Жыл бұрын
😍
@cleopatrahenry7541Ай бұрын
Na je wanaangali umri katika kuomba au umri wowote?
@WitnessvlogАй бұрын
Hakuna kigezo cha umri. Yoyote anaomba
@NanaNana-xo2og9 ай бұрын
Tunaomba na sie hio interviews ya green card
@SalomeNzowa-je7ny10 ай бұрын
Ukiishia darasa la Saba hupati?
@devidjav358310 ай бұрын
Ndio ila Kuna njia ya kutumia uzoefu wa kazi.work experience
@gsurasa636611 ай бұрын
hi
@mafrikanws Жыл бұрын
Sabu naona nivizuri kupata link naku aplay mwenyewe
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Huyu dada youtube anaitwa nani nimuulixe jambo jaman
@Witnessvlog Жыл бұрын
Hana youtube dear
@user-wc6gk4gz2d4 күн бұрын
Natamani kupata contact zako unielekeze namna ya kuomba green card lottery
@Witnessvlog4 күн бұрын
Angalia video za EBM swahili youtube. Kuna maelezo yote
@user-wc6gk4gz2d4 күн бұрын
@@Witnessvlog ok wity asante ila kweli namm nitapata? Mana nmetamani sana kuondoka lakn cna wa kunisaidia maisha hapa ni magumu sana rafk yng
@Witnessvlog3 күн бұрын
Hakuna mtu atakae kaa akusaidie maisha. Wewe ndio mtu wa kwanza kabisa kujisaidia. Hii ni bahati na sibu kila mtu ana nafasi Sawa ya kushinda hivyo nakutia moyo jaribu. Ya Mungu ni mengi
@mafrikanws Жыл бұрын
Vip Dada yeye Dada uyu aliplay Mwenyewe ama aje
@Witnessvlog Жыл бұрын
Eeeh
@yahyamerey4637 Жыл бұрын
Hiyo nguo ya blue, ni jezi ya Chelsea au Azam fei toto?