Yan hii nyimbo naona mulinitungia mm kwani ndo mitihani yang mpka ss napata shida katika dowa nalia kila siku dugu zang wengi wananicheka sina mama wala Dada wakunipa moyo katika mauvu yang ila kupitia yinyi napata tumani lakuedela kwani alio wapa wengine ananipa na mm asante sana kwakunipa ujasili Mung awabalik Dada zang😭😭😭😭😭😭
@TUMAINIMWASUBILAOFFICIAL5 жыл бұрын
Pole sana Mungu mwaminifu atakupa na wewe wanao kucheka wataaibika
@happymhenzi36985 жыл бұрын
Mungu akusaidiwe atakusikia tu
@salomemwamwaja29445 жыл бұрын
Pole Mungu atakupa wakati wako bado usikate tamaa
@thaddeojude75115 жыл бұрын
@@TUMAINIMWASUBILAOFFICIAL Dada Tumain .Hongera sana sana kwa kazi nzuri hii.huu wimbo nani ni mtunzi.wew au Martha??
@sophiamose13285 жыл бұрын
Pole dadangu amini kuwa wewe sio Tasa una watoto wengi sana mda hauja fika ukifika utaitwa MAMA be blessed
@uwimanaclaudine99755 жыл бұрын
Ninawapenda wa Tanzania. I am from Rwanda
@rubenpetro63514 жыл бұрын
Oy
@rubenpetro63514 жыл бұрын
Oy
@henureckemmanuel84694 жыл бұрын
Imana ni nkuru ntakibuaz kwi mana
@jescajulius80234 жыл бұрын
Njoo uolewe kwetu my dear
@roselinenjau64174 жыл бұрын
Tunakupenda pia!!
@irenejusitinian9429 Жыл бұрын
Amen mwanadamu atakupenfa wakati wa Raha aiseee amen🙏🙏🙏🙏🙏. Usilie nyamaza
@ronaldoluoch81754 жыл бұрын
One thing abt Martha is that she is real, talented
@njambishiru86084 жыл бұрын
Sitalia tena nimenyamaza 😓
@victoriachangandu74332 жыл бұрын
Amen wakati wa washida ndio wengi hujitenga, lakini Mungu atanipenda nyakati zote barikiweni watumishi wa Mungu.
@RodahKulela-bd8tu4 ай бұрын
Really nyimbo zako zanipea moyo Kwa yote nmepitia..#usilie seriously kunyamaza n Kinga bora🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@graciennevutara66163 жыл бұрын
Asante sana kwa île nyumbo
@peterokitwi2843 жыл бұрын
Ooooh nimetumwa hapa na dada Phaustine okitwi mke wangu, wimbo huu umebeba ushuhuda wa mke wangu! Kongole Sana dada kwa ujumbe mkumbwa
@TUMAINIMWASUBILAOFFICIAL5 жыл бұрын
Mungu awabariki wote
@amisi94905 жыл бұрын
Amen
@mroruraare5 жыл бұрын
Huu wimbo ni wa kumpea mtu hekima,moyo na matumaini.Bwana na awabariki sana
@justineriziki88355 жыл бұрын
Asante. Kweli aliye kupa atanipa na mimi. Aliye kubariki atanibariki na mimi amen.
@HappyCharles-hy6qo4 ай бұрын
Jaman huu wimbo mzuri sanaaa hasa ukiwa unapitia magumu
@mosesdalmasamenmaygodyou53352 жыл бұрын
Nimeguswa sana ma wimbo huu yote ayo nimepitia lakin sasa Mimi ni mama was watoto wangu asante yesu kwa kunipa watoto
@foyaalice96804 жыл бұрын
Kweli Mungu hajawahi muacha mtu wake Yesu ni Mwema
@amonkoisa96593 жыл бұрын
Great finally I have got this powerful song!
@gedionkinyili9843 жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo zako, Ina pendeza ku ona umbali Mungu ame kutoa Sita acha kumuamini Mungu🙏🙏🙏
@batridapaul925 жыл бұрын
Nanyamaza mtetezi yupo
@deboramushi84715 жыл бұрын
Nakupendaaaa marthaaa mwaipaja sijawahi kuuchukia kitu ulichoimba kwenye kila wimbo una ujumbeee wa Mungu ndaniiii Nakupenda mno dadaangu
@staicyrose48954 жыл бұрын
Sasa nani ataweza chukia song ya muimbi yeyote ukichukia una sauti unda yako aiseee....
@barakasalingwa33224 жыл бұрын
Don't stress just play
@mosesdalmasamenmaygodyou5335 Жыл бұрын
Wimbo huu unanikumbusha niliyoyapitia asante yesu wangu kwa kunikumbuka Mimi amina
@zipporahkemunto69384 жыл бұрын
Usike kilema na uzazi ungalipo,GOD is da provider of everything to us all.
@christineamillah99425 жыл бұрын
Watakuheshimu siku moja , wote wanakusema mabaya wote watamjua baba
@neemasoka51104 жыл бұрын
Watakuheshim siku moja
@joyeuseirambona18062 жыл бұрын
Nakupenda sana Marta maana unagusiya Yale mengi wa mama tunakutana nayo Mungu akubariki yani najisikiya kufarijika kwahuyu wimbo
@internetmarketing27853 жыл бұрын
Huyu mdada daah cjui ata nisemeje maana kila nikisikia tu sauti yake lazma nitulie mpaka wimbo wake uishe. Nataman gospel singers wote wangeimba hv sio wengne utadhan bongo flavor
@neemagoodluck55535 жыл бұрын
Martha mwaipaja ajawahi kosea mbarikiwe
@joashochuach94395 жыл бұрын
In our life, sometimes we have to face hard times. Sometimes we lose all the charm of our life. But a religious man or woman always keeps faith in God. Even when you have no hope, you should keep believing in God and His wisdom. Never lose hope about anything in any situation, whatever it is bad or worst. Thanks Mum Martha for the message..
@claireshikutili14224 жыл бұрын
My all time artist,, Nyimbo zako hunigusa Moyo na kunibariki zaidi mum Martha. Mungu azidi kukupigania. One day I hope to meet you in person, I need to tap your anointing.
@henureckemmanuel84694 жыл бұрын
Martha jaman nakupenda sana mungu yupo kwel naona huu wimbo moiniimbia mm maana ninawates weng
@balelesilanga81304 жыл бұрын
Naendelea kubarikiwa nawimbo huu unanitia nguvu sana..Mungu akubarik sana da Martha mwaipaja kupitiahuduma yako nabarikiwa sana .hakika una uzoefu binafsi na nguv ya Mungu.i wish siku moja nikuone nitafurah sana. Mbarikiwe kwa kaz nzuri..by Agy.
@julianankulila12775 жыл бұрын
Hujawahi kosea nakupenda Kama ninavyozipenda nyimbo zako zinanibariki sana barikiwa mkamilifu wa Bwana❤️🙏
@precious52774 жыл бұрын
If our gospel musicians could be like this lady WOG MARTHA mwaipaja they could be empowered I a greater level ,Martha you're great darling sister artist ,wimbo wenyewe mafunzo💃💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌
@staicyrose48954 жыл бұрын
Martha mwaipaja naye sauti yake nzuri ukiskiza songz zake utalia tuh....
@junefother78904 жыл бұрын
Martha nakupenda sana from Burundi
@fredobai75075 жыл бұрын
kweli ya funza najua martha alipo wimbo mwenyewe huwa wa mafunzo tena ujenga imani ya msikisaji
@minzajoji71965 жыл бұрын
Umeona ee anapopita mathe nilaha tupu
@estermachea33733 жыл бұрын
Hakika nimefarijika na nyimbo Zako dada ubarikiwe sanaaa mtetezi yupo
@elizabethjames72955 жыл бұрын
Daaa huu wimbo mbona unagusa maisha yangu nimeumia sana Mungu awabariki sana kwa ujumbe wenu nawapenda
@tmwaura31485 жыл бұрын
Mungu akubariki nawimbo mzuri pia Mimi anikumbuke Amen
@asnatmayalla89874 жыл бұрын
Mungu hatakuache daima ipo kesho yafuraha yako
@violethmeja18485 жыл бұрын
Ameen huwa nakukubali Sana matha mwaipaja.na nyimbozako huwa nazielewa hata ukishilikishwa huwa unakuwa vinzuri nyimbo inapendenza sana Tena unaweza ukasema yako
@yonakaragi89754 жыл бұрын
Eheeee mungu unikumbuke na uwakumbuke wanalo shinda
@bsackey845 жыл бұрын
Martha Mungu akubariki una kipawa
@staicyrose48954 жыл бұрын
Hahhaa waaah people can act tumaini hilo begi limebeba nguo au...? Nice song..sunscribed,liked....clicked the bell n shared now am waiting from God the blessings......blesss mwasubila
@xxx-mb4qy4 жыл бұрын
I thank God for you my sister Martha. Your songs minister to me alot. I hope one day God will make it possible for me to hug you❤
@joserinankezimana45153 жыл бұрын
Jamani wewe Mana mungu akubaliki kbs mutetezi uko nanyamanza Amin hallelujh🙌🙌
@njokikihara54274 жыл бұрын
Namshukuru mungu kumtumia mtumishi wake martha wa ujumbe wa kutupa nguvu kweli kuna mungu watanzania na pia huku kenya na dunia nzima,, ni usuhuda tu asante nyimbo zako zanitia nguvu hata wakati huu mengi
@khadijakisingo79203 жыл бұрын
Machozi yamenitoka nimewaza mbali Martha mungu akubariki
@mosesdalmasamenmaygodyou53352 жыл бұрын
Wimbo huu umenigusa sana nimekumbuka yaliyopita asante yesu wangu kwa kunipa watoto Mimi ubarikiwe martha
@nancysimiyu6402 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 mungu atanifungulia milango
@AnnaMangungu-qv7by Жыл бұрын
Mngu awabaliki watumishi nimebalikiwa Sana nimepata ujasili nasonga mbele
@jiiseti5 жыл бұрын
Huyu Martha jaman yuko on fire
@Benoît-s7b9 ай бұрын
Merci sana kwa wimbo wa farajah.
@euniceatieno93715 жыл бұрын
Ukweli kabisa atageuza ndimi zao ,I can testify on that.
@franciscahmwende50235 жыл бұрын
I love ur songs dear,, sometimes I listen to ur songs ad feel as if u r singing wat am going thru... Yu really giv me hopes and encouragement,,, be blessed
@rhinakiza4 жыл бұрын
Amen nikweli Mungu awabariki sana❤❤❤2020 Martha search blessings us
@BlindaWanyonyi2 ай бұрын
Nampenda sana nyimbo. Zako
@leonida69903 жыл бұрын
Mtetezi yupo nyamaza.. More grace and blessings Martha
@agymahona17213 жыл бұрын
Hakika mtetez n Mungu pekee .
@Caroh-i2j Жыл бұрын
Nice song, Hongera kwako Martha pamoja na Tumaini Mwasubila🙏🙏
@Lawinabeautysaloon Жыл бұрын
Dada yangu tumaini na boss wangu ❤❤❤
@lewyjoseph6584 жыл бұрын
mungu akuongeze miaka zaidi kwenye uimbaji wake nazidi kubarikiwa zaid na zaid
@StephenKasolo5 жыл бұрын
😪😪😪😪😪Take heart
@TUMAINIMWASUBILAOFFICIAL4 жыл бұрын
Kasolo wasap me pls
@yonakaragi89754 жыл бұрын
Nawapenda sana waubiriwaabarinjema watanzania am from congo
@dusengederrick03 жыл бұрын
Napenda nyimbo zakosaana my sista martha zina nifarij moto sana 👌👌🙏🙏🙏🙏
@mildredwekesa33573 жыл бұрын
N kweli n heri kumtazama Mungu cku zote
@SarahMulangu-z5q23 күн бұрын
I love you so much marth
@paulinasemindu14985 жыл бұрын
dah😭😭.dada matha mungu akuinue hata ukishirikishwa wimbo na mtu unauvaa uhusika sana dada angu
@nicholaskhainza48025 жыл бұрын
Amina... Ahsante sana dade zetu Kwa baraka tele.Mungu awalinde
@queensaida3334 жыл бұрын
Wow.mwaipaja napenda wewe xna.mko xwaa.ameen
@idrisasesay26805 жыл бұрын
I'm so in love with Martha and her music .
@paulineatito84743 жыл бұрын
Asante sana muhubiri Martha sitalia tena ubarikiwe sana
@foibemasinde22024 жыл бұрын
Nakosa namna nzur ya kusema ... Nimachozi ya furaha ujumbe mzr sana ...Martha unagusa na kuponya mioyo kwa nyimbo zenye jumbe nzr
@dusengederrick03 жыл бұрын
Mungu Nikila kitu usikate Tamaaa
@danieldugange87385 жыл бұрын
Hakika mtetezi yupo. Nimeguswa sana na wimbo huu. May almighty God bless you
@anodi-d8o Жыл бұрын
Dada martha hongera kwa kuimba vizuri❤🎉
@joanmwanga51485 жыл бұрын
Daah martha mwaipaja umeuwaa
@merylimo89174 жыл бұрын
Barikiwa my dear kwa ujumbe mkubwa
@reagankalangula11714 жыл бұрын
Barikiwa Martha Mwaipaja napenda nyimbo zako sana roho mtakatifu azidi kukuzidishia kipaji
@susanbenta8783 Жыл бұрын
Mammy i love your songs may God bless you.
@gracemgalla89045 жыл бұрын
Nakupenda sana dada Martha kila nisikiapo nyimbozako najifunzi
@dennisouma63084 жыл бұрын
Mungu ndiye kimbilio letu
@benwere44444 жыл бұрын
This mama has a talent. Pay bill for support please.
@stanokoskey63864 жыл бұрын
Mwaipaja i lv ua songs
@irenejustinian22122 жыл бұрын
Kweli mwadamu sio wa kuamin amin
@matikumarwa98044 жыл бұрын
Dada tumaini nakuombea ufike mbali unaimba kwahisia
@mosesmalumbe69464 жыл бұрын
nimependa hiyo kazi neema zake mola zikufate marth
@kentyinduli82394 ай бұрын
Asifiwe Yesu🙏🙏
@maimunapelembo42845 жыл бұрын
yaani Kama vile umenitungia mm huu wimbo
@damariswanjala45613 жыл бұрын
What a bleesing song!thank God for this far forever YOU BE my shield🙏🙏
@jerryjacoub97285 жыл бұрын
Ama kwel kizur kinajiuza jaman dada Mather asante sana kuwasapot nao hao chipukiz ktk game nasema mungu amisaidie sana kwan wapo jamii ya watu wanayapita hayo ktk jamii inayotuzunguka ila kikubwa maomb
@midechadorothy13244 жыл бұрын
God has finall answer for me through this song
@lameckongayo18974 жыл бұрын
Inspiring music, you ought to forget your sorrows when you listen to this, blessed song
@norah03kerubo895 жыл бұрын
Whenever we face any challenges only God is the one who answer our prayer not your friends nor brother and sister let's depend on God for sure he is the solution to our problems..l love the song Martha may God bless you
@precious52774 жыл бұрын
I LOVE THIS SONG SURELY IT HAS SOME WISDOM LESSONS THE WORDS IN THIS SONG IS TOUCHABLE TEACHABLE 😭😭😭😭😭 SISTER TUMAINI MORE GRACE DEAR
@amisi94905 жыл бұрын
Wow, you are preaching through your songs. May God empower you more than ever before.
@rhobiegina66504 жыл бұрын
Duuuh! Wimbo huu umenibalik san! Mungu awabilk wot mlioimba
@ananiafransic12575 жыл бұрын
Hakika ujumbe mzuri barikiwa sana mpendwa
@martinkouadio42794 жыл бұрын
Stay blessed Dear. The Lord has his eyes on you.
@praiseurio14874 жыл бұрын
Martha is so spiritual na hiyo ndo inamsaidia
@Regina-hg6vn2 жыл бұрын
Martha your a blessed to me God bless u
@naimayyyy55975 жыл бұрын
Amina roho wa Mungu azidi kuwatia nguvu kwenye huduma nabarikiwa sana