Tumaini kwaya barikiweni kwa wimbo unaotukumbusha mateso ya Bwana wetu Yesu na kufufuka kwake. Wimbo unanibariki sana, ujumbe wake na namuna ulivyoimbwa kwa utulivu
@FrankKizinzili25 күн бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini kwaya nyimbo nzuri Sana
@benjaminkatete705526 күн бұрын
Tumaini choir ,tumwimbie Bwana milele ,kuimba ni dawa ,amen amen
@JohnsonMbonea28 күн бұрын
Mbarikiwe Sana Tumaini Kwaya Kwa Kweli Mwaka huu mmefanya makubwa tunawaombea Mwakani Muendelee kutoa Nyimbo nyingi zaidi.
@alvalusmkula930426 күн бұрын
Mbarikiwe Sana wimbo unaujumbe wenye hisia na umetulia
@floramtani164626 күн бұрын
Utukufu Hadi utukufu watoto wa Mungu, mbarikiwe sana
@MariamSaidi-z8j13 күн бұрын
Hongereni
@floramtani164626 күн бұрын
Mbarikiwe mbarikiwe mbarikiwe
@festosawema536626 күн бұрын
Heri mwaka Mpya na Mungu awabariki kwa kazi yenu njema.
@janemtani794127 күн бұрын
MUNGU awabariki sana watoto wake
@JosiahJohnson-ef3jb25 күн бұрын
Tumaini Hamjawahi kutoa kazi mbaya hongereni kwa kweli Video ni nzuri Ang'avu na Wimbo umeimbika vizuri kwa mpangilio mzuri.