TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA | MAISHA YETU DUNIANI 4k | (Official Video) - 2024

  Рет қаралды 4,143

TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA

TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 11 күн бұрын
Safi sana Tumaini Choir, Arrangement, audio quality, na wimbo, vyote viko vizuri. Hongereni sana jirani zetu.
@JosiahJohnson-ef3jb
@JosiahJohnson-ef3jb 10 күн бұрын
Amina
@eufraciadamazo5407
@eufraciadamazo5407 16 күн бұрын
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu TUMAINI KIZOTA Mfike mbali mwakani mtoe Albam zaidi na zaidi
@festosawema5366
@festosawema5366 16 күн бұрын
Mungu awabariki sana Tumaini kwaya tokea Makao makuu ya chama na serekali Dodoma.
@floramtani1646
@floramtani1646 15 күн бұрын
Bwana akikupatia uzima na afya,paza sauti Kwa ajili yake,tumika Kwa nguvu ,maaarifa,bidii na akili Yako yote,, mbarikiwe sana watumishi wa Bwana
@JosiahJohnson-ef3jb
@JosiahJohnson-ef3jb 10 күн бұрын
kwaya ya Tumaini Mungu awabariki Sana muendelee kumtumikia tupate nyimbo nyingi zaidi za kutubariki.
@IreneSagumo-w8b
@IreneSagumo-w8b 10 күн бұрын
Mbarikiwe sana na Endeleeni kumtumikia Mungu Maana maisha yetu hayadumu Duniani ni wapitaji tu.
@JohnsonMbonea
@JohnsonMbonea 16 күн бұрын
Mbarikiwe Sana kwaya ya Tumaini Kwa hakika Uhai huu tunaoringa nao Sio wetu ni Yesu ndiye aliyetuwezesha.
@fkirumba1463
@fkirumba1463 15 күн бұрын
Barikiweni sana Tumaini kwaya.muende mbali pamoja na YESU
@alexdonaldmfungo4427
@alexdonaldmfungo4427 14 күн бұрын
Mungu atukuzwe kwa wimbo huu unaotubariki sana. Tumaini tunawaombea
@EmmanuelSamwelMasunga
@EmmanuelSamwelMasunga 15 күн бұрын
Jambo la Baraka kuendelea kuntumikia Mungu,Mbarikiwe sana tumaini
@floramwakoba7312
@floramwakoba7312 16 күн бұрын
Oh Haleluya ujumbe mzuri Mungu ibariki Tumaini kwaya
@Amina-j7j7p
@Amina-j7j7p 10 күн бұрын
Kwaya inaimba vizuri sana kwakweli hongereni
@NyehungeAdventistchoir
@NyehungeAdventistchoir 15 күн бұрын
BWANA awabariki mkazidi kutumika vyema kwa kazi yake
@IreneSagumo-w8b
@IreneSagumo-w8b Күн бұрын
Nice song
@leahmakole6369
@leahmakole6369 16 күн бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini kwaya.
@ericmanyasi7384
@ericmanyasi7384 15 күн бұрын
Amen amen amen nice song
@johnkasanda2144
@johnkasanda2144 16 күн бұрын
mbarikiwe sana🎉
@alvalusmkula9304
@alvalusmkula9304 16 күн бұрын
Mbarikiwe Sana watumishi, wimbo umeimbwa katika viwango vyenye sifa za mziki wa kiadventista, lakini pia unaujumbe mnzuri sana
@eufraciadamazo5407
@eufraciadamazo5407 16 күн бұрын
Amen
@MIGANGASDACHOIRTZ
@MIGANGASDACHOIRTZ 11 күн бұрын
Amina
@servantofyahuahambassadorofyah
@servantofyahuahambassadorofyah 16 күн бұрын
❤❤
@pastorbiheneonline4189
@pastorbiheneonline4189 16 күн бұрын
Kazi nzuri sana, songeni mbele.
@JohnsonMbonea
@JohnsonMbonea 16 күн бұрын
Thanks Pastor
@eufraciadamazo5407
@eufraciadamazo5407 16 күн бұрын
Amen Pastor
@MariamSaidi-z8j
@MariamSaidi-z8j 10 күн бұрын
Nawapongeza sana viongozi wa kwaya hii kwa uongozi mzuri Hadi kwaya inarecord inatoa video sio kazi rahisi
@KIBADASDACHOIRTZ
@KIBADASDACHOIRTZ 12 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/iHu4eKtrarR8obMsi=TVy-q1AZnwux6TVp
@UshindichoirMusique
@UshindichoirMusique 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA | UTU WANGU 4k |  (Official Video) - 2024
4:39
TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA
Рет қаралды 2,6 М.
Maisha kama Meli-Salasala SDA Choir at Likoni-Mombasa(Kenya)
5:51
Salasala SDA Church Choir
Рет қаралды 20 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Tabibu Mkuu || The Saints Ministers (Official Video)
5:22
The Saints Ministers TV
Рет қаралды 49 М.
WAHERI - MINIGO SDA YOUTH CHOIR TZ. - OFFICIAL VIDEO.
4:26
MINIGO YOUTH CHOIR
Рет қаралды 1 М.
AKIDA by Zabron Singers (Official Music Video)
5:07
Zabron Singers
Рет қаралды 357 М.
WASABATO NA WACHOKONOZI.
15:00
WACHOKONOZI
Рет қаралды 26 М.
Jomireso Voices Tz - Mwali (Behind the scenes)
4:59
RJ HOPE TV
Рет қаралды 2,2 М.
SAUTI YA NYIKANI -HUNGUMALWA SDA CHURCH {Official video}4k.SAMEHE.#gospelmusic #sdachoir #FOR GIVE
4:01
SAUTI YA MTU ALIAYE NYIKANI S.D.A CHOIR HUNGUMALWA
Рет қаралды 1,5 М.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 5 МЛН