Hata mm nmeshangilia sana kutolewa Azam ibwe anajitpa sana kutwa kuiongelea simba tu
@mombasa007618 күн бұрын
KWELI AHMED ALIKERWA NA HAWA JAMAA..❤ Ni bora awasamehe tu❤
@AdolophinaShawa-pd8yo18 күн бұрын
So kwa tabasamu ilo❤❤
@SamwelRashid18 күн бұрын
Azam wamedindikiza safari Tu na costal😮😮😮😮
@user-bx1qo9fe3q18 күн бұрын
Leo umeongea ukweliii❤❤❤❤❤❤
@JamilaJuma-kl2em18 күн бұрын
Hsaaaahaaaah😂😂😂 Ahmed bhna eti weka RIP au innalillah
@NeemaJuma-t4g16 күн бұрын
mmmmmmh pole sana 😢😢😢😢😢
@salustianchoma501118 күн бұрын
Hashim ibwe hajielewi anajitapa na kumaliza maneno yote ligi ya mabingwa siyo ndondo cup ajifunze.
@JbabyYonas18 күн бұрын
Kwer shamed wachane
@sospeterkasawanga377012 күн бұрын
Wao waendelee kudhamini virabu waone Kama hiyo itawasaidia mechi za kimataifa.
@StevenTutuma18 күн бұрын
We acha uongo we comedian
@aminatanzanya747518 күн бұрын
Ahmed Ally leo kasem kweli pongezi. Azam maneno mengi vitendo zero
@IsmailiMakuya-gy8co18 күн бұрын
Kweli semaji
@HusseinMohamed-t5o15 күн бұрын
Hiyo ndy furaha yetu hizi tim kutolowa zote
@user-uf6ni7wn4u18 күн бұрын
Daa leo jamaa kazugumuza poiti yani kasema ukwer kabx
@simonzelote599818 күн бұрын
Ahamed tafuteni kikosi Cha Kwanza kwa mfano naina camara huseni kijili Abdul razak chameleon kagoma karabaka fenandes mashaka aohua na kibu Kama Wana ubora kidogo kiasi
@Frank_nzenga18 күн бұрын
Hii ndo tofauti ya semaji na ushabiki ibwe ally kamwe ni mashabiki tu 😅😅😅
@cesaryaudax664718 күн бұрын
Ni kweli timu bado, ila baadhi ya wachezaji hawako vizuri kutoa pass kama akina Balua wana haribu mipira mingi
@CantiusBenedict18 күн бұрын
Uzalendo kwanza nyie wa tz
@mombasa007618 күн бұрын
UZALENDO KWA MZALENDO..
@thabitmgeni877517 күн бұрын
ULLO mie nimefurahi sana azama costal wana maneno mengi
@marialumbanga18 күн бұрын
Hahahaha kwa mara ya kwanza taaira kapona 😂😂😂😂😂leo umeanza kuongea ukweli endelea kuongea ujinga wako uone
@elickmaendeleo114117 күн бұрын
😢
@user-bg6rs2rc5l18 күн бұрын
Kwanini msaliti akumbatie ni bora alivyoachwa tu huyo chama
@sandalakabalo544218 күн бұрын
Simba nguvu1
@AlhajiJuma-s8j17 күн бұрын
Sasa mbn ateba hachiziiiiii
@nyamriakikube107718 күн бұрын
Hata mimi nimefurahi mnooo.. Walichonga sanaaaa...
@josephvenus325918 күн бұрын
Semaji la CAF 🎉🎉🎉
@WistoniMtewele17 күн бұрын
Kiukweli Mimi ni mwanayanga lialia lakini umeongea ukweli kuhusu Azam , na sikubishi kwa shirikisho Azam Bado na club bingwa pia bado
@user-uf6ni7wn4u18 күн бұрын
😂😂😂😂😂 leo jamaa kaogeya kimupila kabx siyo polojo
@AshelyAbel-kg4kx18 күн бұрын
Mm mwenyewe nimefurahia
@simonzelote599818 күн бұрын
Ila Mimi bado sijaona uwezo wa aohua bado uwezo wake Ni mdogo na Kuna muda timu inashambuliwa badala ya kwenda kuisaidia timu anaenda mbele
@AbisinaRashidi-c8d18 күн бұрын
Mm pia nimefurai hizo timu zote kutolewa
@allymwashambwa592018 күн бұрын
😂😂😂😂timu ya sekondari kabisa hii
@drankskhally701918 күн бұрын
Hata Mimi nimefurahi sana Azam kutolewa
@deogratiusGodfrey18 күн бұрын
Mmh hata wewe jaman dah mi naipenda azam lakn mie shabik wa simba
@mustaphawelder702218 күн бұрын
Azam wanatuaibisha, Bora wametoka warudi wakalambe ice cream tu
@mombasa007618 күн бұрын
Waache kuchonga. Waheshim wakubwa hata kama wamekosa nafaSi. Mkubwa hupewa heshima sio MATUSI...
@user-pi9us1vt8b18 күн бұрын
Ubaya ubwela una Anza kuitika😅
@YahayaBakari-hf5yk18 күн бұрын
Ahmed ww ni mtu sana hao wengine vichaa tu maana hawakuwezi
@JeniphaKipaji18 күн бұрын
Waliyoihujumu Simba ili aende azamu mungu anawaona🤓🤓
@joharimussa-x3h18 күн бұрын
😂mashine ya kuongea #ubaya ubwela _
@JamilaJuma-kl2em18 күн бұрын
Ubaya ubayani
@revocatusmalimi452518 күн бұрын
Kibu na barua waache ubinafsi wa kung'ang'ania kifunga wakitaka sifa,badala yake watoe pass kwa wenzao waliopo nafasi nzuri ya kifunga
@kisurangusa55418 күн бұрын
Yani hapo umeongea jambo la maana sana,
@MstakimShaban18 күн бұрын
Hata mm nimefurahi feitoto kuondolewa
@kulwaallen-ev9nz18 күн бұрын
Leo umeongea kweli semani ukweli ndiyo unatakiwa
@TheopistaGauza18 күн бұрын
We jamaa ndio maana nakukubal ninja unaongea ukwel co yule chura Ally kamwe kwny ukwel uwongo kwny uwongo uwongo kwel ww semaji la CAF
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps18 күн бұрын
Kocha abadili mfumo haeleweki
@ShukuruMathias-dx9xz18 күн бұрын
😅😅😅 kabisaaaaa
@razaqdumba16 күн бұрын
Aone nini?
@JbabyYonas18 күн бұрын
Tena sana
@BoniphasLukas-c3c18 күн бұрын
Hahahaaaaa shule yasecondary ila Ahamed ally ngoja to uchukue ubingwa wahame nchi washamba franiiii
@user-gp7es3sg3k18 күн бұрын
Reo umesema ukweri
@RajabZombie18 күн бұрын
borawarivyotorewa
@user-sf5dw3jr3g18 күн бұрын
Jings
@silvestersamson850318 күн бұрын
uzalendo kwen
@HashimPepea18 күн бұрын
Jayant gani wewe unaeishia robo kila mwaka?
@amp195218 күн бұрын
Kuondoka kwa Chama Simba kumeacha pengo kubwa. Alikuwa nguzo ya Simba kufanya vizuri kwenye michezo ya kimataifa.
@mombasa007618 күн бұрын
CHAMA SIO MWISHO WA SAFARI... ALISHA ANZA KUOTA PEMBE BORA AENDE TU
@sonmjofficialtv909018 күн бұрын
Hujui ball Kanye west huko ulale ivi ww kwa akili zako hizohizo ndogo kama mdomo wako umengoa jino na umeotesha jingine pengo linatoka wapi,
@IsackNzilu18 күн бұрын
Jina tu lilikuwa linambeba
@marthamsacky697318 күн бұрын
Simba ndio ilimfanya awe bora sio yeye kwamba akikosekana hatutafanya vixr Naimani tutafanya vzr
@edwardkwale485417 күн бұрын
Badilika Chama unayemjua Taasisi ya Simba ndio iliyo mtengenezea jina...wapo wakina Chama wengine wanakuja...muda tu
@hamzarumela178418 күн бұрын
Uzuri wako huwa unaongea ukweli
@OluloBoy16 күн бұрын
Hawana ubavu
@GraceMhoja-bu3ce18 күн бұрын
hata me nmefutah sana Azam kutolewa
@Holiallen18 күн бұрын
Ahmed Ali kichaa kimepona 😂😂
@JbabyYonas18 күн бұрын
Utajuw kama kichaa au vp
@mombasa007618 күн бұрын
AHMED AMEWAAMBIA UKWELI. HUWEZI KUFUZU KTK MASHINDANO YA AFRIKA KISHA UKAIDHARAU SIMBA AMBAYO NDIO MOJA YA TIMU BORA AFRIKA. UKILETA DHARAU HUFIKI MBALI.
@InnocentPetermasonyi18 күн бұрын
Naungana na were semaji nikweli
@HappyEel-wg4qx18 күн бұрын
Kama yanga wanavofanya
@JbabyYonas18 күн бұрын
Azam chali
@SalmaHamidu-t5z18 күн бұрын
Ww mwehu
@mombasa007618 күн бұрын
Umenyoosha lakini vingine vimekuelekea mwenyewe yaani ww ni zaidi ya mwehu
@iddfundikira281718 күн бұрын
Wachezaji wa Azam ni mayai mayai tu hawajitumi
@MsPapise18 күн бұрын
True said kabisa ndugu wanaboa sana laiiiini sana.
@GodfreyMwendawila-ff7on18 күн бұрын
Sijajua ni nini Leo ndo nimekufuatolia kumbe wew ni bonge la kumedian uko sawa sawa
@HusseinMohamed-t5o15 күн бұрын
Hiyo ndy furaha yetu hizi tim kutolowa zote
@user-uf6ni7wn4u18 күн бұрын
Daa leo jamaa kazugumuza poiti yani kasema ukwer kabx