TUMSHAURI MWENZETU HAPA YAMEMKUTA NA HAJUI CHAKUFANYA

  Рет қаралды 10,843

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер: 183
@remiomar7154
@remiomar7154 Жыл бұрын
Hapo Hakuna cha mpenzi wala mapenzi nnachokushauri usirudi tena maana hicho n kifo Ni kuzunguka hana nia njema nawewe bora uanze maisha yako upya japo mapenzi hayaingiliwi
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
Mm ushauli wangu Dada usirudi Anza maisha yako mapya uhai aunuzwi
@ramlamchonga7669
@ramlamchonga7669 Жыл бұрын
Shoga kaaa kwa kutulia tena kuwa makini na uyo jamaa anza maisha yako peke ako mungu atakupa mwengine
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Daaa, unaujasiri sana. Sasa chakukushauri, usirudi tenaa okoay maisha yako. Achana nae kabisa atakuua.
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Kwanza hongera kwa ujasili wako wa kumkaribisha ndani awala wa mumeo💐USIKUBALI KULUDIANA NAE ILO TEGO
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Жыл бұрын
Ata mimi nilichati na mchepuko na akaja adi nyumbani na sasa tumekuwa malafikitu na bwana wailinga ivo ivo wanamatatizo tabia zake ivo ivo kama baba mmoja iyani kama wangu jeuli ivo ivo anapokea sim mbele yangu zarau kama zote
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Жыл бұрын
Kumbe wakusini tuna moyo sana yani 😂😂😂atamimi nilisepa mchana sasita na nilipewa kesi ya wizi na saizi na pambana na aliyangu ushauliwangu usiludi ao watu awalekebushuki
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
​@@wettykznznhuioploko1571😅😅pole aki
@faridahalil4456
@faridahalil4456 Жыл бұрын
Hebu jiulize kwa nini mimba zilikua hazikai, hii no dalili kuwa huyu bwana hana kheir na wewe. Move on na maisha yako. Ashakudanganya for 2 years. Mwenye lake haachi
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 Жыл бұрын
Uyu dada kama mwehu mijitu ya kusini bwana kwa kuongoza kwa zinaa fyuu pumbavu zao sasa apo unataka ushauri gn jinga nn
@rosekadanga3940
@rosekadanga3940 10 ай бұрын
Asirudi
@MaliamuKanoni
@MaliamuKanoni Жыл бұрын
Usiludi mpz atakuua
@susanmugurusi5460
@susanmugurusi5460 Жыл бұрын
Usirudi atakuuwa. Anataka vitu ulivyochukua. Endelea na maisha yako na uwe mwangalifu na marafiki. Kama unaweza badilisha hata mkoa
@tatumhogo5742
@tatumhogo5742 Жыл бұрын
Usirudi usirudi usirudi kwanza hajakuoa pili dunia hii imebadilika najua kifo kipo lakini usikiendee bora pumzika utapata mwingine maisha ya endelee pole
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 Жыл бұрын
Kiukwel hapohapo uliposepa sepa haswaaaa Mungu atakupatia mume wahalali huyu achana nae niushauri tu mwanaume anaekupenda hawez kukununia mwezi mzima
@ashooeamohammedkhamis7742
@ashooeamohammedkhamis7742 Жыл бұрын
Endelea na maisha yako kipenzi utapata mwanaume mwengine huyo anataka urudi ili alipize kisasi Cha kuondoka na Hela pamoja na TV
@zuhrakhamis6508
@zuhrakhamis6508 Жыл бұрын
Kiufupi asirudii aendelee kufanya maisha yke
@aishaally6602
@aishaally6602 Жыл бұрын
Mdogo wangu achana nae huyo mwanaume anataka kukulipiza kisasi mm nahisi sepa na maisha yako
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp Жыл бұрын
Atakuuwa vibaya uyooo we jipeleke ukome kisabengo
@odama951
@odama951 Жыл бұрын
Usirudi my dear , endelea na maisha yako
@laumoshi9419
@laumoshi9419 Жыл бұрын
Urirudi huko anza maisha yako .maana huko kuna hatari ya kifo wala hatakiwi ajue unaishi wapi.Acha kuwasiliana nae kabisa.
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 Жыл бұрын
Huyo anataka akukomoe usirudi, endelea na maisha yako😢😢
@AgnethaKapinga
@AgnethaKapinga Жыл бұрын
Endelea na maisha yako maana mm nilimfichia maovu mume wangu lakini kilichonikuta ni maumivu tu na kuvumilia kwangu mwanaume akishaanza hiyo tabia kubadilika ni nadra sana
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Analazimisha mapenzi, ashauriwe vipi wakati kila kitu kipo wazi
@husnasalim9614
@husnasalim9614 Жыл бұрын
Usirudi angalia maisha yako
@bakershafi3684
@bakershafi3684 Жыл бұрын
Usitudi mimi niko Holland naskiza mwana zengo 😢😢
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Mwanangu uyo msela fanya maisha yako ela yenyewe elfu 18 fanya maisha yako.
@kigahekigahe3872
@kigahekigahe3872 Жыл бұрын
Wahehe Vinyongo vyao haviishagi nakwambia usilud nakwambia ukilud lud Kwa akil nyingi kama roho yako inakata usilud
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 Жыл бұрын
Huyo ana nia mbaya anza maisha yako
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Usirudi anaweza kukudhuru mwanaume.huwa ukimkosea kinyongo chake hakiishi usirud badili namba ya cm au ht cm yenyewe badili pia
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Duh aiseee apo usije ukajichanganya ukarudi atakuua kama sio live basi kwa mateso adi ujute
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Kwakua huna mtoto naye achana naye ,atakuuwa huyo fanya maisha yako 😢
@aminaabdallahisa6827
@aminaabdallahisa6827 Жыл бұрын
Bora uendelee na maisha yako usirudi bora achana nae atakunjia Baharini uyo
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 4 ай бұрын
Badili no ya cm endelea na maisha yako sie huyo
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Kumbuka Mungu peke yake ndo mpanga maisha ya watu. Usiogope , na wala usizani bila huyo bwana ndo mwisho wa maisha yako.❤
@tatumhogo5742
@tatumhogo5742 Жыл бұрын
Badilisha namba za simu
@roselambert6700
@roselambert6700 Жыл бұрын
Hao ndo ukirudi tu atakupiga na kitu kizito endelea na maisha yako😊
@JosephJonas-r5b
@JosephJonas-r5b Жыл бұрын
Kwanza jiurize mpaka amemtumia yuleyule bint uriekuta nae inamaana Bado wapo kwenye mausino Yao yye anataka vitu vyake kwako sio mapenz tena achana nae ndg yang
@babymkuya359
@babymkuya359 Жыл бұрын
Hapo usirudi jamani ukirudi utakufa au jera inakuhusu
@aishajuma7813
@aishajuma7813 Жыл бұрын
Achana nayo wako wengi songa mbele
@Dadanasra
@Dadanasra Жыл бұрын
Usiende my dear anza maisha mengine achana nae
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani huyo sio mtu mzuri japo mapezi hayaingiliwi
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Kwa ushauri wangu usiende ataenda kukumaliza😢mtego wa panya huo move on
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Wewe nawe si uendelee na maisha yako tu. Huyo sio mtu yatakayokukuta utajuta
@fatnamasinde877
@fatnamasinde877 Жыл бұрын
Atakuua anza maisha yako
@Jamillahs1
@Jamillahs1 Жыл бұрын
Usirudi endelea na maisha yako hakuna mapenzi
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Badilisha no ataenda kujuuwa
@LuluAthumani
@LuluAthumani Жыл бұрын
Achana nae endelea na maisha yk mengne
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Pia jifungee. Usizareee HOVYOOOO. Tafutaa maishaaaa wewee. Mtoto ya NINI maishaaaa hayaaa
@mackysuphian
@mackysuphian Жыл бұрын
Khaaa!
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Achana nao wote usirudi
@mymuhnabdallahshaban7763
@mymuhnabdallahshaban7763 Жыл бұрын
Yaan usirud utaenda kukugeuza bucher ya nyma
@fatumadiwani4098
@fatumadiwani4098 Жыл бұрын
Ukirudi atakumaliza,usirudi life has to go on
@khadija5761
@khadija5761 Жыл бұрын
Usirud kipenzi pambana mwenyewe maisha yataenda tuu maana wanaume siku hizi wamekuwa nyoka aitwaye koboko 😢
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Dada kama wanaume wameisha kwa hii Dunia jirudishetu na ujuwe yule mwanamke hawawezi kuachana rudi ukawe mboga wenzyo washa soga ugali wana subri mboga
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Ushauli. Acha kuludi kwaiyo mwanaume pambana na maisha mengine atakuuwa ana upendiuyo mnafikitu
@aaminajames4948
@aaminajames4948 Жыл бұрын
Usisubutu kurudi ndugu kifo kitakuhusu jamani au rudisha vitu vyake
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Da Gea naomba namba zako ninataalifa ya ubakaji huku Zanzibar pls mtoto wa dada angu wa kiume
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Anamiaka 6
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 11 ай бұрын
Move on mbele uyo so mkweli mpaka apo
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy Жыл бұрын
Achana nae atakuja kukupiga matukio Waswahili wanasema mpende akupendae asiekupenda achana nae huyu sie mwamamme
@shamsajahagandhi3800
@shamsajahagandhi3800 Жыл бұрын
Usirudi endelea na maisha yako.
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v Жыл бұрын
Hata bure asirudi, hicho kifo cha kujitakia😮
@hadija_makange
@hadija_makange Жыл бұрын
Mmh aachane nae tu hapo ss atafuta kifo nasio kingine
@dppd4219
@dppd4219 Жыл бұрын
Ila wanawake bwana kusamehe ni rahis sana yani bado utamani kurudi mtu mwenyewe aja kuoa ebu acha ujinga ujiwi anakuwazia nn mwenzio shukulu MUNGU aujazaa naye nirahic kuanza maisha napya
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 Жыл бұрын
Hakuna mwanaume hapo icho kitunguu maji
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
ivi inakuaje unaomba ushauli in relationship wakati wewe ndo unajua uyo partner wako
@faithreed861
@faithreed861 Жыл бұрын
Usirudi endelea na maisha yako
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Atakuuuwa achana naweerr kabisaaaa
@aishamossile6336
@aishamossile6336 Жыл бұрын
Huyo anataka kulip kisas usiende
@nyamizishaban8815
@nyamizishaban8815 Жыл бұрын
Hahah!!! Imeisha hiyo KAMWEEEE msipende marudiano
@didamanyanya595
@didamanyanya595 Жыл бұрын
Usiludi dada atakupiga tukio ilo utajuta usikudi endelea na maisha yako uyo sio mwema kabisa kwako
@sadasaid7212
@sadasaid7212 Жыл бұрын
Usirudi dada, move on! sisi wanawake ni wepesi wa kusamehe waume zetu. Ila anagalia nafsi yako imeyulia wapi? Hawakati tamaa wanaume ukirudi atakufanyia kitu hutosahau maishani mwako
@shaaden-
@shaaden- Жыл бұрын
Dada usirudi anza maisha kesho atakupiga tukio utashanga huwenda ana uchungu na vitu vyake si unaskia uli ambiwa umeiba tulia hutokosa bwana wa maana
@tiffusumaiya1342
@tiffusumaiya1342 Жыл бұрын
Achana nae huyo
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc Жыл бұрын
Hapana mapenzi apo kimbia kabsa
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Жыл бұрын
Endelea na maisha yako daa sie mume huyo mwambie atwae uyo alokua akikuchit nae, kama wataka kufa rudi
@Ambwene
@Ambwene Жыл бұрын
Nenda akakuue mamamae huyo anatakA alipize kisasi tuu
@lelarubea6405
@lelarubea6405 Жыл бұрын
Ushauri wangu usirudi huyo anatafuta kulipiza kisasi,utakuja kujuta baadae
@agnesmajura6102
@agnesmajura6102 Жыл бұрын
Usiende utauwawa dear
@emazacharia4455
@emazacharia4455 Жыл бұрын
Ila ndoa za mjini bana dah mnakubaliana wawil t mnaish mnaitana Mrs and Mr..hakuna posa Wala mahar ...mnaish t haya mapenz hayananga mwisho mzur madada badilken mapenz ya hv Sio ... Ushaur Wang we dada Kaa kwa kutulia achana na huyo mwanaume kabisa ila hakufai kabisa agakuja kukuaa au kjiua...akupe kesi bure🙏 Kingne acha kabisa kupokea pesa zake acha mawasiliano nae badili namba kabisaa itanishukur Iko cku...
@salumally482
@salumally482 Жыл бұрын
Pole sana kwa changamoto ulizopitia dada, ushauri wangu usirudi tena kwa huyo mwanaume kwa ulomfanyia kumchunguza mambo yake na kumuibia vitu vyake lazima atakuwa na chuki na wewe tu, hata ukilazimisha kuendeltkuishi naye hakuna upendo wa dhati kabisa hapo, songa mbele, funika huu ukurasa, anza ukurasa mpya
@angelholsey2484
@angelholsey2484 Жыл бұрын
Shoga angu hata usirudi mtego huo
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Dada yangu baki kwenu
@BellaNapoli-np5kl
@BellaNapoli-np5kl Жыл бұрын
Nimecheka sana huyu Dada kibaka sana🤣🤣🤣
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
Asirudi😢akirudi atamuua
@alfonsiabruno2310
@alfonsiabruno2310 Жыл бұрын
Dada Geah asirudi huyo hakuna mapenzi apo
@rukiaally8003
@rukiaally8003 Жыл бұрын
Usiludi dada utaenda kuuliwa
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Weeee atakuuuaaaa Kimbiaaaa
@tusekilemwambona842
@tusekilemwambona842 Жыл бұрын
Achana nae anza maisha yako mapya dada😊
@estershilla1560
@estershilla1560 Жыл бұрын
Songa mbele dada achana nae huyo
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Жыл бұрын
Ukiludi atakupa pigo kushunda lakwaza shida awakubali kuachwa navituko vyao vyote
@nuruheartaman5925
@nuruheartaman5925 Жыл бұрын
Mmmh akuna mume apo
@Manka-g5y
@Manka-g5y Жыл бұрын
Wewe dada njoo nikupe habari vizuri ukirudi shauri yko ila muwamuzi ni wewe utapigwa tukio hilo mmmh sisemi sana
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 Жыл бұрын
Edeya naicha yAko usirudi nyuma
@zayhimid
@zayhimid Жыл бұрын
Usirud fanya maisha yako rudi feli fanya biashara zako
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Hakuna mume apo nenda atakuua fanya maisha yako
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Usiludi dada na ikiwezekana badilisha namba hyu ukilud atakupiga na tukio mpaka utajuta kuludi omba mungu tuu akupatie mume sahihi
@sabrinaalpha2626
@sabrinaalpha2626 Жыл бұрын
mara nyingi mwanaume akiachwa huwa anaumia sana na hakubali kirahisi. ukirudi atakuacha yeye tena kwa kishindo kikubwa. hakunaga mapenzi ya staili hiyo
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Жыл бұрын
We acha tu kuna mmoja kaachana na mumewe kisha karudiana nae ...mweeeh kilichomkuta hadi leo anaishi km msukule yupo tu na bwana kamkimbia, kamwacha anateseka.pekeake mmmh wanume hawa loh .
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 Жыл бұрын
usirudi huyo wa iringa atakuulia mbali😢
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp Жыл бұрын
Ashakua ex huyoo usirudi nyuma
@bahatikyusa8864
@bahatikyusa8864 Жыл бұрын
Usirudi mwaya Anza maisha yako utapata mwingine tu atakae kupenda
@AishaTarimo
@AishaTarimo Жыл бұрын
Asirud aise utakufa dada
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
Kwanza pole na hänger kwa ujasiri, mimi nakushauri bwana usirudi huyo atakuja kukuua
@masamibwire6084
@masamibwire6084 Жыл бұрын
Endelea n maisha yako huyo mwanaume ana rohoo y kulipiza kisasiii narudia tena mwanmke mwenzangu "USIRUDIIIIIIIII"
@PriscarMwakarindile
@PriscarMwakarindile Жыл бұрын
Ukirud anakuua
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 61 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 9 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
TUNAWAROGA KWASABABU HAWASIKII
13:44
Geah Habibu
Рет қаралды 36 М.
HEKAHEKA: Mwanaume amuoa mwanaume mwenzie bila kujua Mtwara
17:56
NDOA YASABABISHA BINTI HUYU KUTAPELIWA/MAJANGA YAMEMKUTA
18:26
Geah Habibu
Рет қаралды 18 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 61 МЛН