Mama unauhakika na ahadi zako maana hautimizi ahadi zako kaa vizuri na viongozi wako
@user-vl4rz6lf6dАй бұрын
Yani kunamojitu mipumbavu kila anachofanya mama Wao wanakasirika heti wanachukia wakipongeza Kama sio upumbavu nini hiyo acheni upumbavu huo nachuki zenu binafs mama piga Kazi usiwasikilize wapumbavu wenyechukibinafs
@evianjames88Ай бұрын
Mlisha pandisha bei ya umeme et magenereta yatasahaulika cyo Kwa nchii yenye upigaji
@MagrethKatondo-qs9ozАй бұрын
Mmmmhhh. Mmmmhh. Mmmmhh. Mungu utuhurumie na utusaidie.
@josephkostans9128Ай бұрын
Haya maneno kama sio mapya kuyasikia masikini mwangu au nakosea
@JKQGAMEАй бұрын
Kuna siku kila nyumba yenye umeme kwa mwezi italipia elfu 10
@michaelsamson9663Ай бұрын
😂😂kwel eeh
@kaaakwakutuliaa5179Ай бұрын
utasikia wapumbavu wanapongeza ,minikajua umeme unaenda kuwa buree