WALINIZUNGUKA WAKIWA NA MITUTU YA BUNDUKI, NILIPIGA KELELE NIKISEMA MNANIUA MNANIUA" MNYIKA ASIMULIA

  Рет қаралды 82,543

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 329
@joycealbart805
@joycealbart805 28 күн бұрын
Pole sana wenzetu amini mungu yupo na ndo mtetezi wetu ,hipo siku watalia na kusaga kusagameno,😂, ❤
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 2 ай бұрын
Pole sanaaa mtanzania tunapaswa kumwomba Mungu hii sio kawaida
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Ай бұрын
Pole sana watanzania hatuna Amani na inchi hii halafu viongozi mseme uwongo mungu anawaona nyinyi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 2 ай бұрын
Wengi wanaopinga nahisi ni swala la elimu tuu wazazi tusomeshe watoto wasiwe na ubongo wa ngurue kiasi hichi yani watanzania wengi wanatembea lakini wana mtindio wa ubongo hivi police ni mahakama wanapata wapi nguvu ya kuadhibu mtu kwa kipigo akifa nani alaumiwe....kuna wakati mpaka nazama JWTZ ni jeshi la wananchi ila utii wao na kusema hawajapewa amri inalipeleka taifa kukosa haki kitengo flani kama kinakosea na badala ya uongozi kikawa cha ukoloni kuna haja ya kutoa maonyo police tumeshudia wanaua watu kwa sababu wanazojua wao na hakuna cha kuuliza kwanini uhuru ni wamagazeti na sio uhuru kamili?, mnataka taifa la wajinga mpaka lini nchi yangu naionea huruma sana huko police mlipo kuna watu wanamatukio ya kutisha ila kwakua ni ccm mmenyamaza na mnapishana nao tendeni haki kuna maisha baada ya kazi ya uma hakuna damu iwe ya mnyama au binadamu inayoshuka chini ya mdomo wa ardhi ambayo haitakua na hesabu jiulize kwanini nilazima kuomba kabla ya kuchinja mnyama unayemla lazima pale na sababu msijione mmemaliza dunia kwenye haki za watu hakuna ambacho hakitakua na fidia
@MagrethCassim
@MagrethCassim Ай бұрын
Poleni sana,inaumiza sana
@ShedrackLuvanda-m2q
@ShedrackLuvanda-m2q Ай бұрын
Mungu awatie nguv kwakweri amani haipo huondo ukweli
@SaliminSwalehe
@SaliminSwalehe 2 ай бұрын
Kweli kabisa pole sana
@FatumaTwaha-c2y
@FatumaTwaha-c2y Ай бұрын
Naaumia sana ee Mungu shuka kwa haya
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 2 ай бұрын
kwa matukio haya eheee... sijui hili taifa linakwenda wap...!
@salomemahenge7935
@salomemahenge7935 Ай бұрын
Inaumiza sana
@IsayaRobert-c5l
@IsayaRobert-c5l Ай бұрын
Jamani poleni xana Mungu yupo
@RoseMwakatundu
@RoseMwakatundu Ай бұрын
Poleni sana mungu yupo pamoja nanyi
@RaphaelKonga-v9j
@RaphaelKonga-v9j 2 ай бұрын
IPO cku mungu ataingilia kat polen sana
@elizabethsaibo3658
@elizabethsaibo3658 2 ай бұрын
Poleni sana
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 ай бұрын
Polen sana CHADEMA, hii siyo kawaida ni uonevu!
@BullahSambiga
@BullahSambiga Ай бұрын
Poleni sana kwakwel mnayoyapitia mngu anayaona kiukweli ni maumivu
@MAJALIWADANIEL-t3i
@MAJALIWADANIEL-t3i 2 ай бұрын
ni rahis kuchukulia poa kam hujawah kuonewa na polis lakn kiukwel n hatar polis kunamda wanazidi sana sheria itangulie kuliko mabavu
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 2 ай бұрын
Kuna watu wanakua kama wana ubongo wa ngurue nimeona senge moja limecoment upuuzi kabisa yani kuna wakati kuongoza nchi inahitaji busara sana nchi sio genge la wauza bangi
@ShukranMwaja
@ShukranMwaja Ай бұрын
Mamaaaa mungu wangu tutetee hihii ninini unyama huo pole baba
@AsiaDismas
@AsiaDismas 2 ай бұрын
Kuna watu wanaonekana nchi hii ni Yao wengine wakimbizi si kweli jaman
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 2 ай бұрын
Jamanii Kaka yangu sugu watamuuwa Mara ya polenii Sana chedema mnachangamoto
@ManuuNgingo-cs3hx
@ManuuNgingo-cs3hx 2 ай бұрын
Inaumiza sana ipo siku mungu atawalipa machozi yenu hayataenda bure ipo siku mioyo yawalio Fanya hayo itanyamaza kimya mungu atalipiza kizazi Hadi kizazi
@fridahjohn1219
@fridahjohn1219 2 ай бұрын
Mungu awape macho ya rohoni polis na Mungu awape hofu yake moyoni na Mungu awasaidi kukumbuka kuwa mna watoto mnawazazi mnafamilia Mungu awasaidie sana
@BorySaronge
@BorySaronge 2 ай бұрын
Mbona hatuoni majeraha katika miili yenu wala hatuoni ni hosptali mliopelekwa au majeraha yenu ni ya ndani kwa ndani mtu aliypigwa ni sugu lakini nyinyi wengine ni wasanii mnatudanganya.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
We unaongea nii mlevii au we ujui kama walikamata adi waandishi jitambue ww
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
Hiyo ni comedy shows 😢😢😢😢
@MAALIMU
@MAALIMU 2 ай бұрын
Hivi uongozi wa kuiongoza nchi unakuja kwa USANII kwa staili hiyo. Mumedai Mnyika kaumizwa sana. HUKO ndo kuumizwa. Ukiwa umeumizwa vibaya lakini umeshuhudia hayo yote.USANII ULIOKAMILIKA HUO.
@evansthobias6460
@evansthobias6460 Ай бұрын
Bongo bwana unataka uone jeraha Kuna watu wanakupiga na huonekani kama umeumia
@rithaurassa
@rithaurassa 2 ай бұрын
Pole sana makamanda . KWANI police wanaunyama kias gan.MUNGU PIGANA NAO MAANA HII NCHI IMESHAKUWA YA WATU WACHACHE WALIOMWUWEKA MUNGU PEMBEN.ILA MUNGU ATAFANYA JAMBO JUU YENU.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 ай бұрын
Poleni sana ukombozi wanchi hii ipokaz haswa
@LailaLaila-r2j
@LailaLaila-r2j Ай бұрын
Poleni saana
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 Ай бұрын
Siku moja yataisha huyu Mungu ataonekana
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Ай бұрын
Duuuh😢😢😢😢😢😢duuhu hatari sana😢😢😢😢😢😢
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone Ай бұрын
Poleni sana watetesi wetu kiukweli mnateswa sana bila sababu
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 CCM Juuu....Samia miaka mitano teena chadema PGA teke kule🎉🎉🎉❤❤❤
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Utaona kama ita tokea ivyoo mume zoea kuiba ela mwakaauu kina wakaaa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
Kushabikia maumivu ya wengine ni upumbavu unaofanywa na wapumbavu ambao kimsingi ni wezi wa haki za wengine
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
uchi wa mamako
@evangelistfrank1911
@evangelistfrank1911 2 ай бұрын
Ipo sku moja utajua hii nchi haina haki kabla hujafa
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 ай бұрын
Hiki unacho kifurahia maumivu ya wengine kitakupat na wewe uone utakuwa ktk hali gani,usifurahie maumivu ya wengine Mungu akurudishie hayo maumivu na wewe.
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 2 ай бұрын
Mm ninaumia mno viongoz wa chadema mnavyooneawa jamn mpaka machozi yanitoka polen sana
@glorysungura3180
@glorysungura3180 2 ай бұрын
Yana mwisho hayo, ipo cku yatafika mwisho. Alikuwepo goliati, lakini leo yupo wapi. Kijana mdogo Daud alimshinda kwa kombeo. Nguvu haitawali dunia hata siku moja. Maongezi na makubaliano ni kitu cha muhimu sana, na ndio kinacholeta amani. Walikuwepo watawala wenye mabavu kama Idd Amin leo wapo wapi? Ipo ck dunia itasema.
@storytownTv
@storytownTv 2 ай бұрын
Asee..😢
@DaviMaiko
@DaviMaiko Ай бұрын
Yanitanzania saizi damuya mutu haina samanitena damuyawa nyama ndoyenyesamani saizi waporazi mutuafe siomunyama
@LameckZakaria-u9y
@LameckZakaria-u9y 2 ай бұрын
Mwamba vp anasema sikupata ucngiz adi chai unaomba mshukuru mungu aki ipo mbinguni acha ujinga
@gkanyanda1173
@gkanyanda1173 Ай бұрын
Duuuh...
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv Ай бұрын
Polesana
@MashakaMaduhu
@MashakaMaduhu Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@DevinusMabiba
@DevinusMabiba 2 ай бұрын
Niwapumbavu sana jesh la polc
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 2 ай бұрын
Bila kujua ccm inampiga teke chura inamuongezea mwendo safi sana yan baada ya hili tukio chadema imepaa viwango zaidi
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 ай бұрын
Hili pele limepata wakunajiii ,, shoti za umemeee😂!? Sura inatoka saluni hiyo😅
@alex_festo_haule962
@alex_festo_haule962 29 күн бұрын
Polen sana yatakwisha tu
@josie27697
@josie27697 Ай бұрын
Halafu wanasema ni nchi ya Amani hakuna kitu Tz ni nchi inayotawaliwa na ma decktetor wauwaji , wezi ..na mengi mengi
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 2 ай бұрын
Ukombozi unagharama kubwa
@HamidaAhmad-jd5zi
@HamidaAhmad-jd5zi 2 ай бұрын
Msitake huruma nyie pambaneni n yenu sisi tushazoea yetu. Kilamtu apambanena hali yake mimikiukwel simwamin mtu sikuhizi wote n walewale
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 ай бұрын
😂😂😂😂liongo hili umepigwa kweli wewe mnatufanya cc watoto et...Ila tupo pamoja makamanda had mtangulie kufa😂😂😂🤣🤣
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Boya ww mweu Kwan baba levo alivyoo pgwa na naizeee aliumia sem Gani uka paona ww choko jitambue Bandalii zime uzwa uko Bado ww2 kuuzwaa na matko Yako ayoo
@JosephKangungu
@JosephKangungu 2 ай бұрын
Haijawahi kupigwa hiki
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 ай бұрын
Acheni uwongo
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Jitambue ww au ndio wezii wenyewwee nyinyiii
@Mumewangu
@Mumewangu 2 ай бұрын
@@RomanMwinyi walifirwa hawasemi tu
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 ай бұрын
Uwongo wa hali ya juu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
Maigizo ndio kampeni kwao 😢😢😢😢
@joshualazaro1641
@joshualazaro1641 2 ай бұрын
Kwahiyo ndugu Mnyika unataka kutuambia kwenye harakati mnataka nguvu ya wananchi, kikinuka "wanachama wa kawaida" ndio waingie kwenye karandinga wewe upewe gari nyingine ya polisi!!?? Any way, nimeelewa.
@williammashine3405
@williammashine3405 2 ай бұрын
we bora mama ako angezaa kifaranga saiv tungekua tunakula mayai
@neemaisrael688
@neemaisrael688 2 ай бұрын
Poleni ila mlikatazwa mkalazimisha mtoto akililia wembe mpe mlikuwa mnatafuta Kiki .
@damiansanga232
@damiansanga232 Ай бұрын
What is this kind of democracy
@PharesMax-co6mk
@PharesMax-co6mk Ай бұрын
Msimamo wenu ni upi????
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO Ай бұрын
HIYO NDIO KAZI YA POLIS
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 2 ай бұрын
Yaani mmepigwa hata majereha hamtuonyeshi japo kidogo tuuu 😂😂😂😂😂😂
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 ай бұрын
Wew akil zako ziko matakon"hili suala nila kucheka kwel??
@EvodiusJohn-f9p
@EvodiusJohn-f9p 2 ай бұрын
Bado hamjasema😂, tatizo lenu n kupinga Kila kitu
@MariamuAdamu-r6r
@MariamuAdamu-r6r 2 ай бұрын
Ww ukiambiwa chutuma unachutama??
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 Ай бұрын
Jmn mbn Rais wetu anajifanya mkarimu kumbe niatali ???? Najiuliza maswali ata cpati majibu mbn watu nimaktili hivi????😭😭😭😭😭 Mungu fanya jambo hawa maaskali wakutwe jambo gumu nafamilia zao ili nao watoe machozi
@katunzikamara7989
@katunzikamara7989 Ай бұрын
kweli kabisa devotha Mungu akawafanyie ivyo nao waonje aise Wana umiza watu Sana lkn dam yamtu haitamwagika bure itanena juu yao na famiria zao Asante Mungu kwakutujibu maombi yetu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 ай бұрын
Kwakua siasa ni gulsa, unaweza kupigwa short ya umeme usiwe na jeraha hata 1?
@PaulinaNyanzalashija
@PaulinaNyanzalashija Ай бұрын
Sio
@kassimhamis-rs8lq
@kassimhamis-rs8lq 2 ай бұрын
Tushawazoea nyie hatuwapi nchi
@kalungamabrucki61
@kalungamabrucki61 2 ай бұрын
Acheni uchoko nyie mnatengeneza mattukio ili mpate kiki hamna jipya
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Wenyamazatu bana bakitu na uchawa wako mwenyewe
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
We kuma jitambue kumawewe bandali Zina uzwa uko nenda bandalini kama we tz uone unavyooo kimbizwa kumaweeee
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
@@RomanMwinyi mweleweshetu matusi yanini? Sasa
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 ай бұрын
Wenikuma kwel kumalamaako watu wamefanyiwa tukio kwel nadunia umeona ww ninani Ambae unatuaminisha Kuma wako kama huna koment kaa Kimya
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 ай бұрын
​@@robertphilip385wenaw tulia Kuma ww kwan yeye hujaona kama katukana choko ndio nn we unaijua maana yake
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 2 ай бұрын
Wananchi tuko macho
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
hampo juu ya sheria lazima mtii sheria bila shuruti,mmeona hamsikiki tena,matafuta upenyo ili mjulikane mpo!!
@NaomiMwampondele
@NaomiMwampondele Ай бұрын
Duu pole nchi hii mbona nihatarii
@OmaryMakange
@OmaryMakange 27 күн бұрын
Taarifa ya mtu aliyetekwa akiwa kwenye gari la abiriya
@AsiaDismas
@AsiaDismas 2 ай бұрын
Ni uonevu sana naunyanyasaji mkubwa
@bonicurtius8108
@bonicurtius8108 Ай бұрын
Poleni ila mtii mamlaka iliyopo
@abubakaranwar337
@abubakaranwar337 Ай бұрын
Da Hawa asikari wataingia motoni moto wa milele
@SeciliaKasian
@SeciliaKasian 2 ай бұрын
Mimi naomba mwanangu asije ingia katika kazi ya polisi siokazinzuri nikazi ya laana
@MaryLee-sh4nd
@MaryLee-sh4nd Ай бұрын
Mimi ninahofu ya MUNGU kwakweli naumia . naachana nachama kinachotesa watu nakumwaga damu zawatu. nisijeletea kizazi changu laana nimetoka ukotokea leo.
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli 2 ай бұрын
😂😂😂😂 chadema bwana Baki njia kuuu
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 2 ай бұрын
Hii inchi vita lazima iwepo tu
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 ай бұрын
@@mwitamalwa2773 subir watoto wako wakikua utawapeleka vitan
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 2 ай бұрын
Nyie viongozi wa chadema mumezidi upole na mutaendelea kudundwa wanajua wanawaweza
@ndakichuwa7618
@ndakichuwa7618 2 ай бұрын
Sawa bana ila mwisho wa ubaya ni fesheha
@HamisShaweji
@HamisShaweji 2 ай бұрын
Jiepusheni na Matatizo yasiyoyalazima
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone Ай бұрын
Inauma kweli hivi tz kuna mapolisi inchi hii so sada
@athumanitanu2663
@athumanitanu2663 2 ай бұрын
Kama vp mtuu mbili,, tumezoeaa sanaaaa…
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Ай бұрын
Police wa tz ccm na sio kurinda raiya na mari zao wao wanairinda ccm...kwan jana warikamata raiya hata awana makosa na wadhishi wa habari ata erimu yao sjui wamesoma wap..na hii sheria ya kukamata watu na kupga inatoka wap
@kulwastima3993
@kulwastima3993 2 ай бұрын
Wakamata wezi ndo wezi wanajifanya walinzi wa amani kumbe wezi wa simu😂😂😂😂
@VivaSmart344
@VivaSmart344 Ай бұрын
Wanaoomba waonyeshwe majeraha ndio majambazi wenyewe hao.
@rithaurassa
@rithaurassa 2 ай бұрын
Mnao tafuta majeraha ni chakula au ni unafiki wabaadhi waonaohujumu hii nchi.Iko ck kitawatokea puan hakuna kisichokuwa na mwisho kifo kipo palepaleee!!!!
@nathanmmasi3890
@nathanmmasi3890 2 ай бұрын
Iko siku Mungu atalipa kila chozi maana wapumbavu wamekuwa wengi sasa ila tu umiya nao ukumtaani polis kwanini wanajichukuliya shiriya mkononi mwishoni ihi laana inakuja kusumbuwa familiya zaho
@NuruEria
@NuruEria 2 ай бұрын
Nchi hii jaman!! Polisi ipo siku tu mkae mkijua
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 2 ай бұрын
Huwezi kujua mpaka uingie mikononi mwa polisi
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Ай бұрын
Ila jmn police waa tz wabaya sana
@EmmanuelSimon-c4x
@EmmanuelSimon-c4x Ай бұрын
Kula yangu mnayo
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 2 ай бұрын
Mnasubiri Uchaguzi ndo mnaanza hekaheka
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Mungu akupe nguvu, akulinde, akuponye majeraha yako. Nchi inakuhitaji. Mayesi uliyoyapitia na unayo yapıtız ndio ushujaa na uongozi unaohitajika. Nchi hii ni ngumu sana hapa tulipopafikia. Amani Tanganyika itawale sana.
@stevensteven4513
@stevensteven4513 2 ай бұрын
Kilicho baki nikuwakodi tu GEZ maana CHACHAMA Wamezidi 😂😂😂
@yolandachuwa5554
@yolandachuwa5554 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂nacheka kama mazuri ,,,poleni
@popawiz5481
@popawiz5481 2 ай бұрын
Duu wazee wamepita hadi na simu hatari sana
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 ай бұрын
Wewe huna madhara kwenye taifa hili ila hawa wanautumiwa na maabeberu jitoe huko
@ElvisMulenga-j5w
@ElvisMulenga-j5w 2 ай бұрын
Hawa watu ni waongo wanataka wawafukuzishe mapolisi kazi
@JosephKessy-qb4pu
@JosephKessy-qb4pu 2 ай бұрын
Yani kuna watu watu wanaandika Coment kisenge tu acheni kushabikia ujinga kwahyo mnaona polisi wanafanya sawa hii nnchi ni yao
@wisdomfolks
@wisdomfolks 2 ай бұрын
Wamenunuliwa hao wala usiwawaze
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO Ай бұрын
SASA MBONA HAMJAONYESHA MAKAMANDA WENU
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 2 ай бұрын
Hata wafanyeje sio rahis kupindisha haki ya wengi mana siku ya uchaguzi rais wetu ni mmoja tu na tunamjua ni nani muda utaongea
@sytras_beatz
@sytras_beatz Ай бұрын
Police CCM 😔
@eliambowe2576
@eliambowe2576 Ай бұрын
Police wanahiba had simu
@DevinusMabiba
@DevinusMabiba 2 ай бұрын
Awana akili wenye rungo hao
@reginapatrick2942
@reginapatrick2942 2 ай бұрын
😢
@IssaMwakifwamba
@IssaMwakifwamba 2 ай бұрын
Wasikupandishe wenani 5:08 5:09
@thabit5775
@thabit5775 2 ай бұрын
Jamani chadema kura nawapa
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 13 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 25 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18