TUNAPIGWA VITA NA MASALAFI | TUSILETE USELA MAULIDINI

  Рет қаралды 6,932

Tadhkira online tv (world_wide)

Tadhkira online tv (world_wide)

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@SwaleheRajab
@SwaleheRajab Сағат бұрын
ALLAH awaongoze kwenye haq muache bi daaa zenu na. Kupigia watu midumange usku
@MALELEMBARIMO
@MALELEMBARIMO 5 күн бұрын
HUYU MZIWANDA KUNA KITU KIMEMBAKISHA KWENYE USUFI ILA HANA MUDA ATAINGIA USALAFINI...... NA ATAACHA MAULIDI MAANA YUPO SMART SANA KULIKO WALE VIPORO VYENGINE. ALLAH AZIDI KUMUONGOZA YEYE NA SIE❤
@mwarabuwalibyaaboubakar01
@mwarabuwalibyaaboubakar01 6 күн бұрын
Allah akuongoze Sheikh, uijue na uitambue vizuri salafiyyun
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 7 күн бұрын
Sheikh pekee wa kisufi ambaye anafuatiliwa sana na watu smart Allah akuongoze kwenye usawa uifate manhaj ya Haki
@brothermansoor1791
@brothermansoor1791 6 күн бұрын
Amiini
@abuidifundi2016
@abuidifundi2016 5 күн бұрын
Umemuelewa au hujamuelewa
@shekhabbasisharifuonlinetv5990
@shekhabbasisharifuonlinetv5990 7 күн бұрын
Huyu shekh amezungumza kwa hekma sana ALLAH AMPE MWISHO MWEMA AMLINDE AMHIFADHI NA KILA UBAYA
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 7 күн бұрын
ameen
@NasriSaidi-s4h
@NasriSaidi-s4h 5 күн бұрын
LEO NIMWEMUELEWA SANA KUMBE USALAFI NDO HAQ NFOMANA TUNATAKIWA TUJITAHIDI TUDILETE MCHEZO WATATUSEMA
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 7 күн бұрын
hii ndo Haq umezunguza leo masufi mmezidi kiukwel kabisa ALLAH akuongoze ktk haq
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
nyinyi hamzid hasad
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 7 күн бұрын
@@darajanida hata firaun anamaneno kama yako Alhamdulillah 🤣
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
@@jumanneissa8226 hapo unazid kudhihirisha uwadui wako dhidi ya waiskan wazako na ukifa na msimami huo lazim ujute siku ya kiama
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 7 күн бұрын
Nyinyi nimujassima tuponanyi mpaka kieleweke
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
@@jumanneissa8226 manenno hayo unazid jujidhihirisha kuwa wewe una chuki na waislam wenzako
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 5 күн бұрын
Usidanganyike na hayo anayo ongea mziwanda. Mziwanda anajitambua. Hato ingia usalafi. Kwenye usufu mkono unakwenda kinywani vizuri...na kupewa misifa na masufi
@FatmaaMussa
@FatmaaMussa 19 сағат бұрын
We na mmoja ya wajinga hutazingatiwa
@IsmailMasule
@IsmailMasule 2 күн бұрын
Ayo mavitambaa mmejufananisha na wakristo na mayahudi
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 7 күн бұрын
Allaah akujaalie uwe salafiiyun
@bagalucha
@bagalucha 6 күн бұрын
Nampenda Sufiya Mziwanda ,anasema ya kweli lakini hayafuati.
@FatmaaMussa
@FatmaaMussa 19 сағат бұрын
Yaani aseme ya kweli afu asifate ww unamaanisha afate uwahabi ndio ummpende Kwa sbb hafati uhabi hata km anasema kweli huwezi kumwelewa Kwa sbb sio muhabi ww fala kweli yaani
@bagalucha
@bagalucha 17 сағат бұрын
Tatizo lenu mmeingizwa katika usanii,Kwa Mwenyenzi Mungu na kitabu chake ni kufanya mchezo,na hayo yapo wazi,sasa anajisema mwenyewe,na sisi ni wa Al Wahab ,tunamuabudu na tunamtukuza alivyoelekeza yeye,
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 7 күн бұрын
nakupongeza kwa manane yako ya mwisho allaah akuongoze Maneno yako ya mwisho kwa atakae yaelewa atabadilika na kuona maulidi ni uvundo na sio dini
@jambu966
@jambu966 5 күн бұрын
Huyu sheikh ana elimu na marifa ana waponda watu wamulindi life life.
@bagalucha
@bagalucha 6 күн бұрын
Mkikabwa mnafungwa,mkicheza vizuri mnakula 5.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 7 күн бұрын
Kichwa cha habari cha kinafiki rekebisha kichwa cha habari
@aishathabit3732
@aishathabit3732 7 күн бұрын
Mziwanda neno manaatwمناط sio ilaعلة pitia tena vizuri akhui
@Kan332
@Kan332 6 күн бұрын
Wewe ndio hujaelewa
@RaghibJulaybibi
@RaghibJulaybibi 7 күн бұрын
Bahamian mbaya ujumbe mzito lkn unatolewa kwa wasioelewa na Mahali sio pake
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 7 күн бұрын
Aya ya 65 sura tul maryam
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 7 күн бұрын
Tunaomba mutoe dalili ya aqida3
@aishathabit3732
@aishathabit3732 7 күн бұрын
Na ukijipendekeza kwa watawala wanao hukmu kwa sheria za kikafiri na wewe siku ya qiyama utakuwa nao
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 7 күн бұрын
Maulid sio dini ndio maana unafanyika ushenzi Ukishakua mzushi lazima kuna kitu kichwani hakiko sawa ndio
@majaliwaking4500
@majaliwaking4500 6 күн бұрын
Wazaa haramu au sio
@RaghibJulaybibi
@RaghibJulaybibi 7 күн бұрын
Mpaka mseme yule Mudiru wa Tanga kawaambia masufi wenzie elimu kipaombele sio madufu nyimbo pekeeeee
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 7 күн бұрын
Ghurafi mziwanda
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 7 күн бұрын
@@pavillioncry5241 waabudu mungu mi3 muposalama الله awaongoze ktk haqqi
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 7 күн бұрын
Mtasema2 ahalulbida'a
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
watu wa bidaa ni nani
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 7 күн бұрын
@@darajanida Wanajijua haina haja ya kuwataja
@darajanida
@darajanida 6 күн бұрын
​@@AlmasAbdallah-r3guoha.uo.watjaje kama unajieza
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO 7 күн бұрын
Pamoja na hiyo qur, an ,, ilosomwa hapo, pia ,, uvundo,, swla za mtume,,, mawaiza yanayotolew hapo,,, yote uvundo,,, pia maan ndo yafanywayo maulidini,, au sivyo
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 7 күн бұрын
Mtasema2 bado hapo mtaelewa.
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
unamanisha nini
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 7 күн бұрын
@darajanida kama ulivyoelewa
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
​@@AlmasAbdallah-r3gmimi nawona hamna la kujitapa hapo au ndio lile kirusi cha kiwshabi kina kusumbuwa
@MAULIZOALLYHASSAN
@MAULIZOALLYHASSAN 7 күн бұрын
Hivi nyie wenzetu mnao jitolea kuwatukana masheikh kwa kuwaita majina ya utovu wa adabu kama vile khurafi ndivo mnavo fundishwa na walimu wa Dini au ni walimu gani hao wanao wafundisha matusi hayo,
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 7 күн бұрын
Anakusudia maulidi ni upuzi yanaharibu dini​@@darajanida
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 4 күн бұрын
Mnapigwa vita au mnaeleweshwa mambo ya kijinga na ya kipumbavu mnayoyafanya nyinyi masufi?
@FatmaaMussa
@FatmaaMussa 19 сағат бұрын
Mawahabi ni wapumbavu mtu mwenye akili timamu anawapuuza
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 5 күн бұрын
Nyinyi mnajipendekeza na mashia...mtakuwa nao pamoja
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
yani.mawahabi wakitajwa watu wema hufkiria ni wao
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 7 күн бұрын
@@darajanida mziwanda anajua anacho zungumza sio wewe mbumbu mzungu wareli na mwanafunzi yoyote najua kutofautisha sarafi na masalafi bado wewe kapuku ila utaeliwatu siku moja sasa sjui amiziwanda anakusudia watu wema waliopita ndo wanawachpa masufi sasa tujiulize kama walisha pita mziwanda wana radd wakiwa makaburini ? duuuh ujinga mzigo
@lusupi
@lusupi 7 күн бұрын
⁠@@jumanneissa8226akhiy muelimishe kwa njia nzuri bila matusi na kejeli Allah ndo mjuzi zaidi
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 7 күн бұрын
Bado huhasema utasema2
@darajanida
@darajanida 7 күн бұрын
​@@jumanneissa8226wewe huna uelewa mziwanda anazungumzia kasoro zilozoma katika.baadh ya maulid ndio mana akasema tunafanya vizur tunasenwa je tukifanya vibaya itakuwaje halafu mwanzo ndio kazungumza kuijfaninisha na watu wema nyinyi mkzani ni nyinyi hamna nyinyi ni mawhabi na kikundi chenu kina sifa.za kikhawariji wala hamna sifa za watuwema hata chembe na uelewa wenu mbovu huo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 күн бұрын
Kapu la uninga lishushe. Ewe. Sufi ​@@AlmasAbdallah-r3g
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
TUNASUBIRIA AUDIO WALIOIFUTA YA SHEKH QASSIM  KUHUSU PICHA  #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
26:30
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 4,1 М.
Sisi Sote Ni Masalafi || Sheikh Muharam Mziwanda
7:43
Noorlhuda Islamic School
Рет қаралды 687
ISHI HIVI UTAFANIKIWA || SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED
32:08
امة واحدة ONE UMMAH
Рет қаралды 44 М.
DHULMA NA UADUI ALIYOFANYIWA SHEIKH ABUL FADHIL KASSIM MAFUTA ALLAAH AMUHIFADHI
8:37
USALAFINI KWETU ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 132 М.
WIILKII CANADA LASOSHAYGAY IN UU ALSHABAB AHAA 🇨🇦 DAHIR ALASOW HANNA
23:35
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32