Ustadh eleza kwa njia nzuri .....Kuna watu wakifanya jambo huambatisha na Dua.... Kwanza SI lazima eti ukisoma khitma utie ubani ama ni lazima kuwa na Haqq kwa kuzungumza
@tabutabu890026 күн бұрын
Nisha kuelewa sheikh ALLAH akuhifadhi inshallah 🤲
@ShuaibukandageАй бұрын
Allah akulipe kheir na akuongzee uahamu ktk din
@ESHAMWAKIVUMBAАй бұрын
Katika vitu umeongea yaani umeongea mambo ya msingi sana aliye na akili ataelewa mungu akuzidishie kher inshaallah
@AmynerNeph25 күн бұрын
Yarabii akuondolee kila Shari na utuombee duaa daima
@MalikAbdul-w2w25 күн бұрын
Nimekuelewa vzr shekhe
@HajiKabacalaf-kv7fdАй бұрын
Barakallahu fikum sheikh
@ramadhaninyamwelu577227 күн бұрын
Asalaam aleykum Shekhe. Hapo nimekuelewa
@mikidadikipingu378220 күн бұрын
Tumekuelewa
@buheroKoziАй бұрын
Sheikh Shukran
@SuleymAlly18 күн бұрын
Ni vizuri wakaulizwa wafanyaji wa dua na ubani pengine litapatikana jibu zuri kuliko akijibu mtu asietimia ubani mana kila jambo lina watu wake
@ramanizanyumba30152 күн бұрын
kweli akhy
@AbdunnoorSulyman27 күн бұрын
Ahsante sana sheikh
@MohammedMohammed-gp9xqАй бұрын
MASHAALLAH ustadh absolutely right ALLAH BARIIK.
@salimabdallah5176Ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@azubatissa2489Ай бұрын
MASHAALLAH
@salamabakari83845 күн бұрын
Ubani unaondoa harufu mbaya pale umaposoma dua
@Hussein-l6vАй бұрын
saaf sana shekh nakukubali hebu waambie tatizo watu hatk kusoma
@AbubakarallyRajab27 күн бұрын
Shekh umeeleka sana Allah atuhifadhi awahifadhi mashekh zetu kama nyie
@AnifaBrahim-tb1ndАй бұрын
Alhamdulillah
@bamdogokiki148626 күн бұрын
Nxhi inauhuru mwingi sana. Hivi Dua ya mmoja na Dua ya wengi ipi bora?
@OfficialA8364029 күн бұрын
KIAMA KIMEFIKA KILA LEO MABADILIKO KWENYE DINI YAMEZIDI EEH MWENYEZI MUNGU TUSAMEHE WAJA WAKO KILA TUNAPOENDA KUSOMA DINI KILA MWALIMU ANA MAFUNDISHO YAKE HATUELEWI TUSHIKE LIPI SUBHANNALLAH 😢
@NadhiraNa-vm5hs26 күн бұрын
Wewe unaelimu ya kiasi gani kama ujui kaa kimya utakufuru kwa ajili ya Allah lkn
@mikidadikipingu378220 күн бұрын
Hakuna kinacho badilika. Ni sisi atujasoma dini. Ila tumekalilishwa
@Yu-jr9uf4 күн бұрын
Ukiwa bado ni mwanafunz usiwe mwepesi kuharamishq walq kuhalalisha wasikilize wàjuzi wenye kuongea kwa dalili,,, KUMBUKA Msingi wa dini ni dalili!! fanya matendo na qauli zenye dalili TU utasalimika!!
@aliabdalla92972 күн бұрын
Kila jambo lina elimu yake wakati mwengine suali nalo linapelekwa pahala pasipo sahihi labda tu kwa vile Sheikh hakubali mambo fulani kwahiyo moja kwa moja atapinga tu
@kassimumikdad1611Ай бұрын
Wewe unaye laumu na kwamba sheikh, kakosea hebu toa maelezo yenye ushahidi kuhusu ubani na dua, kweli hizi niza ambazo muongo husadikiswa na mkweli hupingwa, hatari sana hii.
@nurumohamed552326 күн бұрын
@@kassimumikdad1611 na hatari zaidi ukileta ushahidi kuwa dini haina you tube. Ndio maana tunaishi au WOTE TUMESHIRIKI KUONGEA AU SHIRK KWA WOTE NA YEYE KIONGOZI
@AnswarYussufАй бұрын
Dua zetu hazibebwi na moto na ubani.
@muktarkassim664728 күн бұрын
Hiyo kutia ubani na kuambatanisha na hiyo Dua ya Alfatiha....umeelewa kwa njia isiyo ya Haqq
@TaadudTaadud23 күн бұрын
ubani sio shirki ubani ni mazhebu tu na mila ila unavoutaka uwe shirki itakua hukutaka wala haitokua shirki ila ubani hauna tatizio lolote jamani
@WadimuharamiAlly29 күн бұрын
Wengine sheh hawajui kusoma pia hata wewe unaweza kuomba dua isifike hiy ni siri ya mungu toa elimu vizuri sheh
@kifandenabil5 күн бұрын
Haha pambana na hali yako ndugu,kakae chini usome dini,la si hivyo utachomewa ubani urushiwe na mchele au hujayaona hayo yakifanywa ndugu.
@abdalla8193Ай бұрын
HAKUNA UBAYA KUMUOMBEA MTU DUA HATA MTUME ALIOMBEA WATU DUA
@SaidSeif-d4yАй бұрын
upuuzii. na UPUMBAVU.. innamalamalu binniyat .. ifuteni hii qauli...
@ZakiaJumashaaban24 күн бұрын
Dua ya pekeyako nibora zaidi
@DhahabuAlly-u3l9 күн бұрын
Uongo
@hamisikeneth2332Ай бұрын
Ubani autumnal masharifu
@saidimurisa460021 күн бұрын
Kasome tena mzee sitwajua lengo lenu
@mikidadikipingu378220 күн бұрын
Mche allah
@mikidadikipingu378220 күн бұрын
Anasema kweli
@kifandenabil5 күн бұрын
Haha kwaiyo unataka tuendelee kuchoma ubani kama kawaida au vp tuelezee vzr hapo ndugu.
@malikjumaa-i1h20 күн бұрын
Kiukweli hata ktk akili tu ya kawaida bila hata ya kutafuta dalili hili swala la ubani na moto ndio usome dua halipo sawa na wengi ktk waislamu tunaendelea kulifamya na hata ukiuliza jibu hulipati.
@RaimamomedSaide3 күн бұрын
Itikadi izo ubani ,nawasojuwa nini maana yake ,na maranyingi wanaotumia ubani niwaganga wakishirikina.
@hajiabdalla5772Ай бұрын
Kwenye duwa hakuhitaji ubani wala udi hizo ni mila za kishetani wale mafrimason au kule itali makanisa makubwa au wanaowabudu masanamu ndio wanatumia hayo kwa ajili ya kuwapa heshima mashetani
@RajabJr-r6yАй бұрын
Usiseme jambo bila kuwa na elimu nalo ili ucje ukawa na fikra za kilikole ama kisalafi atakuja kujikuta unaharamisha mpaka matumizi ya dawa za homa utasema ni ushirikina maana Mungu yuko sasa kwnn usienue mikono kumuomba yy badala yke unakula dawa inamaana humuamini 😂😂😂 kumbe sio ivyo bali uzuri ama ubaya wa jambo huzingatia nia iliyomo moyoni mwako na ndio maana Nabii Zakaria wakati anamuomba Mungu amruzuku mtoto alitumia moja kati hivyo vitu ..soma vitabu vya kale utaona
@OdongoAhmedАй бұрын
Ah santesana jazakumllah
@brysonbryte3717Ай бұрын
Acha uongo wew shetani na harufu nzuri wapi na wapiwakt shetani makzi yake ni chooni. Tatizo hamtaki kusoma ndo mtajaziwa na yasiofaa kwasasa hiyo ni dini mpya haina tofauti na walokole
@AminaNdayizeyeАй бұрын
😂😂😂nimecheka sana ibilisi anatawala sehemu ambako kuna uchafu alafu ubani uko aina nyingi sasa vitu vingine tumuachie Allah sio mtu kutoa mafunzo ambayo hayana dalili yoyote ubani maka unafaida gani?
@OmaryBakariOmary-ts3mfАй бұрын
Swadakta
@azaomar930226 күн бұрын
Naaam shem wangu majibu yko yamenikosha shana
@Aed12629 күн бұрын
😮
@mrcembo7473Ай бұрын
Aahj kwahiyo kuweka ubani ni sawa ila ttzo Alfatiha si ndo ivo
@b.truthful28 күн бұрын
Sikiza vyema utaelewa
@suleimandaudsuleimanАй бұрын
Shirki
@JumaSalmuАй бұрын
Anae juwa zaidi atujibu basi
@MamboYesАй бұрын
Nenda kwa masheikh wa maulidi ndio mmezoea kuweka ubani
@OfficialA8364029 күн бұрын
@@MamboYesSio Uislamu huo mbona mnapenda kuyumbisha maamuma nyie
@baqirmkilindi9369Ай бұрын
Shkh qias yako ni battil... Fikiria sana.
@ahmedhassan2619Ай бұрын
We yakwako ina usahihi gani , mnajikuta mna eliiiimu kumbe hata robo ya unaempinga hujafika
@memaclaudi-qz4tq16 күн бұрын
MMEKOSA SHEKH HUMO HAMNA SHEKH TAFUTENI SHEKH BADO MAPEMA KABLA HAKUJACHA MTAUMBUKA AIYO AHUKUMU YEYE ASEME HAJUI
@RamadhaniMohamedi-de2vcАй бұрын
Mmmh hapo kwenye kulipana hapo nishida hapo sasa kamaposho sindomalipo shieikh mana kunamajambo mengine yanaukumiwa kutokana na wakti tulio nao kwani uyo anaesoma dua akapea pesa sio rizki sijaelewa sheikh wangu nieleweshe vizuri.
@mohamedkeref9589Ай бұрын
Shekh soma kwanza kuna vitu vingi humu unaongopea watu hivyo jitahidi usome na kisha ujibu maswali ki ilmu na si kwakutumia utashi hapa unatumia utashi
@abubakarmwasumilwe7070Ай бұрын
Toa dalili na wewe
@omariaman7818Ай бұрын
Huyu sheikh ni mwanasheria wa kiislam huenda hata robo ya elimu yake huna
@ahmedhassan2619Ай бұрын
Mkishasoma elimu ya kuweza kuchamba chooni basi mnadharau kila mtu acheni upuuzi
@RahmaYusuph-y1m29 күн бұрын
Ukweli ni mchungu hua mkiambiwa ukweli hamtaki kukubali nenda kasome kwanza kabla ya kumwambia shekh akasome.
@abdallaabdalla4416Ай бұрын
As alkm sk hujaweka wazi kabisa. LKN NAULIZA Haina shaka kuwaombea Dua marhum pia kusoma Quran unapata daraja wewe msomaji LAKINI KUWA thawabu nilizopata nampelekea Fulani hapa si sawa MIMI napeleka vipi na huulizwa mnampa AUmumempelekea tena ni mwisho hebu tupe usawa
@abdallaabdalla4416Ай бұрын
Kwa Nini mashekhe wetu munapojibu hamuelezi kile kiini hasa na watu wanapinga AU wanakubali Nini na ukweli ni upi Kwa ushahidi upi mnapita juu juu na kutuacha tusijua tusijua zaidi
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
MAJIBU YA THAWABU ZAKO KUMPA ALIOTANGALIA KUNA HOJA NYINGI, NI SAWA KABISA KUMPA ALIOTANGULIA THAWABU ZA HIJJA YAKO AU THAWABU ZA SADAQA UNAYO ITOA YOTE YANAMFIKA KWA DALILI SAHIHI, KINACHOMFIKA SIO SADAQA ULIOMPA MTU BALI KINACHO MFAA NA KUMFIKA NI THAWABU ZAKO ULIOMPA MTU SADAQA ANAPEWA YEYE IWAPO ULIMTILINIA NIA KWASABABU MTUME SAW AMESEMA KILA KITENDO UWAMBATANISHE NA NIA NA ITAKAYO POKELEWA NI ILE NIA YAKO. NDIO KATIKA JAMBO LOLOTE TUNASHINDWA KUHUKUMU MPAKA UJUE NIA YA MTU SIO KUKURUPUKA. MTU ANATIA NIA AKISHA MALIZA ANASEMA UFUMBUZI YAANI FAATIHA KUANZA KISOMO KINACHOKUSUDIWA KWA JAMBO HUSIKA NA UBANI UNAWEKWA KWA MAANA TUMEFUNGUA DUA YETU NA MANUKATO HAYA KUHUSU TASHKHISI WENGI NI WEHU WANAPOKOSA ELIMU HAWAJUI WANAANZA KUPONDA NA WANAONA HAYA KUULIZA KWA KIBRI CHAO, YAANI DUA KWA VITENDO NA ISHARA BAADA YA NIA, UBANI NI MANUKATO NA ISHARA PIA YA UFUNGUZI ATA KATIKATI YA DUA HUONGEZWA ILA MFUNGUZI WA DUA AFAA KUFUNGUA KILA KITU MWANZO NDIO ADABU, SIO UBANI UNAFUNGUA KUTIA WEYE HIO SIO ADABU NA KUKOSA ADABU HUYO MWENYEZIMUNGU SW AWEZA AKAKUPUUZA PIA. NA KILA MANUKATO YANA ISHARA ZAKE KIROHO ، MTU HAJUI ANAONA AINGIE U TU BE AROPOKWE TU SIO KATIKA ADABU ZA WAISLAMU.
@MatelefoneMustafaMatelefoneАй бұрын
Mashallah
@allymanyika3502Ай бұрын
Kwa wale wapenda maulid na mahitima nawaona vile wanavyokuja na mapovu utadhani wanayo ilimu ya kumshinda huyu sheikh mwenye madigrii ya dini ya uislamu
@mohamedkeref9589Ай бұрын
@@allymanyika3502 😂😂😂😂madigree ya elim umempa wewe wakati mtu mwenyewe mweupe huyo shekh anajibu hoja kwa hisia badala ya kujibu kiilmu mbona ajibu pasina msingi wa dalili kwa mjibu yake halafu unasema ana elmu
@AusiKindumboАй бұрын
Ubani bila moto hauwaki toa aya au hadithi sahihi uharam wa ubani na moto jibu unatakiwa kujibu suali kielimu sio kwa fikra na utashi wako toa aya au hadithi shekh toa jibu.
@lusupiАй бұрын
Wewe tunaomba aya au hadithi inayoongelea ubani
@nevermind4789Ай бұрын
Sasa atoe hadithi kwani mtume alitumia ubani kwenye dua?
@AyzalRicco-mi6iuАй бұрын
Akili zako zipo matakoni baada ya kichwqni 🤔
@abuu-hafsahsaleh-wx1suАй бұрын
Wewe unaushahidi wa kua unafaaa unayo aya au hadithi
@SaidJuma-y1v25 күн бұрын
Na wewe toa aya na hadithi ni wapi moto na ubani unaruhusiwa
@SophiaJumbeeАй бұрын
Wewe kidogo unashida ktk uelewa wako wa kielimu
@ahmedhassan2619Ай бұрын
Wew unaelewa vp hebu tupe uislamu mpya ukoje
@nellyhortensia240728 күн бұрын
@@ahmedhassan2619😂
@hurulaainmalkiaaisha150827 күн бұрын
Kila kitendo kinatokana naa nia
@AimanHazar-k5o29 күн бұрын
Sio kuchoma ubani
@rashidkhaflan408029 күн бұрын
HOYO MAMBO UNAYO YASEMA MBONA HAUTOWI AYA YA QARAN AWO HADISI YA MTUME MTUME HAKUFANYA WALA MASWAHABA
@mixhacute137528 күн бұрын
Iyo simu unayotumia kutype wewe mbona hutupi aya na hadith kama ilithibit mtume alitumia
@brysonbryte3717Ай бұрын
Sheikh hapo unapotosha watu coz hata Mtume wetu alipenda harufu nzuri sasa ubani inakuaje usiwe na harufu nzuri kuchima ubani sio kwaajili ya kutoa harufu mbaya kwenye miili ya watu bali wakti wa kusoma dua huwa malaika na maruhani huwa wanahudhuria ktk ibada yenu na ndo maana ukaambiwa piga mswaki kbla ya kusali ikimaanisha haitakiwi harufu mbaya yyote
@MusaYusuphu-y2lАй бұрын
Suala ni kwamba kwa ujumla moto na ubani hauna mahusiano yoyote na dua.wewe mwenye kukoment kwamba sheikh amekuchanganya. wewe ndio umechanganyikiwa.lakini yeye amejibu vizuri.wewe unataka akujibu unavyo taka?.au unataka akujibu moja kwa moja kwamba ni bidaa?
@alhadajjmohammedsmith90425 күн бұрын
Ubanni Unaweza Kutumika ktk Kukafini Maiti/Wafu Kuondosha Harufu na si ktk Dua 🙌
@RamadhaniMwachonjeАй бұрын
Wee pia ni walewale wenye ilim isio na faida kwa watu bali ni mawaaidha yenye kupondana
@MariamjodiwaMsuma27 күн бұрын
WATU WA KHITMA NA AROBAINI WANATOA POVU SANA ILI KULINDA WANAYOYATAKA
@nurdinmfamau3493Ай бұрын
Kama Sheikh Au Kiongozi Unapoulizwa Swali Silazima Ujue Namna Yakujibu Laa Haujui Nibora Kutokujibu. WALLAH AALAM. Kwasababu Hakuna Ulazima Wakujibu Kila Unaloulizwa.
@JamalkishanguАй бұрын
Kukaa kimya ni bora kuliko kujibu swala lisilo kuwa na maana.
@badrudiniabdulkarim105928 күн бұрын
Mimi ni mwanafunzi nasoma kwa watu wa twariqa mpaka hivi ila kuna mambo yanafanywa na watu wa twariqa siyakubali tena kwa vitabu hivyohivyo nilivyosomeshwa na walimu wa kitwariqa miongoni mwalo ni hili la ubani silikubali kattwwu
@samorajama8833Ай бұрын
Hizi ni IBAADA zan kimajusi za moto. Yooote haya ni njaaaa
@brysonbryte3717Ай бұрын
Kama wameweza kupinga maulidi ya kuzaliwa kwa MTUME (S)itakuwa ubani mii naona kila mtu afuate imani yake
@AimanHazar-k5o29 күн бұрын
Ubani ni harufu tu...kunukie
@mohamedguveti5372Ай бұрын
Vipi kwa nabii Ibrahim,,yaani sheikh ubani una maana yake,,hata makanisani hutumika mimi najuwa hata mtume alitumia,,rudi kwenye kitabu 😂😂😂😮
@abuhanifa5114Ай бұрын
Kitabu Gani?
@hamidudigogo5863Ай бұрын
Yani kila kitu ushikikina hizi habari ???? Mimi nina swali langu ila natafuta sheikh tukutane sura kwa macho
@AllyKidukaАй бұрын
Kasome kwanza hujui
@azizaali8506Ай бұрын
We unajua tufundishe eboo
@ahmedhassan2619Ай бұрын
We umesoma wap mwenzetu,
@samorajama8833Ай бұрын
Dua kuambatanishwa na dua dalili ni ipiiiiiiiii
@TangaboyMadiny21 күн бұрын
Shekh ametoa elimu, na ww unaye ona sisawa, naww kasome uje utuupe elimu siouna kossowa wakati hujuwi chochote wahabi?
@abdalla8193Ай бұрын
SK UBANI SIO SHIRKI NI KUONDOA HARUFU MBAYA YA MKUSANYIKO WA WATU NA HATA MSKITI WA MADINA WANAFUKIZA NA SIO MBAYA
@abubakarmwasumilwe7070Ай бұрын
Kwn pafyum hazipo..!
@hajjisanga78920 күн бұрын
Ubani kashasema ni kuondoa harufu mbaya ktk mkusanyiko sawa na hakuna kitabu kinacho sema tunaingiza itikadi lazima tujue ubani ni sawa ktk dua haina shida kama nimkusanyiko kuondoa harufu mbaya ktk maulidi au harusi ila sio shirki kama jamaa zetu wanavyo sema pia dua ya kuombea maiti zetu kusomwa kurani sio bidaa inafaa kama shekh alivyo Sema hayo ni maneno lazuri ktk elim sio mtu anakaa anasema shiki bidaa Hakuna tusome tuelewe sheria sio upande mmoja tu wanavyo taka iwe ndio hivyo hivyo
@nurumohamed552329 күн бұрын
Chakula kinapikwa na moto. Sijui wanadamu wote majusi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@MB-yq3ty27 күн бұрын
Sasa kupika ndo dua?
@nurumohamed552326 күн бұрын
@MB-yq3ty hata kikishapikwa na moto sili mpaka niombe dua. Sasa sijui pia dua ikiwa nikiweka chakula kisha nikaomba dua kutakuwa na mahusiano au tutaita shirk
@MB-yq3ty26 күн бұрын
@@nurumohamed5523 Ugali unahusiana nini na maelezo ya Ubani
@abdulswamadukhamis387722 күн бұрын
Shekh kaeleza vizuri tu sema wewe umetanguliza ubishi
@nurumohamed552322 күн бұрын
@@abdulswamadukhamis3877 Bila ubishi Unatoa mawaidha msikitini na waumini wako sio shirk. kuwa katika you tube bila ubishi ni shirk
@AbdalaPellyАй бұрын
Shekh anashindwa kunyooka sema hayo mambo ni bida'a, kuchoma uban kwa wakati wa kuomba dua ni uzushi na kuna shirki ndani yake, hitima ni uzuahi, Quran ni kwa ajili ya walio hai sio maiti. Watu wanaangamia na shirki.
@mohdhilaly7900Ай бұрын
Dua zimo ndani ya qurani sasa tunafanyaje hapo ?
@mohamedkeref9589Ай бұрын
@@AbdalaPelly ndio maana nasema msome ili muache kuyumbishwa shirk ni nini na nani na mwenye sifa ipi anaweza fanya shirki? lakin jeee kunia ubani ni shirk na jeee wakti wa duaa ili mtu aonekane amefanya .ibada ya Moto anapaswa aitikadi nini na jee pale anapo tumia moto kuchoma ubani jeee anaitikadi Moto ndiye Mungu anaye Muomba au nia na dhamiri yake anamuomba Mungu aliye hai asie na sifa ya kulala kusinzia wala kuzaa wala kuzaliwa ikiwa itikadi yake iko hivi vip awe amefanya shiriki?
@SHEIKHABOUBAKARYАй бұрын
Mawahabi mtuache mbona mnatufatilia muda wote sahiv hmna mada zozote zile Zaid yakupinga mambo AMBAYO hamyajui
@osmanmongo9546Ай бұрын
Ndo mana maimamu na walimu wengi wa madrasa ni maskini
@mrcembo7473Ай бұрын
kila palipo namjuzi bc kuna mjuzi zaid
@AbubakarallyRajab27 күн бұрын
Watu wa bidaaa wanaharibu dini na uzushi wa ubani
@AimanHazar-k5o29 күн бұрын
Dua ni ile Quran..tunao soma
@irtshisekedikhamis5648Ай бұрын
Anae kusudia harufu?
@lusupiАй бұрын
Anaekusudia harufu hakuna ubaya ila ubaya upo unaweka itikadi/imani kuwa dua hazikubaliki bila ubani au wengine wanaitikadi kuwa ubani moshi wake ni chakula cha marehemu apo ndo ubaya ulipo ndugu
@rajabmpamwa9051Ай бұрын
Hii channel ipo azam tv ?
@azizaali8506Ай бұрын
Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh hii channel yetu pendwa ya Africa TV 2 swahili in Azam tv
@ramanzota1227Ай бұрын
Ukiona mtu anampinga huyu shekhe kuhusu masihala ya ubani ujue huyo atakua mganga wakienyeji
@azizaali8506Ай бұрын
Ni kweli ndugu yanguu Allah amnusuru
@ramanzota122726 күн бұрын
@@azizaali8506 inshaallah
@shafikakrabi8490Ай бұрын
Wewe ni mwongo nani kakuambia kuweka ubani ni haramu hakuna mwenye itikadi bora rudi ukasome rena
@asyahassan265626 күн бұрын
Ubani kazi yake ni nini?
@musarashid7873Ай бұрын
Sheikh kwamba walimu woote wanaofanya hivyo aidha chuoni au kwenye khitma maana yke hawajui wanachokifanya ila ww ndo mjuzi 😂
@OmarAbeid-wu5urАй бұрын
Hao mashekhe zako hawajui lolote kawaulize wamepata wapi moto na ubani kwenye dua
@musarashid7873Ай бұрын
@@OmarAbeid-wu5ur sawa hao masheikh zko ndio wenye kila dalili nzr ,,anaetumia udi na ubani ktk visomo na wasiotumia wte sawa na hakuna dhambi yyte hautumiki moto kupaa angani na ungo pale
@OmarAbeid-wu5urАй бұрын
@musarashid7873 sio sawq wanotumia udi na uvumba wazushi wakubwa
@abdalla8193Ай бұрын
Sk watu hawaelewi hata mihadhara ni dili
@mikidadikipingu378220 күн бұрын
Biashara za watu izo
@MJbenderaАй бұрын
Ubani unaleta manukato na pia unafukuza majini mabaya na kukaribisha malaika ambao ndiyo wanapeleka hizo dua moja kwa moja kwa Mwenyezi Mungu.
@thehajjzantourssafaricampa8756Ай бұрын
Ubani haufukuzi majini walahauleti malaika wema, kusoma qurian na na sunna za mtume s.w kwahakika hayo ndomambo yatakayo pelekea malaika wema wawepo kwajili ya mambo mema, siyo ubani ,ukija kwenye swala la maji, jini hafukuzwi kwa ubani, jini anafukuzwa kwa visomo vya rukia (qurian) tuache itikadi na ushirikina asalam alaikum
@sheehamadnganzi8317Ай бұрын
Wewe wacha ushirikina eti unapeleka Dua Moja kwa Moja uliisoma wapi
@JabirHaji-vj2nfАй бұрын
😂😂😂😂 ubani ni shirk bwana na sio unapeleka Dua kasome Tena alakhy bendera
@thehajjzantourssafaricampa8756Ай бұрын
Baba ubani unatoka na utomvu wa miti wala hauna uwezo wakupeleka dua anaepeleka dua nimalaika siyo ubani ubani nimoshi, haufiki hata kwenye jua au mwezi, unaishia kwenye mawingu hebu kasome au nenda kaisome Aya ya arubaini ya surati yasini,
@thehajjzantourssafaricampa8756Ай бұрын
Nenda kwenye msikiti ulipo karibu na wewe hafu mtafute sheh aliesoma mulize kwamba eti moshi wa ubani wakuchukuwa dua na. Kupeleka kwa mungu
@SelemaniAmiri-f4bАй бұрын
Tujitaidi kuondoa tofauti ya madhehebu ndio chanzo alufu hizo dalili sio za uhalali tu hata kuharamisha initaji dalili haramu zote zikowaz kuhusu wamajusi utajuaje nia yamtu vp alokusudia manukato wewe akamhukumu banafata wamajusi?
@HusseinHassan-p7gАй бұрын
Mtume akuwahi kuchoma ubani akiomba dua izo ni ibada zamajusi alijathibiti jambo ilo kwamte wala maswahaba
@musarashid7873Ай бұрын
@@HusseinHassan-p7g mtume hakupanda bodaboda au mwendokasi ,lakini sio dhambi ukipanda hata ww leo hupati dhambi
@khitamcaptainveca5045Ай бұрын
Huna inlm yoyote kuhusu manukato kwa ubani
@azizaali8506Ай бұрын
Usimpe sifa mbaya
@ghostreaper9486Ай бұрын
Kwa maoni yangu Ubani kwa moto ni turathi za Kimaajoosi, Baniani, na Manasara
@HussainMaula-f9bАй бұрын
Kumeibuka mashekhe wapumbavu sana kwani itikadi ni nini we unajua kwamba wakichoma wanaitakidi kua moto na moshi ndio mungu wao wanaemuomba bal insanu ala nafsihi basira wewe huwezi kujua nafsi za watu zinakusudia nini au zinaitakidi nini.
@shabanjuma2447Ай бұрын
Mpumbavu ni wewe haya kama sio mpumbavu tupe dalili ya kuchoma ubani
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
@@shabanjuma2447 wewe acha ujinga wa hawa vijana wehu maana hawana sifa ata moja ya kuitwa Shekh. HIVI KUABUDU MOTO KWA MAJUSI KUNAHUSIANA VIPI NA WAISLAMU WANAOWEKA MANUKATO YA UDI AU UBANI KATIKA KANZU ZAO AU VIKAO VYAO?! . NI UPUMBAVU TU ATA AIBU MUISLAMU AKAHUTUBIA WAISLAMU KUACHA KUTIA UDI MAJUMBANI MWAO, AKAMUULIZE MKEWE AKIRUDI CHUMBANI INGEMTOSHELEZA KUJUA FAIDA YA UBANI NA UDI KWA WAISLAMU . AFAA AKASOMESHWE NA MKEWE MAANA ASILO LIJUA AULIZE KWA WANAOJUA. HAKUNA FAIDA YA UBANI NA UDI YOYOTE NA POPOTE KIKAO CHOCHOTE ILA KAMA VILE MKEWE AKITAKA KUMVUA NGUO NA AKAMUEKA UCHI WA MNYAMA HUYU ANOJIFANYA SHEKH AKASIKIA HARUFU NZURI, BASI MWENYEZIMUNGU SW ALITUAMRISHA KATIKA JAMBO TUKUFU LA SWALA YA IJUMAA TUCHUKUE MAPAMBO NA KUNUKIA, VIPI VIKAO VYA KUMTAJA MWENYEZIMUNGU SW VIKINUKIA UNAO DALILI YA KUKHARAMISHA?
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
@@shabanjuma2447 NA HUYU MPUUZI ALETE DALILI, HIO SHIRKI INAKUWA VIPI HAPO?. MWISHO MAWAHABI MPAKA KUNYA MTASEMA SHIRKI MAANA WATU WANATEGEMEA CHOO ILI WAENDDE HAJA ZAO BADALA YA KUMTEGEMEA MWENYEZIMUNGU SW 😂, MAWAHABI MNA UKHANISI MNACHOSHA NYIEEEEE!!!
@zureashomari2408Ай бұрын
@@hilalkhalfan1452jiheshimu
@HussainMaula-f9bАй бұрын
Sio kila kitu katika uislamu mawahabi mnataka dalili lakad kana kum fi rasuli lahi usuwat khasana mtume ndio kigezo chetu haya mtume Alipanda ngamia wewe mbona unapanda gari ngamia hawapo na nipe dalili kwanini unaacha kupanda ngamia ambo ndio suna ya mtume unapanda gari ujue mawahabi jambo kama hamna elmu nalo bora mukae kimya au muulize wanaojua.
@ShabaniMustafa-n8hАй бұрын
Una ELIMU lakini huna akili
@KasalamaAllyАй бұрын
Sheikh hapo unatuchanganya hebu kasome tena au ungenyamaza tuu
@shabanjuma2447Ай бұрын
Wewe una comment na sheikh nani ana elimu kama wewe umemzidi elimu sheikh tupe fatwa ya ubani kwa dalili
@haisamseif2744Ай бұрын
Kuna wakati mashekh wetu mnapoulizwa swali ikawa hujui jibu lake ni bora kuwa muwazi kwa kusema sina elimu nalo swali lako kuliko kuboronga mnapotosha watu.
@MgazaMhinaАй бұрын
Sasa hapo hujaelewa wap
@JabirHaji-vj2nfАй бұрын
Na ajibu yeye mwenyewe elimu maana shekh kaeleza vizur
@jumabeja956Ай бұрын
Unatakiwa ujibu wewe kama kakosea Usilaume wakati wewe mwenyewe hujui
@mwaitaidrisa3804Ай бұрын
watanzania wamezoea mashekhe zao wasio na elimu huyo anaejibu hapa tanzania nitishio kubwa kwamashekh seme huyo shekh hajitangazi wala sio tapeli kama hao mashekh zao
@sheikhfirdaus6491Ай бұрын
Mh mshamba.wewe
@AliyYasiАй бұрын
Shekh jinga wewe maana sasa usipike kutumia moto kwa vile ibada ya majusi ilikua moto yaaani wakuchapwa viboko kuwafunza watu waache moto ilihali wwe nyumbani kwako kuna jiko.
@mussabendera1751Ай бұрын
Elewa mada kwanza
@azizaali8506Ай бұрын
Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh kaka hivi umemwambia Shekha ni ujinga subhan Allah
@AliyYasiАй бұрын
@@azizaali8506 walaykum salam ee moto unashida gani kwwnye maisha bna Adam
@abubakarmwasumilwe7070Ай бұрын
Toa ushahidi.. Wewe ndio jinga
@IbrahimSeleman-i9cАй бұрын
Nakuusia ndugu , usiwatukane wanachuoni ilihali wewe hata madrassa hujaa japo mwaka mmoja, Sasa kwa nn unatukana ?
@MusaYusuphu-y2lАй бұрын
Halafu akisha kujibu kuwa ni bidaa,ww umkatie kwamba huyu sheikh ni wahabii?
@muktarkassim664728 күн бұрын
Hiyo kutia ubani na kuambatanisha na hiyo Dua ya Alfatiha....umeelewa kwa njia isiyo ya Haqq
@mohamedkeref9589Ай бұрын
Shekh soma kwanza kuna vitu vingi humu unaongopea watu hivyo jitahidi usome na kisha ujibu maswali ki ilmu na si kwakutumia utashi hapa unatumia utashi