Hii nyimbo ni mwisho wa mambo yaan nimeirudi mara kibao mpk MB zikaisha hapa nimeweka MB zingine na bado ngoma naitazama
@africanjoker84062 жыл бұрын
Tuàche utani kontawa ñi mkali kuliko hàtà rayvànny nà mbossó
@Ish111112 жыл бұрын
Aise nyinyi wawili mkiachia ngoma tuna wa kubali kinoma 😊
@sadikishamu46192 жыл бұрын
Ngoma ni kali kweli
@Zah-ley2 жыл бұрын
Jamani hii nyimbo lazima ikae trending dah Yan hii video nzur voice ,melody,kinanda,bet, Nice nice nice nice nice nice TUNDA MAN ft KONTAWA sema,@#?
@abubakarmpole40002 жыл бұрын
Aiseee kitu Kali sana toeni remix na kho kho kho, muone ufundi wake
@sondaisrael23512 жыл бұрын
Hii ngoma kwa Music system hadi neighbors wana Data vyenye Inakita Nailed as always! Tanzania musics mko na Industry nzuri we need 🇰🇪 artists pia wafanye kile mnafanya big up
@ikramsisthesir167 Жыл бұрын
hawawez kufanya hivi kwa vile kiswahil hawajui
@beckalizer68662 жыл бұрын
Duuuh kweli niwanyama wakali Mana Soo kwa ngoma kali km hii
@laxmajor2 жыл бұрын
Hi kazi ndio enyewe 😍😁😁😁👂
@Janglemax_myahudi2 ай бұрын
Sema 😂😂😂😂😂
@MansasKraal Жыл бұрын
Wanaogopa mende ila wanapenda kifo chake😂✌️🙌WANAWAKE
@didasmdreamboss13062 жыл бұрын
Tunda man unatukosea wa Congo please 😀😀😀😀😀😀
@dicksonmwenyembegu25232 жыл бұрын
we usiongelee watu wanaovunja naz kwa ugoko
@shabanijafari45872 жыл бұрын
Ngoma iko moto sanaaaa gonga like kama umeikubali
@officialherobwoy88122 жыл бұрын
Watanzania 🇯🇲hawafahamu jinsi sisi wakenya🇰🇪tunawapenda
@ndonetz63422 жыл бұрын
Wewe kuwana adabu hiyo bendera si ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tunda..... Wanaogopa mende ila wanapenda kifo chake😂😂
@sirjamesjemo3390Ай бұрын
Usiwaongelee wa kongomani wee mjinga. Me hapa marekani naona kila mbongo hanaga pa kulala wala hana kazi. Mademu woote wakibongo wamejichubua wakiuza chapati
@sakinaabdul532316 күн бұрын
Oyaaa muko juuu🎉
@mathiasluambano80062 жыл бұрын
.Yataliwa matunda yote ila sio TUNDA MAN.
@ramcyeejunior79372 жыл бұрын
Huyu kontawa kila ngoma yake n hits
@scolawilliam2533 Жыл бұрын
Hii chemistry ni level nyingine au sio wa Kenya tumevamia huku
@babremi2813 Жыл бұрын
Tunda man ni hatari,toka enzi za wimbo wa "Nipe ripoti"
@dicksonmajaliwa1272 жыл бұрын
Ushauli wng kwenu anzishen kundilenu la 2 itakuapoa san maan mnajua kuimba mpaka mnakela nawakubali batolenu like vzur
@geniusgangkenya87322 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥Kontaaawaaa🔥🔥... wanaogopa mende na wanapenda kifo chakeee😅😅😅😅
@adambakari92762 жыл бұрын
😅😅😅😅
@warrapgtimamuskillz68726 ай бұрын
Oyaa wee Shwain #Tunda nakubali unavyoenda sawa na Madogo Janja Big up sn Man
@JohncenaSilverTV2 жыл бұрын
Wapi likes za kontawa
@patriciatumain1722 жыл бұрын
Gomaaah kaliii Sana #tawaaa #tundaman
@Hamischris6 ай бұрын
Nilichelewa tuu kmbe ni fire dude limepaaa kwa hewa
@mhgwataragaragesudan14782 жыл бұрын
If your from Shinyanga and your in south Sudan gonga tuu like twende
@RuseKambi_officiel7 ай бұрын
Mbona Sisi wakongomani wenzenu atujichubui😮
@hamisihamso18822 жыл бұрын
Sanaaa kulabo kali kinyama yanii
@MaheriChristopher5 ай бұрын
Noma sana namimi acha niseme ngoma ni kali
@FashionKiller-rg5fo5 ай бұрын
Niseme Nisiseme hii nayo ni kali naikubali pia kuna ingine moto youtube.com/@IvannyFashionKiller?si=CJz_AIwIc7b214vN
@lusangojrtz2 жыл бұрын
boonge la ngoma 👍👏🏽
@masharomasharo33292 жыл бұрын
Unyamaa umekua ni mwing sanaa
@alphamwafumbila34532 жыл бұрын
Kenya oyooooooooooooooooooooo
@barretobacca97542 жыл бұрын
Ngoma mzuri 🔥🔥🔥🔥🔥
@SuleimanSaid-xq1hf Жыл бұрын
Ngoma Iko sawa sana tu ila kichupa kwangu mimi mhhh
@ashayusuph61072 жыл бұрын
Fast here likes yoo big up tunda man
@zomasamweli2 жыл бұрын
Nyimbo kali sana ila video haiendan na nyimbo
@Steve-oh6mu Жыл бұрын
Nimeipenda kazi nzuli
@hassansammy10762 жыл бұрын
Respect wanangu mmetisha sana wanaee naomba like zanguvu gonga tana👊 kama umeikubali hiyi ngoma
@stashon2 жыл бұрын
Oyaaa contawa ft Tundaman nnibonge la ngoma but director alie shoot hii video ndo kaarbua adi audio ya washkaji ambao ni kontawa featuring tundamani but in in all wana wametisha sana imean kontawa kafanya good also brother 2ndaman ametisha kinyama good appreciate for all of them coz isee dhiz Songz it's miracle for this year ukiachAna na show anayo kwenda kuifanya mdogo etu marioo pale mlimani city tarehe 28/01/2023 but alot of appreciate ziende kwa 2ndaman together kontawa the best songer started 2022 .. .. ....... Kontawa unawarudisha watu wengi this town example unawajua mwenyew au sio LIKE THAT
@flinchclassic15312 жыл бұрын
Unyama ni mwingi humu ndani tunda hujawahi kutuangusha
@casperlyricsmaker18092 жыл бұрын
Nyimbo kali bna mob love kutoka kenya 🇰🇪
@ZABNICE2 жыл бұрын
Mimi pia, subscribe kwangu bro, ahsante
@tekashisimb95092 жыл бұрын
Saf
@thestonetown33022 жыл бұрын
Tunda man na kontawa wana chemistry kubwa sana yaani bonge ya pumbuuuu!!!!
@selemanluoga36037 ай бұрын
Anaeijua ves ya kwanza amecopy wap agonge like hapa
@hasani5652 жыл бұрын
Bonge la track ...Yani video ndio mbovu ..video ingekuwa viwango nyimbo ingenda ...Ila track 💯🔥🔥💯
@mbarakaramadhani91242 жыл бұрын
Niseme nisiseme?h Hii nyimbo ni kali kinoooomaaaaa yaani
@KanomaManji-i7j5 ай бұрын
oya kontow anajua jamaa❤❤❤❤❤❤❤
@babizzo_2 жыл бұрын
noma
@Signal0452 жыл бұрын
254 kameshika likes tu
@elviskidamusic84352 жыл бұрын
Nakupa
@hajiramadhan69702 жыл бұрын
Kali hii brother
@jaymbawal2492 жыл бұрын
Kam ume ikubar hii ngom gonga like apa
@kgchippy Жыл бұрын
Clear bongo flavour
@stnashofficial53992 жыл бұрын
Wow Tunda man kuntawa wakali
@danielchindundwa52692 жыл бұрын
Ninomaaaa sana
@Admin-wh2ex Жыл бұрын
Yataliwa matunda yote ila sio tunda man
@philipokasanga75552 жыл бұрын
Mi ndo wa kwnza nipen like na mm bc td ft kt
@vixhenokero8121 Жыл бұрын
Love from Kenya nifanyie moja
@danielkiio6736 Жыл бұрын
Message poa..
@richardagama68622 жыл бұрын
Wanangu goma kari sana i say,much love from kenya
@youlflow29332 жыл бұрын
Kali sana 💥
@charolazima4074 Жыл бұрын
Yan n fire 🔥🔥🔥
@ibrahimabdullah99042 жыл бұрын
Bonge la ngoma vibe la uakka
@TundaMan2 жыл бұрын
Pamoja san
@Janglemax_myahudi2 жыл бұрын
Moto sana
@TundaMan2 жыл бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@hafidhali43362 жыл бұрын
Mbona taam hii
@djlarriekenya Жыл бұрын
All times Tunda man shoutout from +254🇰🇪
@Saleh-mg8fr2 жыл бұрын
Kontawa nakupenda
@iamareason22742 жыл бұрын
Man like Tunda
@Youngpromise322 жыл бұрын
Nimekubali sana 🔥🔥🔥🔥
@TundaMan2 жыл бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@Spartake2542 жыл бұрын
Siku zote wasanii wawili tuh TZ Tundaman na Alikiba
@official_vileostar Жыл бұрын
Africa feel it One love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@chusseboywcb28082 жыл бұрын
Tunda kontawa mnapendeza kua pamoja🙏🙏🙏❤❤🔥🔥🔥🔥
@gogybushi97362 жыл бұрын
Harmonize atafanya remix ya hii mark my words
@aishavogelmann5021 Жыл бұрын
😂😂😂 wanapenda kifo chake
@Lolezatv2 жыл бұрын
Sema
@bish_daddiyao2 жыл бұрын
Mdundo Wa Siku🙌🏾❣️TUNDA MAN♥️💥
@kassimufadhili28962 жыл бұрын
Nashauri mngeungana kama ROSTAM.. You guyz sound good together ✌
@matundwemedia9952 жыл бұрын
Mwenyewe nlitaka kusema hvo yan
@bestbeatstoreacid2 жыл бұрын
WOW!🙏🙏 💯🔥💯 The vibe of the track is very gorgeous!!! ❤🤙 🔥🔥🔥
@alimasiwilondja5042 жыл бұрын
Good
@hidayahassan80145 ай бұрын
Kontawa on 🔥
@sparrohrecords69122 жыл бұрын
KALI SANAA
@michelkakule43332 жыл бұрын
Wa tz mmetuzoea sana, mmeona wa kongomani ndo wanajichubua 😂😂😂😂
@abdoulshakurbinmakka46102 жыл бұрын
Bonge la song⚡⚡⚡
@wazirmlogi75322 жыл бұрын
Ngoma km ma underground
@davidmsigwa59412 жыл бұрын
Unyama wazee
@Dede_tv2 жыл бұрын
Kontawa fundii Una juwa broo
@dinyoabeli90282 жыл бұрын
🔥
@lemeboyofficial2 жыл бұрын
Now nipo mwanzo mwanzo like zangu 🔥🔥
@TundaMan2 жыл бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
@@TundaMan penda san ww hasa saut yako
@danielngove2 жыл бұрын
Nyie wawili mma chemistry kali
@idrisasose24242 жыл бұрын
Unyamaaa
@sadikishamu46192 жыл бұрын
Tunda man naku kubali mwanangu
@gersonissa91242 жыл бұрын
Muko djuuuh 🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊
@afred6662 жыл бұрын
Kali
@denobakof23202 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@awadhnassor2 жыл бұрын
Hii video haifanan n hii Ngoma!director hajitendea haki kabisa!