TUNDAMAN FT BABU AYUBU ~MJOMBA

  Рет қаралды 169,845

NGODA TV

NGODA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@daudipeter7971
@daudipeter7971 4 жыл бұрын
Dahhh hii nyimbo nimetoa machozi maana kuna mdogo wangu alishaga fanyiwa hayo mambo na shangazi et mke wa Uncle yani dahhh
@salimramadhani5329
@salimramadhani5329 6 ай бұрын
Like every week must listen to this song, it message clearly understood
@farhiyamngome970
@farhiyamngome970 3 жыл бұрын
namkubali sana tunda man coz mwanangu sana.. hii ngoma imenikumbusha mbali sana.. By mng'ome
@trunkhornmaster8207
@trunkhornmaster8207 2 жыл бұрын
Huwa naipenda sana hii ngoma man man🙌🏾
@paulmasanja7055
@paulmasanja7055 3 жыл бұрын
Wapi babu ayubu? Gonga like km nawe unasikiliza hii ngoma 16.5.2021
@gaspergaspain4261
@gaspergaspain4261 3 жыл бұрын
Nmeisklza ucku kucha ngoma kal sana
@paulmasanja7055
@paulmasanja7055 3 жыл бұрын
Ngoma km hz kwa sasa hakuna
@bensonnahkdgks2119
@bensonnahkdgks2119 3 жыл бұрын
Tunda unaweza sana
@bensonnahkdgks2119
@bensonnahkdgks2119 3 жыл бұрын
Nyimbo mzuri ujumbe mzuri
@rodrickgerald6151
@rodrickgerald6151 4 жыл бұрын
Yani huu wimbo utanzani ameutoa kwenye familia yetu afu akaimBa yanii😭😢😢😢
@ngodatv811
@ngodatv811 4 жыл бұрын
polee
@johnkisuka4281
@johnkisuka4281 4 жыл бұрын
Polee
@ngodatv811
@ngodatv811 3 жыл бұрын
Polee
@eliasmbise4328
@eliasmbise4328 Жыл бұрын
😁😁😁
@JOHNHUNTER-c3d
@JOHNHUNTER-c3d 4 ай бұрын
Nyimbo bora sana hiz ndo nyimbo
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 5 ай бұрын
Enzi hizo tunda hajaweuka na manyimbo ya hovyo
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj Жыл бұрын
Daaaah yalinikuta kwa boss mmja hivi.. ila dunia hiii
@bensonnahkdgks2119
@bensonnahkdgks2119 3 жыл бұрын
Nakuelewa tunda
@daudipeter7971
@daudipeter7971 4 жыл бұрын
Dahhh nyimbo nzur sana hii
@husseinkihemo8896
@husseinkihemo8896 4 жыл бұрын
Daaaah mjombaaa!!!!!! Inaskitisha saana
@vicentalfred1159
@vicentalfred1159 4 жыл бұрын
nice
@azizasaid8842
@azizasaid8842 2 жыл бұрын
Kwang Mimi nyimbo hiii tund kwang ndiye nyimbo yak bol baba d Kam baba d
@mbozzoboy2441
@mbozzoboy2441 3 жыл бұрын
Apo alikuwa Tunda kweliii
@mabenzimabenzi4348
@mabenzimabenzi4348 4 жыл бұрын
Nilikuwa naitafuta sana
@alexernest7091
@alexernest7091 4 жыл бұрын
Umeimba kk video iko wap
@ngodatv811
@ngodatv811 3 жыл бұрын
Umeipata subscribe chanel upate mikito zaidi
@barakayahya
@barakayahya 4 жыл бұрын
Tunda imba tena kama hii
@abenizermusic6694
@abenizermusic6694 2 жыл бұрын
ii ngomaa imetugusa wengii asee
@latifafaraji78
@latifafaraji78 4 жыл бұрын
ngoma naipends sana
@bensonzakayo3218
@bensonzakayo3218 3 жыл бұрын
Nitumie mjomba 0655419540
@kondosaid216
@kondosaid216 2 жыл бұрын
Mjpmba jmn kwa mjomba hakuna urithi/utani tu jmn shangaz kazingua bora angedai taraka tu kuliko huu ugai gai
@JOHNHUNTER-c3d
@JOHNHUNTER-c3d 4 ай бұрын
Tunda hiz ndo nyimbo si unazo imba now adays
@maurukichwambaya6414
@maurukichwambaya6414 4 жыл бұрын
I like the song
@florajohn7991
@florajohn7991 3 жыл бұрын
Yàaan hiii ngoma kiboko
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 4 жыл бұрын
Ngoma Kali sana
@cosimasbaton5591
@cosimasbaton5591 3 жыл бұрын
Yuko wapi tunda uyu jamani😭😭
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 4 жыл бұрын
Duuh! Yaani hii ngoma angetia video angetisha sana sema yote kwa yote jamaa anajua,ana kipaji cha hali ya juu sema hana bahati tuu kuanzia sauti hadi mpangilio wa mashairi yuko vizuri
@evalinje4212
@evalinje4212 2 жыл бұрын
Sana
@lucasarajiga6438
@lucasarajiga6438 3 жыл бұрын
Daaaa!!!noma sana
@hbclasic109
@hbclasic109 3 жыл бұрын
Sana tu
@denisimria3109
@denisimria3109 Жыл бұрын
💪💪
@titusmbungu3995
@titusmbungu3995 3 жыл бұрын
Big up ngoma kaliiiiii sana
@valerianwillbrod7062
@valerianwillbrod7062 3 жыл бұрын
Nyimbo Kali Sanaa Big up Bro
@godefroidgodfreybasubi8204
@godefroidgodfreybasubi8204 11 ай бұрын
Message passed
@athmanijunior4035
@athmanijunior4035 3 жыл бұрын
Ngoda TV tafadhali tuwekeeni na wa Matonya unaitwa Matonya gani...
@ngodatv811
@ngodatv811 3 жыл бұрын
Tonya wa leo au matonya gani
@athmanijunior4035
@athmanijunior4035 3 жыл бұрын
@@ngodatv811 matonya gani ilikuwa kwenye album yake ya kwanza
@modenhosouza5925
@modenhosouza5925 3 жыл бұрын
@@ngodatv811 oya man kuna na ngoma ya dogo mfaume anasema hosama unamjua gaidi...sjui tunaipata?
@LUKOMBEALLYLUKOMBE92
@LUKOMBEALLYLUKOMBE92 4 жыл бұрын
Naam
@aminasureiman547
@aminasureiman547 3 жыл бұрын
Tunaomba video yahii nyimbo
@aminamatakamataka5870
@aminamatakamataka5870 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@khadijamchumo8379
@khadijamchumo8379 3 жыл бұрын
Tunda upo juu sana
@peterjustine8755
@peterjustine8755 2 жыл бұрын
Hiiii ngoma ni zaid ya darasa kubwa pongez kwa 2nda
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 4 жыл бұрын
Hizi ndio zlikua nyimbo cio hawa wasanii vishoka wa cku hizi wanacheza na mapresenter tuu
@tualibiabudoAbudo
@tualibiabudoAbudo 2 ай бұрын
Humli gani mjomba?
@emanuelmosha624
@emanuelmosha624 3 жыл бұрын
🤜🤜
@goodluckmringo1689
@goodluckmringo1689 3 жыл бұрын
18/5/2021.... kama kawa
@donzaumaji506
@donzaumaji506 2 ай бұрын
27/9/2024 still listern
@ismailkamchala849
@ismailkamchala849 3 жыл бұрын
Good
@cholomessi5291
@cholomessi5291 3 жыл бұрын
Bg up
@EricBreezzManyota
@EricBreezzManyota 3 жыл бұрын
Kuna nyimbo fulani ya Tunda inaitwa BILA HURUMA. Naomba ukiipata ui-upload. Iliimbwa kitambo kidogo
@abdoolshakuruswalehe546
@abdoolshakuruswalehe546 Жыл бұрын
Snoby ft Omingo & tundaman -bila huruma
@shafiirajabu5207
@shafiirajabu5207 3 жыл бұрын
10/06/2021 nip online
@joelinko6632
@joelinko6632 3 жыл бұрын
Badala ubandue unakaa kiree
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MaulidIddi
@MaulidIddi 10 ай бұрын
@manenomussa6980
@manenomussa6980 4 жыл бұрын
Mmmmm
@yasinimtoro4348
@yasinimtoro4348 3 жыл бұрын
hayamambo yanatokea sana
@rashidmgonza8284
@rashidmgonza8284 3 жыл бұрын
Ana lolote sasaiv uyo
@khadijamaulid668
@khadijamaulid668 3 жыл бұрын
2021
@emanuelochola5539
@emanuelochola5539 3 жыл бұрын
Saf
@MustaphaJumaa-jy7po
@MustaphaJumaa-jy7po 9 ай бұрын
weka like hapa kama uaskiza 2070
@bensonzakayo3218
@bensonzakayo3218 3 жыл бұрын
Kam kuna mtu mweny huu wimb anitumie maan naudalod unagoma plz 0655419540
tundaman ft babu ayubu mjomba usinipe mimba official audio
4:33
Dj KilllerTZ
Рет қаралды 130 М.
Tunda Man Mama Kijacho Official Music Video HD
4:13
Tunda Man
Рет қаралды 2,2 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
Kontawa X Tunda Man : Haina Kuchimba Dawa (official Video)
2:48
Tundaman Ft Chidi Benz -Neilah
4:36
Tunda Man
Рет қаралды 343 М.
Tanzania's top Stand up comedian Babu Ayubu (MichuziBlog)
5:55
MUHIDIN MICHUZI
Рет қаралды 61 М.
Tunda Man ft Spark - Sivutii. (Lyrics)
3:43
Sir nengo
Рет қаралды 97 М.
Sizonje - Mrisho Mpoto ft Banana Zorro (Official Video)
5:38
MrishoMpoto
Рет қаралды 1 МЛН
FADDY DADY  NIMEUPATA VIPI OFFICAL VIDEO
6:00
DjLUCH “KILLERTZ” MOPS
Рет қаралды 271 М.
Nalia
3:56
Spack (Tz) - Topic
Рет қаралды 3,4 М.
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 430 М.