Tanzania please 🙏 tusimame wenyew lisu baba sema tuko pamoja san
@VenceslausPeter12 күн бұрын
Lisu kipindi Cha kampeni tusaidie sera nzuri
@daudmagayane155612 күн бұрын
Wewe umesaidia nn ,kwenye tukio hilo
@FatumaMwaluhanga-ui3kl12 күн бұрын
Tuo upuuzi apa
@FatumaMwaluhanga-ui3kl12 күн бұрын
Wewe unalala chon
@alphoncewilliam432512 күн бұрын
Nilifikili lisu atasema sisi kama chadema tunatoa kiasi hiki kusaidia kuliko kulaum upuuzi tu
@cosmaskusekwa232712 күн бұрын
Lisu anaenda kupotea hilo sio swara la siasa kuhusu kaliakoo wewe sio mtaaramu wa majengo usidanganye watu kama nahilo unaingilia yawezekana kunashida kichwani
@tatulupinda458512 күн бұрын
Kama wewe ni mtanzania unaegombea uongozi kwenye chama chako cha chadema ,ulistahili kutoa msaada ambao uliona ccm wameshidwa sio kulaumu kwakuwa wahanga sio wote ni chama cha ccm pekee