TUNDU LISSU AMTUPIA DONGO MBOWE KUNG'ANG'ANIA MADARAKA - AWAVAA KINA MDEE na WENZAKE - ASHANGILIWA..

  Рет қаралды 10,381

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@VipodoziKariakoo
@VipodoziKariakoo Ай бұрын
Naambiwa "This group doesn't exist"
@asajileraphael1951
@asajileraphael1951 Ай бұрын
Hapa hii vita itakuwa kali sana
@SuolFat
@SuolFat Ай бұрын
Lisu ni mwana harakati mbowe ni mwana siasa
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Ай бұрын
Kwenye chama chao hakuna democrasia alafu kutwa kuisema CCM kana kwamba chama chao kina democrasia
@THEQUILLSTORY
@THEQUILLSTORY Ай бұрын
Hii sasa ni ligi kuu ndani ya chama. Bado michuano ya CAF kati ya CCM na CHADEMA. Ngoja tuzidi kumuomba Mungu atupatie uhai na afya tuucheki mtanange
@linusrichard4450
@linusrichard4450 23 күн бұрын
Lissu akifuzu ndo ataleta ushindani kwenye michuano ya CAF dhidi ya CCM 😂😂😂yetu macho na masikio
@bestman3651
@bestman3651 Ай бұрын
Nimemuona mwanangu Full Dose hapo pembeni ya Lisu, nakumbuka ulivyokuwa kichwa sana kwenye mambo ya economics na finance.
@godsson5954
@godsson5954 Ай бұрын
lema ndo chawa mkubwa😂😂😂😂
@Mari89wx
@Mari89wx Ай бұрын
Power struggle. Jamani chadema kama wenyewe mnagombania madaraka, nani atawaamini na sela zetu za kutaka kushinda. Itakuwa vizuri muungane na mpendane wenyewe, kwani umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Lisu chunga utasingiziwa CCM kwamba wasiojurikana
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Lisu unamsema Sana mbowe mtauana
@lovsply
@lovsply Ай бұрын
TUNDU PIGA MBOWE…
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 Ай бұрын
Sasa mbowe ndi atakuua moja kwa mojaa
@hamnajipyadicksoni4007
@hamnajipyadicksoni4007 Ай бұрын
Huyu kweli anataka kufa mapema
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r Ай бұрын
Lema mnyika ma bg chawa
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r Ай бұрын
Leo nimekukubari huo ni umwaba
@majidimussa8678
@majidimussa8678 Ай бұрын
Tuko na lis mzee hajifunze kwa zito
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Ай бұрын
Namuona rais Samia jinsi anavyoiangalia hii video huku akitabasamu kwa emoj
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 24 күн бұрын
Mbowe anataka kugombea ili Mama Samia njia iwe nyepesi kuungia tena madarakani kiurahisi maana akigombea Mbowe itakuwa ni rahisi kwa CCM kushinda kiurahisi Mbowe na CCM ni damu damu
@Yusuphrevocatus-g3v
@Yusuphrevocatus-g3v Ай бұрын
Mbona kuna watu wame nuna
@Shaniatwain06
@Shaniatwain06 Ай бұрын
Sasa ndy najua hiki chama sio chenyewe maana yajayo yanafurahisha bora kubaki bila yakuwa na chama maana wote wale wale😂😂😂😂
@WilsonLuchwele
@WilsonLuchwele Ай бұрын
Nakupongeza mpambanaji Lissu,hebu nawe Mbowe achia ngazi,imetosha ili Chadema ionekane ni chama cha kitaifa badala ya monopoly ya nyie mtokao kaskazini 4:00
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Chadema.watu Wanaosemasema.waangalieni.wasiwachonganishewabaya.wapo.kihadharini
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Hii Ni timu lisu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Mbowe pumzika kwa amani miaka 25 inakutosha.
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Mficha maradhi kifo chamuumbua. Wanaojidanganya chadema hakuna mpasuko waendelee kujidanganya
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Ай бұрын
Hivi Lisu umejiandaa na mziki wa mbowe maana mchaga yule akisimama rafiki yangu utakuwa ndo umepotea kabisaa
@hamnajipyadicksoni4007
@hamnajipyadicksoni4007 Ай бұрын
Hahahahahaha
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Ай бұрын
Mbowe sio mtu wa kawaida mambo yake anayaendesha bila kupaniki
@Clever-l8v
@Clever-l8v Ай бұрын
Kuna dem nyuma kule amenuna
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi Ай бұрын
Lisu anaweza lkn njia inayotumika ni ya kishari zaidi kuliko amani.
@florangido202
@florangido202 Ай бұрын
Huyu hapana, Atalipiza Kisasi😂😂😂 Mbowe Ana Hekima, Busara, Mstarabu, na pia ni Mtaratibu. Na Alipambana sana Wakati Viongozi na Madiwani Ambao Waliamia CCM na Na Mbea aliseja Ondokeni wote Ntabaki Peke yangu.
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c Ай бұрын
Mbowe anajua kupanga hoja kwa ustaarabu SEMA labda kipengele cha Kuonekana kutaka kuendelea kubaki madarakani muda mrefu ndo kinaweza mdhoofisha kwenye mchakato huu wa uchaguzi. Ila Mbowe yupo smart sana upstairs
@godsson5954
@godsson5954 Ай бұрын
atakayeshindwa ndo atagombea uraisi hahahha
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Ай бұрын
Mi ni chadema lisu anafaa kupewa iki chama yeye ndo ana msimamo uyo mwingine kachoka sasa chadema ni chama chenye nguvu na kikubwa Tanzania atutaki viongozi waliolala tunataka wenye msimamo wakisema no ni no atushiriki atushiriki katiba mpya katiba mpya bc
@NoelChambo
@NoelChambo Ай бұрын
Mwezi uliopita niliota Lissu atakuja kuhamia ccm.
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Ай бұрын
Lakini wapi
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 28 күн бұрын
chama cha ukoo wa kichaga,kwaiyo nyie mnaejipendekeza kwa njaa! hata, akiwafukuza hapati hasara, na wachaga ni matajiri, wao kutaka kutawala inchi ni sifa, sio njaa, km akina fulani wakipewa inchi, ndo wanaona pa kufujia hazina ya taifa, ifikie wakati wachaga waongoze inchi, km maendeleo wametuongoza vizuri! Watashindwaje kuongoza siasa vizuri, nilitamani sana wachaga waje njombe kwa wingi, nadhani njombe ingekua uchumi kwa kasi, sisi makabila mengine ni wajinga sana, uchawi, mwingi, wivu wa kurudishana nyuma, mchaga anaiba anaenda jenga ghorofa, kabila zengine inaiba anaenda kuhonga na anasa tele.
@cassimoa9217
@cassimoa9217 Ай бұрын
Makengeza umeyasikia maneno hayo? Wewe ng'an'gania tu madaraka na machawa wako hao wakina kibonge mayai, na wengineo
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Ай бұрын
Makengeza Mke wako.
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c Ай бұрын
Sasa ccm wajipange mliyemtaka na kumlilia aja Rais 2025
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН