Maswali magumu yanajibiwa kwa tahadhari kubwa, sio majibu mepesi!
@SamweliAdamu-x7t6 күн бұрын
Baba tupo tayari kwa lolotee
@mirajikinuke98497 күн бұрын
aje kukosoa kwa hoja na kuelekeza serikali ifanye Nini na sio aje kutuingiza barabarani WATANZANIA 🇹🇿
@Rai_online_tv7 күн бұрын
Asante Sana kaka, Kwa maoni yako mazuri kwa ajili ya kujenga nchi yetu
@yasrynyawita55407 күн бұрын
Kaoga hako nenda kale chapat mahalage aielekeze selekari ipi kuna kitu kipya hajawahi kulalamikia huko nyuma selekar yako unayosema ielekezawe ilifanya nn Halafu usiaminishe watu kuwa maandamano ni uhalifu Kibaya ni kuvunja amani
@MrMichaelHbog7 күн бұрын
WE JAMAA KIVYAKO. SISI TUNAFUATA MAELEKEZO YA LISU TUTAINGIA LORD BILA WASWAS