TUNDU LISSU AWACHANA MAKAVU WAGOMBEA UCHAGUZI CHADEMA, "TUKICHAGUA VIBAYA IMEKULA KWETU"

  Рет қаралды 9,145

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 3 сағат бұрын
Upo smart sana mzee
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z 55 минут бұрын
Mbowe kaapembeni mzee wetu tunakupenda sana wewe ni baba wa taifa 2 baada ya nyerere✌️✌️✌️✌️✌️
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 Сағат бұрын
mungu akulinde. bade. tupo pamoja
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 3 сағат бұрын
😢Hatuhitaji viongozi machawa waliojificha Chadema
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 Сағат бұрын
mimi binafsi. nakuamini na wala si mropokaji ila mtu yoyote akikera hataacha. kusema ukweli unauma. mbowe piya tunakupenda hebu tafadhali muache lisu ajaribu bahati yake huenda tukangombowa. nchi. kwenye mdomo wa mamba. ❤❤❤❤❤
@yosiaangumbwike2822
@yosiaangumbwike2822 Сағат бұрын
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 сағат бұрын
Mbowe hatoke tu miaaka yote hiyo.watu webgi mbowe hakigombea watasepa watajua kumbe wale wale tu.
@GeophleyMwandanji
@GeophleyMwandanji 57 минут бұрын
Mbowe alishalamba asali
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 3 сағат бұрын
Dickson matata kuparaphrase? 😅😅😅😅😅❤
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Сағат бұрын
👊👍✌️.
@JosephSalumu-r6o
@JosephSalumu-r6o Сағат бұрын
Mbowe ni mswahili Sana
@romanilyimo
@romanilyimo 22 минут бұрын
Ww mwenyewe mshwahili 😂😂😂
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 45 минут бұрын
Lisu kasisutiza ushindani ila yeye hataki ushindani anataka Mbowe asigombee
@romanilyimo
@romanilyimo 19 минут бұрын
Umeona mbali sana ndg ni kweli kabisa tusubiri tuone kinachoendelea
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 41 минут бұрын
Lisu upo vizuri ukitulia, kuropoka Sio kuzuri
@melch3097
@melch3097 Сағат бұрын
Jamani, kwani mbowe anajiweka
@geofreyanania1108
@geofreyanania1108 27 минут бұрын
Lissu nakupenda sana lkn nimesisimumka damu naona njia ya kutusaliti na kumfuata msigwa
@romanilyimo
@romanilyimo 18 минут бұрын
Ata mm nina mashaka sana hila tuombe Mungu asije akatuulia chama chetu.
@AlexKilort-z6q
@AlexKilort-z6q 3 сағат бұрын
😢😢😢😢😮😢😢😢😢
@EdsonDaud-rg5jk
@EdsonDaud-rg5jk 2 сағат бұрын
Lisu ni mwana harakat ila mbowe ni mwa na siasa lisu anaropoka sana ndo ttzo lake
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 2 сағат бұрын
Pole Mwana ccm kumbe kutetea haki ni kuropoka😂😂
@mtendagemohamed2282
@mtendagemohamed2282 2 сағат бұрын
Kuna kuropoka Na Kazungumza Ukweri, msikilize Kwanza Utapata kitu
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 42 минут бұрын
@edsondaud Acha undezi,ww ndio unaaropoka kama umekalia bomba
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 сағат бұрын
Huo msimamo mbona hatujaona chochote ukiwa makamu mboe kakuzuiya wapi usifanye unayotaka kufanya
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 3 сағат бұрын
Samweli una chuki na Lisu? Mbona hoja yako Haina mashiko? Ulitaka atoe ushauri gani?
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 2 сағат бұрын
Punguza upambaf kidoogo
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 2 сағат бұрын
Huwezi kuona mema ukiwa umejipangia kuona mabaya
@mtendagemohamed2282
@mtendagemohamed2282 2 сағат бұрын
Msikilize Kwanza utamuelewa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 сағат бұрын
Inawezekana wewe huijui CHADEMA
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Noel Soal Pemecatan Jokowi: PDIP Salah Besar! - [Primetime News]
11:13
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН