TUNDU LISSU - ''TUSIBABAISHANE KWAMBA MCHANGO WAKO ni MKUBWA KULIKO wa KWANGU - SIJAWAHI KULIPWA''

  Рет қаралды 11,466

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@chage97
@chage97 7 сағат бұрын
Mwarobaini wa CCM ni TUNDU LISSU
@underratedspirit
@underratedspirit 9 сағат бұрын
Wangapi wanaamini kuna chama kipya kinakuja?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 8 сағат бұрын
Lissu uko sahihi sana
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 9 сағат бұрын
Ni hoja ya kitoto unaposhikilia kwamba kushindana na kiongozi aliye kadarakani ni kuvunja chama. Mwandishi unakazana na hoja hiyo elewa ni hoja ya kitoto. Tufike mahali tukubali challenges ktk uchaguzi kama wenzetu wa magharibi
@ShabaniRashid-ln3tj
@ShabaniRashid-ln3tj 9 сағат бұрын
Sahihi
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 8 сағат бұрын
History umeisahau
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
Kwanini uchaguzi mkuu unakuwepo? Usiwepo basi Kwa 7bu utafarakanisha taifa. Kilichopo, kuwepo chaguzi huru na haki tu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Сағат бұрын
CUF wako wangapi kwani???
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani Сағат бұрын
Asante nawafuatilia wore nitakuwa hakimu kwa ajili ya nafasi yangu.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 8 сағат бұрын
Lissu ana akili sana na hashindani kwa ubaya ubwela bali anatimiza haki na wajibu wake ndani ya chama
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 9 сағат бұрын
Kugombea siyo kuvunja chama. Ingawa mnaweza kukubaliana ktk maamuzi Fulani siyo lazima ushikilie Hilo Hilo muda wote. Fikra mpya hutoka kwa wanachama.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 8 сағат бұрын
Hongera umeongea points.
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 8 сағат бұрын
Hawo wandishi wahabari niwanafki hawana fikra na maswali yakuuliza
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 8 сағат бұрын
Naningumu kuwafananisha na kikeke hawajifunzi kwakikeke jamani
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 6 сағат бұрын
Mh Lissu kuwa makini na hao waandishi machawa wametumwa maana maswali wanayokuuliza ni ya kukugombanisha na mh Mbowe. Kwahyo kuwa makini kuwajibu.🤫🫢🫢🤫🤫🤭🤭
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
Siyo chaguzi za kwenye vyama tu, bali hata chaguzi za kwenye serekali zisifanyike kwa 7bu taifa litapasuka?
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 3 сағат бұрын
Lisu kichwa sana anajibu maswali Kwa Hali ya juu ila Hawa waandishi ni machawa wa mbowe
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 сағат бұрын
Chadema mnataka mawazo yayofanana tu,mtu akiwa anambana mtu wako unamwita chawa, pole Sana wewe nichawa wa lisu
@MARKWOODHEADBIGBY
@MARKWOODHEADBIGBY 2 сағат бұрын
My brother tundu unatamaa, you're not supposed kukigawa Chama, sallers
@clementiddi5708
@clementiddi5708 5 сағат бұрын
Swali la kwanza linaonyesha upeo mdogo wa huyo mtangazaji/msahili
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 3 сағат бұрын
Tumekuelewa vizuri Uchaguzi HATUWEZI kuibomoa CHAMA ila Mitazamo ndiyo inatofautiana, Wewe Gombea Acha wajinga wasigane na Mbowe sio Mungu naye niMwanachama Pimaneni Nguvu Mwenye Mitazamo unaoendana na Wakati Achaguliwe Mwenyekiti.
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
Hawapimani nguvu; bali wanapimana hoja.
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 22 минут бұрын
KASONGO YEYE!! MOMOBALI NANGAI.
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm Сағат бұрын
Tundu Lissu nakuombea ushinde nafasi unayogombea.
@Suleiman-e6i
@Suleiman-e6i 7 сағат бұрын
Jamaa angaliwe sana na hususan waliokuwa mbele Yake mfano kama wazungu au mataifa ya nnje haya mataifa ya nnje yanayo mzamini Wana malengo gani
@bahatielias6443
@bahatielias6443 6 сағат бұрын
Toa matope Yako kichwani
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 сағат бұрын
Bado upo zama za kikoloni
@ahz6907
@ahz6907 4 сағат бұрын
Mpuuzi wewe 😂
@asinahussein2176
@asinahussein2176 3 сағат бұрын
Mnaokataa kwani ni uongo waliomchukua juju baada ya uchaguzi ni nani?​@@minazsaid2470
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
Una akili matope. Yataje hayo mataifa ya nje yanayomfadhali.
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka Сағат бұрын
Kugombea ni kupasua chama?
@FidelisiKidungu
@FidelisiKidungu 18 минут бұрын
TUNDU LISU & FREEMAN MBOWE NAWAOMBA JENGENI HOJA. KWENYE MSINGI MTAKIFANYIA NINI CDM NA TAIFA UKICHAGULIWA KUWA MWENYEKITI TAIFA. Epukeni majibu Kwa Hoja za upungufu udhaifu au kasoro zenu binafsi zinazotumiwa vibaya na waandishi wa habari wenye Nia ovu kuwachafua na kuwafitini
@justinekamala9703
@justinekamala9703 49 минут бұрын
Hapa hakuna muandishi, ni polojo make hajui hata kuuliza maswali ila anapiga stor
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 8 сағат бұрын
TUNDU LISU AMEFANYA BLANDERS SANA ANALETA UADUI WA GAFLA JAZBA MAAMUZI YA HASIYO NA BUSARA MANENO YA KASHFA HAKUTUMIA BUSARANHATA KIDOGO
@bahatielias6443
@bahatielias6443 6 сағат бұрын
Maneno kama yapi
@ahz6907
@ahz6907 4 сағат бұрын
Kama amefuata busara zaidi ya miaka 10 na akitaka kupewa nafasi anaminywa unataka afanyeje? Aendelee kuramba miguu ya mbowe ama?
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
Yepi maneno ya kashfa aliyotumia Lisu? Acha uchonganishi.
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
​@@ahz6907na wewe umetoka sayari ipi? Lini Lisu amegombea uwenyekiti akanyimwa? Mbona yeye ndiye makamu mwenyekiti Kwa miaka hiyo(tena akichaguliwa akiwa hayupo) hajawahi lalamika?
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 48 минут бұрын
Huyo lisu ni mtu mjuwaji sana hata akiwa anaharibu
@OmariNkalami-l8f
@OmariNkalami-l8f 5 сағат бұрын
Mkweri ni Mbata🎉 na mwenyekiti wake ?
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 7 сағат бұрын
Tunataka mdahalo live wanaogombea uwenyekiti chadema tujue nani aliye bora zaidi ya mwingine..
@ahz6907
@ahz6907 4 сағат бұрын
Wazo safi sana hili
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 8 сағат бұрын
MBONA WEWOOOOO
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 8 сағат бұрын
😂😂😂
@MikaMsanii
@MikaMsanii 5 сағат бұрын
Tundu lisu na wewe ongoza tuone mwelekeo mpya kila mtu ana thamani na faida ya aina yake. Magufuli alikandamiza upinzani lakini pia alitanguliza mbele haki za wanyonge na kujieleza hadharani. Samia hataki kunieleza hadharani lakini kaja na malidhiano na mnolea ya ruzuku amnoyo mimi ni mnufaika na huo mpango. Kwa hiyo hakuna kibaya kikakosa mazuri au kizuri kikakosa ubaya. Lisu naye ajaribu hakuna cha kutumwa na wazungu wala wachina tanzania ni yetu sote
@SalambaPeter
@SalambaPeter 2 сағат бұрын
Nakuunga mkono, lkn jana bazecha nina mashaka na mabalaza yamehongwa kwanamna ya matamko yao yanaashilia kumshawishi mbowe na kumtukana lisu , na ukiangalia mitandaoni watu wanaosema lusu hafai kuwa kiongozi ila mbowe ni wa ccm hivyo wanaunga na mabaraza ya chadema kauli yao ni moja ,hivyo kwa muono wangu ccm ndo hawamtaki lisu na si chadema
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai Сағат бұрын
Kila mgombea haachi kuwa na wanaomuunga mkono. Pia hofu yako ya wasio wanachadema yaweza kuwa na mashiko.
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me Сағат бұрын
Mwandishi huna maswali ya msingi unless otherwise you're biased or rather lack the manners of questioning ,so poor line of questioning
@KostaJoseph
@KostaJoseph 2 сағат бұрын
KUMBE VITA NI KALI SANA CDM, BORA CCM IENDELEE MANA WANABUSARA YA UONGOZI SANA
@sudiabdi3107
@sudiabdi3107 4 сағат бұрын
Mbowe apumzike tumemchoka
@deokessy6596
@deokessy6596 8 сағат бұрын
I think mbowe apumzike
@saidabdallah2649
@saidabdallah2649 6 сағат бұрын
Lissu hawez kuendesha hata chama hajui ndo maana mbowe kamwambia ningewaachia ila aliona kunakuharibu leo sasa anataka kumtoa mwenzake anaona anakubalika wkt ni anajidanganya mwenyewe kujaza watu sio kukubalika ni kusikilizwa una sera gani utaifanyia nchi yko nn sasa yy kila kukicha ni antaka kuuliwa mara kutekwa mara vile ni pumba tu weka sera mezani hyo ndo siasa watu wajue utaleta mabadiliko gani jamaa huyu hana jipya ni antaka maslahi yke na tamaa ya madaraka coz hataki kushauriwa kila kitu anajua..tujaribu kufkiria sio ushabiki tu na ccm mbna wanaenda vizuri mabadiliko lazma kama hakuna maendeleo sasa hawa wengine wasokuwa na uzoefu wa uongozi na serikali mwk tu nchi nzima washauza wanajali maslahi yao hakuna mwenye machungu na ww au mm..ccm oyeeeee
@ahz6907
@ahz6907 4 сағат бұрын
Fact!
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 8 сағат бұрын
Tundu wewe unawajua wanafki
@saidabdallah2649
@saidabdallah2649 6 сағат бұрын
Shida yke huyo uongozi hajui yy anajua debate tu maana kila kitu sheria kwa jambo lolote hachelewi kutoa hukumu sasa kusema atuongoze hawez awe mwalimu wa mijadalo na pesa anazosema anatoa wp anataka uraisi kwa lazma wkt hana uwezo huo bdo sana lisu kashindwa kuendesha kazi yke na ofisi yke kwa kutaka ruzuku na hela za wazungu kuleta fitna na anajiamini sana kama anakubalika wkt 0%
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,8 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 86 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 40 МЛН
SHUHUDA AELEZA POLISI WALIVYOUAWA 'MUUAJI ALIKUWA MZOEFU'.
3:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
How Anwar Ibrahim is Fixing Malaysia's Debt Problem
12:13
Behind Asia
Рет қаралды 154 М.
"I went to X in order to Y" | Saudi Dialect (Urban Hijazi Arabic)
14:15
ALICHOSEMA KUSAGA KWA MILLARD “NI TAJIRI KULIKO MIMI”
11:51
Millard Ayo
Рет қаралды 47 М.
Di mana Ustaz Auni menuntut Ilmu ?
9:57
Meet My Malaysians
Рет қаралды 164 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,8 МЛН